BINTI CINDERELLA - PART 02 - SIMUILIZI YA MAPENZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 631

  • @MopaoHuseni
    @MopaoHuseni 8 หลายเดือนก่อน +8

    I love binti Cinderella i can't wait for part 3or until the ends
    Anko jay you're have amazing voice

  • @KulotidaMihambo
    @KulotidaMihambo 11 หลายเดือนก่อน +27

    Jay hii simulizi ya bint Cinderella naipenda mpaka nairudia Mara nyingi hakuna my engine yaani kama Jimmy alivyompenda nyamiz akawaona wengine wabaya basi sawa na mm

  • @irenekaijage1659
    @irenekaijage1659 6 หลายเดือนก่อน +5

    Tangu nianze kusikiliza simulizi zako anko jay najikuta sina mawazo ata kidogo nashkuru sana na mungu aendelee kukupa uzima tuzidi kuinjoy kwa simulizi nzuri na kujifunza pia mengine tusiyojajua ktk dunia hii🙏❤

  • @mummyrukaya6666
    @mummyrukaya6666 ปีที่แล้ว +30

    Aisee hii simulizi kiboko umeisimulia na hisia kama zote yani inavutia aswaaaa❤❤❤❤❤

  • @ReginaMwenzelatifah
    @ReginaMwenzelatifah ปีที่แล้ว +12

    Anko jay simulizi zako nzuri MashaAllah. nashukuru sana Kwa simulizi zako nikiwa na stress nasikiliza simulizi zako nakisha moyo wangu unatulia sana.

  • @SumayyaahMuzzammil
    @SumayyaahMuzzammil ปีที่แล้ว +15

    Nnaam the actor voice ankojay the king of simuliziiiii wuuuwi❤❤❤

  • @alinaswemuziya876
    @alinaswemuziya876 ปีที่แล้ว +15

    Hogera baba kwa simulizi zako mzuri na unajua kupamba simulizi anko Jay nakupenda ❤❤❤❤

  • @WardatAbubakar
    @WardatAbubakar ปีที่แล้ว +12

    I like this story God bless you Mr handsome anko jay

  • @joyceroyal6711
    @joyceroyal6711 10 หลายเดือนก่อน +8

    Bonge nyanya driving me crazy seriously😂😂 hii part imenichekesha sana😂😂

    • @angelbeda6164
      @angelbeda6164 3 หลายเดือนก่อน +1

      hatari 🔥

  • @mildredalivitsa1186
    @mildredalivitsa1186 ปีที่แล้ว +7

    ❤ l love simulizi nzuri sana waiting for your good one part three soon from Kenya 🤝 waiting 😊😊🎉❤😮

  • @cesiliakessy3691
    @cesiliakessy3691 ปีที่แล้ว +22

    Lissa ❤❤❤ story zako ni next level yaan una feel kabisa na ni uhalisia haswaa Nakwambia
    Kuna muda nahisi Lara1 wa jamii forum ndugu yako mna maandishi mazuri mno 🎉🎉

    • @PatricalBeti
      @PatricalBeti ปีที่แล้ว +2

      Jimmy weee,ni hatari jmn anko Jay umeuvaa uhusika km ni wewe kiukweli chukua maua 🎉🎉yako kipaji unacho

    • @THEDONSIMULIZI
      @THEDONSIMULIZI ปีที่แล้ว

      Kabisa sahiii

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 9 หลายเดือนก่อน

      Sana

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@PatricalBeti🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @annamagara1660
    @annamagara1660 2 หลายเดือนก่อน

    I love this simulizi CINDERELLA.
    I'm one of mama mnene . Akipenda basi anapenda.
    Nyambisi is loving, humble and respectful. This is what made Jemini to love her.
    Anna Magara from Mombasa - Kenya.

  • @hamadramadhan8422
    @hamadramadhan8422 ปีที่แล้ว +26

    Mim ndy ugojwa wangu wanawake wanene kama wanawake wanene mpo nawapenda sana ❤❤❤❤

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 9 หลายเดือนก่อน +3

      Oyoooooo! Hongera kwa wanawake wanene

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 10 หลายเดือนก่อน +6

    Kikorea: nyadusliro kihindi: kuchu kuchi hotahi bonge nyanya duh boss tunaye ❤❤❤❤

  • @Stephanie-mp1nn
    @Stephanie-mp1nn 11 หลายเดือนก่อน +9

    Jaman nimecheka na I love you ya kijerumani mimi 😅😅😅😅 sema uncle unatisha saaana 😊

