Tusaidie Sasa ww, kwahiyo kuanzia ile zahanati Hadi hospital ya M/nyamala wote wamepangwaa, subiri taarifa rasmi ya polisi utaambiwa Hadi eneo alilopata AJALI na watu walioshuhudia hiyo ajali
Usiwe na akili fupi ya kufikilia mtu hajaongea vibay yaan ww unajaji kua watu ni weng hawawez kupangw we chizi inapinduliwa nchi wanapangwa watu Zaid ya lakii @@2116-n
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun 😢masikini kwanini lakini jamani wampotezee uhai Mungu awalaani wasipate amani nawao kwenye maisha yao wapate misuko suko
Kwanini kila siku kuwe na Unknown Person Mochwari kwani zile alama za vidole zinazochukuliwa na Nida hazifai kutambua miili ya watu ambao wanapoteza maisha au wanaopelekwa hospitali halizao zinakua mbaya hawajitambui, au Mtu akifa zile alama za vidole hazifanyikazi tena? naomba wataalam mnijuze hili maana nashindwa kuelewa hadi leo🤔
MAISHA YANAENDA KASI SANA DAH,yaan saiz ukipotea ukija patikana jua maiti wachache sna waliorudi salama!,lkn yote kwa yote tuzidi kuungana na kupendana jman,Ibada iwe SEHEM ya MAISHA yetu ya KILA SIKU mambo MENGINE tuwaachie vyombo vya usalama.🙏🙏
RIP kaka, jamani kiukweli inawezekana ikawa ni ajali,mtu anaeijua Dar ataelewa ni mara ngapi umekuta bodaboda kagongwa ukasimama kusaidia au ajali yoyote ile?!,kwahiyo kwa Dar mtu kugongwa tena mwenye pikipiki yani anaweza akasubili either gari la polisi lije au bodaboda wambembe kumuaisha hospital,na kawaida watu wakimfikisha hospital tu wanasepa, kiufupi kama pikipiki ni hatari sana sema ndio hakuna namna,tujifunze kitu katika maisha hakuna neno kuwai,kama kitu kinashindika na leo subili kesho sio kupanda pikipiki kisa unataka kuwai.Pole sana kwa familia Mungu awape uvumilivu
Huyu katibu vipi kwani Sasa wanapokea mwili wa mtu kafa sawa Kwa ajali vipi walipokea kithibitisho kutoka police kuwa huyo kapata ajali mbona mnachukulia simple Sana et tunapokea kama miili mingne kwahyo hapo mmemficha na muuaji na wote daaaah au me ndio mshamba sielew taratibu
Mtu mwenyewe anatetemeka kama nini njia ya muongo ni fupi sana ila inauma aisee yaani wameona kimewaka huku mtandaoni wakatafuta namna ya kumalizia mchezo
watu wasio julikana mpaka watumalize ndio watafurai.yaani tanzania usiwe na kiasi cha mboga kosa lazima utekwe na wakuhuwe. tujilinde wenyewe wakati umefika mchawi selikali
Kwaiyo mpaka ajali inatokea,ata cim yake aikuonekana kwa watu ili watoe tarifa,na je chombo kilocho sababisha ajali aikuonekana?na je waliompoke dispensary walitoa tarifa wapi?
Na vitambuliaho pia havikuonekana? Na alikua peke yake? Watu wa karibu aliopata nao ajali watambulike ila yeye asitambulike? Gari haikujulikana plate namba ya nani?............ Mungu ailaze roho ya marehemi mahala pema peponi!
Kwahiyo kipindi taarifa za kuutafuta mwili zinasambaa mtandaoni waliomuhudumia katika hiyo Zahanati hawakuona? Huu ukimya una maana gani hadi asafirishwe mwananyamara hosp, taarifa zilikuwa tayari zishatolewa kwenye vyombo vya habari.
