Nimekupenda bure kaka mungu akulinde wewe ni handsome ❤ smart baba, unajitambua Sana hata kuliko Hawa wenye viungo vyote na Wana vipato lkn hawalei watoto umenibariki Sana kaka
Pole sana kaka binadamu hujafa hujaumbika akusaidie mapito yote unayo pitia magumu hata huyo dad hana hata huluma na mtoto wake ukizingatia wew ni mlemavu dunia hii usilinge kujiona mzuri mungu akiamua sikumoja to unabadilika
Mh mama samia nikuombe msaidie huyu ndg yetu najua wapo wengi washida hiz ila kwasababu kupitia midia hii ameonekana msadie kz yakudumu ili alee familia yke
Ama kweli mungu alikupa kile a hukumpa na mwendo pole Sana bc sisi Wana wake tupo wengi motoni yani muachiye mwenziyo mtt c heri unge ondoka tu na mtt ukamucha pekee
POLE SANA KAKA MPAMBANAJI NIMEKUPENDA KWA USIVYOJIKATIA TAMAA. OMBI HUYU ASAIDIWE NYUMBA NA MTAJI ANANAONEKANA ANAWEZA KMUDU NA SERIKALI IMSAMEHE MAMBO YA KODI OLI AWEZE KULEA NA MTOTO WSKE. NS AFRIMAX MNGEWEKA NAMBA YA WATU KUMSAIDIA CHOCHOTE.
Kuachana ni matokeo ila kukuachia mtt hapana kabisa tena mdogo iyo inauma sn tena sn iyo haikubaliki hata kidogo sizani kama uko aliko anakaa na amani kama hana pepo pole sn mpendwa.
Huyo mwalimu mkuu Mungu anamuona, ingekua mtoto wake, asingemsomesha? Kwa nini amkatae? Badala yake angeenda hata wilayani, huyu mtu apatiwe baiskeli ya kuendea shule.?😢
Ili Kuwasiliana Nae
+255625102529 Jerry
Mungu akulinde aki ndugu usife moyo ❤️❤️💓💓 Mungu yuko 🙏🙏 yuko na wewe kaka tuna kupenda sana nime lia 😭😭😭 sana aki
pole sana jamaa mungu atakusaidia kukupa wepesi wa rizki
Pole sana kaka Mungu atimize kila hitaji lako
Pole sana kaka mungu akupe afya njema na mtoto pia mpate maisha marefu🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Wewe ni wathaman sana mbele za Mungu ana njia elfu za kukusaidia zidi kumuomba nasi tutakuombea,usikate tamaa Mungu yupo
Nimekupenda bure kaka mungu akulinde wewe ni handsome ❤ smart baba, unajitambua Sana hata kuliko Hawa wenye viungo vyote na Wana vipato lkn hawalei watoto umenibariki Sana kaka
Pole sana son kuna Mungu atakujali
Akuowe bs
Sawa dunia
@@OraionSabibi Sasa tulete mahar au
Pole sana ndugu yangu
Pole mwanangu mungu atakusaidia hakuna linakoshindikana kwamungu mbn walemavu tunaweza tu ondoa shaka
Mungu akusaidie kaka
Pole sana broo never give up.GOG bless
Pole sana allah akufanyie wepes
ujafa ujaumbika ndug yng pole sana kwa yale yaliyo kukuta
Pole sana nashindwa hat cha kisem
Pole sana kaka binadamu hujafa hujaumbika akusaidie mapito yote unayo pitia magumu hata huyo dad hana hata huluma na mtoto wake ukizingatia wew ni mlemavu dunia hii usilinge kujiona mzuri mungu akiamua sikumoja to unabadilika
Afrimax munasaidia mola awazidishie nawapenda mana hamchagui nchi kabila wala dini,hongereni
Pole sana kaka Mungu akusaidie kaka natamani sana nikusaidiye kaka
Pole sa n a kaka.Usikate tamaa.Ubarikiwe kaka.
