Ukifanya Haya Kila Asubuhi Utafanikiwa/ Umuhimu Wa Kuamka Alfajiri / Sheikh Walid Alhad / Darsa 2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 210

  • @mohamedkhamis5859
    @mohamedkhamis5859 9 หลายเดือนก่อน +3

    allah akupe umri mrefu shekh walid

  • @yusuphmpenja3288
    @yusuphmpenja3288 2 ปีที่แล้ว +8

    Jazaka allahu kheir allah awafungulie milango ya pepo wazazi wako nawe pia

  • @abdulgawyiseif383
    @abdulgawyiseif383 3 ปีที่แล้ว +18

    Sheikh Walid hatuna cha Kukulipa ila Allah atakulipa meme Dunian na Akhera In shaa Allah

  • @fadhilaassey2340
    @fadhilaassey2340 3 ปีที่แล้ว +9

    Mashaa Allah shehe nashukuru leo umeniongezea jambo ambalo nilikuwa silijui ni hizo adhikar alhamdulillah Allah akuzidishie elim tupate kujifunza

  • @A.S.H_Tv
    @A.S.H_Tv 3 ปีที่แล้ว +8

    Maa shaa Allah Sheikh Allah akuhifadhi inshaAllah

  • @KABURAyusufu-wj4fq
    @KABURAyusufu-wj4fq ปีที่แล้ว +1

    Allah akulinde sana sana nasi Burundi tunakufatiya sana shekh akupe afya duniyani na akhera Inshallah

  • @bahatihassan5413
    @bahatihassan5413 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sheikh inshaAllah tutajihid Allah atazd kutufanyia wepes biidhnillah

  • @bakariayoosuleiman7934
    @bakariayoosuleiman7934 2 ปีที่แล้ว +3

    MASHALLAH shukuran shake kwa mafunzo bora AHLLAHAMDULILAH AHLLAH akupe uhai mrefu INSHAAHLLAH uzidi kutupa mafunzo INSHAAHLLAH

  • @ZaituniHassan-d4e
    @ZaituniHassan-d4e ปีที่แล้ว +1

    Ma Shaa Allah...Mafunzo mzri..tumeilmika... Alhaamdulillah

  • @sarakuchanda9605
    @sarakuchanda9605 3 ปีที่แล้ว +13

    MashaAllah shukran Sheikh Allah akuhifadh kwa kutuelemisha

  • @msarama5406
    @msarama5406 ปีที่แล้ว +8

    Sheikh asiye na malumbano na wenzie yeye ni kufundisha tu Allah amuhifadhi

  • @omarinjiwa3945
    @omarinjiwa3945 2 ปีที่แล้ว +18

    Darasa zuri shekh kwa kweli unaelimisha inshallah m/mungu akudumishe ktk hilo na akupe umri mrefu

    • @mariamkhamisi9357
      @mariamkhamisi9357 ปีที่แล้ว

      A, alaykumu shehe walidi napataje namba yako kunakitu nataka unifanyie

  • @mariammohammed9198
    @mariammohammed9198 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah MashaaAllah xhekh wetu Allah akupe umri wenye baraka na uendelee kutuelimixha

  • @dungayusufu1954
    @dungayusufu1954 ปีที่แล้ว +2

    allah akujalie inshaallah walagh nimejifunza kwako kitu kikubwa sana naona matokeo allah akulipe ishaalah

  • @fareedatrash665
    @fareedatrash665 3 ปีที่แล้ว +5

    sahihi akhui kipenzi changu sheikh wangu allah akulipe kwa kila jema

  • @mohamedkhateeb5098
    @mohamedkhateeb5098 3 ปีที่แล้ว +51

    Ma Shaa Allah,Shukran Sheikh walid;Jazzakallahu khayra... Hivi hao watu wanao Dislike Mawaidha muhimu kama hayo sijuinyinyi hata niwatafsiri vipi ? Ni chuki ama ushaitwani?..Mwenyezi Mungu aziongoe nyoyo zao hawajui wayafanyayo.

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  3 ปีที่แล้ว +4

      yani mtihani sana ila ni kuomba mungu sana

    • @wardabaruani2828
      @wardabaruani2828 2 ปีที่แล้ว +1

      Ameen

    • @othmanally1230
      @othmanally1230 2 ปีที่แล้ว +1

      chuki na kibri tu

    • @hajigahimbare579
      @hajigahimbare579 2 ปีที่แล้ว +1

      Sio kila Mtu Ni Kipofu wa Macho, wengine ni Vipofu wa akili.
      ALLAH AWAONGOZE

    • @hakasikazi9053
      @hakasikazi9053 ปีที่แล้ว +1

      Makafiri hao

  • @shuwekhamassoud3004
    @shuwekhamassoud3004 2 ปีที่แล้ว +3

    Shukrani sheikh tunaomba darsa hii izidi kuendelea kwani tunafaidika n mengi

  • @techosman2000
    @techosman2000 หลายเดือนก่อน

    Naamini kila ktu,
    ALLAH azidi kutuongoza INSHALLAH 🙏

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 3 ปีที่แล้ว +6

    Barak'Allahu fiiQ wa Jazzaka Allahu kheir

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran jazakallahu khayr..shaykh wetu kipenzi ...

