OHOO! ZAYLISSA AFUNGUKA MAZITO YA DULA MAKABILA, CHANZO CHA NDOA YAO KUVUNJIKA - "KWELI ALINIPIGA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- OHOO! ZAYLISSA AFUNGUKA MAZITO YA DULA MAKABILA, CHANZO CHA NDOA YAO KUVUNJIKA - "KWELI ALINIPIGA"
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Ndio mana wifi kamuongele zai vizuri kumbe dula kicheche Mungu akusimamie Zai ..
Sema na hii redio mnapenda sana kukuza mambo
Walikurupuka kuoana wakati hawajuani vizuri. Wewe dada acha mambo ya kuolewa focus na life yako
Hilo nalo neno una wahi kuingia kwenye ndoa wakati mtu humjui vizur
Mwanamke uyo mwache aolewe tu
waliingia kwenye ndoa sababu ya kukomesha ma ex wao ila sio kwa upendo wa dhati, hao hawajui hata ndoa ni nini wanafikiria sherehe ndio ndoa
Ivi wamefika mwaka kwl awa
Dah! DUNIA Imeisha Sasa! Ndoa Inafanyika Instagram Na Inakuja Kuvunjikia TH-cam😢 Mbona Dunia Imeenda Kasi Sana?
KWASS AKUN UPEND WA DHATI N MAPENZ TUH ND MAANA AWAFIK MBALI KWASBB YA MPENZ N SIO UPEND WA KWEL
Umeongea points
😂😭
😂😂😂😂😂
Hatarii
Vimilia vitu vyote ila kupigwa, ulevi ulipitiliza, na Uzinzi uliopitiliza, vurungu za kama mwehu. KAMWE USIVUMILIE. Fanya part dada hongera.
Ndo maana hamuolewi, mnaishia kuwa single mothers
@@callicevallice7383 Kwani kuolewa ni tunzo, au ajira. Upigwe kila usiku ukae tu Eti kisa umeolewa. Kwa tarifa yako single fathers nao wapo ni wengi tu, cha muhimu furaha, na amani.
Ndoa hata miez 3 jamn mhhhh eeee m/mungu naomba unijalie subra uko niendako Maana mtoto WA mama mkwe ndio anataka kwenda uko😅....Ila mashamsham ndio mambo haya muyapendayo
Dah inahuzunisha sana kumbe dulla kayataka mwenyewe saiv anajiliza😢
Ukipata nafas ya kuwa singleeee shukuru Mungu na utumie nafas vzr ndoa hizi🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Kabisa ndugu yangu
Mi siwezi kaa single 😁
Kabisa dear
@@khadidjasuleiman8006 🤣🤣🤣🤣
Sana yani mwagilia moyo ukija Olewa kaa kama bonzo kuondoka tena fullstop😅
Ndoa inaraha ikiwa wawili wataelewana 🎊 Mapenzi ndio Maisha ❤
Haswa❤❤
@@AminaAmine-v4m hao wakati Waraha hawatuhisishi wakati wa shida ndio wanatujuza Ili tuokope ndoa mi napenda saana Maisha ya ndoa 👍 Mungu awape waume wema wenye hawajapata amiin 🤲
@@khadidjasuleiman8006 Kwan wakat wa Raha ukuwaona mtandaoni
This lady she is right
😭😭😭😭😭😭😭pole sana Zai Mungu mkubwa ona amekufungulia njia nyingine jamani
Mara zote huwa nasema Juma hii sio taaluma yake kwa maswali ya kijinga anayoulizaga, dida kauliza kama Lisa ataridhia kurudiana na Dula akasema "no comment" then Juma anauliza kama anajuta kukutana na dula, come on!!!
Akuna talaka tatu kwa pamoja waende kwa mashee wakulize wanaweza ludiana❤❤😊
Hizo ni talaka 3
@@tatukhamis6501 ndo sheria ya dini hakuna talaka tatu kwa pamoja sheria talaka inatolewa moja mwanamke anakaa eda ikipita miezi mitatu hajarejewa ndo anaachika watu hawasomi dini wanafuata mkumbo
Ndio maana ni vizuri kuwa na utafika kwa muda ili I mjue mtu kabla haujamuoa.
