WEMA SEPETU KAELEZA KWANINI HATOMSAMEHE KAJALA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Mwigizaji Wema Sepetu alikaa kwenye Exclusive Interview na TAKE ONE ya CloudsTV na Zamaradi Mketema na kuongea vitu mbalimbali kuhusu movie yake, kutomsamehe Kajala, Aunty Ezekiel, Hemed na mengine.

ความคิดเห็น • 187

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 ปีที่แล้ว +32

    Nani anaangalia baada ya corona?

    • @eduardoalvin9350
      @eduardoalvin9350 3 ปีที่แล้ว

      You probably dont care but if you are stoned like me atm then you can stream pretty much all the new movies and series on InstaFlixxer. I've been streaming with my gf for the last few months xD

    • @merrickyusuf2341
      @merrickyusuf2341 3 ปีที่แล้ว

      @Eduardo Alvin yup, I've been using Instaflixxer for years myself :)

  • @fairamkhan4744
    @fairamkhan4744 3 ปีที่แล้ว +6

    2021 nan bado yumo humu😍

  • @Storyzatown
    @Storyzatown 9 ปีที่แล้ว +3

    Wema jitahidi uwe na washauri wazuri watakao kuambia ukweli pale unapokosea siyo wanaokusifia tu hata baya wanasifia.

  • @monicawanza8779
    @monicawanza8779 4 ปีที่แล้ว +19

    2020 lete likes

  • @marycelinapaschal9619
    @marycelinapaschal9619 4 ปีที่แล้ว +7

    2020 gonga like

  • @meryaugustino1270
    @meryaugustino1270 8 ปีที่แล้ว +29

    mimi niseme tu hakika wema ana roho nzuri tena ya upendo sana. hao wanaomsema kuwa roho yake ni mbaya wao waliposikia kajala anaenda jela kwanini hawakwenda kumtolea hiyo faini? walikaa kimya na wema kwa utu wake akaona ajinyime atoe hizo million 13 kumtoa kajala. kajala anapaswa angemheshimu sana wema kwa wema aliomtendea lkn dharau za kajala ndiyo sababu kubwa na kumtolea maneno siyo mazuri. binadamu tumeumbwa kusahau kwa yule ali

  • @dorispaullelo9531
    @dorispaullelo9531 6 ปีที่แล้ว +20

    Nani naangalia hiii 2018 duuh 😀😁😁😁

  • @zilphatmubawa4686
    @zilphatmubawa4686 5 ปีที่แล้ว +5

    na 2019 nipo apa gonga like

  • @karenkariuki6969
    @karenkariuki6969 8 ปีที่แล้ว +4

    Wema dont let anger and hatred consume your heart
    we are all humans

  • @rukiashoko7528
    @rukiashoko7528 5 ปีที่แล้ว +18

    Nani anangalia 2019 mwezi wa 7

    • @rukiashoko7528
      @rukiashoko7528 5 ปีที่แล้ว

      Mi mwezi wa 8/2019

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 4 ปีที่แล้ว

      wema nakupend bure

  • @dollpink2989
    @dollpink2989 9 ปีที่แล้ว +4

    wema hajakataa kumsamehe kajala..
    she simply decided to move on wit ha life an dat z a good thing.....

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 4 ปีที่แล้ว +7

    Nko hapa baada ya interview yake na clouds.. Duh! 5 years down the line na bado ka kaza

  • @mynahassan2064
    @mynahassan2064 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana wema lakin linapo kuja swala la kuombwa mxamaha hebu lichukulie uzito yule ni mwanadam kizur mxameheane na muwe kama mwanzo bx MUNGU 🙏awe nanyi 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @coolmum7812
    @coolmum7812 9 ปีที่แล้ว +7

    Nashangaa mbona jokate na penny walikua na chibu na yote hayo ukasahau hivi sasa muko sawa... ama kajala ndio mnyonge coz ulimfadhili..?

