PATANISHO : Bernard Ombogi - Mke wangu alifumania mke wa jirani nyumbani kwetu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 เม.ย. 2020
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #Patanisho #GidiNaGhost
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
First to watch and comment gongs like ukiendanga
The really characters of kisii man💪
100% for sure
Gidi respect Ghost bila Yeye hii show haiwezikuwa show
Gidi na ghost ninafurahia na kazi yenu na Mungu awabariki
Gidi achanga kutoanisha ghost live show
Ni mbaya
Yes
Amezoea aki anaboo
Amezoea.... Mm huniboo ni kama show ni yake pekee.... Wengine tuko hapo sababu ya kicheko ya ghost
That's part of the job
Gidi barikiwa sana na Mungu azidi kukuongezea maarifa idea ya #unganishow
ni mzuri sana utasaidia wengi kwaza sana
From USA watching #paranishow
Team hamam team kujiamini nadhani hamukuachwa nyuma patanisho ni stress remover
Magdalene... she's amature visionary lady...huyo Ben ni m jinga , needs to be Quarantined for fourty night....
Hakuna makosa hapo,mwanamke akienda pekee yake,arudi pekee yake watatue shida zao!
je ndoa xa kisasa
Mimi naomba kupatanishwa na Gidi na Ghost. They never reply to my comments on patanisho, sijui nilikosea wapi😕😏😔
Kunja nikuoe unakaamsupuu
@@kimwacilia8007 uko wapi nikuje
This guy is right!kama ni yy alimfukuza its another case,then the lady anastahili kuchukuliwa kwai not kwa brother yake!Hya mambo anasema ni mambo ya kuitisha mali..。aende kwa wazazi
Their is no love there! My sister move on! If u love some one.,you would do any thing for this person!!!😞
that has nothing to do with love, both have ego
Marry Jones moving on is never a solution , I guess you single too coz u seem expact in moving on
Ombogi achana na makasiriko, kiburi na madharau otherwise you've a good and straightforward wife.
Hi gidi na ghost mungu awabariki kwa kazi nzuri mnayoifanya kwakupatanisha waliokosana napia kwa show yaunganisho
Greetings gidi and ghost watching from Italy
Ati ni wewe uko na kiburi my brother
Hii Corona imechafua kila area😂😂 mpaka marriage ziko affected 😂
Ghost ameenjoy yake yote 😂 😂
I’m always the first one to watch .. Guys
Hey Slyviah
Present tu
NO 8 Leo from Saudi Arabia
Mambo uko Saudi wapi
@@marymary1059 Fiti sana.nko place inaitwa ar-ar
@@prettybabygalmichelson6557 Wow that's nice mm niko Riyadh
@@marymary1059 that's gud
Makasiriko ya corona Ombogi, ptho 😂😂 Lilian Abu dhabi
Bernard waja hasira plz kuambia mwana mke si vizuri ata kidogo
Hii ya leo ni fire😅😅😅ombongi ni arrogant🤣🤣🤣🤣 oa siz yako...venye ulimwambia aolewe na bro yake 🤣🤣🤣🤣
Ben ayuko serious na mkewe Magdalena move on, usirudi.
Mkisii ni shinda tuu aky wanaume wakisii mungu tuu ..... Me ata nashangaa yy ni mwaume mgani ....... Aiiii kuenda kwao ni shinda tena .... Ni vizuri kuenda kuelewana bt kaa wanaume ni hao wacha ikae kenya nitahama soon tuongojee corona ishe😁😁😁😁😁
Huyu Benard alifyatuka akili aki. Huyu ni hard Sana kukaa na mwanamke
OMBOGI IS RIGHT....WHAT AM I GOING TO TALK WITH YOUR BROTHER.....KAA NA BROTHER YAKO
Bernard ni roho gumu,,,, saudi team nnaskiza
Patanisho ya Leo ni more fire.
PRETTY BBYGAL MICHELSON classmate uliolewa
@@paulkaranja3099 Kwan unanjua??
looking cute jalasi
Eti akaae na brother wake Huyu Mwanaume nikichuwa gumu sana
Nilikuwa nimemiss kicheko ya Ghost
leo niko 4
Huyo Jamaa ajane na hasira ya mkisii
my brother tena😂😂😂😂😂
Ndungu anaweza simamia mzazi kama baba hayuko,kimwanamme ovyo
Mbogi ameitwa my brother 😂😂😂😂😂😂
22 number of mani today ..Kusikiza mke wamwenyewe kuja kuomba bag
That's one rule of kisii men
Talk about yourself.
💪
Hyo jamaa ni bonoko kweli😂😂😂😂😃😅acha Ghost akuchekelee kapsaa,brother yke is part of her family 😢chunga mdomo chako Ombongi saana
Hasira mingi,huyo mwanaume hawezi kaa na mwanamke,,move on my dear.