Ww not every one yuko active na mitandao kila saa kila wakati acha ku overthink na kupokea kila kitu negative unaweza kuta kuna taarifa za mitandaoni mm nazijua ww huzijui sio kila kitu utajua no matter walipaza saut kiasi gani vipo ambavyo mtu anaweza asiskie
Hao wasamaria wema waliopeleka majeruhi zahanati ya Makuburi waisaidie polisi ajali ilitokea wapi! Familia yake inastahili kujua nini kilitokea. Marehemu alitokea Sinza. Hospitali zilizofuatiliwa ni za mbali zaidi kutoka eneo aliloanzia safari. Baada ya kumkosa huko, Mwananyamala hospitali haikufikiriwa kwenda kuangalia? Siku ya sita leo taarifa zinatoka eti mwili ulipokelewa tangu tarehe 11 December, siku aliyopotea!!! Hapo kuna walakini mkubwa. Poleni sana familia 😢
Kwanza Toka cku aliyopotea walitoa taarifa ila hao uongoz wa hospital hawakutoa ushirikiano kama wamepokea huo mwili maan na picha zilisambazwa kuwa kapotea daaaah yaani bac tu
yule aliesema cm ya marehem mala ya mwisho ilikua temeke chagombe yuko wap Nakama kweli ilikua chagombe bx wezi waliiba cm Nakutembea Nayo umbali wa km 8,5 bila kuizima ila wezi wengne hua wapiga cm kwa ndug halafu Ndio wanaizima poleni wanafamilia
Miji ya Ulaya Hata Mtu ufie wapi unaweza uka pata ajali umbali wa 1200 Miles ila polisi wakifika tu watajuwa Majina yako, unapokaa na pia hapo hapo wanafikisha taarufa kituo kilichopo karibu yako na hivyo inawafikia hadi dugu zako
Something fish... Yoooooo Inchi inaingia gizani. Ina maana hakuwa na kitambulisho chochote mpaka waseme ni unknown? Na hao polisi hawana taarifa za ajali? Aiseee maswali ni mengi kuliko majibu.... Mwanga wa milele umwangazie eebwana... Apumzike kwa Amani 😢
Ila Tanzania kwasasa imekuwa nchi ya hovy san jmn kuuwa kumekuwa ni kawaida sana ....ajali inatokeaje isijulikane na serikali alafu hao waliomleta kwani hawakuokota hata vitambulisho vyake ....pili hakuna hata waliokuwa wanamjua na mbona wengine hupata ajali na kutoa namba za ndugu zao hili lichunguzwe jmn
Huyo mke wake nilivyoona anavyoongea jana kuna maneno aliongea yakanipa maswali zaidi. Haya mambo watasingiziwa watekaji tu ila pia tukumbuke kuna watakaopoteza marafiki zao au hata wapenzi wao huko huko. Swali langu hao watu waliokua wanampigia mume wake simu ili aende huko, walikuwa na namba yake pia na walikuwa wanawasiliana naye pia kabla hajaondoka au baada ya kuondoka ndio walianza wasiliana naye? Kama ni hivyo namba yake waliipata wapi? Na kama ni mke mbona jina la mwisho ni lingine tofauti na mune wake? Halafu alivuosema sijawaambia watoto mpaka tukijua na mama yake. Ukiangalia ni kama alikuwa anajua kitu. Na muda wa kupokelewa ni saa kumi na aliondoka saa sita hayo masaa mengine alikuwa wapi? Alikuwa hospital au alifariki pale pale? Na kwa nini alikuwa hataki kwenda huko?
Dah 😭😭😭 nimeumia mm sijui kwann mungu mpokee japo simjui hata
Mungu ndo hakimu, mnawinda roho za watu,mnaacha hai roho zenu,ipo siku 😢😢😢😢polenii wanafamilia ya ulomi
Nilikuwa nasubr Millard Ayo apost ndo niamin kumbe kwel 😭😭😭
Ndugu zangu watanzania akuna siku mwenyez mungu atashuka kuja kututetea inabidi sisi wenyewe itabidi tuchukue atua
Hatua ya nini fafanua
Huyu mama anavo ongea kama katengenezwa kwa watu wajicho latatu tunaona
Don't judge a book by its cover, usimjaji mtu kwa sura
Tusaidie Sasa ww, kwahiyo kuanzia ile zahanati Hadi hospital ya M/nyamala wote wamepangwaa, subiri taarifa rasmi ya polisi utaambiwa Hadi eneo alilopata AJALI na watu walioshuhudia hiyo ajali
@@2116-nwe mshenzi kweli
Usiwe na akili fupi ya kufikilia mtu hajaongea vibay yaan ww unajaji kua watu ni weng hawawez kupangw we chizi inapinduliwa nchi wanapangwa watu Zaid ya lakii @@2116-n
Kwahiyo wanakufa wote kwa ajali au anaongea kama sio msomi hapana jamani ukweli utajulikan
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun 😢masikini kwanini lakini jamani wampotezee uhai Mungu awalaani wasipate amani nawao kwenye maisha yao wapate misuko suko
Amen!!Daima na daima
Tanzania eeeeh...inchii yanguuu ohhhh#tongwa record
uwongo mtupu kwanini mnatengenezwa na mnakubari. we mama muongo unaminya minya macho tu
Hata macho yanaonesha kuwa ni uongo
Kwanini kila siku kuwe na Unknown Person Mochwari kwani zile alama za vidole zinazochukuliwa na Nida hazifai kutambua miili ya watu ambao wanapoteza maisha au wanaopelekwa hospitali halizao zinakua mbaya hawajitambui, au Mtu akifa zile alama za vidole hazifanyikazi tena? naomba wataalam mnijuze hili maana nashindwa kuelewa hadi leo🤔
Umetoa wazo zuri sikutemea 👍🏽
Pumzika kwa Amani kaka mwanga wa milele akuangazie eeh bwana 🙏🙏
Inalilah wa inalilah rajuhun Apumzike kwa Amani 🙏😭😭😭😭 pole kwa wanafamilia
E mwenyezi mungu tusaidie wana wako na taifa letu, am in tears
Sula ya huyu mama anaeongea. Mmmm Allahu yaaram. Allah anajua tusiyoyajua 😭
Hata kama kahongwa iwe pesa au maneno hayamfikishi popote
Usimjaji mtu kwa sura, na wewe tukikuona tukakuotia mwizi based on sura yako usilalamike kua mpole omba mungu akuepushe mengine muachie mungu
Ongea wewe sasa usaidie jeshi ..
