SIRI IMEFICHUKA WACHUNGAJI WANAOTUMIA UCHAWI KANISANI WAFICHULIWA PROPETH IPM AFUNGUKA KWA UCHUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 75

  • @stevenisack4067
    @stevenisack4067 2 หลายเดือนก่อน +4

    PROPHET IPM
    Ure the best prophet I have ever seen once upon I got birth broooo Niko same track na wewe
    Praise the lord 🙌🙏🙏 master

  • @esthermwaibasa4778
    @esthermwaibasa4778 2 หลายเดือนก่อน +7

    Umeongea kweli kabisa,kwa mimi nasema watumishi wa uganga ni aslimia 90,watumishi wa ukweli ni 20 tu,na watu wamerogwa hawapendi kwenda kwa watumishi wa kweli wanadai kumepoa,waumini hawataki mahubiri ya kweli wanapenda kutabiriwa toka asubuhi mpaka jioni,njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba na ya jehanamu nipana Mungu atupe ufahamu,Mungu akubarki mchungaji na akutie nguvu sema kweli hizi ni nyakati za mwisho

  • @user-pm8fp7no4c
    @user-pm8fp7no4c หลายเดือนก่อน

    Thank you dady lpm hakika wewe ni mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana baba yangu

  • @halfanemmanuel7811
    @halfanemmanuel7811 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAH AKBAR

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 หลายเดือนก่อน +4

    IPM upo vizuri sana

  • @SmilingChameleon-db2wi
    @SmilingChameleon-db2wi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri mchungaji,sema baba

  • @nassoroyahaya821
    @nassoroyahaya821 2 หลายเดือนก่อน +1

    Najua vizuri sana unachokiongea na mmoja wa wachungaji hao wakubwa kama akina Mwamposa wanakwenda na mabodyguard huko massage room wanawachagua wadada warembo,wanawalipa pesa kubwa na wakielewa umewafahamu wanakuwinda wanakuua,lakini mbaya zaidi wanawatumia wadada kinyume cha maumbile na so far wamezaa nao so hakuna neno la Mungu la namna kama hiyo....

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 2 หลายเดือนก่อน

    Watu nawashauri tena kwa Rehema na Neema mwaminini Mungu mkuu Mhumba Mbinguni nayo Nchi na Yesu kristo mwokozi na Roho Mtakatifu pumzi ya Mungu aliye hai milele yote. Haya ya malumbano na kukosoana na kukosa hekima kwa watumishi wengi wachieni wenyewe na malumbano yao. Mungu Mungu Mungu atusaidie watu wake. Amen.

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani huyo anaejiita kiboko ya wachawi amewateka kweli kwili, maana yeye mwenyewe ni mchawi aliye wazi kabisa. Alafu nashangaa watu hawaoni au?

  • @amoschacha2885
    @amoschacha2885 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sema babaaaa wachungaji ni mbwa tu

  • @EstomihPallangyo
    @EstomihPallangyo 27 วันที่ผ่านมา

    Sema ukweli maana Mungu ndie hiyo KWELI atakusimamia

  • @priscamassawe-gh1sb
    @priscamassawe-gh1sb 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Mtumishi kwa kusema ukweli

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 2 หลายเดือนก่อน +2

    Acha waendelee kuwa mazombi kama yale ya zumaridi

  • @NuruMbilinyi-oe1nr
    @NuruMbilinyi-oe1nr หลายเดือนก่อน

    Mm nakuku bali sana pasta kaza buti tuko nyuma yako

  • @Edimond-sw9ce
    @Edimond-sw9ce 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wenye macho,tunaona mtumishi twende pamoja njia,ileee,nyembamba nakutia moyo sema ukwer baba

  • @AnastinaIshisha-lt2rn
    @AnastinaIshisha-lt2rn หลายเดือนก่อน

    Nikweli unachokisema lakini Mimi mchungaji wa change la macho haniwezi

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 หลายเดือนก่อน

    Masecretary Sita (6) daaa hongera ajira hiyo!😊❤

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf 2 หลายเดือนก่อน

    Sema mtumishi tunapona.

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu หลายเดือนก่อน

    Vyombo vya habari kwa miaka mingi vimefichua kuwa wachungaji wanatumia nguvu za uchawi kanisani. Wachungaji wanakimbilia kwa wachawi ili kupata nguvu za kuwazubaisha waumini.

  • @user-rg9nj8rp6t
    @user-rg9nj8rp6t 2 หลายเดือนก่อน +1

    IPM unasema kweli ubarikiwe pasta

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Mwamposa 😮 Hata na Christina Shusho kalala naye.Wanawake wanampenda na kumsifia.Ni kweli

  • @berthamsema
    @berthamsema หลายเดือนก่อน

    Iyo ni kweli mchungaji akitembea na mwanamke kanisani lazima kanisa lazima liyumbe

  • @petrojacob6070
    @petrojacob6070 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama mtu huamini kuhusu Shetani,mbona kwa Mungu huamini?Shetani toka lini akamzidi Mungu?

