UMEINGIAJE- Mkemwema choir (official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 59

  • @ngongopaul4417
    @ngongopaul4417 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa watumishi popote pale mlipo mungu azidi kuwa bariki saaa@anaaaa...

  • @GibusoniyusufubwitengeGibusoni
    @GibusoniyusufubwitengeGibusoni 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu niwetu sote kwakila amwaminiaye

  • @ArnaudNkurunziza
    @ArnaudNkurunziza 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabaliki

  • @Ibrahim-p7b2y
    @Ibrahim-p7b2y 3 หลายเดือนก่อน

    Amina❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😍😍😍😍😍😍😍

  • @ArnaudNkurunziza
    @ArnaudNkurunziza 7 หลายเดือนก่อน

    pia watu wa burundi tunaapongeza

  • @yvonneirakiza3990
    @yvonneirakiza3990 6 ปีที่แล้ว +3

    Ndakumbuye ipende kasulu jamani barikiwa sana muko juuu

  • @lovinnkwirikiye1607
    @lovinnkwirikiye1607 5 ปีที่แล้ว +1

    mzehe lafa muambie eti watu wa Burundi tunawasikia sana na tunawapenda kabisa kwa nyimbo nzuli mulituimbia kila mala ila nyimbo za sasa hatuzione tupe ngoma mpia

  • @benjaminkatoz413
    @benjaminkatoz413 5 ปีที่แล้ว +1

    Tubadilike tutoke kule tuwe twende kwake yesu amin kama umebadilika gonga like ubarikiwe amin

  • @makunguiginas9395
    @makunguiginas9395 3 ปีที่แล้ว

    Magari yadaladala kwaya kasuru

  • @loyceemacy9185
    @loyceemacy9185 5 ปีที่แล้ว +1

    Waooo mungu awabariki

  • @claudiadaud4448
    @claudiadaud4448 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awaonekanie

  • @lovinnkwirikiye1607
    @lovinnkwirikiye1607 5 ปีที่แล้ว

    nawapenda sana waimbaji wazuli Mungu azidi kuwalinda na si Burundi tunawapenda sanaaaaa

  • @neemaSide
    @neemaSide 10 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mno

  • @ndikumanajackson8902
    @ndikumanajackson8902 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii nayo imezidiii

  • @patrickdebe458
    @patrickdebe458 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli waimbaji munatubaliki sana ktk nyimbo hii. Tunapaswa kubadilika. Warumi 6:6 na wagalatia 5:25.

  • @olivabosco4880
    @olivabosco4880 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana nawapenda mno wapendwa Wa yesu nyimbo zenu kwa kweli zinatubariki sana

  • @barakachristopher2504
    @barakachristopher2504 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @DorineChai
    @DorineChai 9 หลายเดือนก่อน

    Old is gold! Hii ni tamu sana

  • @uamshokwayakapalamsenga850
    @uamshokwayakapalamsenga850 ปีที่แล้ว

    Mbalikiwe wapendwa

  • @annahjoseph5059
    @annahjoseph5059 6 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda Sana kila nickiapo nyimbo zenu nabarikiwa mno

  • @kiulanalogwa245
    @kiulanalogwa245 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mungu

  • @barakankubile2329
    @barakankubile2329 5 ปีที่แล้ว

    Mnatisha BWANA YESU AWABARIKI SANA,

  • @yohanaadam6390
    @yohanaadam6390 4 ปีที่แล้ว

    Wanadamu tubadilike tuyafanye yale yampendezayo Mungu. Barikiwen kwa ujumbe mzuri

  • @agripinaakhani7005
    @agripinaakhani7005 6 ปีที่แล้ว +2

    naona wengine wameanza kidogo kidogo kujichumbia mawanja bakini njia kuu hayo mavipodozi ni ya kuzimu na lotion kali top lemon na kadhalika mnazijua huyo mama anayesolo alikuwa vizur naona ameanza kidogo.

    • @gabrielntirandekura6335
      @gabrielntirandekura6335 5 ปีที่แล้ว

      Agripina nakupo zakwa kuwa kubusha huwa vipodozi siharari kwawatu wamugu wasipoteze zawadiwariyoyi pewa namugu wetu uedereye kuwakubusha

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 ปีที่แล้ว

      Kumbe unamfatilia ee

  • @haniphayusuph3613
    @haniphayusuph3613 4 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe Sana watumishi

  • @patrickdebe458
    @patrickdebe458 4 ปีที่แล้ว +2

    God may bless you. You are very good in preaching the word of god through song.

