PATANISHO: Nilikuwa na lala kitanda moja na mke mwenza wangu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ก.พ. 2020
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Sijawai pata likes kwani nlikosea wapi😥
Dy Dy kwani like unakula 😅😅😅🙌
Hahaha haki hodali bona uulize mwezako hivio na hana ubaya anaomba liki
Peleka ujinga mbali
@@newtonnjoroge3419 mkundu ya kuku wewe
@@doreenbae866 hahaha huyo ni wewe?
Nimekuwa nikiskiza patanisho kwa radio lakini for the first time nimeiskiza hapa online.Big up radio jambo.
Nimepokea number 23 .Good morning my team kujiamini Ad Gidi na Ghost Thanks
Aki nipewe like za Team Hamam nakuchelewa😳😳😳😳😳
Aki Ghost unachoma na kicheko😏😏😏😏😏😏😏
Ata mimi kuka namke mwingine kwa nyumba moja siwezi😒😒😒😒😒
Fatma niko hapa
Pokey
Pokea yangu
Niko hapa nikiskiza hii ya kuletewa bibi wa pili kwa nyumba 🤥🤥🤥
@@mumblessed001 Poa dear
Davi anafikiria Wanja alikuwa anarudi kwake, ata haoni anatafta njia ya kupata mtoto , Wanja pembeleza hii nugu uchukue mtoto na uganyage frame, ina madharau sana, karibu team single, team kujiamini 💪💪💪💪💪
Team hamaam sikieni hii,asiye kupenda achana naye akufukazae hakwambii toka
Never ever go back wewe msichana ishi maisha yako kwingine hapaa hakuna nafasi kitanda kimoja wake wawili!!!!! Chineke oh
No 47 leo Saudi Arabia locked
Here we are💪
Love of these days ni terms and conditions tu..
You say you love each other but can’t make efforts to show us? Like seriously 🤷🏼♂️... nyinyi wote hamko serious .
Team +974 🇶🇦🇶🇦🇶🇦 pitieni hapa nimeletewa njugu, tutafune tukingojea patanisho ingine
Patanisho ni tamu
I can't dare this kind of marriage.Wanja this man is full of ego,if I were you I could not go back,work hard God gonna bless you
This guy is an idiot....wanja move on
He is really an idiot Gai wanja don't go back abeg
Ukweli
Ghost thanks for ur contribution n laughter
Dada haupendwi atakidogo 😂😂😂😂
I cant force myself pia to a man mwenye hana appetite yangu, while kuna wanaume millions kwa hii ndunia
Phifain jevic , wengi Ni fisi
To me you can ooooh
Ata mi niko apa ready to you.
Tena waboss kuliko wengine na tabia nzuri kuliko nyagarika zingine.
Kwani watu mnalala radio Jambo siwezi kua wa Kwanza aki
Hii patanisho ya 2020 watu wameamua ni kusonga mbele kama injili 😂😂😂cheeeeiiiiii
"lakini wanaume wengine ni roho black" 😅😅😅gidi you have nail it 🤣🤣🙌
Niko job nikisikiliza patanisho like 👀 👀
Davie ni zile majina ziko prohibited kwa mapenzi..kuhanya ndo zao
Co chocha....hao ndo wamebeba ukimwi i hate them...niliwai experience
This man have a lot of pride with no respect wanja u don't deserve this kind of man he even thinks he's doing right God .Wanja have some love for ur self it's like the guy doesn't care for u
Mm sikuile niliachana na baba mtoto wangu,..nilimwambia ile siku nitakayo pata shida nikukumbuke acha Mungu anipige kofi nikumbuke ili niendelee kukaa na shida zangu....siezi bembeleza mwanaume juu nko na shida mm
Kweli kabisa mm siwezi
Huo... Ndugu alifanya jambo LA kiutoto Sana na amini usiamini mungu si asumani.....
Mie hushindwa n watu ....wanakimbilia likes n comment instead ya kuadvice waliokosana
Pia mm hushangaa sana
Nowadays you upload the patanisho so fast ... kudoz, good work.
