Oya mbosso ni muhindi mbosso mungu akujalie na mm sio msanii ila nakuombea mungu upate kuimba na muhind na kwa uwez wa mungu inshallah kwa mungu hakuana linalo shindikana kam kuna mwengin kama mm lke hap
Breakups are hard to deal with because the body and mind go through withdrawal, like drug addiction - we become addicted to love. Love this vybe for real 🔥 🔥 from 254 🇰🇪 tukisonga..
Even after withdrawal you are filled with sadness and so many unanswered questions.this is the hardest thing I have ever went through and I hope it’s the last.
This song Bado naipiga kila siku adi wa Leo nahisi niliimbiwa mimi❤mbosso Khan uko sawa kaka hapana mchezo na Kwa ajili ya hii nyimbo let me subscribe ❤
Lots of love from Kenya 🇰🇪 thank me later for the lyrics Intro: Mwenyewe anaona sawa Ila mwambie mimi ananiumiza sana Ni zaidi ya kupagawa Siponi ugonjwa na nishamaliza dawa Verse1: Na ajue bado nipo Ila hali yangu hohehahe Sina mabadiliko Machozi mafuriko fundi wa jiko langu kaacha mawe Mpaka akalamba mwiko Bridge: Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi Chorus: Mwili watepeteka Sina afadhali mawazo yanitesa Mbavu dabodeka ni ka misumari Naanza dhoofika Mwili watepeteka Sina afadhali mawazo yanitesa Mbavu dabodeka ni ka misumari Naanza dhoofika Verse2: Bado ndo ndo ndo chururu Nikijaza haikai kibaba Na misongosongo msururu Sita haikai saba Mimi kitorondo ye kunguru Mbao zangu hazimpi msaada Makombe nishaoga dawa ka susuru Huenda nikasahu labda Kitandani mito ipo miwili Ubavu wewe ubavu mimi Pakata ndiko imewekwa shubiri Nalikwepa nalala chini Nimefuta picha tulizopiga chumbani Ila bado zanisuta suta zimebaki kichwani Silali nastuka stuka unaniita gizani Chozi lalowesha shuka na sina wa kunifuta nani Bridge: Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi Chorus: Mwili watepeteka Sina afadhali mawazo yanitesa Mbavu dabodeka ni ka misumari Naanza dhoofika Mwili watepeteka Sina afadhali mawazo yanitesa Mbavu dabodeka ni ka misumari Naanza dhoofika Outro: Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi
Tanzania kuna vipaji vikubwa sana Diamond ataka kumsaini huyu jamaa sijui itakuwaje sasa hem jionee uwezo wake 👉👉 th-cam.com/video/RPsovDOrntM/w-d-xo.html
Appreciate the subtitles now I can blast this with my non swahili speaking friends. If you are here and you don't speak kiswahili hit the like button porfavor
If you don’t speak or understand Swahili. I will urge you to make a point of learning it, as the romance of the language is on another level. Translation usually dilutes the message.
This song remind me after my boyfriend left me, bcs of another lady, my heart still broke into pieces, I can't stop thinking about him, I'm crying, thank you for the song my brother Mbosso
wapi like za mbosso analiza wengi😭😭😭tunakupenda sana 💖💖 from🇰🇪
th-cam.com/video/_X90YOU7RSs/w-d-xo.html
Where are mbosso like, we loved you very much. ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mbosso is not only a great musician,he is also a very good actor if you agree with me put for me a like
Mbosso Kenya loves you🇰🇪🇰🇪 wakenya mko wapi jamani!! Sina nyota inaguza💯 nani mwingine kakamatwa na homa ya mapenzi😭😅
Thank you our neighbors!😍😇🙏
play ke na si tafadhali
Kuna tukio limetokea muda huu bofya link hii hapa chini kuona tukio lote th-cam.com/video/5TWPZqMK8XQ/w-d-xo.html
Mbosso ni mkenya aishiye Tanzania
@@richieke3390 kabisa baba 😅
Wasichana wote wanapenda Mboso nipeeni like
Sauti tamu sana
#teamkenya🇰🇪🇰🇪 #teamgulf 🇶🇦🇶🇦🇸🇩🇸🇦🇸🇦 wapi likes za mboso khan
Oya mbosso ni muhindi mbosso mungu akujalie na mm sio msanii ila nakuombea mungu upate kuimba na muhind na kwa uwez wa mungu inshallah kwa mungu hakuana linalo shindikana kam kuna mwengin kama mm lke hap
Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz....... Nasema hivi HII NI YENYEWE KBS 👐
Hahaha niyenyewe
Hahaha alikimbia na daftari huyu unategemea itakuaje
Mbosso Burundi loves you so much 🇧🇮🇧🇮warundi mko wapi jamani? Sina nyota inaguza Nani mwingine kakamatwa na homa ya mapenzi kama mimi 😭😭😢
Martha Nzeyimana nukuri🔥😂
mbosso watakubali
Burundi. Tupo.kabis..kwamboso..nitso💋👌Dodiane%
Kuna waburundi wenye Wanajua Kiswahili?