  • @graceprisca6839
    @graceprisca6839 6 ปีที่แล้ว +1

    Wema u are so beautiful with a kind heart but u should forgive kajala coz she need ur forgiveness

  • @ashasaid7636
    @ashasaid7636 9 ปีที่แล้ว +2

    Am Asha from Mombasa Kenya Waisilam tunafundishwa kusamehe so forgive and forget mengine yote Muachie Mungu

  • @publicenemy392
    @publicenemy392 9 ปีที่แล้ว +1

    Utasemaje huna kinyongo na mtu wakati bifu stll unayo rohoni hutaki kumsamehe na kusahau.......thn ukasema wee c hypocrite kwli wema unaelewa maana ya neno hypocrite kweli?
    Amaizing aiseee......jst 4gv n 4gt km ulivyoamrishwa katika Quran

  • @zubedaahmed4656
    @zubedaahmed4656 7 ปีที่แล้ว

    I doubt if she will be out if it wasn't for wema. honestly appreciation is very important and consideration

  • @witnessmashauri3654
    @witnessmashauri3654 8 ปีที่แล้ว +1

    inauma sana,,,lkn unasamehe2 na kusahau kwa kua sio kajala2 kna wengne ambao walifanya ivo na ukasamehe,,,,

  • @mawa1LibGirl
    @mawa1LibGirl 9 ปีที่แล้ว +1

    We guys are good, like really?

  • @gladysmdoe6882
    @gladysmdoe6882 9 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh kweli binadam tunajisahau sana yaan maana watu wamegeuka kuwa miungu wa duniani na wamekua majaji wa kutoa hukumu I wish cku ya umli kiama tufufuliwe Wote kwa pamoja ili tuone nani alikua perfect kwenye dunia yake muumba naiman km walimwengu ndo wangekua wanatuhukumu naian tungeuana dunian hapa ila alie juu ata umkosee nn anatusamehe iweje walimwengu tunashindwa kusameheana hapa duniani mm naomba jaji wa kweli aje kutuhukumu ck hiyo ambayo haina jina Allah atusamehe Wote

  • @aminaayoub6400
    @aminaayoub6400 9 ปีที่แล้ว +1

    nime enjoy big up kwako mtu wang wa nguvu

  • @sallyomar8944
    @sallyomar8944 9 ปีที่แล้ว +1

    Another part please

  • @jasminignas2034
    @jasminignas2034 4 ปีที่แล้ว

    Pole mpka umefikia kusema uwez kusamehe kutakua kuna tatizo kubwa xnaa kati yenu

  • @rithamrema2689
    @rithamrema2689 9 ปีที่แล้ว

    pliz en pliz i nid part 2 ov t mtu wangu....ndo nachokupendeaga hicho uko fasta sana na kaz zako,big up bro....

  • @deborasaimon9116
    @deborasaimon9116 9 ปีที่แล้ว +2

    Love you wema

  • @magrethkisamo594
    @magrethkisamo594 4 ปีที่แล้ว +1

    Wangapi wanaangalia baada yakuwaona pamoja na kajapa ☝️😄

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 9 วันที่ผ่านมา

    2024 kma kawaida❤❤

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 4 ปีที่แล้ว

    Umependez dada wema sepeto uko vizur tuna miss movie zako leta vitu vizuri

  • @swadrikhadijah8302
    @swadrikhadijah8302 9 ปีที่แล้ว +5

    So all this issue is because of someone's husband like seriously😂😂😂
    Yaani bwana wa mtu.pls grow up

  • @gracejulius1914
    @gracejulius1914 4 ปีที่แล้ว

    Wema nakupenda Sana Lakini naomba umsamehe kajala please love msamehe tu bule

  • @khadijaomar2723
    @khadijaomar2723 4 ปีที่แล้ว +2

    2020

  • @mahamudmhawi5635
    @mahamudmhawi5635 9 ปีที่แล้ว +1

    Mbona sioni take one ya tar 16/06/2015?...

  • @ameenaameena7228
    @ameenaameena7228 9 ปีที่แล้ว +1

    Good girl wema uamuz ni wako.usisikize binadamu mpotezee madia

  • @sisiss-eu8eq
    @sisiss-eu8eq 9 ปีที่แล้ว

    dah!we mkali sana ***** . asante sana kutuwkea hapa hiki kipindi. Dah

  • @georgekalitini3406
    @georgekalitini3406 9 ปีที่แล้ว +5

    Kwajinala yesu msamehe

  • @maremamman668
    @maremamman668 7 ปีที่แล้ว +1

    msamehe mwEnzako na mungu atakusamehe bila ivo hutopata msamaha kwa mola wako..

