Mom you speak truth and from your heart,,,if you really have no problem like secrificing men’s then your blessing is on the way because a lot of woman are killing our men’s for wealth
Wanawake wenzangu huwa wananishangaaaa saaaanaaaa Naambiwa "unamatatizo gani ukose mwanaume hata boyfriend tu?? Tukikuangalia ulivyomzuri unkosaje mwanaume wakati sisi hatuna uzuri tunapendwa na wanaume" hapo ansindwa cha kusema. Nabaki kimya hata sielewi.
Pole sana mama nikweli mtoto nijicho la mama mimi watoto wangu ndo rafiki zangu wewe unae muachia mwanaume watoto niujinga sana katika dunia mama uzito wake ni watt kikubwa nikuwaombea mungu awafanye kua watt wazuri kitabia
Si kila mtu amezaliwa kuolewa/kuoa ama kuzaa ama etc... Kuna vitu vingi vya kufurahia katika huu ulimwengu...pole maa mi niko above 30 na sina mpango wa kuolewa wala kuzaa tangu nilipofahamu mapenzi si ya kila mtu.
Kuna wengi wako wenye ndoa but ni kama wako single, maana ndoa nayo hataki watu wenye udhaifu, wengi wamekua kwa ndoa wanatoka wanatfuta wengine, na sa zingine ukiangalia hayo maangaiko, wewe bayou hauko kwwnye ndoa,, ni ni busara, wengi wameuwawa na partner zao kwa saba u ya ku vumilia ndoa,
Mmmh jaman mwelew wanawake wakirund Shep hawanag Wana umbo la simba, ni wanene juu ila makalio hawanag, n ndo maan mda wt wanashom magun y vitenge n Madera y msomal, n mrundi n suluar n VT viwili tofaut, ila unisameh wifi yng ila huo ndo ukwel
Mungu anakupenda sana,pengine angekupa mume angekutesa hadi kupoteza uhai wako.faraja Yako ni uzao wako.
Pole mama ... Maisha uliyoyataka wewe hukupata watapata wanao na wajukuu🙏 Mungu ni upendo MAANA hadi leo uhai mshukuru Mungu aliyekupa uhai hadi leo🤝
Dah pole sana mama
Mom you speak truth and from your heart,,,if you really have no problem like secrificing men’s then your blessing is on the way because a lot of woman are killing our men’s for wealth
Usijali shukuru mungu
Wahanga tupo wengi. Walioturoga watakuwa walikufa.
Aaaah jamani kwl
Yaaaani
Wanawake wenzangu huwa wananishangaaaa saaaanaaaa
Naambiwa "unamatatizo gani ukose mwanaume hata boyfriend tu?? Tukikuangalia ulivyomzuri unkosaje mwanaume wakati sisi hatuna uzuri tunapendwa na wanaume" hapo ansindwa cha kusema. Nabaki kimya hata sielewi.
Pole sana mama nikweli mtoto nijicho la mama mimi watoto wangu ndo rafiki zangu wewe unae muachia mwanaume watoto niujinga sana katika dunia mama uzito wake ni watt kikubwa nikuwaombea mungu awafanye kua watt wazuri kitabia
Usijali mamangu mungu yupo pamoja nawewe zidi kumuoba mungu tuu
Pole Sana mam wengi tumepat changamoto mungu atakusaidia❤❤
Waaaah pole sana mum
Yote yana Mungu mkuu. Amen.
Imaniliho muvyеy wanjе rеka kulila🙏🙏🙏🙆
Pole dada MWENYEZI MUNGU akuongeze.kwani hehe ndiyo kimbilio
Yeah never giv up
Poleni sana kwa hili
Kwani. Kuolewa lazima😂 ishi pekeyako usubiri wajukuu
Wanawake wengi wakiwa na kipato basi ngumu sana kujishusha kwa mwanaume
Usijali mamangu hata mimi niko ivyo 😢 ukimwi tu ndio sina
Unamiaka mingap Mimi kamahuna ukimwi nakuoa
@@PaulMashauri-g2u😂😂😂
Kam mtu unapenda siununue mapenz wenzen hating vyote
@@PaulMashauri-g2ukwani akiwa na ukimwi uezi oa 😂😂😂😂dawa tu akimeza awezi kukuambukiza
Nahitaji nikuone
Oya wahuni mshangazi huyo Sasa
Nyie mapenzi Ni muhimu!ambao hatuna wapenzi tisijipe moyo!mapenzi muhimu,kupendwa raha bhana!
Si kila mtu amezaliwa kuolewa/kuoa ama kuzaa ama etc...
Kuna vitu vingi vya kufurahia katika huu ulimwengu...pole maa mi niko above 30 na sina mpango wa kuolewa wala kuzaa tangu nilipofahamu mapenzi si ya kila mtu.
Duuu na ukimwi tena
Kuna wengi wako wenye ndoa but ni kama wako single, maana ndoa nayo hataki watu wenye udhaifu, wengi wamekua kwa ndoa wanatoka wanatfuta wengine, na sa zingine ukiangalia hayo maangaiko, wewe bayou hauko kwwnye ndoa,, ni ni busara, wengi wameuwawa na partner zao kwa saba u ya ku vumilia ndoa,
Umeshakuwa mbibi sasa. Mwanaume wa nini tena. Kwanza una watoto. Mpaka umepata ukimwi, umekula denda sana. Malizia umri wako. Mpaka Ukahaba! Duh!
Mmmmmm
Okoka dada Yesu awe mfariji wako na akuongoze katlka maisha yako
Amen
Ukiwa na pesa mume wanini kwanza
Wala sio jambo la kujiukiza.
Ata 60yrs unaeza lata but heri ungefanyiwa deliverance 😮
Una ukweli wa kiasi gani au umeshafanikiwa kumpata mwenza wako au bado ????
Mimi nipo tayari kumuoa
😢tafuta pesa
@@TatuMtumbukakuoa ni ibada kwani ukioa pesa hutafuti?
Hii ndo namba yangu nitumie ujumbe wtsup
Mimi nipo aje
Umfate yeye huko aliko
Be my wife
Mnene sana kama gunia ataolewa na nani hayuko kwenye shape zao za kitusi huwa hawawi wanene kama hivyo
Magge ctaki uchokoxi,mbavu xangu utaxishika.
Usimseme hivyo Munngu anaweza kubadilisha Jambo wakat wowote na ukawa wewe
Muogope mungu kama hujafa hujaumbika na yeye hajajiumba wala hajaomba kua hivo

Her number