NDEGE KUBWA YA KIJESHI TOKA QATAR YATUA KIA KWA MARA YA KWANZA KWAAJILI YA TUKIO KUBWA LA HANANG

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 221

  • @jebace
    @jebace 10 หลายเดือนก่อน +8

    kwa wale wenzangu na mie,hiyo ndege inaitwa C -17 global master kutoka kampuni ya Boeing marekani.pia Kuna nyingine mkubwa kushinda hiyo inaitwa the galaxy C - 5 kutoka marekani kampuni inayotengeneza nimeisahau sina uhakika km ni Boeing au Lockheed Martin.

  • @JuliusYonah
    @JuliusYonah 10 หลายเดือนก่อน +18

    We huelew bhn hio ndege inaondoka nawanyama hio nimbuchuchu bhn

    • @suleimanahmadaali5989
      @suleimanahmadaali5989 9 หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu unauhakika, yaani baadhi ya sisi watanzania tunapenda kufikiria mambo kinyume tuu bila ya msingi, yaani watu wamejitolea kuwapa misaada ndugu zetu, eti wanakuja kuiba wanyama, ukiambiwa utoe ushauhidi utatoa

  • @emanuelmselle637
    @emanuelmselle637 10 หลายเดือนก่อน +15

    Bure bure tuu😅😅😅

  • @Iam_mgahivevo
    @Iam_mgahivevo 10 หลายเดือนก่อน +6

    Hii ndege isipoondoka na wanyama sijui niko pale

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 10 หลายเดือนก่อน +9

    Mi naogopa misaada ya kutoka inje 😢😢😢😢

  • @yokoi3970
    @yokoi3970 10 หลายเดือนก่อน +9

    Hakuna msaada hapo. 😂😂😂😂😂😂

    • @magretangel5242
      @magretangel5242 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kwaio unatakaje

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 10 หลายเดือนก่อน

      @@magretangel5242 nikuulize ww vipi unatakaje

    • @NDEBILugalata
      @NDEBILugalata 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 tushaaa pigwaa sema tumesha zoea wanyongee wafanye tu wataenda kusemaa mbingunii

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 10 หลายเดือนก่อน

      @@NDEBILugalataNEXT ZINAKUJA CONDOM KUTOKA KWA PAPA WAGALATIA MSIZAANE MUWE MASHOGA 😢😢😢😢😢

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@OmmyJames-xn7jitulishaisha siku nyingi

  • @storytownTv
    @storytownTv 10 หลายเดือนก่อน +9

    Me na uhakika iyo ndege haiwez kuondoka tupu... Twiga kadhaa lazma wabananishemo tu hakuna cha bure Dunian #shtuken ma home pple

    • @htx1873
      @htx1873 10 หลายเดือนก่อน +1

      Exactly my point , think about it . Majanga yatokee few month ago halafu msaada watoe Leo ? Things just do add up , HIZI NDEGE HAZIONDOKI TUPU

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 10 หลายเดือนก่อน

      Mawazo mgando.
      Mawazo Matakoni

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@yousuphnzira3209amka ndugu yangu hiyo imekuja kuchukua na sio kuleta watanzania tutaamka lini?

    • @htx1873
      @htx1873 10 หลายเดือนก่อน

      @@yousuphnzira3209 unavyoongea na kutukana kama serikali yetu haiibi au haifanyi corruption , you are so stupid followers , ndiomaana your broke and hungry. Kweni hawaibi?

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 10 หลายเดือนก่อน

      @@htx1873 Unaushahidi Gani kua hizi ndege haziwezi kuondokea bila kubeba chochote kutoka Kwetu? .
      Acha kuleta dhana za kijinga.

  • @meshack3266
    @meshack3266 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hahaha tushapeleka madin upooooo acha tulipweee🎉🎉🎉🎉

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 10 หลายเดือนก่อน +9

    Hatari sana mungu ibariki Tanzania 🇹🇿

  • @abdulazizamani8103
    @abdulazizamani8103 10 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah Qatar 🇶🇦 ❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 หลายเดือนก่อน +3

    M.barikiwe mliotowa na naamini mmetowa kwa moyo na si kuwa matajiri

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 10 หลายเดือนก่อน +2

    Alafu watu wanakufa huko Gaza kwa njaa wameshindwa kuwasaidia chakula ila mbongo ndiyo kaonekana wa maaana sana

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Kuna chenye wamekuja kuchukua kuharibu

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wanaacha kupeleka misaada Gaza huko watoto wanakufa kwa njaa.
    Aiseee,if you know you know!