Hawatabiriki,unaweza kuwa marafiki ila mkiishi pa1 ndo mtajuana
Sheria ya dini inasema talaka 3 huwa inahesabika moja tu mkae chini musome dini on line hadi lini Astaghafirullah😢😢😢
Kuna kauli mbili tofauti. Wapo maulamaa wanao hesabu Moja. Na wapo wanao hesabu kuwa ni talaka 3
Watu awafuatilii sheria na steps za talaka heri wapeane tu talaka wallah inauma mm nikiona mtu ameshapewa talaka hua Nahisi vibaya.. Alafu kitu Ingine social media zinaharibu ndoa za watu na marafiki pia ila pole kwake Zay
Huyu si ameolewa juz😮😮😮😮😮
😂😂😂😂mpaka walipoachana walikuwa nà siku 54
Daaah pole dear...
Ndoa za bongo movie kibokoo😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Pole sana lisa sim yamwanaume
Usirudi kucukuwa sim yamumeo
Ifanya kama kituo capolisi
Mnaumiza sana tatizo mnapendana Leo kesho mnafunga ndoa. Na mnakuwa hamujajuwana ndoa za bongo nivichekesho. Muache kujishebeduwa oooo nimefunga ndoa oooo sitaachika sijuwi mawifi kujishebeduwa mara mafumbu kuwanawake walio pita . Lakini mko mnachezeya ndoa. Huruma Leo ndoa kesho kuachika . Ma x ba Zailisa wanafurahi
Kabisa mtu anajuana leo kesho anataka mfunge ndoa yan wabongo wana mambo wa ajabu sana
@@fatmaahmed972 yani baache tu kuwa wanapoteza pesa zakufanya hizo ndoawano wapeleke wasaidiye wasio jiweza . Du sijawayi ona ndoa ya mwezi mmoja natala ju 😳😳😳
Duuh 😢😢
Jamani wifi Siwa upo wapiiiii?! 😂😂 Uje kuyajenga ya nduguyo....... Uje kuyasuluhisha hukuu😅😅😅!!!...
😢😢😢😢duuu nlijua utani
Eeee m/mungu nijalie subra uko niendako Maana mtoto WA mama mkwe anatak kufanya nusu ya dini ndoa ndoa ndoa
Majina ya kina dula ni mtihan kwakwel
Sana wallah
Na kina zai
Kweli kaka majina ayo atali alafu waongo sana kina dula
😂
@@walizanasiri4963 sana
Ndoa sio project Dada,. Jiamini usirudi nyuma.
😂
Dulla ni mkorofi atari ajui mapenzi aja maliza bd ujana
Ndoa hamziwezi mnakimbilia nini
Dullah chizi mkubwa 😂😂😂
Dada angalia UHAI WAKO tengenexa furaha yakoo mwenyewe. MUNGU AKUSAIDIE
Huyu zay akae ajiangalie... maana hata mahusiano alokua nayo alipigwa hv hv 😢
Pengine walimroga
Huyu mjeuri wakupindukia na Kisha chini kunamuwasha hatali kaachwa Mara kwa Mara navile ajui kupika 😂😂😂
@@mrsmumewangu4907🤭🤭🤔🤔
Umeckia mwenyewe anasema mumewe anadai anamdomo
@@mrsmumewangu4907mhmmmm
Kwani bado kuna watu wanashikiana cm kweye cm za wenzenuuu
Eeeh hayaaa endeleeni
Mnachokitafuta mtakipata
😂😂😂😂 wewe n mimi kabisaa kila mtu na simu yakeee
Mwanaume akikupa talaka tatu hio inaesabiwa moja sio tatu
Wapo mumy
Dullah jikaze Kaka ujui Mungu kakuepusha na nn huyo dada mzuri Ila matendo yk machafu Malaya tu kila mume akimuoa anamuacha ndani ya mwezi tu kazoea huyo mdangaji wa chamazi
Sawa ulivyo fanya umesali rakaa 2 hongera sana
Hii inapaswa kukemewa na mashekhe, na kutowa elimu hususan kwa kipindi kikubwa kama hichi wanasema kuwa talaka 3 sawa na talaka moja, hii haijakaa sawa Masham Sham mnapotosha Jamii, lipaswe kukemewa kwa mamlaka husika za dini na misikitini pamoja na kupewq onyo kwa kila wenye vipindi kupotosha vitu vya serious specially vya dini .. dini sio amapiano mkaichezea kama jambo hamlijuwi hupaswi kuliongelea.
