Maisha Ya mwanamke Mmoja Alieolewa Na Wanaume Watatu|UTASHANGAA NAMNA WANAVYOISHI CHUMBA KIMOJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Hii ni Historia Ya Mwanamke Alieolewa Na Wanaume Watatu
    Kumbuka :Asili ya Video Hii Iliundwa Kwa KISWAHILI&KIFARANSA Chini Ya Afrimax Ltd,Ikimaanisha Tunamiliki Haki Yake kwa 100%,Hili Ni Toleo La Kiswahili,
    #afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda
    Usisahau Kubonyeza Alama Nyekundu (Subscribe)kisha Alama Ya Kengele ili Uwe Wa Kwanza Kupata Video Zetu AFRIMAX SWAHILI

ความคิดเห็น • 145

  • @esthermbilinyi3452
    @esthermbilinyi3452 ปีที่แล้ว +13

    Ni shida tu ... Hakuna mapenzi Hapo, Mungu awape nuru mjitambue

  • @OmbeniMlelwa
    @OmbeniMlelwa 11 หลายเดือนก่อน +16

    Hao nivibenteni wanafurahia kuhudumiwa na mwanamke

  • @vss-du8ne
    @vss-du8ne 6 หลายเดือนก่อน

    Waaaaa

  • @fakihassan9021
    @fakihassan9021 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanamke uyo shetani

  • @magdalenasimon1910
    @magdalenasimon1910 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sioni ajabu kama mwanamke mmoja anaweza kudanga na wanaume wa 5 Kwa cku moja je Kwa mwezi amedanga na wangapi bora huyo amfanya maamuzi sahihi hongera zako dada

    • @Dafetty
      @Dafetty 6 หลายเดือนก่อน

      Mmh

    • @julianamaganga4803
      @julianamaganga4803 6 หลายเดือนก่อน

      Very fun😂😂😂

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂unamawazo ya mbali kweli Bora huyu anawajua kabisa 😂😂😂😂hatar jaman

  • @laizerlusiana9215
    @laizerlusiana9215 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu aturehemu,,,,dalili za kurudi kwa Yesu Kristo

  • @leilasarai
    @leilasarai 9 หลายเดือนก่อน +1

    Na sasa mmoja wao akipata ukimwi si wote wataangamia😢end times😢😢

  • @Chance-x3m
    @Chance-x3m 15 วันที่ผ่านมา

    Awoooo wanaume wamerorwa

  • @GraceMaloba-o7l
    @GraceMaloba-o7l 5 หลายเดือนก่อน

    Waaaaaaaah

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 ปีที่แล้ว +3

    Uwo mama frimasoni

  • @janeelisha4460
    @janeelisha4460 6 หลายเดือนก่อน

    Mwogopeni mungu

  • @Rajabkichirchir
    @Rajabkichirchir 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo ni sawa kabisa

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว +3

    Wah anatupu ya kuchezeya weh mimi huyo mumoja tu ni kipenqele wanamtakiya hiyo pesa yk

  • @melissamutio4392
    @melissamutio4392 5 หลายเดือนก่อน

    Maajabu ya musa

  • @blackwarrior-animations593
    @blackwarrior-animations593 ปีที่แล้ว +1

    Ushetani 😮

  • @EsterPaul-jt5im
    @EsterPaul-jt5im 23 วันที่ผ่านมา

    Mimi siamini

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bombanda!

    • @UldaLeonard
      @UldaLeonard 10 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mapenzi hapo, nyote mnafata pesa za uyo mwanamke t

  • @Alexsaidkapunga
    @Alexsaidkapunga 5 หลายเดือนก่อน

    Umalaya uwo dunia simama mungu tusaidie

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز 6 หลายเดือนก่อน

    Waaaaaaaaah 🤔😮😢

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 9 หลายเดือนก่อน +7

    Wameolewa kwa dini gani sasa kama sio ushetwani😢

    • @leilasarai
      @leilasarai 9 หลายเดือนก่อน

      Swali langu pia

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 9 หลายเดือนก่อน

      @@leilasarai Hawajielewi ao

    • @JohnSulle-q6p
      @JohnSulle-q6p 9 หลายเดือนก่อน

      Uislam unaruhusu kuoa kwingi na kuolewa kwingi Yani kudanga

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 9 หลายเดือนก่อน

      @@JohnSulle-q6p sijakuelewa ulicho maanisha

    • @MWIGAADAM-r3e
      @MWIGAADAM-r3e 5 หลายเดือนก่อน

      Sio kwli uislam unaruhusu mwanamme mmoja kuowa wanawake wanna ila sio mwanammke mmoja kuolewa na wanaume wawili,watatu ama wanne sio kwl​@@JohnSulle-q6p

