Anamtafuta kwa panga tu ? mbona hajabeba hasira? kuna mikuki, marungu, magobole nk. Jacreen utajuta baada ya haya unayoyafanya. Yaani siendi police ni mimi na wewe hadi tuelewane.
So makofi no sawa?shameless violent man let him deal with his child ..she is better off without this man.men leave women with kids so it’s not nee she was left with his kid ..
Hahaha my bro wewe n mdogo wacha mungu akusaidie akutende mema utapata mtu anakupenda
Aiiiih kwani watu hulala kwa radio jambo mimi nimefikiria leo mimi wa kwanza,wapi!pthoooh
Team gulf mupo eid mubarak
angalau imeisha Mungu ni mwema
Eid Mubarak
Hii si ni repeat! Radio Jambo! hata nyinyi munaups sana!
Amtetee nini, how do you feel kukaa na mtu miaka 5 Bila kupeleka kwao, wewe ndo unafaa kumunaup
@maureenbasweti6766 Do you understand the comment ama😂😂😂
Hii PATANISHO ni ya longtime ago , lakini inafurahisha
Inabamba ...sana
Waaaah ukiwa na ujinga unaachwa 😀😂😂😄😄🤣😄 kwisha
That guy is good. the woman ni kiherehere sana...
Si you go and stay with the guy then and you will come to radio jambo haha
🤣🤣🤣🤣🤣jamaa aliachwa juu ya upuzii🤣🤣🤣🤣
Ex wangu asipite karibu yangu 🤣🤣🤣apitie mbali ju hadi.mimi naeza beba panga
Sai maisha ni ngumu, alafu hawa watu hupatana nairobi.... nairobi noma
Bwana gost uyo Donald alishatupa bahati akubali kuachika ache mwanadada amov on
Kurudia patanisho yawa popoooooo
Tangu nifwatilie hii show Gidi nimecheka kusema kweli wanaume wanalemewa sana lkn kaa mtu ako na makoza aseme kweli
Jamaa ashugulikie mtoi, 4 years nimbig
Safiri salama na maneno ujieke..
been laughing kushinda ghost apa,,..huyu Donald ...mwanaume anapenda sana pia🤣🤣🤣yeye ndio ako insecure,,ahame
That Donald is not through. He will hurt that lady and run away.
Men.. Tukubali kuachwa..
Ladies are very funny they will leave you and one day come to regret wakiona ulimove on vizuri
Not all ladies my friend
Even men do regret not only women lol.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ni repeant kafukuswi nyinyi....where are the whips🤸
Ati what🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 gidi tawe yaya
Jackie should pick the innocent kid
Never overlove a woman, they got same character ya kuacha watu.
It’s a repeat
kama hamna kitu ya kuleta patanisho mkwende na uko...mbona mnarudia clips
ukishaolewa things change,upuusi eti tangu utoto
hakuna mambo ya social hapo
Hii story walishafanya
Wee unajua tuko wangapi jiji na hatuna manyumba,ukifika 30 do utajua maisha nini, keep on
Ukiona mama mzazi alie na akili timamu ameondoka kaacha mtoto, mateso yamemfika shingo.
Na mbona uwache mtoto kwa mateso?? Njinga yeye
Mambo kwa ground ni tafauti
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Niajy unaeza iita dem yako Malaya shuarry 🤣🤣who does that
Donald alishindwa kukaa na Jacklin sa ukiachwa kubali kuachika
Ghost si unabore aki na hii kucheka
Giddy mbona husaidii watu wengine ama wewe pia unanyemelea huyo bibi ya huu jamaa?? Mbona wengine unawabembelezea mabibi yao
Inshort gidi huyo dem n cheater
Nipatie huyo Donald ako na sauti tamu.
Achika Boychild!!!!
Immaturity pia mimi siwezi tolerate.
Hii niyakitambo gidi wewe watuona maembe sana
Hahaaa Helen unanifanya NICHEKE na kweli ni yazamani
Ghost aki hunichekesha Sana
The lady has some issues with this other guy.
Nothing wrong; she’s a free girl
Unatoroka bwanako unamuacha na mtoto then you come back
Huyu musichana pia aelewe maisha
😂😂😂
Anamtafuta kwa panga tu ? mbona hajabeba hasira? kuna mikuki, marungu, magobole nk. Jacreen utajuta baada ya haya unayoyafanya. Yaani siendi police ni mimi na wewe hadi tuelewane.
Ujinga ni kitu unaweza kasirikia mtu kweli?😂😂😂😂😂😂
So makofi no sawa?shameless violent man let him deal with his child ..she is better off without this man.men leave women with kids so it’s not nee she was left with his kid ..
This man is silly and controlling
He is foolish idiotic man acting like a teenager who has been dumped by his galfriend..he sounds desperate fool!
this man is irresponsible
Huyu musichana pia aelewe maisha