Dr. Chris Mauki: Mkikosa kujiwekea mipaka hii, ndoa itawashinda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @mrjulius5840
    @mrjulius5840 ปีที่แล้ว +13

    Mimi leo wa kwanza, nipen LIKES ZANGU

  • @juliealex7214
    @juliealex7214 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana kwa masomo unayotufundisha

  • @NZAMUYEJoseph
    @NZAMUYEJoseph 17 วันที่ผ่านมา

    Thanks doctor mauki

  • @adijashaban4793
    @adijashaban4793 ปีที่แล้ว +2

    Thank you my brother 🙏 from 🇿🇦

  • @velvet2825
    @velvet2825 ปีที่แล้ว

    Wewe baba kama vile unamsoma mtu really ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kila uchoongea ninapitia 😢

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 ปีที่แล้ว

    Asntee Sanaa doctor mauki

  • @Lydiaowino
    @Lydiaowino ปีที่แล้ว

    Thank you so much God bless you

  • @angelkasirye4753
    @angelkasirye4753 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mno

  • @AnnO-dz9dx
    @AnnO-dz9dx 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi mamamkwe anitaki nipee advise

  • @Metrinr
    @Metrinr ปีที่แล้ว

    Be blessed mwalimu ni kwali mwanume lazima aweka pipi kwa profile image nakupenda kwali am hapana am so sorry Kiswahili Yangu siyo poa 😊

  • @ramadhanisimba3443
    @ramadhanisimba3443 8 หลายเดือนก่อน

    Nimeoa mwanamke ambae ana watoto wa 3 lakini kabla ya kumuoa alisema Hana mawasiliano ila siku moja nilikuta picha ya huyo mume kaificha kwenye begi je huyu ni muaminifu?

  • @estherndola4900
    @estherndola4900 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mume anasema usimchagulie marafiki hii inakaaje?!🤣🤣🙌🏼

  • @jessicamasepo8320
    @jessicamasepo8320 ปีที่แล้ว

    👍

  • @shadrackmasagi9608
    @shadrackmasagi9608 ปีที่แล้ว +2

    Dr,samahani ninajambo NINAOMBA UNISAIDIE LAKINI in box,nina mdada ninampenda SANA,tumekuwa KWENYE mahusiano MDA wa MWAKA na nusu sasa,kiufupi HUYU MWANA DADA tumeshindwa kuelewana,kwasababu moja HUYU dada anachumba chake NAMIMI nina chumba changu,lakini mahali ALIPO panga KUNA KAKA MMOJA jirani NAYE amepanga chumba chake,lakini ugomvi WETU ni HUYU mpenzi wangu amejenga mazoea KWA YULE KIJANA anaweza akaenda saa moja usku AKATOKA saa NNE usku YULE KIJANA HANA mke,nimejaribu kukaa NAYE kumueleza kwamba hilo JAMBO SIO zuri haiwezekaniki MTOTO wa kike kukaa KWA MWANAUME aliye peke YAKE mpaka saa NNE usku,wakati mwingine Huenda KWA HIO mwanaume akampikia eti KWA kigezo eti wamejenga mazoea YA kuitana KAKA na dada,nimemuzuia JUU YA JAMBO HILI LAKINI AMESHINDWA kunisikiliza,lakini KTK utafiti wangu nimempigia simu IKAWA haipatikani,baadae nikaenda mpaka kwake NIKAKUTA HAYUPO kafunga MLANGO KWA kufuri,nikakaa nje NIKAMPIGIA simu NIKIWA kwake nikamuuliza uko wapi AKAJIBU niko nyumbani nimelala mida hio ilikuwa saa NNE kasoro dakika tisa,nikamwambia basi ninakuja niko njiani,akasema sawa baada kama YA dakika chache KUNA mdada AKATOKea akaniuliza unamtafuta fulani nikasema ndio AKANIAMBIA YUKO KWA fulani ambaye NDIE HUYO KAKA sasa ambapo HUWA anakaapo mpaka saa NNE,gafla NAYEYE AKAJA anakimbia akashangaa kunikuta nimekaa kumuuliza ULIKUWA wapi AKAANZA kujitetea vitu vya UONGO kabisa,nikamwambia ULIKUWA KWA fulani ikabidi akubali,ukweli huyu dada ninajua mazingira aliyokuwa nayo YA maisha na LENGO langu nikuishi Naye na nilisha mtambulisha kwa mama yangu na ndg ZANGU,lakini NIMEONA huko mbeleni ninaweza KULIA nimeamua niachane NAYE kimia kimia,sihitaji kumfanyia Fuji yoyote,nikweli NAJUA mahali NILIPO mtoa mpaka NILIPO mfikisha,alipitia shida KUBWA sana ikiwamo na MAGONJWA hakuna hata ndg YAKE aliye msaidia,najua ninachokisema,nilimpa mpaka mtaji ANAFANYA biashara,leo kaona ameinuka amejaa dharau SANA,sasa mimi nimejitahidi KUWA mwaminifu SANA kwake tangu niwe NAYE sijawahi hata kidogo kumsaliti,hata WAKATI asipo kuwepo najilinda SANA,lakini YEYE nimegundua ALIKUWA ameficha makucha WAKATI AKIWA KTK hali NGUMU,ukweli nimepambana sana kumbadilisha SANA kimwili hata kiafya na kimaisha,amependeza sana na kunawili,amejaa dharau sana,hebu jiulize KWA MFANO nimemuuliza swali dogo KUWA hivi INGEKUWA NIMIMI NDIE naenda KWENYE chumba CHA BINTI asiye na mume nikae mpaka saa NNE USIKU YEYE angwfurahia jambo hilo,kwasababu YULE KAKA hawana undugu wowote,wamekutana huyu kapanga hapo jirani na mji alio panga HUYO dada,na mpaka amepanga chumba nimepigana SANA kutafuta pesa,mwanzoni nilianza kumlipia chumba mimi,lakini BAADAE NIKAONA tusaidiane majukumu nikampatia mtaji AKAANZA biashara,na anapata pesa TAYARI kaibuka kiburi SANA TENA KILe CHA hali YA juu,hebu nishauri NIFANYE nini,ukweli ninampenda LAKINI NINAPO ANGALIA Kesho NAONA ninaweza KUFANYA uamzi wa KUMUOA kabisa nikaja kujutia MBELE YA safari,ila NAOMBA ushauri wako what can I do

    • @hshshsshjdjejjejejejej9823
      @hshshsshjdjejjejejejej9823 ปีที่แล้ว

      😢😢😢😢Pol Sana huy hakupendi

    • @stephanometa9450
      @stephanometa9450 ปีที่แล้ว +3

      Maamuzi magumu yanahitajika japo moyo unatabia ya kun'gan'gania Ila usiusikilize

    • @sikituukololo1161
      @sikituukololo1161 ปีที่แล้ว +1

      pole, huyo hakupendi utapoteza muda tafuta mwingine atakayekusikiliza.

    • @christowelugyimbi2878
      @christowelugyimbi2878 ปีที่แล้ว +1

      Ikipita cku Moja haijirudii tumia akili huyo anakuchiti kumbuka hakuna urafiki wa mwanaume na Mwanamke wa kukaliana mpaka ucku hao ni wapenzi achana nae

    • @happynescostat7420
      @happynescostat7420 ปีที่แล้ว +1

      @@stephanometa9450 Ni kweli uyo afai,ikiwa moyo wako auko tayari kumwacha pigs goti umulilie mungu akunusuru na Huyo,