Mbona kama umepaniki kk😅
@@jaymandy8136 kwaiyo tunyamaze kwenye upotishaji au sio ?? Ukiwa hujielewi utanyamaza kimya kwa anaejuwa dini yake inakataza nini kukemea lazima kukaa kimya ufala kama mafala
KAMA KWELI AMEPEWA TALAKA 3 HAWAWEZI KULUDIANA ITABIDI ZAYLISSSA AOLEWE NA MWANAUME MWINGINE AKIACHIKA NDO AMUOE DULLAH
Hakuna talaka 3 kwa pamoja apo inahesabika ni Talaka Moja km wapendana warudiane
HAO MASHAM MASHAM NDO MAMBO WANAYOYAPENDA HAYO,,,KUVUNJIKA VUNJIKA KWA NDOA ZA WATU,,,,UYO DIDA AKUMBUKE AACHE KUSHADADIA NDOA ZA WATU.
Yeye mwenyewe si amejaza failed marriages kwenye CV 😂😂
Wambea wakubwa
Wapo kzn mkumbuke
Kuna kutangaza na ushushu,,,kwani redio nyingne hazijui hiyo taarifa?,KUACHANA KUPO,,,INSHU KUSHADADIA YASIOKUHUSU,,
@@hassanbakari4525 jaman wamefanya kile watuu hupendaa kusikiaa yaan umbeaa kama huu ww ungeacha sikilizaa sasa si umevutiwa na kichwaa cha habar ukajaa angaliaa ama umejipata bahat mbaya 🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani
Hiyo no Comment ndo naweza kurudi maana asingeweza kumrudia angesa simtaki simpend 👌
Mkiona hamuwezi kutulia kwa ndoa ni bora tuu mtulie muangalie wezenu
Na walee watoto
@@khadijaamur6032 watoto wapi hao?
Kabisaa..maana wanaharibu hela za watu eti wanawachangiaaa kufanikisha shughuli
@@lelaiddy6856 yaan wanavyokazana na michango
Kama navofanya mie ndomana yakitokea haya mambo naona raaaha! Na hakuna kurudiana ndo shasema
Hajui ndoa dula bdo hajamaliza ujana,talaka 3 kwampigo haitolewi hvo mshamba tu, hyo no comment bdo anapenda kipigo hyo
mastaa wa bongo wanashida sana kwenye mahusiano na ndoa
Sio masataaa tu ata mitaani saiv nipasua kichwa
Ilkn dida ndoa yake alikua mkali kuuliziwa za wenzie midomo juuuu kushadadia 5:35 5:36
Bdowanapenda sema makabila kakurupuka na nais anajuta
Ndoa sikuhizi mh😢
Mmmh uyu mwanamke ajielewi mnakumbuka kipindi kile alivyo jibugi Leo anasema vyingine bado ataenyeka na wanaumewote wadaa na wazaziwake nawo washamuchoka ndomaana akiachwa wanampokea sababu wanajuwa mwanawo nitaila wa mapenz ana lolote yani kila siku wewetu mtoto wanaume wote wanamakosa we ndo mzuli kuna jambo so bule jaman angalieni mbele 😂😂😂😂😂😂 anaishi kwa bwana uyo akutoka uku anaingia kule yani weektu ndoa angalien namimi ni mwanamke bali siwezi kuwa kama uyu dada tena ni wajina wangu ajielewi bado ❤
Masha Allah mke bado ana mpenda mumewe.. Allah ajalie warudiane...
Inaumiza sna zaylisha alikuwa serous na ndoa yake
Uyu dad inaonekana n kibur wanaume wangap aw kila mwanaume anampiga anajivunui uzur wake
Mwanamke wake wa USA ATAKU anachekelea tuu huko saizi khaa!!!
