Justine shed mm ni mmoja wapo wa watu wanaokufuatilia kwa umakini! Ila mi naomba unielezee kwanini main characters wa TOM & JERRY hawazungumzi /hawaongei kama CHARACTERS wengine???? Especially za director FREDDY LUIMBY?
@@senyaelinicodemumbise4814 kuna watu wanasema dunia inazunguka kwenye mhimili wake ikiizunguka jua. Sasa hiyo Greenland vipi? Hainzunguki? Hapa ndipo unagundua kuwa jua huzunguka juu ya dunia. Na jua sio kubwa kuliko dunia kama wengi wanavyosema. Maana lingekuwa kubwa kuliko dunia, huko Greenland wangelipata kama ilivyo sehemu zingine
Leo ni Mimi naitwa Justin shedi sasa twende Antarctica.
🎉❤Congratulations brother ❤❤🎉
Asante bro Justin hii nimeisubiri Sana!
Kazi nzuri kaka Justin
Bongo fasta mimi napenda unionesha vizuri niwanani wahazilishi wa Kiswahili maana tunabisha sana na wezangu ni kenya ao ni Tanzania?
Namie nataka kwenda Justin nifanyie mpango 🤣🤣
Imengia kabisa brother
nakubali kazi yako Sana Justin shedi.
Asante sana Brother Lusajo
😂😂😂today you caught me off guard. Nimezpea phrase haya twende kazi kumbe ilikuwa twende Antarctica
😂😂😂😂
Mimi nakuomba historia ya sim Samsung tu.
Asante sana
Wa tatu nimewahi apa
Twende Antarctica baba 😂😂😂😂😂
Noma
Asante bongo fasta
Wakwanz like zenu jameni twende kazi
🔥🔥🔥 I like it
Good 💪
Cjaelewaaaa
Kazi nzuri
Samahani Kaka shedi tuandalie the aluur4
Asante kwa kuni juza ndio yajua
Asante kwa kuni juza nisioyajua
Wanaficha ukweli bara la antantc akuna anae weza kufika katikati wanaogopa watu wa kawaida kwenda maana watafichua siri ya dunia 😊
Kindly reduce background voice
Wamarekani hawajawahi kushindwa na kitu hapa Duniani.
Ninapoiangalia hii stori namtukuza mwenyezi MUNGU
Story ta Akothee Kenya
BoNGO FAST NI SHULE KUBWA SANA
Historia ya YAKUTSK SIBERIA please
😂😂mwanadamu hatari mbwa hana mana kabisa yani walisaidiwa na mbwa baadaye mkawala tena
Justine shed mm ni mmoja wapo wa watu wanaokufuatilia kwa umakini! Ila mi naomba unielezee kwanini main characters wa TOM & JERRY hawazungumzi /hawaongei kama CHARACTERS wengine???? Especially za director FREDDY LUIMBY?
Justin usisahabu kunipa video
Nakubali sana kazi ya JASTIN SHED ni kazi ngumu sana. 🤝🏴
Sema jamaaa napenda uhodari wako ktk luga
Sasa twende Antartica
Naam tumefaidika na makala yako murua endelea kupekua zaidi yaliyoko hukoo utujuze
Sasa twende antactica
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
Heshima kwako brother
Naangalia huku nimejifunika blanket, maana ile kuangalia tu hii video nimehisi hilo baridi.😂🙌
Wakwanzaaaa
Kaka justin kuna sehemu dunia inaweza fikia hata miezi Hawaoni jua je unaweza tuletea story yake na kwanini jua hliwezi piga kwa mda mrfuu @bongofasta
nchi kama Greenland.wanaona jua kwa nadra. nchi ile ina wenyeji Waeskimo.
@@senyaelinicodemumbise4814 kuna watu wanasema dunia inazunguka kwenye mhimili wake ikiizunguka jua. Sasa hiyo Greenland vipi? Hainzunguki? Hapa ndipo unagundua kuwa jua huzunguka juu ya dunia. Na jua sio kubwa kuliko dunia kama wengi wanavyosema. Maana lingekuwa kubwa kuliko dunia, huko Greenland wangelipata kama ilivyo sehemu zingine
Bongo fasta nawakubali,