ZIJUE LADHA TISINI NA TISA ANAZOZIPATA MWANAMKE KATIKA TENDO LA NDOA. SHEKH NASSORO BACHU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 123

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 6 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah. Allah atujaalie tuwe miongoni mwa waja wema watakaokua peponi pamoja na Mtume Mohammad (S.A.W).

  • @MohammedGalole
    @MohammedGalole 6 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah Allah akurahamu shekhe wtu

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 2 ปีที่แล้ว +43

    MashaaAllah kipenzi chetu Allah amsamehe makosa yake na amjaaalie awe ktk waja wema wa peponi pamoja na Alhabiby mtume Muhammad (s.a w)

  • @mustyboymaalim2070
    @mustyboymaalim2070 2 ปีที่แล้ว +15

    Sheikh Nasoor Bacho Allah akulipe sadaqatull jaareha...na akurehemu inxhaa Allah 😢

  • @alisaid7783
    @alisaid7783 2 ปีที่แล้ว +21

    Inshaallah M/Mungu amuweke pahala pema peponi Amiin

  • @OmarOmar-wx9zg
    @OmarOmar-wx9zg 2 ปีที่แล้ว +26

    Naam Shekhe wangu niko nawe makini kabisa, Allaah akurehemu na akuzidishie mazuri huko Donge kaburini uliko, na akusamehe kila kasoro iliotokea kwako wakati wa uhai wako, Shekhe wetu Tuna kupenda sana Wallaahi

  • @muhidinsuleiman4315
    @muhidinsuleiman4315 21 วันที่ผ่านมา

    Allah amrehemu sh Nassor Bachu na wazazi wetu wote waliotangulia. AMIIN

  • @muhammadmoshe8296
    @muhammadmoshe8296 2 ปีที่แล้ว +29

    ^MWENYEZIMNGU¬ALLAH{SUBHAANAHUU WATAALA}^ Amrehemu Na Ampe 'JANNATUL FIRDAUS' Shekhe Wetu, AAMEEN!!!

  • @hamisalmas6011
    @hamisalmas6011 2 ปีที่แล้ว +20

    Ewe Allah mjaalie sheikh wetu maisha mema akhera

  • @najashrk3738
    @najashrk3738 2 ปีที่แล้ว +12

    Masha Allah shekh mungu akulipe Jannaatu firdaus..shekh ukombelezahaki ila huku umetuachiya kijanawako ulivyokuwa ww ndivyo alivyo mwanao hakika umeleya kijanawako ktk maadili memasana..yaani mumefanan hadisauti Masha Allah

  • @nairratyhanny7105
    @nairratyhanny7105 2 ปีที่แล้ว +11

    Allah akujalie pepo firdaus amin

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 2 ปีที่แล้ว +16

    Allah akuondolee adhabu za kabri na makazi yako yawe peponi

  • @NdayisabaCynthia-kw4zm
    @NdayisabaCynthia-kw4zm ปีที่แล้ว

    Jazaka Allah kheir
    Allah amrehem amtiliye nuru ndani la kabur lake ampee pepo ya firdaus

  • @zahornassor5420
    @zahornassor5420 20 วันที่ผ่านมา

    Amiin hili jambo pekee ni kubwa shekh wangu umetufumbua macho wengi Allah akurahamu sana ww na familiar yko na wa waislamu wote

  • @hamadsuleiman4998
    @hamadsuleiman4998 7 หลายเดือนก่อน

    Ya Allah mnusuru shekhe wetu na adhabu ya kabri

  • @ndefukwerkwerhamdun8719
    @ndefukwerkwerhamdun8719 2 ปีที่แล้ว +48

    Allah nakuomba umsamehe makosa yake na umjalie miongoni mwa watu wa peponi

    • @ghulamyassintv4825
      @ghulamyassintv4825 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/kmAtmUmDOjg/w-d-xo.html

    • @kwkw5723
      @kwkw5723 2 ปีที่แล้ว

      Allahumma amiin

  • @rehemashaibu7635
    @rehemashaibu7635 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah akurahamu shekhe nasoro bacho umetuachia kazi nzuri sna

  • @AboubacarWaggad
    @AboubacarWaggad 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah ampunguzie adhabu za kaburi na amaze mahara peponi amiin

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 2 ปีที่แล้ว +10

    Mungu akuweke mahali pema pepon ,

  • @rkk1646
    @rkk1646 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah subbhanal wathaAllah akusamehe na akupanulie kaburi lako na akutamkishe kauli thabiti akupe kitabu chako kwa mkono wa kuume insha umetatangulia na bado tuna kukumbuka kwa mawaisha yako ya kutuelumisha.

