Assalaam alaykum. Napenda sana utaratibu mlioweka katika channel hii kutuelimisha namna hii. Naomba tuongeze Darsa za vitabu mbalimbali, kama vile Muqaddima alhadhramiyy, fat-hul mui'iin, anwaar-almasaalik, swarf na balagha. Naamini mna mpango mkubwa. Allah akuwafikisheni katika kheri hii kubwa mnayoifanya. Tunastafidi sana.
Allah akulipe janatu firdosa my shekh
Masha Allah
Allah awajaze kheri na barka
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akulipe khe
Assalam aleykum jumatatu inshallah naombadarsa liendele mda hatujasoma
Assalam aleykum ikh wan tupo daryangapi Sasa hivi
Assalaam alaykum.
Napenda sana utaratibu mlioweka katika channel hii kutuelimisha namna hii.
Naomba tuongeze Darsa za vitabu mbalimbali, kama vile Muqaddima alhadhramiyy, fat-hul mui'iin, anwaar-almasaalik, swarf na balagha. Naamini mna mpango mkubwa. Allah akuwafikisheni katika kheri hii kubwa mnayoifanya. Tunastafidi sana.
Hizo fani za fiq kwenye balagha tupate mtu wanahau ndio haswaa saehemu yake