  • @erickmweta8215
    @erickmweta8215 9 ปีที่แล้ว +4

    wema huna la maana unaloongea hapa kuhusu kajala

  • @neemakiula5137
    @neemakiula5137 9 ปีที่แล้ว +1

    Huwez kusamehe while Mungu mwenyew anasamehe.that's too bad.

  • @dianadamian6179
    @dianadamian6179 4 ปีที่แล้ว

    Who is still here 2020

  • @Tere-hr6ls
    @Tere-hr6ls 9 ปีที่แล้ว

    Yan wewe msenge Sana unajionae unamwambia mwenzko Hana akil tena mbele ya kadamnas ...ivi unajiona wa kishua Sana ...kajala amekueshimu nawe unatakiwa umpe eshima na sio kukandia....we mangap umefanya...kamfate na Zali bas...omba mungu akuongoze Sana Dada umechanganyikiwa kwa mapenz....wewe

  • @ngenabiambo1378
    @ngenabiambo1378 9 ปีที่แล้ว +3

    Msamehane wema Na kajala

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว

    Naangalia now August 18 2020

  • @ayoubkadanji7495
    @ayoubkadanji7495 7 ปีที่แล้ว +5

    wema ukisema unajuta Kwa msadaa ulio msaidia kajala basi huja fanya kitu mbele ya mungu

  • @vasilisaseph1061
    @vasilisaseph1061 4 ปีที่แล้ว

    Mm naangaoiia Leo 2020

  • @tinakanec9161
    @tinakanec9161 9 ปีที่แล้ว

    Wewe una17years coz wajua kusamehe siunge end a ukamtoa jela mwafikiri pesa za tapikwa ama zaokotwa heri hungeandika upupavu kajala alikula ndizi ndomana kasahau wema kala ganda domanake hasahau watu wakipatiwa vipaji na mungu Hugo kajala alikua wapi ama aliara kisha kuja duniani bahati yamwezio usiilalie mulango wazi anajua haja kosa mbona anamuomba wema amsamehe. Nyinyi wenyekujua simumwambie Hugo kajala amwombe mungu msamaha mbona mwaongea kama mwaharisha yauma sana kusaidia MTU kisha akugeuke hana familia hana boyfriend mbona hawaku msaidia was katiwashida wema msamehe Huyo kajala lakini kama nilivyo kuambia mwazo usijaribu kumkaribia urafiki uzike katika siweg kabisa analog ndomanake anataka kuku karibia sumu ya mamba hiyo mungu akue pushed na maadui wasio penda maendeleo na in bidii yako but INA wauma shenZ taype ukiona mwenzako ana bidii Fanya bidii pia wewe.

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 4 ปีที่แล้ว

    Mimi naangalia 2020 may

  • @idayamataifakey7813
    @idayamataifakey7813 2 ปีที่แล้ว

    Huyu wema alikua mzuri sana

  • @swigaliciousbukuku2887
    @swigaliciousbukuku2887 9 ปีที่แล้ว +3

    me nahisi anachofanya wema yupo right kabisa but nahisi watu hawajamwelewa, kasema sio kama kakataa kumsamehe bt da way Kajala anavyoomba msamaha ni ushenzi mtupu,jamani sikieni urafiki ni mgumu sana ila Kajala jamani ni mbwa na ni nyoka. me nshawahi kuwa na rafiki type hiyo kwa kujiliza na kujifanya mpole yeye watu wote wanahisi yeye ndo anaonewa.shenzi kabisa huyo Kajala.

  • @mariakarey701
    @mariakarey701 8 ปีที่แล้ว +1

    wema Wacha kichora hukiongea Jaribu kuongea lugha yako ya kiswahili bambo ya and and and and Wacha he is mwanamke ni she hitabidi hurudi ngumbaru Mtoto mzuri lazima huongee good English am a Kenyan from Saudi

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe unajuta kusamehe wema msamehe nakajala mungu atakukubali please

  • @thomaskent4861
    @thomaskent4861 9 ปีที่แล้ว

    No. I think Wema is right, guys. Given the fact that Kajala stole her SD or let's call it the source of her resources and living, she has all the right to hate her. U all know that if someone messes with your savings account, you won't be happy, will you? Forgiving her will come with time once Wema has restored her finances and has forgotten that sugar-daddying was not her only option. I feel for Wema! Kajala had no right to steal this oozing atm man from Wema!. You're right wema. I'm glad you're growing up tho.Big fan