  • @ClaraSamwel-i3t
    @ClaraSamwel-i3t ปีที่แล้ว +12

    leo nomecheka sana na hii simulizi n nzur sana asant anko jay mungu akupe hitaj la moyo wako 🙏🙏

  • @josephine753
    @josephine753 9 หลายเดือนก่อน +5

    Simulizi hiyi nitamu sana nairudiya kilasiku Mungu akubariki sana Anko j

  • @AjrasMobile-q8j
    @AjrasMobile-q8j ปีที่แล้ว +11

    Story mzuri jamani hongera sna mtunzi na msimuliaji pia unasauti mzuri😊

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli wanastahili 🎉🎉🎉🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🌹🌹🌹

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 ปีที่แล้ว +8

    Asante sana anko Jay wetu King 👑 of our hearts we love you 💕😘 so much 💞 congratulations 👏👏👏🎉🎉🎉 and I salute you and I appreciate all and all be blessed my love wetu kipenzi ❤❤❤❤❤

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 ปีที่แล้ว +21

    Yani simulizi ya Lissa mwalla ni 🔥😂🤣🤣🤣 ahsante Ankojay 🙏🙌

  • @Abuuhdizzo
    @Abuuhdizzo ปีที่แล้ว +5

    Daa anko jey . Tunee huruma. Tunakupenda sana. Mungu akupe maisha marefu. Huwaga tunainjoy sana. Hata ukiwa na stres zinaisha. Unakua natabasamu sana wa simuliz zako. Basi tup pat. 4 jamani. Anko. Umetubania tunakupenda. San. ❤❤❤❤❤

  • @asuhramahamud1369
    @asuhramahamud1369 ปีที่แล้ว +16

    Anko hapo umetupata kweli kwa kijerumani nakupenda ni..
    dishelipe dishi i love you ..asante kwa kunifurahisha kwani sikuwa na furaha kutwa zima kaka ❤❤❤ be good brother we love you kaka 🎉🎉🎉🎉

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Thank you so much

    • @asuhramahamud1369
      @asuhramahamud1369 ปีที่แล้ว

      Kuna hadithi yangu ya maisha na ina nihusu mm je nawezaje kukupatia ila ningependa kama utaisimlia ww mwwnyewe anko..ninge penda unijibu kama utakuwa tayari kaka

    • @tiffusumaiya1342
      @tiffusumaiya1342 ปีที่แล้ว

      Nimecheka ujue 😅😅😅😅😅😅😅

  • @GraceShansila-f1f
    @GraceShansila-f1f ปีที่แล้ว +8

    Simulizi tamu sana Asante sana Lisa mwalla

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂😂I love kwakikolea jamn anko j sina mbavu mie 😂😂😂 much love 😘😘🎉🎉🎉

  • @WaridiTambi
    @WaridiTambi 10 หลายเดือนก่อน +8

    Yani anko jey unajua kutupa burudani mana sio kwa vionjo ivo nafurahi sana yani nikikusikikiza uwa najichekea kama mjinga 😂😂😂❤❤❤❤

  • @PriscaJuma-zj6ol
    @PriscaJuma-zj6ol ปีที่แล้ว +7

    Jamani simulizi tamu sana dah wewe kaka nakupenda sana❤❤❤

  • @LuhendemwiguluMwigulu
    @LuhendemwiguluMwigulu ปีที่แล้ว +21

    Wa kwanza like zangu🎉🎉🎉🎉

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 ปีที่แล้ว +6

    Jamani nyamiz 😂😂😂😂❤❤❤anko Jay

  • @NiceEdward-x8n
    @NiceEdward-x8n ปีที่แล้ว +2

    Anko j asntee sanaa Kwa simulizi nzuri mungu akibarik Sanaa sehem ya tatu hmna

  • @nadrakharith9301
    @nadrakharith9301 ปีที่แล้ว +5

    Anko j u are the king of the simulizi bwana ❤

  • @sarahdamsoni5127
    @sarahdamsoni5127 9 หลายเดือนก่อน +5

    Kwakwer ankojay napenda simulizi zako zimeniteka sanaa mbk nikiwa na mawazo mbk nasahau km namawazo yanatol yote napenda simulizi zako ❤❤❤

  • @salmamohamedi5405
    @salmamohamedi5405 ปีที่แล้ว +7

    Woooo asante sana ankojay

  • @JosephMasasi-w4i
    @JosephMasasi-w4i 9 หลายเดือนก่อน +3

    Anko j siwezi kufanya kazi bila earphone kusikiliza simulizi zako love it keep it up brooh

