Ila mschana wew,una mimba ya mtu mwingine,halafu unalala na mwanaume mwingie?una kiranga sana we mtoto khaaaaaaaa!!!!sijapenda kiukweli,hata kama ni simulizi
Najiuliza hawa wanaume hawawez kutulia na mpenz 1?wakat wa kuanzisha mahusiano mbona ahad ni nyingi na zinaonekana ni za kudumu ???acheni kuwaumiza wapendwa wenu wanaume
Huyu msimuliaji anabana pua sana, anapunguza ubora, asikilize mwamba wa sauti Felix Mwenda ajifunze jinsi ya kusimulia,si lazima awe na sauti kama ya Felix Mwenda, lakini ajaribu kuweka sauti yake vizuri kuliko kubana sauti hivyo inaboa, kila kitu ni kujifunza mbona inawezeka br
Hongela sana anko j maana unafanya watu tusilale Kwa simulizi zako tam
💗💗💗goes to our author and my favourite narrator God bless you always 🙏🥳
Yan nakupend jmn mpk nakupend tene asant kwa simulizi tamu❤❤❤
It's good
Asante smuliz mx
Daaah,ujana maji ya moto
Iko vizuri, maudhui ya Ukweli, misamaha, upendo.
❤❤❤0
Nzur
Leo wa Kwanza
Allah akubariki kaka rukas akupe maisha marefu tuzidi kutupa raha
😮cr. X😊
L
Nyuki
Mmmh,danga tena????😮😮😮
Msimulizi upo vizuriiii sanaaa kazi nzurii hongeraa simulizi hii infundisha sana na nzuri mnoo
Nakubali sana chalii yangu aisee uwezi amini big up broo 🤙🤙
Tamuuu sana jamaniiii ❤❤❤
Nakupenda sana
Nakupenda sana kwa sumulizi zako
Ulishoboka sana hata mtu mwenyew hujamjua ,kujirahisi huko vip khaaaa
Jaman ww nahao madakitali wakooo wee endelea 2 namambo yakoo ivoivoo
Mmmmh,una kiranga wew,siku ya kwanza tu unalala kwa mtu uchi hata hamjakubaliana mahusiano looooh
Shikamoo boys
Marahaba girls😂😂😂
❤
👍
🎉🎉🎉🎉❤
Ongera
Everything was just good.
❤❤❤❤❤❤
Lucas , good 💯 job....
❤❤❤
Hao ndio wanaume 😂😂😂 nime chili mm
😂😂🙌
Representing Kenya ❤❤simulizi tamu Sana
🙏
Ila mschana wew,una mimba ya mtu mwingine,halafu unalala na mwanaume mwingie?una kiranga sana we mtoto khaaaaaaaa!!!!sijapenda kiukweli,hata kama ni simulizi
Doctor umemuelewa binti aliyepekechwa vile na mwiko????jamn lkn ilikuwa fedheha nzito mno
Najiuliza hawa wanaume hawawez kutulia na mpenz 1?wakat wa kuanzisha mahusiano mbona ahad ni nyingi na zinaonekana ni za kudumu ???acheni kuwaumiza wapendwa wenu wanaume
Mh jamani ful raha
Jaman raha ya gari
💃💃
Kwann alimwambia sasa angebaki na hiyo siri tu uyu dada
Mschana uliyekutwa na dhahama kubwa namna hiyo,angethubutu kuingia ktk mahusiano mapema hivyo kweli?????kule kulikofokolewa na mwiko vip?????
Nmefka,wanasema. Chelewa ila ufike🥂🍾
👋 anko jay family
Jamani hivi kweli haya
Hi
Asente Sana Kaka mungu akupe maisha marifu musamaa ni kitu cha muhimu mtu haki chukia mtu yeye ni muhuwaji na hapendi mungu
Asante kwa burudani😊
Aiseee wote wanikosha hasa pale wanapokoseana nakusameana pia namungu watu amesema sameh nawe atakusamee . Duu simlizi nizur sana
Hood hood nimefika jamani
Luuuuuh,,,,fedheha kubwaaaa
Du!mtu hamjafanya makubaliano yoyote,unawezaje kukubali kwenda nyumbani kwake usiku jamani! khaaa
Khaaaa,!!!!!
Huyu msimuliaji anabana pua sana, anapunguza ubora, asikilize mwamba wa sauti Felix Mwenda ajifunze jinsi ya kusimulia,si lazima awe na sauti kama ya Felix Mwenda, lakini ajaribu kuweka sauti yake vizuri kuliko kubana sauti hivyo inaboa, kila kitu ni kujifunza mbona inawezeka br
Napenda simulizi ban
simulizi zenu zinafanana fanana geuzeni basi kdg
❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤
❤️❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤
💖💖💖💖
❤❤
❤❤
🌹🌹🌹🌹
Bgp
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