  • @ashaomar901
    @ashaomar901 9 ปีที่แล้ว +5

    Upuzi mtupuuu wajichumia dhambi bure.manake hata mwili aeza samehewa na mungu kuliko alieibiwa......hujaongea la maana iko wazi kwamba aliandikiwa asikae jela hungetoa angepatikana wa kutoa hiyo hela shuaini ww

    • @sallykanze
      @sallykanze 9 ปีที่แล้ว

      Mmmh ingekua ww ungeenda kumtoa jamani acheni kuongea vitu ambavyo havileti maana,,mwakurupukwa tuu ila huyo mnaemtetea saa hii akipatikana na jambo wala hamtomsongelea,,we are talking abt life here si movie,,,think twice

  • @michelinesifa3502
    @michelinesifa3502 2 ปีที่แล้ว

    Binadamu wanasahau mbiyo sana ni wema ni wema tu awowote wanafiki tu urimusaidiya sana ira kashasahau binadamu hawana wema

  • @mwajumahamis8613
    @mwajumahamis8613 4 ปีที่แล้ว

    Jaman wema msamehe

  • @fatmakhamis1018
    @fatmakhamis1018 6 ปีที่แล้ว

    wema acha unafki muogope mungu mungu alitubia msibadilishe swadaka zenu kwa kusema kwa nini unatangaza kama umemsaidia mtu huoni unaharibu hasant yako wema?

  • @karenkariuki6969
    @karenkariuki6969 8 ปีที่แล้ว +3

    Wema kindly lower your PRIDE n have a place in your heart to forgive KAJALA..
    we are all humans n nobody who is perfect...
    u might need KAJALA Someday
    you never know abouttomorrow

  • @felisterdavid7165
    @felisterdavid7165 8 ปีที่แล้ว

    ua pretty wema

  • @amabokoamabokoo4484
    @amabokoamabokoo4484 4 ปีที่แล้ว +2

    2nafukua,baada,ya,korona

  • @gloryjulius1108
    @gloryjulius1108 5 ปีที่แล้ว +1

    Nawe unawezaje kumsaidia mtu halafu ukajuta bac huo sio msaada sio tabia nzuri kaa kimya sio lazima umtangaze kuwa ulimsaidia

    • @jumandutu2275
      @jumandutu2275 4 ปีที่แล้ว

      Hata kama ungekua ww ungeongea tuu kwa watu milion 13 mchezo kwa maisha hayaa' weee

  • @margaretnelima2039
    @margaretnelima2039 9 ปีที่แล้ว

    Think twice wema forgive and forget .

  • @robenapomola2395
    @robenapomola2395 4 ปีที่แล้ว +1

    Bora ungebaki na mwl wako dada

  • @chambagi
    @chambagi 9 ปีที่แล้ว

    I like the tee Zamaridi has on.

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 5 ปีที่แล้ว

    Uwe ukisamehe wema maisha ni ya mpito

  • @mathewfabian4874
    @mathewfabian4874 9 ปีที่แล้ว +2

    Wema samehe mama

  • @peterfesto6273
    @peterfesto6273 9 ปีที่แล้ว

    i never knew u will be like dat bt forgive

  • @sabrinaruwehy4282
    @sabrinaruwehy4282 9 ปีที่แล้ว

    We mwnyw unakera watu na unasamehewa acha kujifanya mungu wa ardhini kuhukumu wenzio kiasi hiko! Nobody is perfect nyang'au ww

  • @malekahmm7502
    @malekahmm7502 4 ปีที่แล้ว +1

    Ningekuwa kajala ningezitafuta nikazikurudishia kabisa unajuta? Duuuuh

  • @wilsonkombeyeri4623
    @wilsonkombeyeri4623 2 หลายเดือนก่อน

    Kama Kanumba alikuwa freemason, pia bilashaka Wema pia ni freemason

  • @dalalicharles9645
    @dalalicharles9645 9 ปีที่แล้ว +1

    Samehe

  • @agnessassenga2234
    @agnessassenga2234 7 ปีที่แล้ว

    we wema bhanh

  • @athmannasrusaidsaidnasru85
    @athmannasrusaidsaidnasru85 8 ปีที่แล้ว +1

    wema naona haupaswi kuwa mgumu wa kumsamee mwenzio maana ikiwa mwenyezimungu anasamee sembuse wewe vipi wewe unafaa usamehewe na mola wako ilhali kuwa wewe uko na mtu washindwa kumsamehe mtu, plz my dea to be honest msamehe mwenzio maana na mola atakuwa na kheri na ww