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 ปีที่แล้ว +9

    Masha Allah JazzakaAllahu khayra sheikh

  • @zulekhamkwizu3091
    @zulekhamkwizu3091 2 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulillah, hakika hatukuumbwa isipokua kujaribiwa hayo ni moja ya majaribu.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi Mungu akuondolee mchanga wa macho, upumzike kwa amani

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukuran kwa darisa nzuri Mola akuhifadh Dunia na akhera

  • @assoumantuyishime6840
    @assoumantuyishime6840 2 ปีที่แล้ว +8

    Shukran allah amuraze mahali pema

    • @allylugenge8657
      @allylugenge8657 2 ปีที่แล้ว +1

      Mashaalah

    • @ruksanamohamed5193
      @ruksanamohamed5193 2 ปีที่แล้ว +1

      MAY ALLAH SWT GIVE HIM THE HIGHEST JANAATUL FRIDAUS AMIN ALLAHU MAAMIN YA RWABUL ALAMIN

  • @khalifmohamed7303
    @khalifmohamed7303 ปีที่แล้ว

    Masha Allah jazakala qeir ustad kwa hiyo elimu

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 2 ปีที่แล้ว +43

    MAY ALLAH AZZA WAJJAL GRANT HIM THE HIGHEST RANK IN JANNAHT FIRDOUS
    ALLAHUMA AMEEN

  • @fatmehfaraj5188
    @fatmehfaraj5188 2 ปีที่แล้ว +4

    ALLAH amghufirie dhambi zake na ampe jannatul Firdaus.

  • @AlShabh-u8i
    @AlShabh-u8i 6 หลายเดือนก่อน

    Allaah akusamehe mkosa yko na akupe nur ktk kabur lko shekhe wetu

  • @aljadiidualjadiidu6889
    @aljadiidualjadiidu6889 2 ปีที่แล้ว +3

    جزاك الله خيرا،اللهم اغفر له

  • @salumselemani1059
    @salumselemani1059 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Allah akupe mwisho mwema sheikh wetu amiin

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 2 ปีที่แล้ว +8

    Masha Allah Asante Shekh wetu kwa Elim bora

  • @hassancharo1496
    @hassancharo1496 2 ปีที่แล้ว +5

    KUMBE N TAMU ALLAH AMUEREMU SHEIKH NASSORO

  • @seifhemed9191
    @seifhemed9191 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyez mungu ampandishe pepo ya firdaus amiin

  • @ramadhanjamali5761
    @ramadhanjamali5761 2 ปีที่แล้ว +10

    رحمه الله وغفر له

  • @mohdhussein159
    @mohdhussein159 2 ปีที่แล้ว +11

    Masha allah

    • @zulfaally5313
      @zulfaally5313 2 ปีที่แล้ว +1

      Allah amrehem

    • @seifasaa7838
      @seifasaa7838 2 ปีที่แล้ว

      Masha ALLAH tabaarakallah اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك

  • @zuhulahaluna110
    @zuhulahaluna110 ปีที่แล้ว

    Allah akurehem shekhe wetu amiin 🤲

  • @ismaelswaleh2923
    @ismaelswaleh2923 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe wepesi na atakupa inshaAllah

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 ปีที่แล้ว +2

    Wallahi vijana hebu igeni basi taaluma za sheikh mmekalia kutukanana mitandaoni jamani

  • @bongue6003
    @bongue6003 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah bonito allahamduliaih graças allah

  • @showshowtv1854
    @showshowtv1854 ปีที่แล้ว

    Allah amrehem sheikh wetu Nassor Bachu

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 ปีที่แล้ว +16

    الله يغفر له ويرحمه ويسكنه فسيح جناته

  • @AbdalaRamadhani-by6bt
    @AbdalaRamadhani-by6bt 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akupembadara maana 2nasoma darasa zako

  • @suanelasufo
    @suanelasufo 7 หลายเดือนก่อน

    mashalla mungo aku zidishie rekema

  • @AllyAthumani-m1k
    @AllyAthumani-m1k 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe wepesi

  • @Meme-sr1gl
    @Meme-sr1gl 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah akurehemu

  • @rahmahty7026
    @rahmahty7026 2 ปีที่แล้ว +6

    Aamiin ya Rabb

  • @jafariHabibu-jc9zf
    @jafariHabibu-jc9zf 5 หลายเดือนก่อน

    Tunakukumbuka sheikh

  • @mussafoum6562
    @mussafoum6562 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwenye mungu amrehemu shekh

  • @allyhaji7053
    @allyhaji7053 7 หลายเดือนก่อน

    Shukran Allah awe nawe

  • @KhamisHaroub-uj5ci
    @KhamisHaroub-uj5ci 6 หลายเดือนก่อน

    Simba wa Allah ❤️❤️❤️ ananguruma bado

  • @AbdulchandeMucusseteChan-qh4rq
    @AbdulchandeMucusseteChan-qh4rq ปีที่แล้ว

    Mashahallah Allahu aqbar

  • @almasrluhagami1497
    @almasrluhagami1497 ปีที่แล้ว

    Allahumma ghfirlahum warhamhum waskanahum filjannah

  • @maalimzhen9981
    @maalimzhen9981 7 หลายเดือนก่อน

    Allah atuwezeshe tuoe tustiriane ila ubachela mtihan 😢

  • @sawetito1825
    @sawetito1825 2 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdullilah

  • @zuwenaali4936
    @zuwenaali4936 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @badrumbarouk3377
    @badrumbarouk3377 2 ปีที่แล้ว