  • @zawadimwakapala7935
    @zawadimwakapala7935 หลายเดือนก่อน

    Wewe SEMA tu mtumishi, maana kweli siku hizi KANISANI Kuna misukule mingi na hatujui na mkituambia Huwa hatuamini......ila acha tu Mungu atusaidie. Mungu akusaudie na wewe usimamie kweli

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli wengi ni wachawi na wengi ni wazinzi ndiyo sababu wanawake wanaambiwa waende kanisani na nguo fupi ili wakawatongoze wengi ni wake zawatu hata ukenda uchi nisawa tu mchungaji akugombezi anakuambia Mungu ahangalii mavazi bali anaangalia moyo wako tu njoo hata uchi hakuna shida

  • @adammalale7194
    @adammalale7194 2 หลายเดือนก่อน +1

    Me kila nikienda kanisa lolote kubwa nawaona watu wamevaa MAVAZI meusi wanatembea kwa kila MTU na wanakuwa wanaongea kwa ishara na mtumishi anayehubiri ila mm wakinisogelea wanaanza kutetemeka nimefikisha makanisa 6 makubwa apa tz

    • @zawadimwakapala7935
      @zawadimwakapala7935 หลายเดือนก่อน

      Sijakwelewa ndg wanaongea naye Kwa ishara kiaje

  • @user-vz5gv3lo5f
    @user-vz5gv3lo5f 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wanataka miujiza hawataki maneno ya mungu.miujiza imekuwa juu kuriko neno Ra mungu

  • @hovongajilo1236
    @hovongajilo1236 หลายเดือนก่อน

    Muñgu akubariki

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 20 วันที่ผ่านมา

    I.P.M WEWE SIO FREEMASON?????

  • @ramadhanimmana3829
    @ramadhanimmana3829 2 หลายเดือนก่อน +1

    Weee mwamposa weweeee kuja hapa 😊😊😊😊😂😂😂😂😂

    • @LilyWeitz
      @LilyWeitz หลายเดือนก่อน

      Aje afanye nini 😅muache alale asubuhi Tipo na kipindi 😂 bwana

    • @ramadhanimmana3829
      @ramadhanimmana3829 หลายเดือนก่อน

      @@LilyWeitz duuh kweli anakula ela za waliwao

    • @LilyWeitz
      @LilyWeitz หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanimmana3829 hahahaha tunaona matunda kwakwe ndio maana tunaenda.niliomba nipate mume mzungu na nimepata kwenye mazabau ya mwaposa halafu unaniambia anakula pesa ☺️ ukiona mtu anaenda sehemu ujuwe kuna kitu acheni kuongea pumba zenu na roho za wivu ndio maana hamufanikiwi 🤣🤣😏

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 หลายเดือนก่อน

      @@LilyWeitz huyoo ni jini siyo mzungu ila macho yako yanaona mzungu

    • @abdulomari4932
      @abdulomari4932 หลายเดือนก่อน

      ​@@LilyWeitzEti mzungu,njaa tu

  • @user-qv4wh2pb1d
    @user-qv4wh2pb1d 2 หลายเดือนก่อน

    We fanya yako mzee kamaumeshindwa kafuge nguruwe kwenu

  • @OptunaMwinuka-gm4lv
    @OptunaMwinuka-gm4lv หลายเดือนก่อน

    Sijawahi kuona shetani akamshinda maalifa mungu

  • @hadijatwahadossa
    @hadijatwahadossa 2 หลายเดือนก่อน

    IPM uko vizuri mtume

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mtume Tena wakristo mnamambo na mtatuonyesha mambo walahi msipo silimu mtayona mengi nduguzangu

  • @melkizedck
    @melkizedck 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umesema vema

  • @bilid4128
    @bilid4128 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 huyo mwandishi wa habari maswali yake 🙌🙌🙌 "eti kondoo ukiwala wanapotea"😅😅😅

  • @nassoroyahaya821
    @nassoroyahaya821 2 หลายเดือนก่อน

    Shida uliyo nayo ndugu mtumishi ni kuamini Yesu ni Mungu na utatu mtakatifu,suala ambalo ni KUFURU

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 หลายเดือนก่อน

      Kama Muhammad alivo na miungu kibao,au unataka tutafisiri sura za kuruani yenu.