Moses Tuko ndani
moses bosire thank you
Eiiiishi☺... Ni ya jana
Wonders shall never end
Naeza skizaje radio jambo online nimetafuta sioni
Ni vizuri mume akutafute sio mke utafute mume mimi siwezi nitajua vipi napendwa
Usha sema
Weuwe hiyo ni noma
I can't force myself kwa mwanaume,my dear ebu continue with you life and stop being desperate
Haki huyo mwanaume hayuko serious,dadangu Achana na huyo davii Wa LLAHI, hakupendi move on dadaa
Mwanadada Follow your heart Huyu Mwanaume akupendi please utaumizuwa moyo wako adi Chanuka wewe
We don't force things as the man is not serious,let it go and be patient enough to wait for what you deserve,get a job even abroad & feed your kid,He will one day regret & come back or God will bless you with expected rib with rubberstamb 🙏
Ndani 😂😂@Rahab present 🙋😍
Wah!Mungu saidia doa
Ety 3 months without a kol or msg afu wwe unamtafuta back that's a big no wacha nikae bila mwanaume
Mimi siwezi this kind of man
Let it go and let God
I can't force myself to man who is not luv me ,ata kwa dawa.
Agnes Very true love uwezi lazimisha ata kwa dawa
ahk unajua vile maisha hapa inje ni ngumu afadhali 2 nirudi
Pia mimi siwezi
Agnes wanjihia , things change
@@sweetmumwake9729 aki dea
Eishi ya Jana #GiddinaGhost wekeni ya leo
Ndani Kama kawa.
Habari dio iyo
Kwa kweli mimi kaka Stella siwezi force mapenzi kwa mwanaume ambaye yuko na madharau kama huyu. Huyu hata ukirudi huko hata kupenda dadangu waja kujisumbua. Yaani mwanaume aniletee mwanamke mwingine tulale kwa kitanda kimoja then eti nirudi huko mimi kweli hata kwa dawa siweii. 🙅♀️
I had lost but am back niende niachie nani gidi and ghost👌
Wtf! Wanja kwani ni nn hauna kwa mwili huwezi fanya kazi usaidie watoi wako?? Mwanaume akutese ivo vyote, alete dem nyumbani, kitandani mwako na bado unabembeleza? My friend move on tafuta hustle achana naye gumegume huyo hakupendi.
Wanja anasema ukweri. Hata mm siwezi jirudisha huyu kijana ni very proud. Yeye diye alimwonesa matharau yawah 🤔
atajua hajui
Ya leo ni noma
Wameru jo!
Aki wanja akijirudisha atafanyiwa madharau zaidi ya Yale ya kwanza. My bby daddy used to talk like Davy, but wanafikaa mwisho inabidi wakurudie na ilhali wewe Usha move on.
Davy ni mjanja sana
Kuji force kwa mwanamume zi,
Asiyekupenda ajana naye anayekupenda pendana naye epucheza ufurahie----
Basi inamaa. ..
Waaaah siutauliwa kama mtu ameleta mwanamke mwingine ukiwa ashaa kutoa rohoni go on mummy
@@user-tb4lj6zv5p there's love and stupidity
We have men and we have Meru men.
Mimi hapana bebeleza mwanaume
Waaaaaaa Sasa unataka urudi kwa shida
No comment.
this life no balance😢😢😢😢
KAma kwa munasikia wanawake ni wazimu waluhya unilete Mwanaume mwingine kwa Nyumba yangu kitanda changu.Devi naweza kusuwaga magumi nakofi adi majirani wakuhurumie Wewe.
Eeee Yaani ningekuwa hapo mimi ndio wangejua hasira ya muluhya kama hajakula ugali😂😂😂😂
@@stargal906 Huyu unaenda jikoni kuekulea ugali Nakwambia amukini mmkule wagejuwa wajuhi
@@sweetmumwake9729 hapo ndio watajua kutofUdisha ugali na waru
Mwambie hatupendi ujinga ati kitanda moja naweza wachomea kwa hiyo nyumba .
@@stargal906 HahahAha ndio manake uwa unasema mtoto wakilhuya awezi linganishuwa na mtoto amekula waru
Kitanda moja na mke mwenza??!never aky .