Wakisii hapana
Huyo sio mwanaume
Mtuwekee vidio
Walalala patanisho nitamu ...Wife anaita bwanake my brother 🤣🤣🤣🤣
Ameitwa my brother 😂😂😂😂😂😂😂that guy weeeh anakaa moto
Huyu anaweza kukuua kaa mbali
Leo mm wa kwanza
Hey Judy
Unataka nikupee nini
blessing akuna
@@judygacheri9303 sawa
Team Hamam
Huyu ni ndugu wa imbarambamba
Kissii hawajui kubembeleza aki.. Nani aliroga wakisii aki.. Wanaume wakisii hajui kubembeleza hata kidogo hahah
And Meru men
Huyu jamaa Ni jinga tu,
Na wewe Ombongi wacha ujinga ati aoelewe na bro wake😡😡 tiga obochinga yaa
To all ladies take time and think twice before engaging in with akisii man............
Kisii men are gentlemen,they provide but even kisii ladies are big headed not that good.
Mwanaume mkisii ni moto
Huyu mwanaume ako na madhrau kiasi gani kweli eti mwembie bro wako akutafutie bwana..Mm nitafute lakufanya
Watu wengine poh
@@RoroRoserororo Nakwambia noma
Hi
Ghost io kicheko ndio kila kitu😂😂😂😂😂😂😂
huyu n mjinga sana aende aoe dadake jinga type
Listening +961
My brothers protects me too...niguze Tu uvamiwe...any way move on gal
Omboki you are not serious surely.
Hata mimi siwezi rudiiii
Huyo jamaa ana hasira za kitoto
Our kisii brothers we love u but ile kiburi mko nayo na mapenzi amuna, makasiriko on top sasa sikia venye matako ya mwanaume inasema eti wacha ndugu yako akutafutie bwana ama uolewe na yeye...move on maggie before it's too late
Ombongi 😂😂😂 huyu jamaa kweli ,,,corona hii imeleta tatizo
Kabsa
Tuned from USA. That guy dont like the wife
The way it sounds..it was just a mistake huyo mama kupatikana kwa hao yake. BT just go for ur wife wacha kibur i
Haiya iya gidi aki siunapitianga. Wanawa wake aki twaweza.
Yale maneno ya mwisho yameharibu (ambia ndugu yako akutafutie bwana au akuoe)!!! Hasira hasara wakisii munatuangusha.
Wah gidi umejaribu kummbembeleza huyu madam but huyu mwanaume chizi kabisa
This jamaa doesn't know how to sweet talk...this type of person is a put off
Raky
🤣 🤣 Me too my brothers wanaeza nitoa mbio Sana, if you want to see your brother Inlaws true character touch your wife aki 🤣🤣🤣🤦mimi my bros hawatakagi mchezo na mimi, wacha nisaidie ghost kucheka
Ukija kwangu wawezi kutoa mbio
Most of the Kisii men are so rude,proud,unreasonable and stupidious! Marriag is all about humility and patience.
Waah umetutusi but ni sawa
@@davidotv8228 That's the painful reality...mubadilike!!!
Haya but wakisii sisi ni wazuri sana try one
Mkisii ni mkisii Kama ni hapana ni ivo
Huyu ndiye mkisii mwenyewe nakwabia
Aki ghost utaniua na hiyo kicheko🤣🤣🤣🤣licha ya corona
Omg what type is that man wacha ikae dhuuu
Ombogi hataki bb yake ujinga na kiburi inamsumbua #Burekabisa.
Makasiriko nayo
2
Huyu jamaa ameprove yale nasikia ju ya hii kabila ...don't be offended guys
Usihukumu kabila vitendo mbaya ama nzuri ni za mtu binafsi
🙌
Nimeskia ubongi akiitwa na wife bro...wacha hasira bro
Kwani ameoa bwanako hehee Wanawake kueni serious
Hubanduki
Huyu ombongi ni kichwa ngumu,hata kuongea pia ni shida.Magdalene ulivumilia kweli wah!
Benard ni jeuri ki vyake kama ana sound hivi hewani nyumbani anaishi aje ety akutafutie mme ama akuoe ...😯😯afu hiyo tune ya catholic inaitwaje tafadhali reply to me.
Ombongi anaogopa kupigwa na bro ya maggy😂😂😂
Hahaha my x alikua na kiburi kama hiyo badaye a nafikiria kurudi chini but nilikua Nisha move on
You will keep moving...
.
Wakisii yawa
Uuwiii siwezi date mkisii hii makasiriko yote siwez handle
Magdalene, wachana na hiki kimtu kina hasira sana
Brother ni kama baba ya msichana hunawenza kila kitu
Ata magďaline ni mzuri...anashika simu....ati akae na bro yake...nkt
Mwanaume mwehu hana atamaneno mazur
Nina siku zaidi ya nne siwapati kabisa naishi Kisiwani Same Kilimanjaro Tanzania. Tatizo ni nini
Kuchelewa nayo
Magda wachana na huyo..nyangalika anaeza kukuuwa ukirudi uko.
😂😂😂😂😂😂Aki Ghost Unaesa Fanya Mtu Achinyonge. 🙆🙆🙆🙆🙆🙆 Na Kutaka Kwa Unganisho show Please💪💪💪.😆😆😆😆😆😆uyu mwana Ume Nimoto Wakuotea Mbali Asipo kuja jikalie2 Kwani. Ama Angoje corona ishe Ata kama ita kaa mwaka. Bure kabisa..🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦..
Ananituzi tukienda ananituzi tukienda😆😆
Mimi wa mwisho kuwatch ama
Apana Mimi bado my dear