  • @magnetbaton
    @magnetbaton 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ila duh ni hatari kwanza Tanzania yetu ni tajiri tuna madini kama yote mbuga kama zote bahari mimea mbalimbali lakini bado misaada jamani ifike mahali watanzania tujikubali wenyewe kwanini tumekuwa watumwa wa misaada 😢😢😢 tutaja letewa na visivyotumika jamni tujikubali watanzania ebu tambueni umaridadi uficha umaskini Mungu ibariki tanzania Mungu waongoze viongozi wetu Amin #maget

    • @abelimwakijungu1226
      @abelimwakijungu1226 10 หลายเดือนก่อน

      Kwenye majanga kusaidiwa ni muhimu, ni vizuri kushukuru kwa msaada kwanza. Hata hivyo Una point muhimu kuhusu kujitegemea pia asante sana.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@abelimwakijungu1226hakuna msaada wa bure

    • @celifpower4993
      @celifpower4993 9 หลายเดือนก่อน

      @magnetbaton ata uturiki ni taifa kubwa ila ilipotokea mtetemeko wa ardhi walipokea misada kutoka nchii mbali mbali

  • @richardalex7296
    @richardalex7296 10 หลายเดือนก่อน +2

    Misaaada gan achaaa wabebe madini na wanyama2 akunaga msaada wa buree kutoka njeee

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 10 หลายเดือนก่อน

      Wagalatia ingekuwa condom za msaada mngefurahi sababu hampendi kuwazalisha wakina Maria 😢😢😢😢😢😢😢

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@OmmyJames-xn7j hakuna Cha bure kwani wameanza Leo kwenye ukweli tusimamie ukweli

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mama apewe maua yk ifike kwa walengwa

    • @ototek8037
      @ototek8037 10 หลายเดือนก่อน

      Mama apewe mauwa yake, misaada inakuja kwetu, sisi ndo mafisadi.

    • @Gamba81
      @Gamba81 10 หลายเดือนก่อน

      Maua gani ya upupu au

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน +1

      Upupu mtupu tumepigwa na kitu kizito kichwa

  • @RichadTenga-ze4vp
    @RichadTenga-ze4vp 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mh!tunashukuru.
    Eh Mungu,tunaombea faru zetu na tembo zenye vipusa,pamoja na twiga hata na swala,bila kusahau nyati.
    WOOTE wazid kustawi na kuokoka na mkono wa mjanja yeyote atakaekatiza.

  • @MussaSongo
    @MussaSongo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo dege haliwezi kirudi tupu kuna mabadilishano ya maana hapo tanzanzanite inaondoka hiyoooo

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 10 หลายเดือนก่อน +2

    kuna kitu si bure. mtaona watu wakilalamika sio muda.

    • @georgeurembo4553
      @georgeurembo4553 10 หลายเดือนก่อน

      Wanaondoka na wanyama hao

  • @mussajp8612
    @mussajp8612 10 หลายเดือนก่อน +1

    Aki mtu wangu
    Akili kumkichwa bureeeeeeeeeeee😔🙌🏼🤦🏼‍♂️

  • @HannaSamson-nq3hc
    @HannaSamson-nq3hc 9 หลายเดือนก่อน

    Nchi imesha uzwa 🎉

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ikiondoka inabeba twiga,swala,nyati,chui,mamba,simba n.k
    Ok,nipe,nikupe!!!

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน +1

      Umesahau na tanzanat,dhahabu na rubi

  • @ShabanSef
    @ShabanSef 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna Cha Bure mtanambia nimekaa pale

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน

    Wamekuja kuiba hatuwaamini

  • @reymahassan9358
    @reymahassan9358 10 หลายเดือนก่อน +7

    Serikali ipimeni hiyo misaada, ipo salama? Kwa vijana/wanaume na wanawake

    • @hekehindo5928
      @hekehindo5928 10 หลายเดือนก่อน

      Najiuliza leo tunapokea je wao yakiwakuta tutaweza kuwapelekea?