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 10 หลายเดือนก่อน +5

    Akipata mimba atajuaje kuwa huyu mtoto ni wa Hassan ao jimmy 😢

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂wa kwanza ndo mwenye mtoto

  • @EmmanuelRaphael-vl6lh
    @EmmanuelRaphael-vl6lh 4 หลายเดือนก่อน

    Dunia ina mambo kweli

  • @ShamiraMyinga-zr4ke
    @ShamiraMyinga-zr4ke 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh na wakongo wanavyopenda kulelewa😊😅 woii

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 ปีที่แล้ว +4

    Ww hakuna dini iloruhusu ujafu huu😢

  • @VioletNyanchama-ge9nt
    @VioletNyanchama-ge9nt 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huu n mwisho wa dunia,ak , tuombe sana guys.

    • @Dafetty
      @Dafetty 6 หลายเดือนก่อน

      Sikupingi 😂😂😂

  • @MWIGAADAM-r3e
    @MWIGAADAM-r3e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaongea kiswahili si ungeliziacha saut zao tukawasikia kwasaut zao wenyew?unatutafsiria kiswahili

  • @SharifaAli-l2q
    @SharifaAli-l2q 10 หลายเดือนก่อน +1

    Fanyeni kazi wanaume msipende kulelewa yaan yote ni njaa ndiomana mnazalilika

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 7 หลายเดือนก่อน

    UDHAIFU ||

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 4 หลายเดือนก่อน

    انا لله وانا إليه راجعون

  • @okko-le8sy
    @okko-le8sy 5 หลายเดือนก่อน

    haya nimaajambu shetani akokazini wakrito tuombe sana🙏

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo ni congo kuna mwingine alioa ndugu watatu

  • @avelinafurahaoisso5491
    @avelinafurahaoisso5491 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh haya mie nishuke safari nimeshindwa

    • @hamisaally968
      @hamisaally968 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 ushuke wapiii weweee tumalizee safariiii😂😂

    • @avelinafurahaoisso5491
      @avelinafurahaoisso5491 10 หลายเดือนก่อน

      Acha tu huko tunakupenda sitawezana kabisaa

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@avelinafurahaoisso5491😂😂😂😂nauli hujalipa lipa kwanza

  • @AihmAli-d8x
    @AihmAli-d8x 5 หลายเดือนก่อน

    Njaa mbaya

    • @hamisaLbsi
      @hamisaLbsi 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @HellenMendard
    @HellenMendard 5 หลายเดือนก่อน +1

    Munapenda tuu kulelewa ,tafuteni chakufanya acheni ushetani

  • @sizyathom-qq5cx
    @sizyathom-qq5cx 5 หลายเดือนก่อน +2

    Niushetani kabisa

  • @bantkmaca5756
    @bantkmaca5756 6 หลายเดือนก่อน +1

    Anapima mizigo mitati

  • @Gracemwasenga
    @Gracemwasenga ปีที่แล้ว +2

    Kweli dunia IPO ukingon

  • @damariskemuntoorina6018
    @damariskemuntoorina6018 6 หลายเดือนก่อน

    Hawa hawako sawa.chuki iko ni vile hawajui

  • @hamisaally968
    @hamisaally968 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hapoo pesaa tuu amna lingineee

    • @Dafetty
      @Dafetty 6 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @ZeyanaKhamis-if7lf
    @ZeyanaKhamis-if7lf 6 หลายเดือนก่อน

    Mthn umewahikusikia wp hayo nilanatu😢

  • @ZeyanaKhamis-if7lf
    @ZeyanaKhamis-if7lf 6 หลายเดือนก่อน

    Mthn umewahikusikia wp hayo nilanatu

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 5 หลายเดือนก่อน

    Laana hii

  • @MchinaSeme
    @MchinaSeme 6 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh pesa sabun ya roho angekuwa maskin msingeeenda