Mungu atamkuza mtt wako. Atakua mtt mwema kwako na kwa jamii nzima. Na atakuangalia kwa hali na mali.
Ni Bukoba sehemu gani. Nambaye ya simu tafadhali
Pole sana
Pole sana mdogo wng. Mimi ningekua karibu yako. Ningekupokea mtt kumlea.
Ana hitaji msaada sana kama waweza kumpokea mtoto fanya hivyo haija lishi upo wapi
Pole sana kaka mungu yupo pamoja nawe
Pole sana jaman ww hakika ni baba bora sana
Mungu mwenye huruma akutie nguvu pole sana mwangu
😢😢😢😢 masikini pole sana kaka mwenyezi mungu atakufanyia wepes
Mungu atakusaidia utashinda zaidiys kushinda
Duuh inamuuma san pole kaka mungu akupe wepes kwa kila jambo
Pole sana kaka mungu akufanyie wepes jmn katika mitihan unayopitia kaka ang mungu ni mwema usiache kumuomba mungu jmn
Pole tu kwa mambo unayo pitia so ningependa kujua upo maeneo gani
Pole sana bro
Pole sana wanyumbani
Pole sana mungu atakusaidia
Pole sana kaka yangu
Pole sana bro may God bless you
Mungu baba yetu sisi sote ukushulikie na kukufariji .
Dah pole San kaka kila kitu mipang ya mung
Pole sana kaka yangu Mungu
Nakuombea kwa mungu baba azidi kukulinda ww na mwanao amina
Pole sana Allah Kareem
Pole saana kakaangu😢😢
Mungu ni mwema atakupea njia kwakweli
Pole kaka
Pole kak Mungu hatakupiganiaa
Pole sana ndugu yangu
Mungu ni mwema ataendelea kukulinda na kukupa nguvu.
Angekuwa dar ningemsaidia kaz
Hata.mim angekuw dar ningempa ma kazi wallah had huruma
@@omanoman2044namba ipo mpgieni mumwambie
Kwa sasa niko mbali ila huyu kijana nimempenda sana
Aise pole sana Kaka😢
😢😢 pole sana kaka🥺🫂🙏God above all
Mh mama samia nikuombe msaidie huyu ndg yetu najua wapo wengi washida hiz ila kwasababu kupitia midia hii ameonekana msadie kz yakudumu ili alee familia yke
Mungu unajua wewe hakuna ajuaye kesho pole kaka upo kwa maksudi ya Mungu tu.
Upo sahihi ndugu
Pole sana
Afrimax hakika hatuna Cha kuwalipa ila malipo yenu mtayakuta kwa mola muumba amin
Mungu akutiye nguvu kaka
Pole dear jamani ningekuwa na uwezo ningekununulia kiti cha waremavu kingekusaidia
Ama kweli mungu alikupa kile a hukumpa na mwendo pole Sana bc sisi Wana wake tupo wengi motoni yani muachiye mwenziyo mtt c heri unge ondoka tu na mtt ukamucha pekee
He is very smart
Pele sana kaka yangu
Huyo mwanamke mungu atamlaan
Daah kwel hujafa hujaumbika pole jaman 😢
Mungu ni mwema huyo mke arudi hana huruma hata kwa mwanae
Yaani ni anajitambua sana.
POLE SANA KAKA MPAMBANAJI NIMEKUPENDA KWA USIVYOJIKATIA TAMAA. OMBI HUYU ASAIDIWE NYUMBA NA MTAJI ANANAONEKANA ANAWEZA KMUDU NA SERIKALI IMSAMEHE MAMBO YA KODI OLI AWEZE KULEA NA MTOTO WSKE. NS AFRIMAX MNGEWEKA NAMBA YA WATU KUMSAIDIA CHOCHOTE.
Pole sana kaka Mungu ni mwema atazidi kukubariki,naomba namba yake
Jina Lake Jerry.