    • @mohamedaley5632
      @mohamedaley5632 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hao sio wazungu... ni watu wanaosifika dunian kwa kutoa bila kungojea Shukran

    • @reymahassan9358
      @reymahassan9358 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@mohamedaley5632 hakuna vya bure dunia hii, bure ni salaam tuu. Na salaam pia siku hizi inauzwa.

    • @ZaharaHassan-e8s
      @ZaharaHassan-e8s 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@mohamedaley5632
      Mmmmmmh point zerooo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@reymahassan9358Iko wazi misaada ndo umauti wetu

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc 10 หลายเดือนก่อน +3

    Sio mara ya kwanza zilishatua kubeba wanyama

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bora misada ya warabu haina masharit mzungu akikupa msada lazima mashariti mra watakwambia ushoga sasa huo sio msada wazungu hawafai

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Kwali usijidanganye

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 10 หลายเดือนก่อน

    Kuna kitu hakiko sawa😢

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 10 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah poleni kwa walioathirika

  • @macksokaempire5233
    @macksokaempire5233 10 หลายเดือนก่อน

    wakishusha misaada wanaondoka na twiga mmoja😅😅

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Mmoja hiyo wapi wanajaza na madini juu wamekuja na mpongo kabambe ati misaada

  • @dahlainismail6837
    @dahlainismail6837 9 หลายเดือนก่อน

    Saidieni Palestine

  • @pendaelyandrew7813
    @pendaelyandrew7813 10 หลายเดือนก่อน

    Tatizo sio kuja kwa msaada tataizo je zitawafiki walio asirika na majanga ayo .......? Maan hii nchi wapigaji ni wengi 😅😅

  • @allenmwambuch3689
    @allenmwambuch3689 10 หลายเดือนก่อน

    Jidanganye😅
    Tz 🇹🇿 uwezo wa kuwalisha na kuwajengea hao Raia wa Hananj upo na ni mkubwa sana tu. Misaada ya nini .
    Kuna kitu mbele ya huo msaada kupoteza ni simple sana

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Point ☝️🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 10 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye hiyo msaada bado wakati kuitoa kuna watu wataiba hiyo misaada, ukiwa muakilishi wa nchi inayotoa huo msaada unajisikia raha sana, tuna washukuru kwa utu wenu na kwa msaada wenu Mungu awabariki sana

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 9 หลายเดือนก่อน

    Mmh atari 😢 r .i.p magu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wajomba

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 9 หลายเดือนก่อน

    Sije kawa inaleta silaha😢

  • @ahmadally2437
    @ahmadally2437 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona na sisi huwa tunapeleka sana misaada kwenye zingine kama malawi na nchi nyingine, ila tukipewa sisi mnaleta negativity sijui kuibiwa sijui nini,, muda mwingine tuache negativity watanzania...Japo ipo ambayo huwa na condition ya kuumiza nchi

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bila Shaka ndege hii itapndoka na mzigo toka Tz

  • @dancerboy2686
    @dancerboy2686 10 หลายเดือนก่อน +2

    mmmmmh hii haiingii akilini kabisa lazima ilo pipa libebe wanyama

    • @khalidmohammed3396
      @khalidmohammed3396 10 หลายเดือนก่อน

      Nani anashida na wanyama wako wewe

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@khalidmohammed3396 wanabeba xana tuu tunajua

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 10 หลายเดือนก่อน

    Wazungu ndio tabia yao ushoga huo msafa upo salama hao viongozi wenu kutoka magaribi ndio shuhuli yao ushoga leo watoto wangapi wamewaharibu mbuni hayo hamuyasemi mmekua mabubu

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน

    Wazungu wanatuona sisi niwajinga sana

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 10 หลายเดือนก่อน

      Qatar sio Wazungu ni Waarabu. Pia hawana uwezo wa kuitengeneza ndege. Wamenunua kutoka Marekani