  • @ZeyanaKhamis-if7lf
    @ZeyanaKhamis-if7lf 6 หลายเดือนก่อน

    Hawajielewi hao

  • @RacherBakari-qh2gx
    @RacherBakari-qh2gx 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe vibenten

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mchawi huyu ushetwani

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh musiba walah

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 5 หลายเดือนก่อน

    No comments

  • @IzkiOamn
    @IzkiOamn 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂dunia simama nishuke mie

    • @Dafetty
      @Dafetty 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂utasimama wew

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nimashoga hao jamaa

  • @FirdausKhalifa-c3j
    @FirdausKhalifa-c3j 5 หลายเดือนก่อน

    Jimi ana dalili za ushoga

  • @julianamaganga4803
    @julianamaganga4803 6 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanaume wanaridhishwa kweli

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 5 หลายเดือนก่อน

      Na hao wanaume itakuwa ni mashoga wangekuwa wanamkoleza kwel asingepat nguvu ya kuongea

  • @vss-du8ne
    @vss-du8ne 6 หลายเดือนก่อน

    Dunia ina mambo

  • @DignaNgano-dr3im
    @DignaNgano-dr3im 5 หลายเดือนก่อน

    Ooooh God up mess😂😂

  • @saidkasonta3174
    @saidkasonta3174 5 หลายเดือนก่อน

    Uvivu na uzembe wa vijana! Hela ndo zinawaweka hapo!! Akiishiwa huyo mama wote wanamkimbia!!

  • @MaisaraMasoud
    @MaisaraMasoud 5 หลายเดือนก่อน

    Mtauana kwa maradhi mwana make hatakiwi kua na mwanaume zaidi ya mmoja haifai kiafiya

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 5 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢😢ila inaruhusiwa Kwa mwanaume kiafya anafanya diet

  • @damariskemuntoorina6018
    @damariskemuntoorina6018 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa atajue babake ni mtoto ni mgani coz wote wanamtumia😮 oo ooh 😮😮

  • @elizabethamon2801
    @elizabethamon2801 10 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu mama Malaya mmmh

  • @musakaphu4581
    @musakaphu4581 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kama ikitokea ni vijana wakicongo basi si maajabu hawa mavijanaa wavivu halafu wanapenda maisha rahisi mno mtwapa na shanzu Kenya wapo kibao ..atamwanamke aseme anaukimwi hawajali bora analelewa

    • @turibamweali8661
      @turibamweali8661 9 หลายเดือนก่อน

      Anawafunga kama ngombe siyo wawume zake !

    • @MchinaSeme
      @MchinaSeme 6 หลายเดือนก่อน

      Ahahahaaa bora afe na ngoma eee

  • @EmmyUliriki-mi6vp
    @EmmyUliriki-mi6vp 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU atusaidie

  • @MaggyA-zf9db
    @MaggyA-zf9db 6 หลายเดือนก่อน

    Hao wanaume hawafikilii then huyo mwanamke ayuko lonely ❤no love there

  • @BinPlatnumz
    @BinPlatnumz 9 หลายเดือนก่อน

    Duh😂😂😂

  • @alibachirofficial3939
    @alibachirofficial3939 11 หลายเดือนก่อน +2

    Umalaya😂😂

    • @leilasarai
      @leilasarai 9 หลายเดือนก่อน

      Wa hali ya juu

  • @Nettyachieng9
    @Nettyachieng9 6 หลายเดือนก่อน

    Sijawai ona haya

  • @leonardyona1462
    @leonardyona1462 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa wasenge wote hawataki kazi. Acha sehemu zao za siri zitumike kufurahisha mwanamke kahaba kubabababeki..

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 7 หลายเดือนก่อน

    WANAMTOMBA JUU JUU TU, AKUTANE NA WANYABI AONE SHOW

    • @julianamaganga4803
      @julianamaganga4803 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 5 หลายเดือนก่อน

      Umeona😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AbdallaJuma-j4r
    @AbdallaJuma-j4r 5 หลายเดือนก่อน

    Kitonga icho

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 6 หลายเดือนก่อน

    huyo mmama ni mason wasubili nao watapigia wapi mmoja baada ya mmoja😂😂

  • @dausibhalo2816
    @dausibhalo2816 5 หลายเดือนก่อน

    Ni starehe hiyo nikiwashasha

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 5 หลายเดือนก่อน

    Hayo ni maigizo tu hakuna kitu kama hicho

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣🤣 pokede

  • @shamimuleslie1703
    @shamimuleslie1703 6 หลายเดือนก่อน

    Msiba mzito inalillah wainalillah rajiun

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu a n apata therapy kupitia hao wanaume😢

  • @NeemaSamwel-bn1oh
    @NeemaSamwel-bn1oh 5 หลายเดือนก่อน

    Watoto wake wanajifunza nini kupitia yeye??