Naomba piya namba yake jamani
Daaah mungu wewe nimkuu hakuna wakufananishwa na wewe 😢😢
Daah watu Wana roho mbaya sana sasa kukuachia mtoto ndio nini
HUYO MAMA MJINGA SANA JAMA I TUMSAIDIE HUYU KIJANA. MAMA SAMIA WATU KM HAWA NI WAKUWASAIDIA.AJALINI BAHATIMBAYA YEYOTE ANAWEZA KUPATA
Pole sana ndio mambo ya dunia ila 2ma namba ya sm tujue vya kuwasiliana
Mungu wangu kumbe bukoba angekuw dar ningemsaidia pakukaa sijui tumsaidie vip
Jamani mi nipo tayali aniowe Ila mi nipo na watoto wawili nipo tayali
Umeongea kutoka moyoni au ilmradi tu umeongea
@@lyidiajuakaly3335 Bora umemuliza Maa asije mzidishia changamoto😅
Asaidiwe jamani apate mtaji miguu
Mkiona nyimbo nyingi ni za kumsifu mama zinauzito ndan yake mungu akulinde sana kaka yangu
Mungu wangu milion 5 duuh hawa wabab wasiku hizi duuh
Asaidiwe miguu na mkono anabidii sana😭😭😭😭
Pole sana kaka tunaomba no yake ya cm
Mungu atakusaidia hivyo hivyo na huo ulemavu
😢😢😢😢😢😢😢duu inauma emungu msaidie huu baba yarabii
Huzuni kwa kweli Mungu tu🤲
Mungu atakulaani
Viongozi wa KAGERA wanaweza kumpa na bajaji
Pole Sana Mwanangu Mungu Ni Mwema sana.atakusaidia Kupata Msaada Mungu Atakujali
Kuachana ni matokeo ila kukuachia mtt hapana kabisa tena mdogo iyo inauma sn tena sn iyo haikubaliki hata kidogo sizani kama uko aliko anakaa na amani kama hana pepo pole sn mpendwa.
MUNGU akuinue mpaka washangae
Duuh inasikitisha sana
Jitie nguvu kaka usife moyo mungu hatakuacha huyo Mototo atakua furaha yako badaaye
Mungu atakusaidia ana kusudi na wewe
Napiga simu afrimax wananikatiya hawataki maongez hii inamaanisha nini au ni masiala
😢😢😢😢😢Mungu yuko upande wako wewe na mtoto🙏
Huyo mwalimu mkuu Mungu anamuona, ingekua mtoto wake, asingemsomesha?
Kwa nini amkatae? Badala yake angeenda hata wilayani, huyu mtu apatiwe baiskeli ya kuendea shule.?😢
Wewe mwenye Jina linaanzia na herufi y unasema acnilikimbiwe sura hana 🎉e🎉🎉😢😢😢😢😢😢
😭😭😭😭😭😭
Watu kama Hawa ndo serikali ingewaangalia sio kununua Magoli tu
Ekeni nambari za cm tuweze kumpa chochote
Namba sizipo apo juu
kiukweri unajitambua utapiga hatua sn Mungu atoe wasamalia wema wakuone
Sasa mbona hajatoa namba ya kumchangia ,waandishi vip
Ivi uyo mwnamke ana akili kweli jmn kaa ss unamkimbia mtu km uyu na wttunafikilia nn
Na huyo malaika ndiye atakayekutunza katika maisha yako.
WEWE UNAYEWABAGUA HAO WALEMAVU KUMBUKA KUWA HUYU KIJANA HAKUPENDA ULEMAVU ILA NI AJALI TUU. NA WEWE MWALIMU ULIKOSEA SANA. KUMSEMA VIBAYA HUYO KIJANA.
Raisi wetuy wa TZ KWA UJUMLA WW NI MAM MWENYE HURUMA HEBU ANGAZIA MIKOAN MUNGU WANGU
Mama mtoto ana roho. Ngumu
Masikin kbla hujafa hujaumbika