  • @sakinamohamedy7506
    @sakinamohamedy7506 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah nishainasa apo Yahayyu yaqayuum

  • @hasanomar9747
    @hasanomar9747 2 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah kikubw kufanyia kazi

  • @abubakarijuma9149
    @abubakarijuma9149 3 ปีที่แล้ว +6

    Barakallahu fiikum wajazaakumullahu khairan.

  • @maliamhotimaliamhoti5302
    @maliamhotimaliamhoti5302 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah akujaze kher sheikh! Shukran kwa elmu

  • @ag3044
    @ag3044 3 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah Allah akubariki

  • @adibumakame6911
    @adibumakame6911 3 ปีที่แล้ว +7

    Maa shaa Allah...mungu akulipe kheir na ziada zake.

  • @zubeda-le4xr
    @zubeda-le4xr 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashall mashall mashall ukovizuri sheikh

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 3 ปีที่แล้ว +11

    Yaa hayu ya qayuum la ilaha ila anta ....

  • @muhammadmagtuf714
    @muhammadmagtuf714 ปีที่แล้ว +1

    Jazaka allahu kheir sheikh ahsant ❤❤❤

  • @mohammedkaisar83
    @mohammedkaisar83 ปีที่แล้ว +1

    Allah atuwezeshe yarabi tufanikiwe kwa Neema hiii yarabi🤲🙏

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 23 วันที่ผ่านมา

    Maan shaallah shekhe❤❤❤🎉🎉🎉

  • @millenniumoiltanzanialimit1265
    @millenniumoiltanzanialimit1265 3 ปีที่แล้ว +3

    KAZI na rizki ni vitu viwili tofauti ...kwa kweli sheikh

  • @AsyaJumaSuleiman
    @AsyaJumaSuleiman ปีที่แล้ว

    Ahsante sana shehe wetu tutajitahidi mawaidha yko tutayafanyia kazi

  • @raziaramadhan4855
    @raziaramadhan4855 2 ปีที่แล้ว +5

    Allah akupee Afya na akufanyie wepesi wa mambo yako. Shukuran jazillah.

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 ปีที่แล้ว +11

    Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️

  • @benadethayunus3797
    @benadethayunus3797 10 หลายเดือนก่อน

    MAASHALLAH ALLAH BLESS U INSHAALLAH.

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah tabaraka Rahmani

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah ibarek sheikh walid

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 ปีที่แล้ว +1

    Shukran ostadhi kwa maeaidha madhubuti

  • @omaryfaki9440
    @omaryfaki9440 ปีที่แล้ว

    Maashalah mwenyezi mungu akulinde Sheikhe na fitna za shetwani

  • @shukujaibu7143
    @shukujaibu7143 ปีที่แล้ว

    Masha Allah kwa mafundisho mema. Allah SW akulipe Pepo Yafiridausi

  • @hassanijuma886
    @hassanijuma886 3 ปีที่แล้ว +3

    Naomba kuuliza darsa za sheikh zile za kuuliza maswali zinakuwaga lini

  • @WemaBuhanza
    @WemaBuhanza ปีที่แล้ว

    Tunashukuru sana kwamawaidha mazuri yanatulainisha nafsi

  • @ZubedaMaulid
    @ZubedaMaulid 3 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah Tabarakallah

  • @mirajingokaasalamalaikum8823
    @mirajingokaasalamalaikum8823 3 ปีที่แล้ว +3

    Asalam alaikum mashaalah Allah akufanyie wepesi

  • @furahasix
    @furahasix ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa ukumbusho Mungu akulipe heri

  • @Rama_Mwaguya-254.
    @Rama_Mwaguya-254. 2 ปีที่แล้ว +2

    Najifunza kila siku, alhamdhulilah.