@@rimun5235 very.. Good.watu.wa Burundi..wewe.waanjiye tu nibara..👌👌👌👌👌🇧🇮🥰
Ngoma kalii sanaa..sema umezingua kwenye pikooo na herenii we mwanaumee banaaa atakamaa ubunifuu sio hivyooo kabisaaa yani umezinguaaa kikumaa
Kweli bro amenishangaza 🙆♂️🙆♂️
Nakubali Broo me naungana na ww
Mi pia kwenye ina sijamwelewa kiukweli kaboa
kwelii vo pikoo wnachoraa wadada km me so mwanaume ah umearibuu mbosoo gomaaa kaliiii sana
Iyo kazi we vp umeoba kafumua lazma uumize kichwa ili kuweza kufkisha ulicho kilenga ajakoxea popote apo
Kenya tunakukubali balaaa🇰🇪🔥🔥
Trust me babe @zaylians tukiwachana ivo to ndio nita tapatapa
Machozi mafuriko...you got me .that kafeeling.
O%ponography,0% half naked,100% sense,100% talent, mziki unakubalika east Africa mzima,big up bro kazi njema, from +254.
Zeros
Nomaa
Noel Amadadi. I want uer contract
@@jacknyale4184 ok
Mbosso is that bright student who keeps a low profile and let's the results speak for themsleves... what an A-student!
Good observation
@@dukeofothaya5039 1aaaaaaaaa0qq1aaa10a
Absolutely
Absolutely he's so good, and he's doing such a unique music. An amazing writer if you understand Swahili.
You're right
Mbosso unaimba kwa hisia sana, unajua kulalamika wallah utaniua mie❤
Kufaa bana😂😂😂
Nyota cover by Darilah Muhanda
Breakups are hard to deal with because the body and mind go through withdrawal, like drug addiction - we become addicted to love. Love this vybe for real 🔥 🔥 from 254 🇰🇪 tukisonga..
Even after withdrawal you are filled with sadness and so many unanswered questions.this is the hardest thing I have ever went through and I hope it’s the last.
Oooh so that's why we feel awful... Waaaah, am so glad am passed that sahi,,, I once thought I was going to die 😂😂😂😂😂🤦🤦
Here for our 254
This thing is so real.... Atimes the withdrawal gets soo painful damn
😥😥😥😥😂😂
Penda sana mboso jamani wapi like zawakenya kwa mboso big love broo
Hiz ndo nymbo na siyo hayo makele .....mbossso forever
Mbosso has more fans in Kenya than in Tz. Hizi comment za kizungu zoote ni za 254
True that
Kwani tz hakuna kizungu
@@esthermuimi5449 they can't complete a sentence without a Swahili word.
😂😂
@@latestpon2446 but there are some who can...
Though are few
Kuchorwa tena mbosso 😭SUBHANALLAH
Looh
Cjui wap tunaelekea mwanaume tele piko mikono mhhh hatar sana Allah atuhifadhi na vizazi vyet 🤲
@@rayadadi4453 Amin thuma amin 🤲
Ubunifu ni kufanya vitu katika mgongo wa watu walivozoea,,,ukitazama kwa makini hata jina Lako katika tamaduni zingine ni matusi
Msanii lazima uwe mbunifu
Muziki imeenda shule keep up bro🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naomba tunaomkubali mboso tujuane hapa ☝🏼
Tupoooooooooo
Fundi uyo
Siku ya kwanza huu wimbo sikuuelewa kabisa hata kidogo ila sasa kumbe mh!!! Acha niipeleke hadi 10m Views
Upo kama miyee
Na mimi
th-cam.com/video/_X90YOU7RSs/w-d-xo.html
Mmm ❤️💕 💕 mbosso number one l love you my brother wenzangu wa kenya gonga like hapo chini 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
kulia lia tu ahhh😡😡
@@frenchmontana151 ni shida tu 🤣
Mtoto mkali sana
2023 bado naupenda huu wimbo 🥰🥰 mbosso unajua tena ✅ sana🥰🥰
I pray who ever like this become successful in life
I like this gay
Sijaelewa maana ya kujichora piko jmn, hila kanyimbo pambeee
Bie.
