Ni faida gani- Mkemwema choir (official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @habilmeshack9462
    @habilmeshack9462 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @danielomori1092
    @danielomori1092 4 ปีที่แล้ว +1

    Nauupenda sana huu wimbo kwa sababu ya maneno ya hekima ya kiroho. Mungu awabariki viongozi wa kikundi hichi.

  • @peterngundo5107
    @peterngundo5107 ปีที่แล้ว +2

    May the Lord bless you

  • @noelbigirimana3664
    @noelbigirimana3664 3 ปีที่แล้ว +1

    Burundi tunawa miss nyanza lac mkoani makamba karibu tena mkatubariki

  • @EdmondNkuru
    @EdmondNkuru 5 หลายเดือนก่อน

    Mbalikiwe❤

  • @StellaIbrahimu-j9p
    @StellaIbrahimu-j9p ปีที่แล้ว +1

    Asnte nyimbo nzuli

  • @timothyogwagwa4259
    @timothyogwagwa4259 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu asifiwe

  • @lailatisudi8285
    @lailatisudi8285 4 ปีที่แล้ว +1

    Imana ibhabariki kunsumo zanyu nyizaa

  • @dawoodysuddy1518
    @dawoodysuddy1518 3 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo uliuetendea haki sana binti uliusol vizuri sana kabisa nimeupenda umenibariki sana huu wimbo mungu awatie ngumvu kabisa

  • @stevenemil2753
    @stevenemil2753 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tulahaze

  • @essauphilimen667
    @essauphilimen667 4 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwee xanaa

  • @kundualex4189
    @kundualex4189 3 ปีที่แล้ว +1

    You find people bossing with earthly things as if to morrow they are packing them up to heaven.

  • @gladysntahondi687
    @gladysntahondi687 4 ปีที่แล้ว +1

    Very nice song

  • @agripinaakhani7005
    @agripinaakhani7005 6 ปีที่แล้ว +3

    msije mkaanza kwa roho mkamaliza kwa mwili hata dunia yote iseme yesu c bwana nyie semeni ni bwana kwa muonrkano ma mavazi c roho tu na mwili.

    • @mudiccosacco6131
      @mudiccosacco6131 3 ปีที่แล้ว +1

      Mimi mwenyewe nimezipenda nyimbo zenu sana Munyu mwenyewe awabariki sana na pia awabariki watunzi wa hizi nyimbo na soloists wenu wazuri. Nimependaaa naa nimewapenda. pia mimi ni mwimbaji namuomba Mungu aniwezeshe niweze kufukia kiwango chenu. Ann kutoka Kenya. hongera.

    • @emanueljohn8612
      @emanueljohn8612 ปีที่แล้ว

      Ukweli Hali yenu ya zamani na ya sasa nitogauti hapa mlikuwa mnaimba kilo sana Ila sasa mnatafuta pesa mnakalimbia kukwama

  • @davidjonas8202
    @davidjonas8202 6 ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwe sana, nyimbo zenu zinafundisha

  • @divinesvesonia854
    @divinesvesonia854 6 ปีที่แล้ว +5

    sifaida tena hio ni hasara kweli😢

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina mbarikiwe sana❤❤

  • @yvonneirakiza3990
    @yvonneirakiza3990 5 ปีที่แล้ว +1

    My favorite song namiss kasulu

    • @deibenomilafrance9838
      @deibenomilafrance9838 3 ปีที่แล้ว

      I love this song even i don' t understand. what they said on that song

  • @trophainamagogwa9590
    @trophainamagogwa9590 6 ปีที่แล้ว +1

    Gasulu mraririvye neza shumbe chane

  • @kundualex4189
    @kundualex4189 3 ปีที่แล้ว +2

    Not Only meanings but your songs still have strong anointing upon them, There the songs I download on youtube tube. Lm a servant of the leaving God, lm a ugandan but currently leaves in mogadishu SOMALIA for peace support mission. Advise your fellow composers of God's word who does not know that when your singing gosple, it means your preaching through songs. But for them, they don't want their songs to be downloaded, they will gives countability in the presence of God. The sister, I repeat the sister who led that song, I have your gift,

  • @agripinaakhani7005
    @agripinaakhani7005 6 ปีที่แล้ว +5

    jamani huyo mama bonge ache kujichumbua anachafua hekalu la Mungu na msihi kwa jina la yesu ache mara moja anaanza kuingiza sura ya mapambo kwa kwanya awe makini asije akatumiwa na adui.

    • @trendsnew2140
      @trendsnew2140 5 ปีที่แล้ว

      Kwani umemwona yeye tu?
      Anakuhusu nn wewe achana nae fanya yanayokuhusu na yanayompendeza mungu kwa upande wako

    • @fredymwaya6418
      @fredymwaya6418 5 ปีที่แล้ว

      @@trendsnew2140 umemjibu vzr

    • @yvonneirakiza3990
      @yvonneirakiza3990 4 ปีที่แล้ว +1

      Wewe sio Mungu fanya yanayokuhusu usipende kumuhukumu mtu na haujui moyo wake

    • @kaburachristella2682
      @kaburachristella2682 4 ปีที่แล้ว +1

      Yvonne irakiza kwani kasema nini kibaya? Ukweri utabakia kuwa ukweri kwani mwanzo hakuwa vizuri nani ulikuwa unamuona anaongea kuhusu kitu chochote kuanzia nyimbo zao za dhamani? Watu wadunia sijuwi tunamatatizo gani mtu akishauliwa munasema ni kuhukumu

    • @kaburachristella2682
      @kaburachristella2682 4 ปีที่แล้ว +1

      Agripina Akhani Ubarikiwe tena usinyamanze endelea kusema ukweri bila kuogopa au matusi hakuna kibaya ulicho kisema .

  • @trendsnew2140
    @trendsnew2140 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona baadhi ya nyimbo zenu humzi upload kwenye hii channel yenu? Wekeni nyimbo zote.