  • @rahmaarrington9019
    @rahmaarrington9019 ปีที่แล้ว

    Mashallah!! Alhamdulilah kwa ufundisho! Allah atakupa jazaa yako

  • @gamblilekamau129
    @gamblilekamau129 ปีที่แล้ว +2

    Asalaaam Alaikum warahmatulah naipenda mafunzo yako na hii programme naomba Allah akuzidishie ili tuifaham dini yetu

  • @AwenaSuleiman-l5x
    @AwenaSuleiman-l5x หลายเดือนก่อน

    Yaa hayyu ya qayuom lailaha illah anta

  • @khadijasaid5065
    @khadijasaid5065 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah Mungu akuhifadhi shekhe walid mawedha yako mazuri nafuwatiliya sana..kutoka Kenya khadija said Nahdi mld

    • @jarajara7859
      @jarajara7859 ปีที่แล้ว

      Assalamu alykum warhma tuaallah wabrkatuh shukran shekhe mngu akupe wepesi

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh kwa ukumbusho
    Allah akubariki na akuhifadhi

  • @kudrahussein-ko8bm
    @kudrahussein-ko8bm ปีที่แล้ว

    Maashaallah mungu akujalie afya njema Shekhe wetu uzidi kutukumbusha

  • @bundalahamza8902
    @bundalahamza8902 3 ปีที่แล้ว +6

    MASHAALLAH...shukran

  • @rahemaissa9867
    @rahemaissa9867 ปีที่แล้ว

    Shukran shekh Jazaaka llahu kheiry kwa Sote Amiin

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 3 ปีที่แล้ว +5

    Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu ustadh walid naomba unisaidie dua nnamatatizo ya tumbo lajaa huwa naota nala chakula mara kwa mara kuna kitu km donge kwenye koo nikimeza larudi hapa kwenye moyo kila nikimeza tumbo lajaa naomba msaada wako 😭😭😭naswali swala zote bt nafuu nakufatilia sana huenda ukanisaidia

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  3 ปีที่แล้ว +1

      Doh pole sana inshaallah tutamfikishia ustadh salaam

    • @tumajunior6080
      @tumajunior6080 3 ปีที่แล้ว +1

      @@DarsaTV. inshaallah 🤲🤲🤲

    • @IMRANSTORIES136
      @IMRANSTORIES136 3 ปีที่แล้ว +1

      Pole saana Allah atakufanyiya wepesi, nenda spitali upimwe.

    • @Hinduhamza
      @Hinduhamza หลายเดือนก่อน

      Pendelea kumswalia mtume sana poa swali sunna tul istiharaa laka mbili usiki alafu mwambie mungu shida zako kisha umuambie allah akuoneshe dawa basi utaletewa majibu kwenye ndoto

  • @jamaldinabubakary9507
    @jamaldinabubakary9507 2 ปีที่แล้ว +2

    حياك الله يا مصوب قلوبنا الشيخ بن شيخ

  • @hassanmwalim3221
    @hassanmwalim3221 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Allah Ahsante

  • @kuruthumkilongo7902
    @kuruthumkilongo7902 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah shukran sheikh

  • @hadijaismail7873
    @hadijaismail7873 ปีที่แล้ว

    Masha Allah God bless you shekh inshallah

  • @moridohome4790
    @moridohome4790 3 ปีที่แล้ว +4

    MashaaAllah shukran

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Kwa ukumbusho sheghe Allah Akuhifadhi

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 6 หลายเดือนก่อน

    Jazakkallahul-kheir

  • @alainrama5740
    @alainrama5740 ปีที่แล้ว

    Bark'Allahu fikum sheikh

  • @fatumakalombo392
    @fatumakalombo392 3 ปีที่แล้ว +2

    Jazaka lwah kheri

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 3 ปีที่แล้ว +4

    Baraka llahu fiqi

    • @jarajara7859
      @jarajara7859 ปีที่แล้ว

      Maashallah tabaraka Allah

  • @ahmedrashed7138
    @ahmedrashed7138 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana shekhe wangu

  • @MuhannadRavahi
    @MuhannadRavahi 7 หลายเดือนก่อน

    Shukuran mashallah nimejifunza

  • @habityabsa997
    @habityabsa997 3 ปีที่แล้ว +8

    Jazakallah khayr! Allah akulipe kheri duniani na akhera. Naomba kuuliza swali; hizo surah tatu na maanisha Yasin, Idha Waqaatil waqiah na surah al Mulk naweza soma kabla ya swala ya Afajr? Labda saa kumi hivi. Kwa sie tunao enda kazini mapema baada ya swalat fajr. Shukran

  • @Bosskubwah4501
    @Bosskubwah4501 ปีที่แล้ว

    Sheikh Walid usituache na DARSA ZAKO zinatupa manufaa sana

  • @MuhannadRavahi
    @MuhannadRavahi 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah nimejifunza shekhe Allah akulipe heri

  • @ashaomar9196
    @ashaomar9196 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah mawaith nzuru

  • @nshimirimanadjamilla7270
    @nshimirimanadjamilla7270 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran jazaakallahu khayra

  • @hawaori5003
    @hawaori5003 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah 🤲 Allah humabarik