Witchcraft s real how now
Uyo mwanaume ni kichwa Ngumu mimi siwesi
Women should trust in God y y y look upon men, aki help this woman
No 4 leo +90
Na ya Jana iko wapi bana GIDI????
Gidi nipe no ya wanja she sound to desperate nimlete huku gulf tuchape kazi.nowadays tunajitegemea si kungoja kungulu kama hiyo!!
Niitie hio job nifanye nilee watoi
@@lihandabeatrice712 kuja
@@lihandabeatrice712 nipe digits
@@lihandabeatrice712 uko na pasipoti tayali??
Ndio niko nayo
Wanja hakuna love hapo utateseka bure.
Mwanaume akigundua unajibembeleza kwake lol..
Acha nipambane na hali yangu 974 hiyo confidence ya kubembeleza mwanaume sina!😣😣😣
Sharing busaa ama mnazi
Watatu leo
Ya leo noma sn gidi hahaha ..mmmmh siexi kbs 🤣🤣🤣🙄🙄🙄😃😃😃
Wanaume siku hizi walahi ukimwomdokea hautawahi muona siku ingine utaona tu mabooo
Kiti na kosti haki mnatuchanganya sasa nimekimbia nisikise ya leo kumbe ni ya Jana😢
Sorry point for correction.its Gidi na
akh gidi na kicheko unanifanya nacheka sana
Wake wawili kwa kitanda kimoja hiyo nayo n kali
Huyo apelekwe mathare for checkup
@@nellynelima409 hahaaaa
This man he is not serious na life uyo mwanamke ajipe shughuli
Huyu jamaa ni Fisi na hakupendi, move fanya kazi lea watoi wako
Devi huyuko serious aki lol kitanda kimoja na mke mweza
she is a good wife
Gidi roho black ni understatement.... some men are so stonehearted.
Huyu nimujinga sana mwanaume
huyu davie fala sana
Mbona sisi warembo tucijipende 😕,mbona ujipendekeze kwa mwanaume hakutaki why why why. Aaaii may God give me a man who truly loves me when it comes for me to get married
Amen
😆 Leo nimekubaliana na gidi someone who loves can't even spend a minute without you, not to talk of weeks or months 🙆move on my sister huyo Hana haja kabisa
Waah aki siezi jipembeleza kwa mwanaume
Giddy nimekwama hapo kwa👉kujirudisha kama Gari ya car hire, no 150 likes pls
Wawawawa mrembo jipee shughuli unaghani ukijirudisha atabandilika kweli
yule alikutuma kwenu akurudisheeee ama kaa huko ntaoa mwingine
Mimi huyu ni hii miaka yangu cyoni cku nitajibembelaza kwa mwanaume
idle Kenyans won't let me comment first😢😢 any way ata mm niko idle🙆🙆hey mnanyesha ☂ uku kwa comment section..👆👆 nani amesikiza story dio aende acomment kama mm
🤣🤣🤣🤣
@@judygacheri9303 😂😂😂 nimeenda kusikiza na hakuna mtu alikuwa amecomment kitambo nirudi nimepata watu ka 40 wamecomment mbele yangu
Wanacoment alafu wanarudi kuskiza ata wewe uwe unafanya hivyo
@@judygacheri9303 hiyo ni ngumu siwez comment kama sijasikiza
🤣🤣🤣
Marriage nowadays is like take it or leave it.
Wanja she is desperate n very proud...
Ndoa zingine ni jahamu, mimi nisingerudi
Wanja MOVE on!!!!! Hustle for your kids
Hivyo hivyo ndivyo nlifanyiwa uuui the painful thing ever aki nisaidieni kuforgive x baba watoi ndivyo niweze kumove on ,8yrs now......u gal move on achana na yeye
Huyo Davy ni mjinga tu
aki ghost unachoma sana na kicheko 😂😂😂
Hajarekebisha tabia dada, alikufukuza kwa vitendo
Nothing bad like b desperate woii wanja may God help you to move on
Unampenda au ni shida
Wanja utajiowa mwenye.