  • @dateededdy5833
    @dateededdy5833 9 ปีที่แล้ว

    Party2 plz

    • @fatmaomar2308
      @fatmaomar2308 6 ปีที่แล้ว

      Datee platnumz wema subiri kama unamtaka mtoto. Inshaallah uwe na subira nijibu unamtaka

  • @fatmafaki6163
    @fatmafaki6163 5 ปีที่แล้ว

    Mambo ya 2015 hayo

  • @rihannaahmed
    @rihannaahmed 4 ปีที่แล้ว

    Ur not being fair wema as in TENDA WEMA NENDA ZAKO ni kwa Kila binadamu ukifa Bila kumsameh shambi kwako since kajala tried a best my dear

  • @deokomba4327
    @deokomba4327 9 ปีที่แล้ว +1

    daaah...jamani samahanini sana ila mimi nikiangalia au kusikiliza interview ya mtu huwa nakua makini sana na kinachoongelewa. Sasa katika hii interview, ukisikiliza kuanzia dakika ya 11:40 mpaka dakika ya 11:43 utamsikia Wema Sepetu akisema "Aunty is my very good friend, HE is my best friend". Sasa naombeni mnisaidie labda nimesikia vibaya au english yangu sio nzuri kivile lakini Aunty si mwanamke? Sasa mbona Wema kasema "HE is my best friend"? Mmmmmhh hii haiko sawa hata kidogo....

  • @mariamomache8565
    @mariamomache8565 8 ปีที่แล้ว +1

    musamehe please

  • @beckybeto4328
    @beckybeto4328 8 ปีที่แล้ว +1

    Forgive and forget

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 9 ปีที่แล้ว +4

    MUISLAM AMEFUNDISWA KUSAMEHE wewe unapata wapi jeuri ya kuacha kusamehe wewe Mungu
    na wewe washauri wako hovyo kabisaaa
    ila nakukumbusha Unatakiwa usamehe halafu kingine unajifanya unahasira sana sio vizuri kwa wewe nani hasa hujui nawe ni Udongo

  • @nikitaparis5324
    @nikitaparis5324 9 ปีที่แล้ว

    forgive her,

  • @estherwildern9522
    @estherwildern9522 9 ปีที่แล้ว +2

    Wema mm ni msichana mdogo san nna 17yrs of age lkn kwa mara ya kwanz leo nmetokea kutokukpnd tena kwann ukatae kumsameh kajala kwan ww ni Mungu mangap unakosea ila Mwenyenz Mungu anakusameh vitabu vya dini vnatufndsha sameh mar 7/70 alfu kmwmbia hana akil pia si ustaaharab yaan nilvyokuwa nakpnda sjui nakuonaj kwa sas

    • @maliamuchalesi5771
      @maliamuchalesi5771 9 ปีที่แล้ว

      niwajinga 2

    • @bintirashidantybaby8146
      @bintirashidantybaby8146 8 ปีที่แล้ว

      +Maliamu Chalesi hahahaha kweli wajinga ila wanajua wanalo lilifanya

    • @maryjoseph8604
      @maryjoseph8604 6 ปีที่แล้ว

      esther wildern

    • @marryshayo8602
      @marryshayo8602 6 ปีที่แล้ว

      wew mwenyew kuma tu umpende wema wa nn nenda katombwe na miak yako hyo 17

  • @jessicaassongo8415
    @jessicaassongo8415 9 ปีที่แล้ว

    i recommend you to just forgive her...and it sucks to hear that u regret the good u did for her,,,u shouldnt,,,this just messed everything...my question is why u always quarel with ur friends? people are always wrong and u are always right isnt it? even aunty ezekiel something is wrong wih u guys again......please stop that wema,,,and dont overconfident lady,bcoz at the end of the day we all need others in this life,,,dont show off like so,,,u are not God,,,,just forgive and stop beating ***around the bushes,,we shall see

  • @catherinejmasalu9385
    @catherinejmasalu9385 9 ปีที่แล้ว

    Kabla ya kusema hutamsamehe mtu, kumbuka mangapi umemkosea Mungu. Na unapomnuoshea mwenzio kidole, jua vidole 3 vinakutazama wewe pia 1 kinanyoosha juu kuwa Mungu ni shahidi!