  • @Naomymihali
    @Naomymihali ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂nyadusiyo😂😂😂kuchikuchi hotahee bonge nyanya😂😂🙌🙌🔥🔥

  • @gladyssamba8370
    @gladyssamba8370 ปีที่แล้ว +8

    Hii simulizi ya leo noma sana nimependa sana ❤❤❤

  • @AnithaArakaza
    @AnithaArakaza ปีที่แล้ว +6

    Ooooooh 😂😂😂😂 Anko jay unatudangany kijeruman kusem i love u nd bonjour, bonsoir 😅😅😅 Mungu wangu unanifurahisha ❤❤

  • @ladyk6894
    @ladyk6894 ปีที่แล้ว +8

    Masha Allah Simulizi tamu kweli ❤❤

  • @JenniferMbulage-jy6br
    @JenniferMbulage-jy6br ปีที่แล้ว +2

    Napendag sana simuliz jmn Yan silali mie mmmh ank jay umewezaj kuteka hisia za watu big up sana broo

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 ปีที่แล้ว +16

    Ama kweli umempiga na kitu kizito😂😂😂😂😂😂😂 eti bonjour nae bonsoir🤣🤣🤣hiki si kifaransa jamani😂😂ama nimesikia vibaya😅😅😅😅

  • @KhalidKhalid-pf7og
    @KhalidKhalid-pf7og 11 หลายเดือนก่อน +7

    Hi Anko J....Mimi ni Fan wako kufa niko nje ya Tanzania lakini sikosi kuzisikiliza...nina opinion moja si rahisi najua..lakini kama Simulizi zako nzuri kama ikiwezekana kufanya pia short film ingependeza kweli..asante

  • @catherinea.myalla4150
    @catherinea.myalla4150 4 หลายเดือนก่อน

    My best simulizi ever so far @ankojay keep it up aiseee

  • @MajiburaAllyAllymajibura
    @MajiburaAllyAllymajibura ปีที่แล้ว +12

    Sauti tamu mashallah Ankojay huchoki kusikiliza

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp ปีที่แล้ว +2

    Wow I like this story yani iko bomba sana asante anko Jay kwa vitu vitamu na venye kusisimua one love bro

  • @violetmulya
    @violetmulya ปีที่แล้ว +14

    Kando na sauti ya ankojay, I really love his English I always enjoy it❤

  • @Amina0098-i5t
    @Amina0098-i5t ปีที่แล้ว +4

    Eti mboge nyanyaaaa😅😅😅😅😅😅ankojy nimecheka kwasauti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MitilaWakilongo
    @MitilaWakilongo 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wow, that’s good. I love it. So funny.

  • @amissanzeyimana3895
    @amissanzeyimana3895 ปีที่แล้ว +4

    Anko jay nakukubali saaan mtuuu wngu❤❤

  • @ladytya9323
    @ladytya9323 ปีที่แล้ว +8

    Ww mbb mbona muongo bonju kwa kijerumani 😂Eti Nakupenda

  • @jokhajj
    @jokhajj ปีที่แล้ว +8

    Iyi simulizi sijawahi ichoka naipenda sana nairudia rudia tu nakila nikiskiliza lazim nicheke😂😂😂😂😂😂😂

    • @eunicemitsanze8643
      @eunicemitsanze8643 9 หลายเดือนก่อน

      Tamu sana aisee😅😅😅😅

    • @jokhajj
      @jokhajj 9 หลายเดือนก่อน

      @@eunicemitsanze8643 umeona ee😂😂

    • @NadraBeyout
      @NadraBeyout 8 หลายเดือนก่อน

      Hebu nambieni kwani hii simuliz sielew Staa ninani sinderela au nyamizi

    • @jokhajj
      @jokhajj 8 หลายเดือนก่อน

      @@NadraBeyout hamna mtu anae itwa cinderella umo ndani ni nyamizi ndo staaa

    • @NadraBeyout
      @NadraBeyout 8 หลายเดือนก่อน

      @@jokhajj OK

  • @jadenchris5506
    @jadenchris5506 ปีที่แล้ว +2

    Waooooh nzuri sana tuna

  • @halimandele-n6u
    @halimandele-n6u 2 หลายเดือนก่อน +2

    hicho kifaransa Mimi hoi jamani mnihurumie mbavu zangu😂😂😂😂😂😂😂

  • @SecyBaby
    @SecyBaby 11 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda tu iz simuliz maan napataga usingiz mzur 🎉🎉😊😊

  • @patriciakyalo3454
    @patriciakyalo3454 ปีที่แล้ว +57

    Kwa Leo jamani team strong 💪 tumpe like zetu......viewers ni wengi lakini hakuna like 🎉 Kwa kazi yake mzuri😊

