HAWA NDIO MASTAA WALIOPENDEZA KULIKO WOTE KWENYE SHEREHE YA HAJI MANARA NA ZAILISA.UTAWAPENDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2024

ความคิดเห็น • 66

  • @Mery-st4nu

    Ila nandy aibu hiyo nguo pekeake ndo kavaa uchiii

  • @JudithKigalu-ue3in

    Much love paula katoto kanapendeza ❤❤❤

  • @Morejay744

    Yani we dada nakupenda San unavotangaza unaweza unaweza mpaka unaweza tena Yani mtu adi una enjoy kukusikiliza tu aseee nikupe mauwa yako dada yetu lakini sijamuona wema😊

  • @user-ck9pt2ct9c

    Wame pendez ote kbs ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @salimmbarak2825

    Acha milioni mia 4 hata milioni 4 halifiki acheni uongo...acheni masihara nyinyi usanii mpk ktk maisha km wanasiasa kwa uongo

  • @Mundi-oz7os

    Gauni ya milioni 400/=😢😢 Bei ya nyumba ya Mwijaku 😊😊

  • @josephinerajabu8657

    Kwenye makucha nimeelewa hamisa msaf

  • @vincentmushi1247

    Gauni la M 4😂😂😂wee miso misondo umepigaje hapo...

  • @devothadennisduba7648

    Aunty Ezekiel ❤🎉nimeipenda nguo yake jmn

  • @khadjamhozya

    Kajaraa❤❤❤❤

  • @user-bo6jj4eo1q

    Nandy kapendeza jmn❤❤

  • @GraceJaphet-fr4jt

    Bado mzazi wapi ajapendeza kavaa uchiii

  • @lydiamsheri4095

    Mbona mnapenda uongo jamaniiiii?gauni m400? Nyieeee

  • @user-pf4vx5ep2v

    Nandy kapendeza❤

  • @user-ko6yp3sv9k

    Nandy ndo kawauwa❤❤❤❤

  • @khadjamhozya

    Nandy bado mzazi myaka zaidi ya 2🤣🤣🤣🤣 hana rorote

  • @roqayaro9439

    Jamani wamependeza sema sijamuona wema sijamuona wolper

  • @GraceAmosi-vo4oy

    Kwaiyo ilo gauni Lina shindwa bei ya gar 😂😂😂

  • @KhadijaMhenangu

    Mmmmmmh nomah

  • @Official83640

    Gauni zuri ila hiyo tausi kaikosea kaliweka laini sana yaani limeregea hata kuburuzika linashindwa hadi livutwe angecheki lile tausi la mtoto wa mganga Lulu White aah ile funga mwaka yaani apewe maua yake aliyemshonea mtoto wa mganga