Ameishi Msituni Kwa Miaka 5,Amekimbia Majirani Na Familia Yake,Chanzo Kazi|HADITHI YA KUSTAAJABISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Hii ni Historia Ya Mzee Anayeishi Msituni
    Kumbuka :Asili ya Video Hii Iliundwa Kwa KISWAHILI&KIFARANSA Chini Ya Afrimax Ltd,Ikimaanisha Tunamiliki Haki Yake kwa 100%,Hili Ni Toleo La Kiswahili,
    #afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda
    Usisahau Kubonyeza Alama Nyekundu (Subscribe)kisha Alama Ya Kengele ili Uwe Wa Kwanza Kupata Video Zetu AFRIMAX SWAHILI

ความคิดเห็น • 22

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 11 หลายเดือนก่อน +9

    Nipe like hapa kama umeona huyu baba anafanana na Mwijaku👇

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 11 หลายเดือนก่อน +3

    Moyo wake umejaa uchungu sana watumishi wamsaidie kiroho MUNGU atamsaidie

  • @fridahkarimi5510
    @fridahkarimi5510 9 หลายเดือนก่อน +1

    Msamaha ni uponyaji,huwa tunakosewa sana sana lakini tunazidi kusamehe na kuvumilia watu wengine.

  • @Satier47
    @Satier47 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuuuuh 😮😢😢😢

  • @davidlelo6192
    @davidlelo6192 ปีที่แล้ว +3

    Inaonekana ameumizwa sn ndani, watu wakiroho wamsaidie atapona

  • @iyabakar3612
    @iyabakar3612 8 หลายเดือนก่อน

    Afrimax i really like your stories❤

  • @jeremiahkavakule8354
    @jeremiahkavakule8354 9 หลายเดือนก่อน

    Habari ya Muchongo

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 8 หลายเดือนก่อน +1

    maamuzi sahihi kabisa baharia wa nchi kavu huyu

  • @davidlelo6192
    @davidlelo6192 ปีที่แล้ว +2

    Msaidien watu wakiroho anashida yamaumivu yandani

  • @davidlelo6192
    @davidlelo6192 ปีที่แล้ว +2

    Maumivu yandani nitatizo kubwa sn

  • @zairaisaid6389
    @zairaisaid6389 ปีที่แล้ว +1

    Ndio ilivo dunia yetu hakuna jema na kumejaa kiini macho tu apendwi mtu kinapendwa kitu chake tu

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 5 หลายเดือนก่อน

    Amejitibu kwani baadh ya familia hua inakero

  • @Veronika-tg6yz
    @Veronika-tg6yz ปีที่แล้ว

    Mmmh jmn

  • @shugunderitu8999
    @shugunderitu8999 11 หลายเดือนก่อน

    Why is afromax swahili turning of comments, in other videos

  • @tecratzmwakyambomwakyambo7243
    @tecratzmwakyambomwakyambo7243 11 หลายเดือนก่อน

    DUNIA WEWE DAHAAQQ

  • @user-wx6rv5qt2t
    @user-wx6rv5qt2t 9 หลายเดือนก่อน

    Ishu ni herufi ya mwanzo wa jina lake ni watu wenye akili,wenye huruma na wanaopenda haki but husalitiwa herufi za majina zina nguvu hapo asaidike kiroho na kimila

  • @justerkaregi8044
    @justerkaregi8044 ปีที่แล้ว

    Sasa ihi ndio maisha mazuri 😁

  • @neemamkuchu
    @neemamkuchu 11 หลายเดือนก่อน

    Ko upwiru hana duh ad raha

  • @kessikahawamango4114
    @kessikahawamango4114 11 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi ni waongo tu mtu gani ataiacha familia yake na kwenda kuishi porini kama wanyama

  • @absalomnamoyo7176
    @absalomnamoyo7176 8 หลายเดือนก่อน

    Anamapepo huyu

  • @RobertRange-uf3rf
    @RobertRange-uf3rf 17 วันที่ผ่านมา

    Sasasa huyu mtafsiri anatafsir nn wakat mwenyewe anaongea kingereza

  • @tecratzmwakyambomwakyambo7243
    @tecratzmwakyambomwakyambo7243 11 หลายเดือนก่อน

    EEE MUNGU WANGU