th-cam.com/video/XRnjNtQkKxk/w-d-xo.html
Aah si kweli kwani ni nyimbo ya ibada ndio ifanye mtu afanikiwe maishani aki like
Nyimbo nyingi zikitoka lazma tuskilze mara nying ndo tuelewe ila ww bro mara moja tu tunaelewa, Big up kaka unaandika balaaa💪
Washawahi kusema rayvany ni mwandishi mzuriii ila binafsi mi naona mbosso wcb no1 kwa mashairi mazuriii ukiachana na baba yao
Wapi like za only luo Ohangla artist to view this I like mboso kiukweli wish ningekua naweza piga naye collaboration
Usanii umekuwa usenge siku hz mwanamme mzima ukisema unatia heren na kupaka piko dada ako yy afanye nn kat ya hvy
Mbosso ndiye kingpin wasafi hamna anaemwezaaa
Nakubali
Nakubali ukimtoa harmonise
Like kwa Mbosso ili afikie malengo mapema!!Gonga like kwa mbosso sio kwangu!!Enjoy good song
Kuna tukio limetokea muda huu bofya link hii hapa chini kuona tukio lote th-cam.com/video/5TWPZqMK8XQ/w-d-xo.html
Mbosso jamani unazungumzia nani hapa.. exactly what I went through after break-up.homa ya mapenzi hatari.gonga like nani acha kupita
1M !! in two days mbosso
hii ngoma
inakuwa
kubwa KILA siku zinaendelea
This song Bado naipiga kila siku adi wa Leo nahisi niliimbiwa mimi❤mbosso Khan uko sawa kaka hapana mchezo na Kwa ajili ya hii nyimbo let me subscribe ❤
Tuko pamoja na mm now nasikiliza naishia Julia😿😿😢😢
Mbosso mambo gani ya kisenge watuletea ya kupaka henna
Hii tena keshakithiri bhna style gan tna iyo mwanaume apo tu ndo umeteleza lkn song lipo💪💪
😂😂😂pia upake,,, yeye ndiyo nyota🤣
Angalia kazi yake maisha binafsi achana nayo
Tz ninoma hhhh
Kama umesikiliza zaidi ya mala1 weka like imetugusa hisiaa very emotionally respect man umeonyesha haukubahaticha ile nizikwe na picha yake
Mboso amekua msenge sasa mambo yakike ana yataka yeye dah
@@kassimkhamisi286 k
Video safi wanangu mwageni likes za Director kwa kazi safi💖👍🏾
Nakupenda mbosso mpk sielew jaman sauti yakubembeleza mpk ukiwa na hasila znaniisha jaman❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️😄
Lots of love from Kenya 🇰🇪 thank me later for the lyrics
Intro:
Mwenyewe anaona sawa
Ila mwambie mimi ananiumiza sana
Ni zaidi ya kupagawa
Siponi ugonjwa na nishamaliza dawa
Verse1:
Na ajue bado nipo
Ila hali yangu hohehahe
Sina mabadiliko
Machozi mafuriko fundi wa jiko langu kaacha mawe
Mpaka akalamba mwiko
Bridge:
Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi
Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi
Chorus:
Mwili watepeteka
Sina afadhali mawazo yanitesa
Mbavu dabodeka ni ka misumari
Naanza dhoofika
Mwili watepeteka
Sina afadhali mawazo yanitesa
Mbavu dabodeka ni ka misumari
Naanza dhoofika
Verse2:
Bado ndo ndo ndo chururu
Nikijaza haikai kibaba
Na misongosongo msururu
Sita haikai saba
Mimi kitorondo ye kunguru
Mbao zangu hazimpi msaada
Makombe nishaoga dawa ka susuru
Huenda nikasahu labda
Kitandani mito ipo miwili
Ubavu wewe ubavu mimi
Pakata ndiko imewekwa shubiri
Nalikwepa nalala chini
Nimefuta picha tulizopiga chumbani
Ila bado zanisuta suta zimebaki kichwani
Silali nastuka stuka unaniita gizani
Chozi lalowesha shuka na sina wa kunifuta nani
Bridge:
Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi
Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi
Chorus:
Mwili watepeteka
Sina afadhali mawazo yanitesa
Mbavu dabodeka ni ka misumari
Naanza dhoofika
Mwili watepeteka
Sina afadhali mawazo yanitesa
Mbavu dabodeka ni ka misumari
Naanza dhoofika
Outro:
Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi
Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi
th-cam.com/video/Du5AxHLQaps/w-d-xo.html
Supa supa
niice
Thank you now!