Hiv hiki kipindi huonyeshwa lin wasaf na sangap?
Hahahah bado anampenda huyo😅😅 anashindwa kujibu short namtaka au simtaki oooh anapenda kupigwa jmn
mmeishi kwa shida n raha miezi miwili!!!!!!!!! cumon
Atuchezea sanaaa.... shida na Raha yamiezii Miwiliii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah!
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa ndoa ya namna hii lazima siku zihesabiwe kama za jela ndomana wameishi kwa shida na raha 😂
Sio miwili mmoja na nusu
Hatariiii ndo mastar😢
AKA kio cha jamii
Yaan mtihan kweli kweli jmn duuh!!!
Acha umbea mtu akupige Bila sababu kwan Dullah n Chizi hakuna mwanaume atae kupiga bila sababu tena Kwa makosa yake
Wasafi mwapenda sana umbea mbna msimwongelee zuchu na diamond
Wafukuzwe kazi 😂
Nawashangaaa kwakweli
Hivi mpaka leo bado kuna Wanaume wanapiga wanawake?
Na huyu nae sijui Anamatatizo gani kila siku anapigwa Tu na anaume zake
Cku ukioa ndio utajua
Kuna ndoa zisizo na mafarakano kweli😢😢kugombana ndio sehemu ya kujuanna na kupendana zaidi na kukwepana ili maisha yaende
Ila wasafi nawakubali aiseeee kwa umbea we bibie eeeeeeeeh uko vzr😂😂😂😂😂😂
Huyu dada anaakili anajibu kwa Hekma sana
Namtaka huyo na Mm nimfuse 😂
Yaan ndan ya miez2 mpk vikao tyr mlikuwa mmeanza kukaa duuh! Kwel ata mneendelea bado mngegombana tu
🤣🤣🤣jaman
Uyu dada inaonyesha anampenda bado mumewe ila dulla ndo mtihani
Dah pole sana mambo ya kushikiana simu sio yenyewe sasa kupigana tena angemuuwa mwenzio kha bora niwe mjane ndoa hizi drama
Ushikwe uchi simu usishikiwe uongo huo vyote tunashika
Lakini watu wanatoa wapi energy ya kushika simu za waume zao
Ukweli simu zetu mngekuwaga mnaziacha tu ,simu za wanaume zinamambo mengi mno,
Mi si shiki kila siku ila kama kuna maaswi yatafanyika uwa niko na wasiwasi na nikishika tu anagomba msamaha mana uwa yuajua nimegundua lengo lake mpaka sasa ushukuru kwa kua namgundua alafu hafanyi aliyo ya panga na mwenzake 😂😂😂
Simu bila kushika angejuaje wewe kaa ivoivo usishike uletewe magonjwa simu nashika vixuri
@@neemanyimbi2355 lakin neema, mwanaume akiamua kuchepuka atachepuka na Wala ukishika Sim Bado hutajua kitu, kiufupi sisi tunajijua jinsi tulivo, lakin wew Kama mke ukaamua kuchepuka ndani ya miezi miwili tayali ushakamatika.🤣🤣🤣
Kwani watu wa Cuba wanasemaje 😂😂😂
Jamani mie nafurahigi sana nikiwasikiaga hawa watu wawili maneno yao juma na dida.nachekaga mpaka mwisho.wamezidi umbea
Dulla anaonekana ana Gubu😂😂😂
Wanawake wa siku hz sijui mnatoaga wap wanaume wadundaji khaaa!!😢😢 mtakuja kufa
huyo demu alikuwa anataka umaarufu kwa mwamba ila kiukwel huyo demu sio wa kuolewa bado kijana xna ana muwasho ndoa inataka akili iliyokomaa...
