MASTAA WANAOMILIKI WANAUME MATAJIRI ZAIDI AFRICA, ICU CHUMBA CHA UMBEA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 12

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 11 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo Kelvin anautajiri gani bhana ebu mtoeni alafu Regina Daniel mumewe mumtoe kabisaa ata Majizo hamfikii kwa utajiri yule mzeee 😂

  • @ZuwenaMasoud-nq6vf
    @ZuwenaMasoud-nq6vf หลายเดือนก่อน

    Napenda Sana umbea wako dada

  • @beyondintrusion1663
    @beyondintrusion1663 4 หลายเดือนก่อน +1

    WA hamisa yuko wapi

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 หลายเดือนก่อน

    Eluzabeth Michael hana jinsi analipa fadhila tu kusaidiwa na Majizo kutolewa jela hivyo anapelekeshwa kama gari bovu hana sauti maskini itabidi atulie tu atazalishwa sana na kutuliza mshona la sivyo ataiona joto ya jiwe.

  • @user-jx5ug6mc8p
    @user-jx5ug6mc8p 3 หลายเดือนก่อน

    Bora kulia juu ya range 😂😂

  • @user-is9qb9sl9f
    @user-is9qb9sl9f 5 หลายเดือนก่อน

    Hamisa bae wake nani 😅😅

  • @user-fx2wq2yx5r
    @user-fx2wq2yx5r 3 หลายเดือนก่อน

    We mtangazaji unae bwana mwenye ela

  • @GeorginaMmboshia
    @GeorginaMmboshia 6 หลายเดือนก่อน

    Hao waze ndio watamu wana ladha kweli kweli

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 6 หลายเดือนก่อน

    Mtangazj eti huy babu hahaha Regina Daniel njoo huku mumewe kaitwa babu

  • @ashakijaji5869
    @ashakijaji5869 10 หลายเดือนก่อน

    Eti kimbia,huko unapokimbilia ndio Kuna hela

  • @beyondintrusion1663
    @beyondintrusion1663 4 หลายเดือนก่อน

    Ww unaamchukiaga zuchu sijui kwanini?

  • @GeorginaMmboshia
    @GeorginaMmboshia 6 หลายเดือนก่อน

    Hao waze ndio watamu wana ladha kweli kweli