  • @asmaalghafri449
    @asmaalghafri449 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mna chuki na waarabu mwarabu hajawai kumpa mtu zawadi chakula au chochote akatia sumu mwarabu hana uwongo na kama hamvitaki tudisheni kweli masikini wengi wataingia motoni kwa kutoshukuru

    • @mangulimanguli3974
      @mangulimanguli3974 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mmoja wapo ni ww mwarabu mshenzi tu uyo mama kashauza loliondo

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 10 หลายเดือนก่อน +3

      Tofautisha Uarabu na Uislam. Waarabu ni wahovyo sana.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Hapa tusiongee swala la dini tuongee mustakabali wa taifa letu viongozi wetu wamepiga mnada nchi hiii

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 10 หลายเดือนก่อน +1

    Those tan for what, we have everything still there poor people so we need to be careful,

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

    Hakuna msaada wa bure,wakileta bilioni wanaondoka na matrilio 😂😂😂😂😂😂

  • @MariamMasoud-r5y
    @MariamMasoud-r5y 10 หลายเดือนก่อน +2

    Tutapigwa tukiomojatu tanzania itabakijina

    • @magretangel5242
      @magretangel5242 10 หลายเดือนก่อน

      Kwaio?

    • @Zuuh107
      @Zuuh107 10 หลายเดือนก่อน

      Me cjapenda kabsa Mungu atusaidie tz s masikin ila sisi wenye tz yetu ndo tunaifanya kuwa masikin😢😢😢

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@Zuuh107point

  • @Hellen-i2y
    @Hellen-i2y 10 หลายเดือนก่อน +1

    wakati waarabu wenzao wapalestina wanakufa njaa wanatusaidia sisi waafrika na watumwa wao kihistoria?ngumu kuwaamini!

  • @paulndaki8423
    @paulndaki8423 10 หลายเดือนก่อน

    Duh bc tu!!. Pumzika kwa amani baba John

  • @reginamlay5263
    @reginamlay5263 10 หลายเดือนก่อน

    Waarabu walivyo wabaguzi wanatuletea misaada!!!!!! MBURAAA NCHI IMEENDA 😢😢

    • @abrahmanifarouckissa5662
      @abrahmanifarouckissa5662 10 หลายเดือนก่อน

      Wanakuja kwa ajili ya mama haoo waarabu asili yao ni zanzibar

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@abrahmanifarouckissa5662madini na wanyama inahusu

  • @-magicstory
    @-magicstory 10 หลายเดือนก่อน

    Nimeanza kukumbuka ilr video ambayo waarabu wameweka bendera ya tanzania kisha wanaimba kwa frah 😮😮😮impact

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 10 หลายเดือนก่อน

    Boing 747

  • @salumNamgo1994
    @salumNamgo1994 10 หลายเดือนก่อน

    Asante mama kwa ushilikiano wako

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 10 หลายเดือนก่อน

    Tuombee Mungu atupe viongozi wanaojielewa siyo watembeza mabakuli

    • @saidalhinai1131
      @saidalhinai1131 10 หลายเดือนก่อน

      Wale watu wote waliopewa dhamanA kusimamia maendeleo ya nchi wengi wao wezi vp nchi itaendelea angalia mikutano ya makoda utalia dhulma masikini hana haki kufungwa na kupotea kwa watu nani alaumie utasema Rais lkn nyinyi wenyewe mnauwa nchi

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Viongozi wote wa afrika ni vibaraka vya wakoloni

  • @SATZ-news
    @SATZ-news 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hara tunawapa matwiga na matembo si ndo?😅😅

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 10 หลายเดือนก่อน

      Bora tuwape maana hatufaidiki nayo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@adamhashim3352amka na wewe Cha kupenda usingizi

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 10 หลายเดือนก่อน

    Alafu hawa waarabu sindiyo wali wahasi mabubu zetu kwa kuwatoa pumbuzao bila hata kutumia ganzi kisa wasije wakazaa na wake zao nandiyi maana leo hakuna diaspora mwafrika mwarabu wakutoka enzizaukoloni

    • @josephmasanja8584
      @josephmasanja8584 10 หลายเดือนก่อน

      Mwarabu sio mtu hat tone, angalia alichowafanyia babu zetu, angalia wanawake wanaokwenda uarabuni kufanya kazi za ndani, angalia walichokifanya huko Israeli octoba 7, na mengine mengi sana. Mwarabu sio mwanadamu kamili.