  • @jumaamsuya5
    @jumaamsuya5 ปีที่แล้ว +1

    Masha allaah ujumbe mnzuri shukurani maalim Allaah akuifathi Isha allaah ❤️

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 ปีที่แล้ว

    Swallalah Allayhi Wasalam
    Jazzakumllah Khery

  • @rehimasaleh6648
    @rehimasaleh6648 2 ปีที่แล้ว +2

    Shuklan sana sheikh

  • @doctorkisheemakarama7066
    @doctorkisheemakarama7066 3 ปีที่แล้ว +7

    الله سوف تضاعف لكم من إعطائنا صابون الروح

  • @FatmaSalum-p8f
    @FatmaSalum-p8f ปีที่แล้ว

    Allah akufanyie wepesi

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah niko oman lakini hamna siku ilopita bila kusikiliza mafunzo yako naona wepesi kidogo unapatikana alhamndulilah

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

    Jazzakallah khaillah shehe

  • @bobomuamarg3856
    @bobomuamarg3856 2 ปีที่แล้ว +2

    Jazaakallahu khayri sheikh wetu.

  • @classicwaisala6677
    @classicwaisala6677 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ya hayu yakayum la ilah ilaanta

  • @aminashaib6956
    @aminashaib6956 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Allah barik

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 3 ปีที่แล้ว +12

    باراك الله فيكم ،وجزاكم الله خيرا

  • @qessarmarsha-vy6hz
    @qessarmarsha-vy6hz ปีที่แล้ว +1

    Shukran shekh

  • @faredamobilo3678
    @faredamobilo3678 3 ปีที่แล้ว +4

    YA ITS TRUE,SALAT B4 WRK,OR ANYTHING TOO!YANI NI HAKI NAKUOENDA MJA WETU ILI ATUJAKUE NEEMA YAJE YA KILA JAMBO AU KITU HATA IWE MKRISTO HUWA HIVYO KWA HIVYO KWAKE HAMNA MPAKA WA DINI AU SHEE SIYO KANISA AU DINI KUWA ETI HUMSAFI LA!NI MATENDO NA PUA HUSIANO WWAKO NA MOLA !

  • @afric01
    @afric01 2 ปีที่แล้ว +3

    Aslm alkm ww..... Jazakallah kheir 🙏

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 3 ปีที่แล้ว +5

    Najitahidi ustadh kufanya ibada ht tahajud dhuhaa suna bt wachawi wanitesa na ninani

    • @khamisrashidi2385
      @khamisrashidi2385 3 ปีที่แล้ว +3

      Soma suratul baqarah kabla ya kulala na baada ya swalatu subh

    • @Humble.....
      @Humble..... 3 ปีที่แล้ว

      usikatishe endelea kuna app inaitwa WIRDU IMAAM AL NAWAWI chkua uisome kila siku

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 ปีที่แล้ว

      Pia kabla ya kulala jitahid usome suratul MULK Bi idhni llahi hawatokugusa! Na Tawakkal kwa Allah
      Na usisahau muadhwatain

  • @mohamedcharming7432
    @mohamedcharming7432 10 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah maalim wng

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c ปีที่แล้ว

    Aslm alkm ww.... Jazakallah kheir 🙏

  • @mwanashamasudi9265
    @mwanashamasudi9265 ปีที่แล้ว

    Mashaallah jazakallahu khair

  • @ukhtyanasabintimalikimalik7188
    @ukhtyanasabintimalikimalik7188 3 ปีที่แล้ว +2

    Sawa sheikhe waridi

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 ปีที่แล้ว +11

    Ya hayyu ya kayum laila haila anta ×40

    • @gracymkumba700
      @gracymkumba700 2 ปีที่แล้ว +2

      ndugu yangu sio haila (ila anta) toa iyo.ha

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 ปีที่แล้ว +1

      @@gracymkumba700 safi grace

  • @maryamibrahim4039
    @maryamibrahim4039 3 ปีที่แล้ว +4

    MashAllah

  • @bilugwemwanzije
    @bilugwemwanzije ปีที่แล้ว

    Asante sana sheikh !! We ni mtu wa maana !!?

  • @swabirissashalli1355
    @swabirissashalli1355 ปีที่แล้ว

    Allah Akuhifadhi

  • @emmanuelmudachi6508
    @emmanuelmudachi6508 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah.

  • @NtamwishimiroSafi-uz5mx
    @NtamwishimiroSafi-uz5mx ปีที่แล้ว +1

    ALLAH AKUPE.MAISHA MAREFU SHEHE TUTUMIYE.NAMBA.YAKO YASIM ILI.TUPATE KUFAHAM.MENGI.ZAIDI

  • @salmaabdulla5214
    @salmaabdulla5214 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah ❤️❤️❤️😍😍😍