    • @amisaalfred973
      @amisaalfred973 9 ปีที่แล้ว

      Well, I made sure I read
      all the 55 comments before I posted my own so that I skip the repetition. I
      have few things to say to Wema, to Kajala and to Zamaradi but before any of
      that let me just begin by saying that its a pity seeing such a beautiful young lady
      like yourself Ms. Wema Sepetu having such nasty words to someone you once
      called best-friend.
      To Ms. Wema Sepetu
      ....So
      until you added, "...bogaz, ...kiazi and ...mtu mzima for nothing..."
      I'm afraid I got confused on interpreting your points. Your angry, disappointed
      an all but lets not get carried away here, I mean was that your first time to
      get cheated? obviously no way so question is why do men cheat? and not why has
      Kajala {your ex-best friend} cheated. I think your getting my point here. What
      I'm trying to tell you is, if your ex boyfriend say Nasibu has cheated on you,
      then Siki has also cheated on you then its not Kajala, its a man so I advice u
      to read my book called 'BEST FRIEND' I believe you will learn a lot through it
      as it will answer to you the most fundamental questions in life like, why do
      men cheat? and how do I know my best friend is sincere? Also there is a part
      you said yourself I would like to quote you, "...I wouldn't have mind for
      Siki began a new relationship with another woman, not even with her Kajala
      because there was a time he was dating Naima and it was cool also by then I
      broke up with him to be with Nasibu, it wouldn't had been fair for him to stay
      single, what hurt-ed me was the fact that Kajala hid it from me and was not
      honest..." I get three pictures here, one is that you preferred someone
      like Naima since she was never your best friend, second as long as your
      breaking up with a man just to be with Nasibu you could careless about any girl
      your ex- will date and also as long as you paid 13Million Tshs. bail for
      Kajala, you paid the price for her to stay away with ur men...Well, u added
      there, "A GIRL CODE" That it's not okay to date your best friend's
      ex-, my dear that doesn't really apply to this generation I tell you...Not just
      a best friend with an ex- that's even easy to swallow...Now a husband with his
      step daughter/own daughter/house girl/sister in-law/mother in-law/own
      mother/own sister/aunt or any other close relative and you would even wonder
      when you here the worst say homosexuality, so just be thankful that this guy
      character here was not your husband because really at least he spared you with
      the divorce procedures because divorce sucks. So don't swear on a man and make
      your friend a bad girl because as your TV show says, IN MY SHOES, just try to
      put yourself in Kajala's shoes and ask yourself with all honesty in her position
      with all that you have helped her now if it were you, would you had been able
      to come clean and tell the truth previously? when you get your answer I'm sure
      you will find it in your heart to forgive her completely other ways,
      congratulations with your Kill award you deserve it. I believe you live your
      own name Ms. Wema Sepetu.
      To. Ms. Kajala Masanja
      Rumor
      has it the guy character was even your own previously until you married someone
      else so did he but then later on you two found way back to each other's life
      for re union...True or untrue I would like to say that, the thing you did was
      not right. First if it's true that the guy is a married man for God's sake but
      most importantly he dated your best friend and like how you referred Wema that
      she is like your sister... so if in those number of times you referred her your
      blood relative in public and If you really meant what you said, I believe no
      matter how much sisters fight they surely find a way to make up so don't get
      tired to apologize for your wrong doings and pray, I'm certain by God's grace,
      you two will make up before you know it, and if such finally happens don't ever
      loose a true relative that doesn't show up in one's life that often. Goodluck
      Ms. Kajala Masanja.
      To. My
      favorite host Zamaradi Mketema
      Foremost
      I would like to send my congratulations for the Kili award you received for
      'Kigodoro' Keep up the good job. Your talented, gifted and you know job. You
      have a nice and unique voice, your true with your words, your not biased when
      there's two sides of the story and your interviewing only one part at a time, I
      mean I have watched and listened to you in many interview and regarding this
      one with Ms. Wema Sepetu, even the kinds of questions, your personal judgment
      and comments was not in any way biased so you gave a chance for one to express
      oneself while the other part at home doesn't feel offended, at least not
      because of you. you did bravo. I'm surprised however, with all the talents you
      have, experience you posses in the Entertainment industry and connections you
      might have made so far why you don't find a way to channel to the top and go
      beyond, even the geographical boarders because your also fluent in English. You
      have all that it takes so make it happen. Success Zama.