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 2 หลายเดือนก่อน

    UKO SAWA SANA SANA MUNGU WA KWELI ALIYEUMBA SAYARI ZOTE AKUPE NGUVU ZAIDI

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 2 หลายเดือนก่อน

    Disco mpaka Oman ipo na sigara mijitu inavuta sigara kali hata Tz hamna sigara hizo pombe midude fulani nilimuuna bos wangu anaweka mdomoni wanojiuza wapo sema huwezi kujua sababu wanatumia mtandao anajitanda vzr anaoka na gari yake huyo kwenye makasino anarudi asubuhi ila kama anavosema mtumishi ukiwa upo huku chini huwezi kujua haya mambo

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 หลายเดือนก่อน

    Manabii wengi wa Nigeria Matapeli na wachawi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Makanisa yanakufa😢😢

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 หลายเดือนก่อน

    Jicho la 3

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 2 หลายเดือนก่อน

    Watakuuwa wenzio wewe jifanye unasema kweli tu. Usalama wako upo hatarini wa ta ku uu waha o.

  • @isayakazimoto4826
    @isayakazimoto4826 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kama unamkubali mwamposa like apa

  • @chuleboya
    @chuleboya 2 หลายเดือนก่อน

    3:28

  • @FabianiNguvumali
    @FabianiNguvumali 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekaa pareeee

  • @nuruestomihi5781
    @nuruestomihi5781 หลายเดือนก่อน

    Nikwel kabisa umenena

  • @OptunaMwinuka-gm4lv
    @OptunaMwinuka-gm4lv หลายเดือนก่อน

    Mwanzo wa kufeli

  • @qurankareem582
    @qurankareem582 หลายเดือนก่อน

    ENYI WATU KUWENI WAISLAM HAKIKA HIYO NDIO DINI YA HAKI NA MFUNDISHO YA KWELI YASIO NA UTAPELI...

  • @HamisiSamweli
    @HamisiSamweli 2 หลายเดือนก่อน

    Umesema ukwel IPM

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanajaza watu wanawajaza matango pori kwenye ufahamu mao awashutuki

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 หลายเดือนก่อน

      Mtu aliyechukuliwa mateka hawezi kujua kama yuko mateka hasa mateka ya ufaham wa kiroho,mpaka aje aliye huruu awape Uhuru na hapo watakuwa huru kwelikweli.

  • @saidali-xv8yh
    @saidali-xv8yh 2 หลายเดือนก่อน

    Na hapo nao waliolala kwenye kristo wamepotea

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 หลายเดือนก่อน

      We ni chizi,unafikri huyu ni muddy aliyesilimisha majini?

  • @thadeimsoma7295
    @thadeimsoma7295 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa unamwambia nani?

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ndio mchungaji pekee unaekubali yesu ni mwana wa Adamu lakini waliobaki wite wanasema hapana yesu nimwana wamungu hahaaa😂😂😂kazi mnayo bado hamjasema talatibutu mtaekewa maana wengine wamedikiki kusema yesu nimungu wengine yesu ni mwanawamungu wengine nimtume wengine ni nabii wengine nimfalme wengine nisimba wayuda wengine ninyani wengine ningedele wengine nikondoo wengine ninyoka majina mtafikia mahaili mtamuita msenge 😂😂😂yote mtamuita lakini atabakia mtumetu nakiumbe kama viumbe wengine mmbalikiwe sana assalamualaikum 🙏🙏🙏🇹🇿

    • @salimramadhani5237
      @salimramadhani5237 2 หลายเดือนก่อน +2

      Umejaaa udin utasema ulimuona muhamad au yesu😂😂 dini za waarab na wazungu unakuja kutukania watanganyika wenzio,,we ni kibuyu😂

    • @zxcvbnmmkh
      @zxcvbnmmkh 2 หลายเดือนก่อน

      Waache wenye imani yao wajadili mambo yao, imani ya kikristu imeanza miaka 2000 na iliyopita uislam ni miaka 500 na kadhaa hadi sasa.Kama ni elimu ni sawa na kitoto cha shule ya msingi kubishana na mhadhiri wa chuo kikuu.
      Heshimu yasiyokuhusu usione yako ni bora yana madhaifu makubwa kuliko unavyofikiri, chuki na visasi na uuaji ndio msingi wa imani yenu, na hata pepo yenu ni ngono ndio maana mafundisho yenu yanaishia kwenye kupewa mabikra 40 wa kiarabu 😢 kwa atakayeingia mbinguni😂😂😂.
      Wenzako msingi wa imani ni upendo na amani ikiwa ni pamoja na kuheshimu mambo ya wengine, sio wote wapo wanaoeleweka kwa msingi huo. Makanisa ya familia wanatumia neno la Mungu kujipatia kipato ndio maana wanaingiza uongo kujiita mitume na nabii, ushirikina ili kuyengeneza miujiza wawapate wale wasiojitambua wawavune pesa zao. 😅😅, sasa usicheke panapovuja pa jirani yako wakati wewe huna paa kabisaaa.

    • @Rosemrope-vt5br
      @Rosemrope-vt5br หลายเดือนก่อน

      Sawa proud to be.... Msofanya makosa katika dunia hii. Nikuambie tu dini haikuingizi peponi Ila ni amali zako njema.

  • @halfanemmanuel7811
    @halfanemmanuel7811 หลายเดือนก่อน

    ALLAH AKBAR