Umetisha mwana
Wallah mbosso umeniua sikomi kusikiliza hii song
Yani bonge la hit
More fire
Lamu boy tunakutambua
Like za mbosso hapa
Man azzer
Wewe lamu boy na ww siunaimbaa nicheck bc nikupe mchongo
Xana
Smgxukn
Wapi like za mbosso,,,#🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
watching from 254 too
Tena sana
Mbosso khan on fire, lkn mistake he made kupaka piko..
🇰🇪🇰🇪
Kuna tukio limetokea muda huu bofya link hii hapa chini kuona tukio lote th-cam.com/video/5TWPZqMK8XQ/w-d-xo.html
Kipenzi changu!!!! Mbossoreeee mbosso khan himself
I just love this Guy. He is very humble and his songs are very romantic and full of emotions. I am a big fan. Keep it up mbosso!
Nakukubali sana waukae
Xxx
True that, he sings from his heart.
This guy he is so amazing
Namii na kubali na huyu jamaa mbosso
Mbossoo why im i just repeating this song everytime baba unaenda mbali
th-cam.com/video/_X90YOU7RSs/w-d-xo.html
Tanzania kuna vipaji vikubwa sana Diamond ataka kumsaini huyu jamaa sijui itakuwaje sasa hem jionee uwezo wake 👉👉 th-cam.com/video/RPsovDOrntM/w-d-xo.html
Omg! On my 4th consecutive time
Nami pia nimeshindia hapa kwa siku ishirini na nne sasa wala sihisi kubanduka
Team mbosso
Ujawai kutoa boko respect blood salute mingi🤞🤞🤞🤞
Hii
My best tanzanian musician . watching you from Zambia 😊
Kweli Mbosso mhindi...Diamond Platnumz didn’t make a mistake to sign him.
True dat hadi insta anampush sana big up
Ata wapita wote
Unajua sana mbosso hujawahi kukosea,,, unaimba nyimbo za kitanzania kabisa.
Greatest songwriter in East Africa mbosso khan mshedede sijutii kuwa fan wa WCB house of hits
Mashaallah, mbosso namkubali sanaaaa yupo vizuri ,ana sauti nzuri na anajua kuitumia Mashaallah.
I just happen to be a Zambian American that enjoys mbosso's music and love swahili language. Big ups!! Chicago what's good?
Yaaap me too
Mzee wabwa
Zambian
Aaaaaw awesome dear
th-cam.com/video/f1cYqgbInmE/w-d-xo.html
Mboso aloolewa mwingine hina wapaka wewe...hii kibokoo😁😁
Suna ioo
Kawa shoga mwanaume kapaka mapiko na kuvaa maherini hii ni aibu kwa wanaume
Kuna tukio limetokea muda huu bofya link hii hapa chini kuona tukio lote th-cam.com/video/2y7XYuQ8aFo/w-d-xo.html
@@shangwekamando2599 sunna unaijua ww au unasem tu?
Kavaa uwalisia kapagawa mbka piko kapaka yeye
Me nimechelewa lakn syo sana naomba like ata 10 tu za Mbosso khan
Pmojaaaa sna
Kabisa
Kaka we unajua na mi shabiki ako we
Imenitach sana we love u mboso
Mbosso ni motoo 🔥🔥🔥wangapi mna mkubali bonyeza like katambe.
Appreciate the subtitles now I can blast this with my non swahili speaking friends. If you are here and you don't speak kiswahili hit the like button porfavor
Kila leo umekuwa msanii wangu bola
254🇰🇪🇰🇪 twakupenda Mbosso.....💕💕💕🇰🇪🇰🇪
Next level...unajua mpaka unaboa...big up mbosso
Mboso vitu saafi saaa.
Napenda moves zako ambazo hazina ma Uchi uchi
Kwa wale tuliordia zaid ya mara mbili kuiangalia dodondosha comments yko ap
Iko poaaaa
Comment yangu ndio ii hapa weka like yako hapa tuende mbele Tukisoma izo ma comments... Lolz Kenya
😁
Mara 4
Mara 15 kwa siku...
