ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
PATANISHO : MKE WANGU ANANISHUKU NIKO NA MPANGO WA KANDO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 มี.ค. 2021
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
Team saundi mko vipi . single piteni na like
We miss Ghost. Kumbe laughter yake ilikuwa entertainment
Rahab naomba unisikilize mwanaume sie mtu wakufatiliwa, second thing ukitaka kujenga nyumba yako funga masikio, si kila mtu ana furahia ndoa za wengine zikisimama, na hilo swala la kuchunguza bwanako acha cz utakufa na presha bure
From Riyadh KSA following
Uko hammam? 🤣🤣
@@elizabethmagu8110 Niko Hammam najiandaa ramadhani dada
@@scabero651 😄tuongeze kilo hii easter, niko riyadh pia
@@elizabethmagu8110 Wacha tu kutoka 70-100kg kwani iko nini
@@scabero651 hapo sasa
Simutoke social media to save your marriage🤔
Excately
4th 👂👂👂👂
Team hamam
Yeees
Eeh
Oya vipi
Oyeeeeh tupo Ramadhan habibi
Npeeni likes leo no 6
The couples are very petty. They should quit social media & try and mature up.
Exactly
From saudia pamoja
Ndaani
Tuko pamoja
Wa pili to comment leo
5th leo!
Wenge wko Saudi mkono juu
Some level of immaturity here, anyway all the best couples
These are big babies who are married.
Nilikosa hii ya leo
Hehehehe wah dunia ina mambo
OK nimefika missed patanisho
Bibi mwerevu kuliko Eric
Listening
Hii ya Leo No comment.
Legends cheat with no trace ... This type of men should come for classes ...we have men out here wako na mipango ya kando hadi watoto uko inje but they Are never cought ...watoto wanaonekana siku ya matanga when the man is dead.. be a man respect your wife and play your cards right
Siku za mwizi n 40
Caro kemunto watching from saudia Hawa watu wote wako na ujinga sana,
From UAE Niko ndani
Eric ni KISIAGI kweli...🤣🤣🤣🤣
Inaitwa ndoa, that's how my boyfriend ananifatilia online ,inaitwa jelousy 😃😃😃
Kuna mambo hapa ulipo mutumia picha yako na yy kwani hajui sura yako hapo siamini 👂👂
Kuna kautoto hapa kakiondoka wataishi vizuri.
Wah si mwende mkue dci official
Alaaaaah, alaaaaah, alaaaaah
waa leo mimi sisemi goooooo
Wewe rahabu ndio malaya kulingana na hilo jina. Plz kama unataka kuishi kwa amani, wachana na simu ya mwanaume ione kama kituo cha police . Anyway hii ndoa ni ya watu wajinga wote maturity hakuna
Haiyaa
Kwanzia leo wanaume wa facebook nimeinua mikono sipendi tena
🤣🤣🤣🤣 Ndo ivo
🤣🤣🤣🤣 utajua hujui...
patamu apo
Men! Men! Style up
😂😂😂😂😂naimagn life yenye nagonja nkiolewa naisha nguvu...but mtu anashida kunifuatilia uku online cpendi mimi...hii ni upuzi...kila mtu akae na simu yake na maisha yake...we are together for other reasons but not to go spying each other here on social media
Rahabu kaa kama mtu umekomaa jenga kwako uone watatokea wapi aki ukitoka tu imagine mwingine ataingia. Na hata yule mme mwingine naye ana yake utaweza kweli. This men kuna wengi wanapenda kuchart facebook coz sometimes wanapata wale wasichana wako majuu na wanawatumia doo . So mind your own business achana na ya wapita njia
Ndani pap
Gidi is it possible for you to get more time to air people's problems ? U usually hurry everyone and its disgusting
Wewe rahab wacha kuchunga mke wako
Social media balaa
Hii ya leo ni gani ...inabamba ..haibambi
Ghost missed this 🤣🤣
Niko ndani kabisa. Aky waluhya jamani 🤣🤣🤣🤣🤣
Simu ya mwanaume n kitunguu jameni
Jamani mm siwez kuvumilia nisishike!! Ila sasaa nikishika cm yake nisikute ninachokitaka pia hua nakasirika 😂😂!! Sisi wanawake bhana
Mm simu nitashika tu,, heri ulcers ziniue kuliko kaswende na ukimwi...wanaume wa siku hizi ni moto...I can't relate to a cheating hubbie or boi friend
😁 😁 😁 I naitwa Facebook
wachaneni na facebook.
Jameni do u know what's the meaning of internet surely?.Jesus christ use for it benefits plz🌞🙏🇰🇪.
This is childish 😒🙄
Uuuuuuwui ,🙄🙄🙄hii nayo Ni tricky
Ndoa n kuvumiliana, mwanaume n mwanaume 2.
Ghost leo hayuko acheke
HEHEHE,waluhya jameni, 500 girlfriends, me nlikua na 900 nikiwa barubaru
Mkale wewe 🤣
Akii wewe utaniuwa na hii 900🤣🤣
@@xjxjxnxn2673 natafuta mmoja nigonge one k, tafutia mm
@@kenyanniggar357 🤣🤣naja mwenyewe ndipo nikunyoroshee kweli kweli 🤭
@@xjxjxnxn2673 Hehehe njoo njoo mbio
Hahahahahaha ati alituma shemegi
Waaah kumbe Erick ww ndo ulianza hii mambo jamani..alfu unatumia huongo kumjunguza mkeo ww Sasa ona umeleta shida
Ghost ako wapiii asikie magumu hayo😂😂😂😂😂😂
Kumbe wanavunja kwa mikono Yao iyo ndoaa
Both of u should grow up na muwache mambo ya kujaribiana mitandaoni. Mnaweza kuvunja ndoa kwa njia ya ujinga sana. Social media ni place ya kusocialize..kujuana.
.chat..kutoa stress sio kuchunguzana..stop stalking one another.
Where is Ghost??
🤣🤣🤣 mwanaume anajifanya mjaja lkn mke ni mwerevu kumshinda...patanisho milele coz najitoa stress
Inaitwa marriage 🤣
Ndo hiyo
Habari naipata
😂😂😂😂
Hahahahahaha
Simu ya mnzee wachana nayo kabisa kama utaki kufa alaka..
Eric abadilike au abadilishwe 😂
Team Saudi wenye tumeacha mabwana Kenya tuseme nini?
Hahaha 😅😅😅😅🇹🇿
Tumewaacha wahangaike
Watu wakufuatana social media mutajiumiza bure fb ni place ya kupoteza time and make fun
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂webukhulu 😂😂😂😂bibi anatuma mtu akuje kujaribu imani yako😂😂
500 wote huyu ndiye mwanaume kabisa sasa married mko fb ya nn
Ndani kabisa
Kuchokora simu za mpensi wako,,,,ni kupokea tu alsers,,,,KILA mtu aeshimu simu ya mwenzake
The guy is just foolish
Nonsense
👂👂🤣🤣🤣🤣
This is rubbish, achana na simu na social media accounts za bwanako!!!
Your wife has trust issues with you no wonder anakupea majaribu hivyo..
Immature man keep ur marriage from social media fb ,ujinga tu.
Social media😁😁,
I can't quit social media to save relationship🤫🤫
Hii couple ni childish, ati fake account ati sijui nini. Stupidity tu
Jealous woman,nachukia sana mwanamke akiwa na immature, thats childish
From Saudi Arabia pamoja
Hapo kwa kumuambia ameoa I doubt🤣🤣🤣ati wanaweza meet🤣🤣🤣