    • @hijamshamu873
      @hijamshamu873 10 หลายเดือนก่อน

      Mmekalilishwa sekula nyie acha mteseke na mawazo mgando,kuna watu washenzi kushinda wazungu na mayahudi duniani si ndio wamewaletea UKRISTO na sasa wanawataka muoane wanaume kwa wanaume.Hao wazungu si ndio watu wanao chocolate machafuko dunia mzima au hamuoni? Km macho makengeza masikio hamsikii.Sasa mkisikia waarabu roho zinawauma sana.Pingeni imani zenu za kupiga miziki ndio ibada yani wake kwa waume mnakata viuno hadharani eti oo tunaabudu😂.Nyie vp kukata viuno ndio kuabudu sass mtu km ww hivi unaweza kuwa na akili timamu kweli.Haya mie napita tu naendazangu.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli waliwafanyia mabaya yakuogomya sana

  • @noelmmari8570
    @noelmmari8570 10 หลายเดือนก่อน

    Hawa sindo wale inaosemekana Kwamba wanataka uwanja pia?? Wamekuja kukagua Mali yao😂😂 pumbap Sana

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Walishachukua mbona

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 10 หลายเดือนก่อน

    Hala Hala twiga zetu wajameni. Nothing for free.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Kwisha habari 😭😭😭😭😭

  • @josephguerino7416
    @josephguerino7416 10 หลายเดือนก่อน

    Jangwa linasaidia chakula n hi ya rotuba

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂 wamekuja kuchukua kwa vile wanajuwa watanzania walishaamka wakaja na kisingizio Cha misaada ili wasishtukuwe ila wapi

    • @josephguerino7416
      @josephguerino7416 10 หลายเดือนก่อน

      @@MiriamAbdallah nipe nikupe lkn sasa wao wanachukua yote na hatupati kitu😂😂😂😂 dah! Inasikitisha

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 10 หลายเดือนก่อน

    Ayabwana wanatuletea mitumba ya marehemu tunafurahi kweli semeni ukweli wamekuja kuchukua wanyama pori wetuu na madini

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona nchi ya Tanzania vyakula vipo vingi tuangalie na misaada mingine tunayoipokea

  • @stephenkimani5503
    @stephenkimani5503 10 หลายเดือนก่อน

    If you know you know hii imeeenda hakuna cha buree hapa tena kwa mwarabuu 😢😢kwishaaaaa sisi

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin หลายเดือนก่อน

      Now I know

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 10 หลายเดือนก่อน

    Yaani Tanzania tunashindwa kuwalisha wenzetuu wakati maghala yetu yamefurika mpaka yana taka kupasuka mme amua kuwaletea ndugu zetu sumu za waarabu ilimuwamalizie siyoo niaibu kubwa sanaa

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Ndio vimeletwa kwa issue nzito kwa kisingizio Cha msaada kwa tanzania yetu hatuitaji chochote kutoka nche ni viongozi hawajielewi

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan nyieee wenzangu na mie huu ni ujanja wakuchukuliwa rasili Mali zetu kiurahis kabisaa..... Baba magu alikuwa hayatak haya na tulikuwa tunajiendesha vzr tuu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi silaumu naba tu ifile kwa walengwa

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 10 หลายเดือนก่อน

    Ndio tabia ya msuwahili ukimpa jeuri usipompa atalalamika ndio huluka yake hana shukurani huku ananjaa huku kejeli

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน

    Sy bre kunavitu wamekuja kuchukua

  • @DaudiMollel-k3l
    @DaudiMollel-k3l 9 หลายเดือนก่อน

    Niwale walio munyima mchezaji wetu juis au ni wengine

  • @mahmoudhamisi673
    @mahmoudhamisi673 10 หลายเดือนก่อน

    Wabongo hamuwapendi waarabu wakiwa wazungu wanasifiwa wakiwa waarabu wanaambiwa wanakuja kuiba wanyama yani wewe unajifanya unauchuungu na wanyama wkt aliyewaumba hachukii unachukia acheni chuki na waarabu sisi wote tumetoka kwa adam sasa kama adam ni mzungu sawa wakataeni hao waarabu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kitu kama hicho wabogo walishaamka buda