    • @LouiseERne98
      @LouiseERne98 9 ปีที่แล้ว

      Amisa Alfred Well spoken Amina Alfred... Wema need to change before she can run several things in her life, this including [Ubunge], etc. Life is too short to be mad at someone. Forgiveness is given to us by God every single day, so then why would she forgive? She has to understand that life goes on, whether with her ex-best friend (Kay) or with others. During this holy month of Ramadan, I would advice her to confront the whole situation so that she can fast with her heart clean. Fasting while she hasn't clear her heart with someone whom she has conflict with, doesn't heal but instead it broke it apart, and so the (her) prayers are not meaningful to Allah either. She has to clean her heart before all that.
      Well, I don't have much to say, because +Amisa has spoken all. All the best to Wema....

    • @amisaalfred973
      @amisaalfred973 9 ปีที่แล้ว +1

      Louise E. thanks Lou

  • @animanasser1230
    @animanasser1230 9 ปีที่แล้ว

    ema nakupenda sanaa lakini kwa maneno hayo yako duuuh nahisi kuanza kukuchukia na staki,,wewe binadamu tu bana sio mungu,,wewe umekosea wangapi na wamekusamehe kwann hutaki kumsamehe kajala?wacha za ovyo pls n think straight usigambe sana ukatukera na ukabaki peke yako bila mashabiki,,,pia hii sasa ramadhan wewe wafunga nn kama una dukuduku na mwezio?

  • @nazalove4391
    @nazalove4391 4 ปีที่แล้ว

    bora umemsamehe. ugomvi miaka mitank duuh

  • @nkuluestella1379
    @nkuluestella1379 9 ปีที่แล้ว +4

    Mtu wa haina gani asiye samehe mwenziye..

    • @yunusfadhil9727
      @yunusfadhil9727 9 ปีที่แล้ว +2

      Wema kumbuka mung anasamehe iweje sisi wanaadam tunasameheane?kit kinachokutia hasira hata hutak kumsamehe mwenzako ni upuuz wa uzinifu naona umejawa na ghadhabu ni mume wako wa ndoa kumbe ni mume wa uzinifu mpuuz ww usie na akili dunia imekuvaa kama unavyo endelea kuvaa uchi mbona mung unavyomfanyia kwa upuuz wako wa kuvaa uchi na kuzini hakukairikii akakunyima pumz zake?kaa ukijua aliekupa ww kit ukaweza msaidia kajala ni nguv za mung wala sio nguv zako,zinduka dada dunia hadaa kaa kwel unapesa sana ungeenda makkah ukahijji upate tubia hayo unayo yafanya.

  • @neematemu9758
    @neematemu9758 6 ปีที่แล้ว +1

    2018

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว

    mh ete huwezi kumsamehe mwenzako. kwani wewe nani. Mungu mwenyewe anasamehe sembuse mtu kama wewe. hukai ukajifikiria kila siku unamkosea mungu unaijui hukumu ya Mungu?. usiwe na sifa kama wewe ni mjuzi wa dunia na akhera. angalia hapo ulipo, umejitwisha zigo la wigi kichwa na sheria ya kiislam inakataza na Mungu amewalaani, kujibadilisha mavazi, laana, makucha hayo ulo nayo ni laana, hujajistiri ni laana, unabadilisha waume kila siku bila ndoa ni laana, na mambo mengi tuu unayoyafanya ni kinyume na sheria ya dini ya kiislam mfano umejichora mitatoo kibao ni laana, hapo unategemea nini mbele ya yule aliyekuumba na kukuleta duniani. laki pamoja na hayo unaweza kuamua kuyaacha ukaomba msamaha kwa Mungu akakusame. maana yeye ni mwingi wa msamaha. haya wewe unavojinadi eti huwezi kumsamehe Mwenzako? huoni kama unajiona wewe ni bora kuliko mwenzako? unaweza usimsamehe lkn Mungu akamsamehe kajala. wee hujielewi dunia inakupeleka tuu. binaadamu mwenzako msamehe acha mijisifa. wewe kwani hujui huko unakoenda, unaweza kujakukosea mwenzako udhalilike maishani mwako. ushauri wewe huna Nguvu ya kutomsamehe mwenzako. msamehe ili Muishi vyema. sifa inaua binaadamu wewe.