    • @LizaLiza-v2m
      @LizaLiza-v2m ปีที่แล้ว +6

      Tupo tim magaidi watu na mikaziyetu migumu💪💪💪

    • @jokhajj
      @jokhajj ปีที่แล้ว +6

      Tupo team hamam tunajipoza nasimulizi😂😂😂😂😂

    • @patriciakyalo3454
      @patriciakyalo3454 ปีที่แล้ว +5

      Itabidii tujiponze la muhimu ni Amani na furaha mahali tulipo

    • @HalimaSasya
      @HalimaSasya ปีที่แล้ว

      ​@@LizaLiza-v2m😊😊

    • @catherinekadima
      @catherinekadima ปีที่แล้ว +5

      Tupo hapo team fulus

  • @MaryChido-kp9br
    @MaryChido-kp9br ปีที่แล้ว +4

    Lissa mwala we ni kiboko nakupenda sana Kwa simuliz zako

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf ปีที่แล้ว +3

    Ankojay taratibu kaka da! Sio pw hongera zako kaka iyo sauti Jaman atariiiiii

  • @soldd-xz5ue
    @soldd-xz5ue 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sana Kaka Anko much love❤

  • @evelynanyango7859
    @evelynanyango7859 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana leo ni safi,hongera sana anko jay.

  • @Shadia544
    @Shadia544 ปีที่แล้ว +5

    Nasikiliza simulizi nipo nyumba tz 😂 nilikuwa naweka bando😂 nainjoi tuu 🥰

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiww sn uncle

  • @LuhendemwiguluMwigulu
    @LuhendemwiguluMwigulu ปีที่แล้ว +8

    Ankoooo j sioooo kwa lugha iyoooo 😂😂😂😂😂 kila lugha upoooo😂😂😂😂

  • @fatmasalum8334
    @fatmasalum8334 ปีที่แล้ว +5

    Dah anko jay nimefrai sana na simulizi hii😂😂❤

  • @BarakaMsemo
    @BarakaMsemo 2 วันที่ผ่านมา

    Aseee unasauti nzuri atarii ankoj

  • @Malau-p1r
    @Malau-p1r 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeraa sana utam kweli ❤❤

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +6

    Jamani yani hata mmoja wenu hakujitolea kuniamsha 😢mwaniacha nimekua wa khamsini kupungua zote😢sawa sichezi na nyinyi tena😂😂Ahsante Anko jay na lissa 😊

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂😂😂 Anko jay hapo pa kikorea umetupiga na kitu kizito kichwani😂😂😂😂..Anko jay utatuuwa 😂😂😂😂😂

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว +12

    Aaaah vanilla tuachie uwanja ni wetu ulichezea shilingi chooni bonge kafiwa na jimini kaozaa yaani hata harufu hainusi kamwe ❤❤

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 ปีที่แล้ว +4

    Mm nmependa hio sauti yako tu inanimaliza kabisa weee anko jay unatumaliza

  • @AnethJoseph-m5i
    @AnethJoseph-m5i 3 หลายเดือนก่อน

    Ank jay 😂😂😂 nakupenda Kwa kikolea wanasema je sijasikia❤❤❤🎉

  • @aminakea9172
    @aminakea9172 ปีที่แล้ว +8

    Asante anko j nimetulia hapa napata utamu wa simulizi mpya❤❤❤😊

  • @HappinessNiyubushobozi
    @HappinessNiyubushobozi 2 หลายเดือนก่อน

    The story is amazing I love it 🥰

  • @afsabizabishaka
    @afsabizabishaka ปีที่แล้ว +3

    Nzuri sana ubarikiwe 🙏

  • @AishaNanzua
    @AishaNanzua ปีที่แล้ว +11

    Ntaandamana kutoka Saudi mpaka tz nami ni mkenya kwaajili ya pt 3 😂 plz haraka

  • @hilalikhamisi
    @hilalikhamisi ปีที่แล้ว +3

    Ankojay simulizi tamu sanaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @Shantelmeer
    @Shantelmeer 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 aiseee! hii simulizi ni 🔥🔥🔥🔥 yaan Jimminy anafurahisha sana jaman da! Stress zote zimeisha hongera sana Anko Jay

  • @fatumahaji-ei5hk
    @fatumahaji-ei5hk ปีที่แล้ว +5

    Jamani kumbe tayari sijui nilikua wapi asante anko jay

  • @asiasabua2346
    @asiasabua2346 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤nimeipenda simulizi ❤❤❤❤tamu sauti nzur mashaallah 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 9 หลายเดือนก่อน +2