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 หลายเดือนก่อน

    Atakae chukuwa hizo vitu na yeye sio mlengwa basi mungu amuadhirishe

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 9 หลายเดือนก่อน

    Waarabu wanarejea
    Sijawahi ona tukipewa msaada kutoka Uarabuni wana Aanang tumefanya nini kwa wenzetu

  • @misomisomisoji7722
    @misomisomisoji7722 10 หลายเดือนก่อน

    Iyo ni danganya toto tu, awa warabu wamekuja kukwapua wanyama poli wetu,

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 หลายเดือนก่อน

    Mana jambo la ovyo itakuwa kama mlengwa hapati mtu kwa kuwa yeye kiongozi ajinufaishe hivo itkw is sawa

  • @binseif2216
    @binseif2216 10 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania wamejaaliwa midomo hata yafanyiwe nininlkn baadhi yao hayana shukran

    • @josephmasanja8584
      @josephmasanja8584 10 หลายเดือนก่อน

      Kuletewa eti vitu vya usafi!!!? Msaada gani huo?

    • @binseif2216
      @binseif2216 10 หลายเดือนก่อน

      @@josephmasanja8584 Acha ujinga mtu akikukumbuka hata kwa kitu kidogo mshkuru mbona mataifa mengne hayakuwaza hili

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@josephmasanja8584yaani mijitu mingine haijatambui hapo hakuna kitu kinaitwa msaada

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 10 หลายเดือนก่อน

    Msada anatoa marekani ispokua mwanao wanataka wageuze awe shoga jee huoni nilaana hiyo hujui watu waliangamizwa wao mpaka vingozi wao ndio wameshika bango wanaume waolewe

  • @swalehejuma6611
    @swalehejuma6611 10 หลายเดือนก่อน +2

    Tunawashukuru but why?! Hivi hawa waarabu wanatupenda sana, oky inaweza kuwa hivyo. Vp huko Ghaza?!

    • @hemedzahor2002
      @hemedzahor2002 10 หลายเดือนก่อน

      Bado mauaji ya watt wasio kua na hatia yanaendelea

    • @swalehejuma6611
      @swalehejuma6611 10 หลายเดือนก่อน

      @@hemedzahor2002 watu wanakufa kwa njoo Ghaza

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@swalehejuma6611huu sio msaada ni kiini macho wamekuja kuchukua kwenye shamba la bibi ni huzuni na aibu kubwa kwa viongozi wetu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli watanzaniya wanataka waanziwe tu waseme hata wafanyiwe wema kiasi gani.kasoro zitaanza tu ivi tumerogwa na nani sisi tanzaniya?

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Misaada kwa upeo wako Tanzania inahitaji misaada?

  • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
    @NgaizaKimbeNgaizakimbe 10 หลายเดือนก่อน

    Our Girrafe Is Safe?🚶🚶🚶

  • @raymond5175
    @raymond5175 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwarabu!! mwarabu!! Mwarabu!!

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 10 หลายเดือนก่อน +1

    YAN WABONGO VICHWA VIGUM KILA SIKU MNAANDAMANA NA CHADEMA YENU ET MAISHA MAGUM MKIPEWA MISAADA HAMTAK HIV MTU AWAELEWEJ MAKE KAMA KUPAMBANA HAMUWEZ HEE😂😂😂😂

    • @josephmasanja8584
      @josephmasanja8584 10 หลายเดือนก่อน

      Bongo lala wewe!!!!!

    • @josephmasanja8584
      @josephmasanja8584 10 หลายเดือนก่อน

      Unapatwa majanga ya kukufilisi na kuua ndugu na jamaa, kisha unapewa Msaada wa ""pedi""
      UNAJISIKIAJE WEWE MTU MZIMA NA AKILI YAKO TIMAMUU!!!!!!!!?????????