😅😅😅😅 lazima nicheke mana mimi yalinikuta 😅😅😅 niliwahi pigwa na panga 😢😢😢
Pole dear
😂😂😂😂😂😂 sijui nacheka nini naboupo unadubda kama kitenesi sisi wanawake tunapepo yetu
WANAUME ....KUNA WANAWAKE WAKUOA NA KUNA WANAWAKE WAKUVUCHUPI NAKUPITA IVI. TATIZO LENU WANAUME NYIE MNAPENDA WANAWAKE WAZURI AMCHUNGUZI MTU NDO MANA NDOA ZINAVUNJIKABJUMA PILI ADI JUMATATU TUJITAIDI KUCHUNGUZANA KABLA YA NDOA
😮😮😮😮😮mbona Beyonce wa mbagala😂😂😂😂
Ila jamani hizi ndoa za mastaa ,tumechokaaaa😂😂😂
Nakwambia 😅😅😅😅😅
Pole sana
Kwa kweli huwezi nyamaza ukiumizwa.
Mbona wanaweek tu😂
Nyinyi musiongelee dini hamuijui talaka tatu kama moja kawambia nani
Talaka inaisabika moja tu hakuna talaka tatu kwa mpigo apo inaisabika talaka moja tu
@@MonaAlmona-c1n mhmm subutuu
Ngoja tuanzie hapo kwe kuswal rakaa mbili, Wakat huo ulikua huna Rasta kichwani na rangi kweny kucha na makucha marefu ama?
Katoa talaka 3 jamani asee kweli ana hasira sana...nahx hawakujuanavizuri.
Amna kitu hapo cjui nani mkweli
Juma roho inakuuma ulivoona hajibu kama watarudiana or not! Mi mwenyewe sijapenda! Warudiane ili kiwe nini??? Hakuna kurudi mtu hapo😡😡😡
Kwanza uyo dida mwenyewe anasemaje tuanze hapo kwanza
Mmesikia xhuma ich cha dullaa
Mume WA Diva sheikh WA Mchongo, Abdul, Naseeb Abdul halafu Dulla makabila sio watu... DIDA, Esma, Rushynah, Zaylissa wanaolewa asubuhi halafu alasiri wanakwarua talaka Na kuondoka😂😂😂😂
😂😂 queen Darling
Sasa mtu kaachwa talaka 3 arud kwa mumewe yup anatakiwa asubir mpka aolewe tena na mtu mwengine alaf aachwe ndio 😅
Asma pia aliachwa after 3 months 😂😂😂
Mwache huko hana maana mwanamme anayepiga hata awe nani hafai
Kumbe dula penz lilikushinda mwenyewe hukua na iwaminifu.naukiona mwanamke anakufatilia ujuwe anakujali.sasa ukifatiliwa wewe unatoa kichapo dula veep!!?
Haiwezekani kurudiana Mpaka aolewe akiachika ndiyo amuoe tena
Wanawake wembamba hawaliziki namwanaume mmoja
😂😂😂😂😂dida mungu anakuona
Hivi dida ulivopewa taraka na kumbi la moto kuna mtu alikuhoji??
Yaan zailisa anapata wanaume wa kupiga kama mim😢
Siuwapige na WEWE
Dida wewe ulikua mkali ulipokua ukiulizwa kuhusu kuachwa lkn saa eee washadadia ya wenzako
Umeona eeee
Nilikua nakulaum xana zay wangu kumbe cvyoo unampnda mme wak
Ndoa imekua kama fashion yaan wanaowana cku mbili watu mñaacahana jaman
Wewe Dida hujui hata maana ya kifamilia. Familia sio baba na mama hata yeye na mumewe ni familia pia.
Kunamuda muwe munatupenda hata wakina sisi dahaaaaa mukuje uku uswanzi 😊
Haha na nyie muwe mnakubali kuolewa hata na sisi tusio maarufu
Yani dah
Dida wee mbona hijakaxiwa kirudi kwa kumbilamoto
Au huyu zaylisa ana kimdomo domo km Mimi 🤦
Dida usibebe zima Bure muwe mnasikiliza na dini jaman hapo hakuna kurud tena mamaa zaylis
😂😂😂dida eti watu wa cuba tume erewa
Juma uwache udanganyifu talaka 3 hapo hakuna ndoa na hawezi kumrudia ten juma heeeh walimwengu tumeisha kwa kwel
Jamani dula alikosea sana
Nyiye wasafi msifanye dini mnaijuwa talaka tatu haiwi moja mmesoma wapi nyiye