King of bongo love songs ❤️❤️❤️ no one like you Mbosso. Nakupenda jameni 😭
Sure?
oya wee nataka like za watu wa muhind wakusin.
Unataka uzipeleke wapi ndugu 😂😂😂😂
Kalisana muhindi wa kusini
🤣🤣🤣🤣
Kuna tukio limetokea muda huu bofya link hii hapa chini kuona tukio lote th-cam.com/video/5TWPZqMK8XQ/w-d-xo.html
th-cam.com/video/_X90YOU7RSs/w-d-xo.html
Mboso... A.K.A sharukukani nakukubali sana mdogo wangu
Mbosso's songs are just on another level..this guy is dope
Much love from Kenya yoooh
Plz watch this song too its called channa mereya
Kuna tukio limetokea muda huu bofya link hii hapa chini kuona tukio lote th-cam.com/video/2y7XYuQ8aFo/w-d-xo.html
@@PLlitlzy player
Bcb
If you don’t speak or understand Swahili. I will urge you to make a point of learning it, as the romance of the language is on another level. Translation usually dilutes the message.
swahili and lingala are two very beautiful languages.
I feel this way especially when I try to translates some of Kidum’s songs. It’s so hard to capture the meaning.
English version th-cam.com/video/DCvU7RUegOU/w-d-xo.html
Mbosso is so talented his music it so beautiful his music make me feel like a proud African
Mbosso khan..!! Shakh rukh wetu...🔥🔥🔥
Kuna tukio limetokea muda huu bofya link hii hapa chini kuona tukio lote th-cam.com/video/5TWPZqMK8XQ/w-d-xo.html
Kingleza co poa🤔🤔
th-cam.com/video/_2lVweaIvmw/w-d-xo.html
We 🇹🇿 are proud of him. talented boy from African land
Wow amazing mboso you're the best kwa nyimbo za mapenzi
Kama umeshawahi kusalitiwa kama mm like apa 😭🙌🏻🤦🏻
Hehehe
😢😢😂😂😂
dah ! aise we mtoto haufai aise !
mboso ni mboso
nani kama
Yeye ?
Hkuna kma yy
Kuna tukio limetokea muda huu bofya link hii hapa chini kuona tukio lote th-cam.com/video/2y7XYuQ8aFo/w-d-xo.html
@@munasaid6388 hujambo
@@abdulbaswitsaid448 cjmbo cjui ww
@@munasaid6388 smhni unaish wpi
254 tujae huku, kuna fununu mbosso ni mkenya😂😂😂
mbosso watisha kizazi nakupa kinala msic Gn
ebwanae mbosso wendo unanimbia vizulisana unawashinda wote wcb kalibu Uganda musalim Simba pltnm
Anyone from 🇰🇪.... Mboso khan to the world 🔥
From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 mbosso kama mbosso sina nyota
254 💟
Kuna tukio limetokea muda huu bofya link hii hapa chini kuona tukio lote th-cam.com/video/5TWPZqMK8XQ/w-d-xo.html
Mbosso Khan much love from +254🇰🇪🇰🇪 comments zikam
🔥
Mbosso to the world 💥
Mambo elz
@@saykhan_9597 poa
🇰🇪🇨🇿
Kama sauti ya mbosso ukufikisha kileleni chapa like ♥️👍
Jmn😂😂😂🙌
Gloriah jamani😂😂😂😂😂😂😂😂
Hihihi noma so mchezo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hihi ni Moto
Hahaha mbsoo kachora Hina 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anatka kuolewa 😂😂😂😂😂
Umetisha mbosooooo
KENYANS TUPOOOOOO🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
♨️♨️♨️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎸🎸🎸🎸🎸
My brother cheen up bro for giving us a romance song. I like your songs this one is really good dope.
Tuko
@@leylahassan8791 tuko
Watu mko chapu jamani damn it's 💥💥💥💥
Wapi likes za mboso ✅✔✔✔✔✔
Everything that Mbosso composes, becomes a hit. If you agree with me give me a like. 🥰🥰🥰🇰🇪
Mistari mizuri lkn mbona mboso wajifny mmb y kike ya kuchichora mauwa wachia dems wajchore Yan nmeipnd lkn uko kuchorwa tu
My all time favourite....💕💕
@@hafswaamin1580 ujui raha unajipa mwnywe
cio lzma tatu iwe y wnaume
th-cam.com/video/caeBuk-tuCQ/w-d-xo.html
1
Daah mboss nyimbo inaniriza 😢 kutokana na hali ninayo 🇧🇮 homa yamapenzi na mimi tayari
The king of lyrics in east and central Africa, hakosei hata kidogo.. 📿 Mungu akuongoze uzidi kutupa burudani
kongole kwa kazi maridadi Mzee Kirungi.. Nyota Ipo!