  • @chao3979
    @chao3979 9 ปีที่แล้ว

    Mbona sijaona wema ametamka na mdomo wake kuwa sitawahi kumsamehe kajala ila amesema kajala akimfwata baada ya kuandika instagram wema ataona kama anazengua sasa kwa uelewa wangu wema ongea naye yaishe

  • @nicemziray9948
    @nicemziray9948 9 ปีที่แล้ว

    ninachokipenda kutoka kwako si mnafki..i like u

  • @fatumamohamed4517
    @fatumamohamed4517 9 ปีที่แล้ว

    Usifanye ivo wema samehe saba Mara sabin uislam mwenzio akikuomba msamahaa ujamsamehe Dhambi zako Sawa mm msamehe kajala mnaendana coz wasanii mnapenda sifa

  • @rachelbwana2045
    @rachelbwana2045 6 ปีที่แล้ว

    Wema Mpnz wanadamu ndo walivyo

  • @annajohn175
    @annajohn175 4 หลายเดือนก่อน

    2024

  • @estherkaruga4892
    @estherkaruga4892 9 ปีที่แล้ว +1

    Wema you said nothing ..kajala ako juu kukuliko mschweeeee...,..u could have talked kiswahili all through kingereza hukijui

  • @sumecute2513
    @sumecute2513 5 ปีที่แล้ว

    Ni mrongo huyu kama hana kinyongo na mtu angemsamehe mwenzie,,kwa sababu pia yeye hukosea

  • @anitakapinga6213
    @anitakapinga6213 9 ปีที่แล้ว +3

    Penda saaanaaaa weeweeee

  • @pollylazmartins9690
    @pollylazmartins9690 9 ปีที่แล้ว

    Wema nakupenda wee si hypocrite ...roho yako safi nani akitendwa hatofeel ad forgiveness begins from there .Good lady I blf now u moved on. From Kenya lot of love

  • @faridahmohamed620
    @faridahmohamed620 9 ปีที่แล้ว +1

    Kibri na Dharau zimekutawala. Wewe nani huwezi kumsamehe kiumbe mwenzako?filhali yote mwatetea ni ya uzinifu na angekuwa mume wa halali je? Isikughuri dunia.

  • @khadijahharkim7303
    @khadijahharkim7303 9 ปีที่แล้ว +14

    Hi wema am ua fun from kenya but I dont support u in this. Kwani mbona penny na jokate who both were with diamond mlisameana. Kisha wewe ati muislam Allah doesn't wat u r doin. Mwanzo yule mume wamtu sio mumeo kindly stop being senseless kajala doesn't deserve that . Usimfanye mwenzio mnyonge kisa ulimsaidia kisha sazote watangaza kuwa wajutia usaidizi wako kwake. Wewe sio mungu stop all that crap a utapoteza umaarufu kwa mambo ya kijinga. Nakupenda ndio mana nakwambia kweli.

    • @sarahmwangoka574
      @sarahmwangoka574 9 ปีที่แล้ว

      M

    • @francinmumbua4168
      @francinmumbua4168 9 ปีที่แล้ว

      khadijah Harkim tell her da truth.....forgive so that u ll be forgiven wema

    • @khadijahharkim7303
      @khadijahharkim7303 9 ปีที่แล้ว +1

      Thank you @ francin mumbua. Wema should know that no one is perfect we are all human and we make mistakes. She has done so as well so everyone deserves forgiveness.

    • @ummulkherybenges7618
      @ummulkherybenges7618 9 ปีที่แล้ว +1

      Well spoken..kajala doesnt deserve that...

    • @juripurity7819
      @juripurity7819 9 ปีที่แล้ว +1

      khadijah Harkim waja zako

  • @evechris2132
    @evechris2132 9 ปีที่แล้ว

    We wma unajishaua sana aisee.......hw du h see uself mpka umwite mwenzio hana akili really??!?