    Haki hapo pa hiyo lugha nimekoma mierrr😂😂😂😂😂😂,moyo fungupa pwaaaaaaa

  • @NadiaMukeshimana
    @NadiaMukeshimana 23 วันที่ผ่านมา

    Mimi nasikiliza habali nzuri ni musosi mtamu sana 🇷🇼🌹

  • @SabrinaNais
    @SabrinaNais ปีที่แล้ว +4

    Story Tamu sana Ila mnazingua part 3 sioni leo ya tatu

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p 4 หลายเดือนก่อน

    Hujawai kunifelisha simulizi zako tamu kama asali manshallah ❤🎉

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 11 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂Nimecheka hapo kwenye massage kuandika nakufuta

  • @NeemaLugoye
    @NeemaLugoye ปีที่แล้ว +2

    Ila Ankojay unatupiga na kitu kizito kichwani, eti kikolea nakupenda wanaisema 😄😄😄🤣🤣🤣🤣 jaman simuliz mix siach sikiliza mm 🌹🌹🌹

  • @mariethaludovich8970
    @mariethaludovich8970 11 หลายเดือนก่อน +5

    Ila boss😅😅😅

  • @LidiaAndrea-pq8tm
    @LidiaAndrea-pq8tm ปีที่แล้ว +5

    Hay tuone itakuwajee🤗🤗

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 ปีที่แล้ว

    Waa hata wazizi wanakataa jamani shatani yuko kazini kuakikisha hupati mema mungu yuko

  • @KhadijaJumanne-fb5xf
    @KhadijaJumanne-fb5xf ปีที่แล้ว +2

    Jamn me ilo neno bonge nyanya tuh 😂😂😂😂 .....nimeenjoy

  • @maggiesadock
    @maggiesadock ปีที่แล้ว +6

    Jamani Anko simulizi hii imenichekesha kweli 😂😂😂😂😂mbavu sina
    Na mimi nataka kuwa bonge kweli 😅😅😊

  • @Monia_nduwimana
    @Monia_nduwimana ปีที่แล้ว +1

    Hhhheee my bonge nyanya😅😅dhaaa makubwa kwl😅😮

  • @joyceabeli3787
    @joyceabeli3787 ปีที่แล้ว +6

    🎉🎉🎉🎉 chukkua maua yako anko j pamoja na lissa mwara ❤❤❤❤

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 9 หลายเดือนก่อน

      Kamaa yooote🌹🥀🌹🥀🌹🌹🌹🥀🌹🌹🌹🌹

  • @NashdaUlomy
    @NashdaUlomy 8 หลายเดือนก่อน +59

    Kama wewe ni mwanamke mnene kama nyamizi gonga like hapa tujuane

  • @sadikituji-rd5od
    @sadikituji-rd5od ปีที่แล้ว +2

    Huyo dada Lisa mwala namuelewa mnooo Asante kaka

  • @JanethOnesmo
    @JanethOnesmo ปีที่แล้ว +2

    Simuliz nzur sanaaaaaaa🔥🔥

  • @Monia_nduwimana
    @Monia_nduwimana ปีที่แล้ว +3

    😂😂kuch kuch hota hai yani sijui nisemeje❤❤❤

  • @violetmulya
    @violetmulya ปีที่แล้ว +3

    Top twenty ❤❤❤❤❤❤, feel loved everyone ❤

  • @glorylyimo6037
    @glorylyimo6037 ปีที่แล้ว +4

    Natamani movie ya hii kitu maana ni nzuri sana

  • @RahoubMohammedy
    @RahoubMohammedy ปีที่แล้ว +15

    ❤❤❤❤❤❤Anko jay endelea kuishi kwaajili ya kutupa utamu daily 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 2

    • @suhailaomar307
      @suhailaomar307 ปีที่แล้ว

      Jmn lissa wewe hujawahi kuniangusha kwakweli❤

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 9 หลายเดือนก่อน

      Hakika yuko vizur saaana

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂 kwenye mimba hapo nimefulahi sana anawakomesha sana 😂😂😂hawa wadada

  • @gracezawadi2937
    @gracezawadi2937 ปีที่แล้ว +9

    Nimesubili Kwa hamu part 2

  • @estherimbotsi7553
    @estherimbotsi7553 ปีที่แล้ว +5

    Afadhali sasa weeh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HellenaAntony
    @HellenaAntony ปีที่แล้ว

    Woww anko pamoja thanks so much our brother