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Mijitu mwingine bwana akili hakuna jua hakuna vya bure kwanza majanga yanamuda gani wanakuja Leo, watanzania tulishaamka we endelea kulala na CCM yako

  • @MerkizedeckChapakazi
    @MerkizedeckChapakazi 10 หลายเดือนก่อน

    msizani mnapendwa saana hapo ni win win situation

  • @RichardMlaguzi
    @RichardMlaguzi 10 หลายเดือนก่อน

    Washapata sababu ya kuuza wanyama

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 10 หลายเดือนก่อน

    Sio bure Kuna mkono wa shetani hapo siku inaondoka hawata aga

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 10 หลายเดือนก่อน

    Msubiri kulipa kupitia mikataba ya kuwa favour wanataka gesi yenu ya mtwara hamna cha bure duniani

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 10 หลายเดือนก่อน +1

    Waarabu aoooo...!!!

  • @danielrobert4838
    @danielrobert4838 10 หลายเดือนก่อน

    itaondoka na wanyama gani?😁😆🤣

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Wanyama na madini

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa Nini Wastoe cash kuliko vitu kama vyakula,

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu ibarik Qatar 🇶🇦 na Kiongozi wao kwahakika ni watu wazuri saana

  • @kephathicke9452
    @kephathicke9452 10 หลายเดือนก่อน

    wananchi watazipokea ipasavyo? au ndo bora zimefika

  • @gideonnzuzu5665
    @gideonnzuzu5665 10 หลายเดือนก่อน

    Sio kwa mara ya kwanza. Miaka ya 2004, 2005 hadi saba zilitua sana

  • @margaretmueni4595
    @margaretmueni4595 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani watazania mambo gani mumeanza sasa? Mnadanganywa na waarabu eti misaada huo ni upuuzi mtupu wanataka kubeba wanyama pori wenu

  • @iddykwangaya2794
    @iddykwangaya2794 10 หลายเดือนก่อน

    Moja itabeba madini,na nyingine, itabeba wanyama!

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Umeongea point ☝️❤❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Umeongea point ☝️❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ibia hao Wa TZ hawajielewag wanatakag kulelew na serikali mibaba mizima na midevu.. beba kila kitu wajing ndio waliwao.. endeleen kulalamika kwenye comments tu wa tz hamna lolote

    • @DanielKigesa
      @DanielKigesa 10 หลายเดือนก่อน

      Yakwenu yamekushinda utayaweza ya Tz

    • @prettynayally2177
      @prettynayally2177 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂sasa si na nyiy kina nani wanaibiwa lipeni kwanza deni la China ndo ufuguo mdomo kwq nchi yetu hatuna made ni 😂😂😂😂😂😂😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@DanielKigesamajina ya magret hayajitambui😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 10 หลายเดือนก่อน

    Bora waarabu kuliko wazungu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Wote walewale kwani Kuna mkoloni nzuri au mwizi nzuri?

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 10 หลายเดือนก่อน +3

    Tunapendwa jmn watanzania!! 😂😂😂😂😂😂😂!! All the all hongereni sana!!

  • @linahaule1852
    @linahaule1852 10 หลายเดือนก่อน

    Mmhm

  • @josephmasanja8584
    @josephmasanja8584 10 หลายเดือนก่อน

    Ila, mmhhhhh!!!!!
    Kama Msaada wenyewe ni vyakula vya aina hiyo, na si ajabu ni tende!!! na vifaa vya usafi wa kinamama!!!!???? SIJUI

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 10 หลายเดือนก่อน

      Chakula si wapeleke Sudan na Congo kwenye vita?

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@emmadora7848wanalao jambo

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 10 หลายเดือนก่อน

    Veeni mitandio basi mfiche hivo vichogo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Umeambiwa wote ni Muslim

  • @peterdeus6093
    @peterdeus6093 10 หลายเดือนก่อน

    Mnafarahi mnadhani vya bure hivyo mtalipa kwa namna yeyote

  • @rukiamadati336
    @rukiamadati336 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmh

    • @lodrickmwambene133
      @lodrickmwambene133 10 หลายเดือนก่อน

      Hapo wataondoka na chui na Simba kadhaaa 😁😁😁😁😁

  • @saidimwanyiro5147
    @saidimwanyiro5147 10 หลายเดือนก่อน

    Tunashkur kwa msaada