  • @bukurumathias5153
    @bukurumathias5153 4 ปีที่แล้ว +1

    Amene Amene Amene

  • @neemasbagenda9977
    @neemasbagenda9977 3 ปีที่แล้ว

    Nawapenda mwaaaaa

  • @lovinnkwirikiye1607
    @lovinnkwirikiye1607 5 ปีที่แล้ว

    shukurani sana

  • @solangesoso3100
    @solangesoso3100 4 ปีที่แล้ว

    Muhezagirwe cane

  • @sitarikogabo637
    @sitarikogabo637 6 ปีที่แล้ว

    wimbo huu unanikumbusha nilikuwa nyanyusi nilikuwanausikiliza nakosa usingizi hongeleni sana mbalikiwe

  • @neemajohn2592
    @neemajohn2592 6 ปีที่แล้ว

    Hongeren sana Mungu atusaidie

  • @gidionkarani8351
    @gidionkarani8351 5 ปีที่แล้ว

    Safi sanaaaaaa vijana kasulu

  • @aminaniyonsenga1946
    @aminaniyonsenga1946 6 ปีที่แล้ว +2

    Guys give us more songs of this Album plz. I love ur songs, Be blessed

  • @lightness9756
    @lightness9756 3 ปีที่แล้ว

    Awesome awesome so true said

  • @orlenisimoni2833
    @orlenisimoni2833 5 ปีที่แล้ว

    Kabisa hata wanyama sikuhizi sio wabaya kama wanadamu 2020

  • @lovinnkwirikiye1607
    @lovinnkwirikiye1607 5 ปีที่แล้ว

    asanteni sana na nyi pia mbalikiwe sana

  • @chenzhenlee7633
    @chenzhenlee7633 3 ปีที่แล้ว

    Jibuni Swali :: UMEINGIAJE?? 2021 June 10th sijapata jibu

  • @kheridluyagaza7186
    @kheridluyagaza7186 2 ปีที่แล้ว

    Hii nyimbo haichoshi I'm still watching 2022 🙏🙏

  • @MsuyaMsuyaJr
    @MsuyaMsuyaJr 6 ปีที่แล้ว +1

    I miss you home because of good songs

  • @sephania4949
    @sephania4949 4 ปีที่แล้ว

    Asanten kwa kutubarki kwa huduma yenu

  • @gladysemmanuelntahondi5515
    @gladysemmanuelntahondi5515 3 ปีที่แล้ว

    Tubadirike tusiingie kanisani na dhambi,,

  • @peacelissa182
    @peacelissa182 6 ปีที่แล้ว +1

    I want their song that wewe nimungu wetu

  • @goodluckkasto1270
    @goodluckkasto1270 6 ปีที่แล้ว

    Nzur

  • @childofgod4412
    @childofgod4412 4 ปีที่แล้ว

    Huyu anayeimbisha anawaharibia kujipodoa kuweni kama mlivyoanza hivyo ndivyo mtakuwa tofauti na hii duniaya leo

  • @stephanojonas9032
    @stephanojonas9032 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @agripinaakhani7005
    @agripinaakhani7005 6 ปีที่แล้ว

    mko vizur ila sana ila hayo maadlil mliyo nayo myatunzea maana dunia inavuta mno kaa hivyo hivyo hayo matakata ya mawigi na manywele ya kishetanisiyafuate.

    • @michaelshibanda2364
      @michaelshibanda2364 2 ปีที่แล้ว

      mpaka sasa inaonesha wameshaacha mapito yao ya zamani

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 5 ปีที่แล้ว

    Amina👏👏

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 5 ปีที่แล้ว

    Kwaya iliyo wahi kunikuna vilivyo

    • @gka9147
      @gka9147 5 ปีที่แล้ว

      🤖🤖🤖🤖

  • @danielntabila6759
    @danielntabila6759 6 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed servants of God

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤2024

  • @benjaminkatoz413
    @benjaminkatoz413 5 ปีที่แล้ว +6

    Tubadilike tutoke kule tuwe twende kwake yesu amin kama umebadilika gonga like ubarikiwe amin

  • @patrickdebe458
    @patrickdebe458 4 ปีที่แล้ว +1

    God may bless you. You are very good in preaching the word of god through song.