    Allah hua haongei uwongo niukwel mtupu

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 2 ปีที่แล้ว

    yupii sawaa sahihi

  • @AbuRumeysa-yz6xt
    @AbuRumeysa-yz6xt 4 หลายเดือนก่อน

    Allahul mustaan

  • @Zamu-ud4zl
    @Zamu-ud4zl ปีที่แล้ว

    Allah unaharisto

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 2 ปีที่แล้ว

    Subhanallah

  • @bingulam1670
    @bingulam1670 2 ปีที่แล้ว +2

    Yarrab mpe nuru kwenye kabri lake kama alivyo toa nuru duniani kwa kwakuwakumbusha mambo ya Kheir

  • @feisal6592
    @feisal6592 ปีที่แล้ว

    Yanachu shawa kwatink

  • @ilimuthabiti9397
    @ilimuthabiti9397 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyu ostadhi yuko na upeo mkubwa sana wa kuongea nakuongea kwake ukiskiza utadhani anachokisema unakiona live

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 2 ปีที่แล้ว +4

      Kweli kabisaaa nakuunga mkono nampenda mm huyu uhis kama hajafa

    • @allylugenge8657
      @allylugenge8657 2 ปีที่แล้ว +4

      Innalilah wainnalilah lajuun

    • @ghulamyassintv4825
      @ghulamyassintv4825 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/kmAtmUmDOjg/w-d-xo.html

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 2 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza 😢mingi ila duuuh waislamu muna penda wake 😮sana. Na mtume wenu alikua na wake 9😂😂😂
    Ila mafunjo hii ina nivutia. Eti muta enda peponi na wake zenu e😂😂 hiyo kali kweli. 🎉

  • @mohamedsaid1804
    @mohamedsaid1804 2 ปีที่แล้ว +3

    Huu ujinga wa kuweka sura za wanawake katika hii mmepata wapi.

  • @nabiisuleymanbarut2001
    @nabiisuleymanbarut2001 2 ปีที่แล้ว

    Aamin

  • @HusseinHussein-ur5jg
    @HusseinHussein-ur5jg 6 หลายเดือนก่อน

    Ấllwah âmsamehe kwa makosa yake

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 2 ปีที่แล้ว +1

    Upumbavu umezidi. Zungumza sayansi.

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر 2 ปีที่แล้ว +10

    Assalam alaykum . Napenda kutoa wasia kwako wewe ulotengeneza picha hii nakuhusia usiweke picha ya wanawake walio uchi nikimaanisha mwanamke hata usowake ni uchi na ni fitna . Hatakama maudhui inawahusu wanawake nakuhusia kwa ajili ya Allah na kujikurubisha kwake .
    NB : uso na viganja vya mwanamke huwa vinaruhusiwa kuwa wazi akiwa anaswali tena pakiwa hakuna mwanaume anaeweza kumuowa . Akiwepo basi anatakiwa pia afunike sura yake .

    • @bakariali2391
      @bakariali2391 ปีที่แล้ว

      Masha Allah, Allah akurehem sheikh wetu akuingize kwenye Pepo ya Firdaus Ameen

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 2 ปีที่แล้ว

    Amiin

  • @captshaky
    @captshaky 8 หลายเดือนก่อน

    musil iraq wazinifu hawana salama mawe to death na popote panapoendelea na jihad

  • @adamuluoga6541
    @adamuluoga6541 2 ปีที่แล้ว

    Y

  • @asmamohammed8126
    @asmamohammed8126 2 ปีที่แล้ว

    Asma mados

  • @ghulamyassintv4825
    @ghulamyassintv4825 2 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/kmAtmUmDOjg/w-d-xo.html
    ☝️☝️ Guzalink kwa Faida yako

  • @swahibually1723
    @swahibually1723 2 ปีที่แล้ว +1

    Kasimu Mafuta ANASEMA,huyu jamaa alikua amepotea, Kasimu Mafuta amemsilimisha dakika za mwisho za uhai wake.Mawahabi ni watu wana matatizo makubwa Sana,ati huyo amepotea,alie muongofu ni Kasimu Mafuta na kundi lake,;+Halafu nauliza; Nyinyi Mawahabi mnaomuombea MSAMAHA huyu jamaa,;Si mnasema; DUA ni haramu?

    • @murshidhajji4715
      @murshidhajji4715 2 ปีที่แล้ว +1

      Allah Akusamehe kwani hujui unachokiongea jitahidi kusoma Alhy

    • @rajabuhassani4504
      @rajabuhassani4504 2 ปีที่แล้ว

      Umejawa na chuki za kisufy

    • @husseinaly5374
      @husseinaly5374 2 ปีที่แล้ว

      Mola awe pamoja nawe pepon amen 🙏

    • @mhinahalfan2694
      @mhinahalfan2694 ปีที่แล้ว

      Kaa darasani ndio utoe hoja.
      Hakuna mtu anayesema dua ni haramu, unapaswa kuwa na ufahamu wa kinachozungumzwa sio ushabiki. Tahadhari sana kuongea ushabiki badala dini

  • @yahyabashir7394
    @yahyabashir7394 ปีที่แล้ว

    Allah akurehemu