The ones who are listening again and again🇸🇴🇸🇴🇸🇴much love mbosso khan
Hassaan mbosso mambo Yote ndugu
Sasa mbona umechora pikooo kaka huko wendako siko sasa
Mbosso we ishi na mziki wako unafulaisha.....Sana....Aaawe noma hongera mshukuru mungu kukupa usicho kiomba ....
Brother mimi kila siku nilikua nasubiria hii nyimbo nilisikia kionjo 💣💣 Asante
We ulisikia wapy
India Music yan kama unaamini Mbosso ana chembechembe za Kihind nipe like Mbosso Khan n 🔥🔥🔥
hahahaaa
Wasaaaafiiii🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kenya branch mpo??
Kwa siku nasikilizanga huu wimbo wako kama mara 10 I appreciate the energy for sure God is dope love you so much from +254
Moyo huuma pindi pale unayempenda nae anampenda mwingine!... Too sad,heart break!
hahahahhh
Duuu noma
hahahahahaha
@@husnatissa5796 wew
@@jailanmwazini9849 nin thatha ndo dunia
Leo wakwanza jamn naombeni like zenu ata 100 nifurahii jamn
Tuloimbiwa hii ngoma tu like hapa tujuane maana dah mapenz sio poa!
hahaha
Mbosso is my favorite wcb singer, anaimba kwa kihisia sana , much respect from 🇷🇼🇷🇼.
Hii kaigiza kutoka Channa Mereya filamu ya India, Ila ubunifu mzuri sana big up from Kenya❤️.
Nikajua nimeona peke angu jmn but kaweza sana 💖
Igiza na ww
Ahsante umenikumbusha
Nani kakuuliza
Kweli kabisaa
Kama umeitizama ngoma mara kumi kama mimi gonga like twende sawa
Mm zaid ya Mara kumi
Mm zaidi ya Mara mm
Mim zaide ya mara 1000
imeza sna💙💙
Mimi apa zaidi ya sanaaa
Waaa braza umeweza. I can relate with you . Listening from Nanyuki, Kenya 🇰🇪
Kuna tukio limetokea muda huu bofya link hii hapa chini kuona tukio lote th-cam.com/video/2y7XYuQ8aFo/w-d-xo.html
Ana fail atajikuta shoga mwisho eee bola jeshiiiiiiii
Mbosso khan nakubali sana
Mmoja ya wasanii ambao wanafanya vyema katika uringo wa nyimbo za mashairi nchini tanzania.nampa 💯 kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tulio play zaid ya mara moja like zenu kwa muhind wa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
I almost cried ...am healing from a break up with.
Thanks dear it hurts manze but we heal
Bshshjsa
i was on ur position , pole sana
Am glad am not alone
😭😭😭👋
Kama upo hapa kwa mapenzi ya Mbosso khan ❤️😭 like tujuwane plz ♥️♥️♥️♥️♥️🤦🏻😭
Kuna tukio limetokea muda huu bofya link hii hapa chini kuona tukio lote th-cam.com/video/5TWPZqMK8XQ/w-d-xo.html
Mim
Yani huu wimbo,huwa najipata nikiuimba hata nikiosha masahani.naipenda!
Likes za Mbosso tafadhali
This song remind me after my boyfriend left me, bcs of another lady, my heart still broke into pieces, I can't stop thinking about him, I'm crying, thank you for the song my brother Mbosso
Note very substantial stuff to understand is dat every thing in life come en go so i ask dear kadesa babe to take dat as a part of life
@@rajabuibrahim8811 thank you
@SIMON MAZIGWA thank you bro
Sorry kadesa
Shulkhan
Toka alivyoniachaaaaaa .....
Like za #Mbossokhan
#😍
#OnFire💥💥💥
... sina nyota wala mwezi
@@abdulkheri7322 th-cam.com/video/Dc9Vp4exqsU/w-d-xo.html 🔥🇹🇿 Diamond Platnumz 🙌🙌
nyimbo mzuuulisana
Mbosso kiukwel mung kakubalik kuimba Tena nyimbo za Uzun mung akupe maisha maref.nakukubali San