ongela sana millard ayo watu wanajaribu bt wewe ni noma sana coz picha nzuri sauti iko powa bigup bro mungu akufikishe mbali.... ERICK mwanza pande za sahara mtaa maarufu mwanza nzima
Millard video zako ni nzuri ila fupi mno 😩😭. Jaribu kuongeza muda angalau kidogo. Otherwise napenda sana kazi yako. Nakuona ukikuwa kila siku katika fani hii. Keep it up
Ikiwa anahangaika kimatibabu ili aweze kupata uja uzito,dawa zipo wala asiwe na khofu na tayari nimeshawasaidia watu wengi na watoto wao wengine wanasoma shule ambapo wazazi wao walikaa sana mpaka kukata tamaa
Tunashkur sana mtu wetu wa nguvu kwa kutupa vtu vya nguvu Mungu akuweke uzd kutuhabrsha yanayojir ulimwengun na ufankiwe kwa kila kzr ukifanyacho *****
ongela sana millard ayo watu wanajaribu bt wewe ni noma sana coz picha nzuri sauti iko powa bigup bro mungu akufikishe mbali.... ERICK mwanza pande za sahara mtaa maarufu mwanza nzima
Millard Ayo, you have a very unique and beautiful voice. Quite beautiful to listen to. LOVE IT!
ongela sana millard ayo watu wanajaribu bt wewe ni noma sana coz picha nzuri sauti iko powa bigup bro mungu akufikishe mbali.... ERICK mwanza pande za sahara mtaa maarufu mwanza nzima
Napenda sana neno lako la mtu wangu wa nguvu na mm mtu wako wa nguvu niko oman big up sana👍
Ebwanaa.. ***** tisha Sana'a Mzee.. Nakuelewa MTU wangu.. Mungu akuongoze katika kazi zako amiin.
wewe Dada nakupendaaa jomon😍😍😍
Kanzi nzuri kaka IMillard! Unanipatiya inspiration kabisa! Big salute from Russia, but i'm congolese.
Safi sana mtu wangu wa nguvu,mungu akuzidishie mafanikio katika kazi yako,,,watchin u from mombasa kenya,,,
safiiii sana natanan niobe iyo mov
MashaAllah nice interview
Mambo VP millardy we ninoma zaidi ya noma big up
Millard hii fupi sana.Ndefu ihusike.
Kazi nzuri bro👏👏👏👏
Giddy pichazax
Kajala Masanja ni msukuma uyoo!
Daaaaaaaaaaaaahhhhhhhh shida kwel Kajali ni shida anaweza xan
Millard ayo in namba 1 nakukubali sana
hongera sana mtuwangu wa nguvu nakupenda sasa kaka.. oliva niko mbeya!!
Safi sana kajala kwa kumpa moyo wema huo ndo ubinadam hongera mtu wangu wa Nguvu kwa habar nzur
ur inspiration millard
Tafadhali sana mtu wangu hiyo ni fupi sana.all the way from kenya nairobi city.by the way uko poa sana keep it up.
Namkubali na nampenda sana ma sister kajala coz kwanza anaongea vizuri pia mara nyingi nikimwangalia anaongea ukweli kama anaongopea ni mara chache.
nakubali sana kazi zako mtu wangu wa nguvu millardayo
upo vizuri sana broo.
Ongeza tu bidii kazi zako zipo poa sana sana big up broo.
kivu kivuyo
Myamwezi na Msukuma ni yule yule bana... History..
Nice work brother
Picha nzuri sauti ina sikika kwa uzuri una stahili pongezi hard work ina lipa
Kazi nzuri man
Nice kajala
Nakusikiliza sana mtu wangu kutoka QUÉBEC
Wasukuma wazuri
Your so cool Ayo and try to be more creative appreciate you sana salut
Nice
waga ukosei nice bro
nice
Tumesha miss Interview zako Millard
Millard video zako ni nzuri ila fupi mno 😩😭. Jaribu kuongeza muda angalau kidogo. Otherwise napenda sana kazi yako. Nakuona ukikuwa kila siku katika fani hii. Keep it up
Ikiwa anahangaika kimatibabu ili aweze kupata uja uzito,dawa zipo wala asiwe na khofu na tayari nimeshawasaidia watu wengi na watoto wao wengine wanasoma shule ambapo wazazi wao walikaa sana mpaka kukata tamaa
Mnyamwezi huyooo shombe shombeee
Tunashkur sana mtu wetu wa nguvu kwa kutupa vtu vya nguvu Mungu akuweke uzd kutuhabrsha yanayojir ulimwengun na ufankiwe kwa kila kzr ukifanyacho *****
Tupo pamoja #mr_countdown *****
Kaka yani nakukubali sana mpaka haaipiti siku bila kuingia kwenye blog yako cz kila kitu kinapatikana humo.
nc
waaa
Congrats brodaa
Mungu azidishe hiz nguvu
nakukubal sana mtu wangu wa nguvu
we nimsukuma wasukuma ndo wanamajina ya kajala na Masanja yakisukuma ww hujui kabila lako VP wewe
@millard huyu dada sio mkweli.
Hata mm siwezagi kuongea
huyu katoto ni hodari
Msukumaaa😄😄😄😄
Fanya mpango kuna hiyo background ya beat isiwe juu sana@Millard
Jaman et wasan hawajui makabila yao "towelagi ubukwer dunh mwoyoyomba"hahahhhhh
Eti haujui kabila lako acha kujishaua kwamba hujui kabila lako. Watu wa zenga Tabora huko ni wanyamwezi.
Kajala uko mnafiki hatanjisi unavyoongeya
Vinakufanana achakujifanya mzuri
Najapokuwa roho yako nichafu sivizuri
Pmj bro
Unatisha sn mtu wangu wa nguvu
Okay
+Millard Ayo thanx ayo kwa mikono yako
Kaka Nipo Africa kucn Ila huwa nakusikiliza na kukufuatilia kila siku kupitia tune in pita mitandaon,,,,,,wewe ni mfano wa kuigwa mkuu
mbona ipo nusu kaka
dada nakupenda
wasanii bhana? eti hawjuag makabila yao dahhh
Dora Maricel, Waongo hawa wasanii, kazi kujishaua tu
kajala
Wema naweza kumsaidia kupata ujauzito kwa dawa za miti(tiba ya kisunna).Anaweza kunitafuta kwa no. 0715299278/0772299278,,,Zanzibar
huyu dada amenichafua etiajui kabila lake inaonyesha ajiamini nimuigizaji siomkweli
ongela sana millard ayo watu wanajaribu bt wewe ni noma sana coz picha nzuri sauti iko powa bigup bro mungu akufikishe mbali.... ERICK mwanza pande za sahara mtaa maarufu mwanza nzima