  • @turibamweali8661
    @turibamweali8661 9 หลายเดือนก่อน

    Angekuwa maskini angewapata ? Ili jambo ni ufugaji siyo unyumba ! Anawafunga kama ngombe !

  • @muthonimwajesu4664
    @muthonimwajesu4664 5 หลายเดือนก่อน

    Staki Bangi Mimi

  • @DJEXWEEZ
    @DJEXWEEZ 9 หลายเดือนก่อน

    Wanaume bwege hao 😅

    • @Gerald-hq5km
      @Gerald-hq5km 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mimba ikiingia haijulikan y nani😅

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 9 หลายเดือนก่อน

    Mhmhmh basi niwafanyakazi

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 5 หลายเดือนก่อน

    Hawana dini hawa

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂itakiwa Huwa hawamkolez vizurasingetaman hata mmoja watakuwa mashoga wanachezeana tu😅😅😅😅😅

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo 5 หลายเดือนก่อน

    iyo ni shirki mashart😂😂😂😂😂

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน

    Ponography hiyo😢.Ukimwi ukizoka ni balaa..Wanamtumia ti kwa vile ana hela.Malaya huyo.

  • @RacherBakari-qh2gx
    @RacherBakari-qh2gx 10 หลายเดือนก่อน

    Jitaidini mikazo TU wakaka

  • @Jacklinjohn-cr4vs
    @Jacklinjohn-cr4vs 7 หลายเดือนก่อน

    Wakamuua mume mmetekwa

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 5 หลายเดือนก่อน

    Hao wamefuata pesa tuu hao

  • @BeatrecLwekela-ek8uj
    @BeatrecLwekela-ek8uj 8 หลายเดือนก่อน

    Makubwa

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 5 หลายเดือนก่อน

    Uyu mwenye madevu bona kama hana mawazo

  • @lynnewaskasiaka
    @lynnewaskasiaka 10 หลายเดือนก่อน +1

    She is the reason we aint finding husbands.eish!!

    • @Nelly25439
      @Nelly25439 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 5 หลายเดือนก่อน

    Bado

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 6 หลายเดือนก่อน

    Uchawi ushilikina mapepo ya uashelati vyote vinahusika

  • @Musenangu001
    @Musenangu001 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ni mafala tu

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 หลายเดือนก่อน

    Sugar mama

  • @Lumambitv
    @Lumambitv ปีที่แล้ว +1

    Iki tokea mimba ita kuwa nia nani😅

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 5 หลายเดือนก่อน

      Wakwanza ndo mwenye mimba

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 6 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wavivu hawataki jasho wanaishia aibu ya kuolewa mitala

  • @DaudSimon-yi6kx
    @DaudSimon-yi6kx 6 หลายเดือนก่อน

    Niwapumbav wote

  • @lwanjiedna5233
    @lwanjiedna5233 5 หลายเดือนก่อน

    Kuna ushirikina

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 ปีที่แล้ว +1

    Astaghafiru llah

  • @AishaMaganga-vd1jg
    @AishaMaganga-vd1jg 10 หลายเดือนก่อน

    Sasa huyu mwanamke sehem zake zasiri zikosalama kwer? Makubwa.

    • @iddipazi5142
      @iddipazi5142 9 หลายเดือนก่อน

      Mmmmh

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂zitakuwa salama kama wanaojiuza wanatembea na wanadunda na Kila siku wapo mzigon wanapata wateja watano au sita jaman Wanawake wanaroho ngumu baadhi duuuuu😂😂😂😂😂🎉🎉

  • @vincej9275
    @vincej9275 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume hawa ni bure, ovyo kabisa. Nonsense !

  • @delishabeaut3366
    @delishabeaut3366 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu mwanamuke amewashikia madawa ama wako hapa sababu ya pesa siyo mapenzi