@CasmirKiwale ww kimekuuma nini hapo nilichokiandika kama ujaelewa sema acha unafki
@dareplatform8784 usije ukaitiwa ww tu mwizi dua likakuludia mwenyewe. Allah akulipe kwahiyo nia uliyoniwekea
Mungu ndiye hakimu wa kweli.
MAISHA YANAENDA KASI SANA DAH,yaan saiz ukipotea ukija patikana jua maiti wachache sna waliorudi salama!,lkn yote kwa yote tuzidi kuungana na kupendana jman,Ibada iwe SEHEM ya MAISHA yetu ya KILA SIKU mambo MENGINE tuwaachie vyombo vya usalama.🙏🙏
Maelezo yajitosheleze why siku zote ni kimya na taarifa zimeenea siku nyingi
Ndio mara ya kwanza kwenye maisha yako unaona mtu kafa kwenye ajali?
Hayo maelezo ya kujitosheleza unataka yatoke kwa nani sasa?
Wewe dada katibu wewe km unaongea ukweli sawa km unaongea uongo wewe na ukoo mtaanguka kama maembe yaliyooza😢😢😢
Mbona cm yake cku anaondoka ofisini kwake hazikupatikana ?
Mungu awatunze na kuwafariji watoto na mke. Mungu asimame mwenyewe kwa Taifa letu. Tuliombee Taifa letu
Inna Lilah wainnailaihi RAJIOUN.Allah mtukufu ndio mjuzi zaidi
😢😢😢😢Daaa yaani nimeogopa mimi jamani
Mmmmh hai polis walikuwa haoni kuwa anatafutwa wakatoa taarifaa ya hio ajali mdomo wangu koma yaan kuna vitu vinaudhi
😢🙏
HUYU MAMA AKIPELEKEWA MOTO ATASEMA VZURI.UNAPOKEAJE MAITI BILA UDHIBITISHO
RIP kaka, jamani kiukweli inawezekana ikawa ni ajali,mtu anaeijua Dar ataelewa ni mara ngapi umekuta bodaboda kagongwa ukasimama kusaidia au ajali yoyote ile?!,kwahiyo kwa Dar mtu kugongwa tena mwenye pikipiki yani anaweza akasubili either gari la polisi lije au bodaboda wambembe kumuaisha hospital,na kawaida watu wakimfikisha hospital tu wanasepa, kiufupi kama pikipiki ni hatari sana sema ndio hakuna namna,tujifunze kitu katika maisha hakuna neno kuwai,kama kitu kinashindika na leo subili kesho sio kupanda pikipiki kisa unataka kuwai.Pole sana kwa familia Mungu awape uvumilivu
Usilolijua ni kama usiku wa giza nene tuu....Kuna mengi nyuma ya pazia ukiachana na bodaboda
Huyu mtu ni tajiri wazee, apate ajali asitambulike mapema?
Watekaji wakikamatwa wanafungwa...kwann wasinyongwe adharani.
Mwanamke anajua😅😅😅😅
Wanamme amkeni ..
Mtakufa😅😅😅
Inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia pamoja na jamaa wote
Dah imeniuma
Huyu kaka namfahamu aisee
Mbona jarida linaonyesha tar 12/12/2024.. na dokta anasema alipokea mwil tar 11-12
Huyu docta inaonekana muoga hajazoea maswali
Huyu katibu vipi kwani Sasa wanapokea mwili wa mtu kafa sawa Kwa ajali vipi walipokea kithibitisho kutoka police kuwa huyo kapata ajali mbona mnachukulia simple Sana et tunapokea kama miili mingne kwahyo hapo mmemficha na muuaji na wote daaaah au me ndio mshamba sielew taratibu
Mtu mwenyewe anatetemeka kama nini njia ya muongo ni fupi sana ila inauma aisee yaani wameona kimewaka huku mtandaoni wakatafuta namna ya kumalizia mchezo
@NeemaJuma-xn9nw Mungu ashughulike nao
Mahakama ya ulimwengu nibinadamu Mungu ndio hakimu wa haki na ninaamini atatenda haki kwa hili😭😭😭😭
Poleni sana wandugu na mungu awawezeshe
Basi tu Sisemi Kitu. Ila Bongo Kikubwa Uzima
Innalilah wanna ilah lajighuni 😢
Mke afanyiwe mahojiano yakina
Mmeanza waja, umeshaambiwa ajali , sasa mke ahojiwe ndiye alisababisha ajali, kamuhoji mkeo
watu wasio julikana mpaka watumalize ndio watafurai.yaani tanzania usiwe na kiasi cha mboga kosa lazima utekwe na wakuhuwe. tujilinde wenyewe wakati umefika mchawi selikali
Kwaiyo mpaka ajali inatokea,ata cim yake aikuonekana kwa watu ili watoe tarifa,na je chombo kilocho sababisha ajali aikuonekana?na je waliompoke dispensary walitoa tarifa wapi?
Na vitambuliaho pia havikuonekana? Na alikua peke yake? Watu wa karibu aliopata nao ajali watambulike ila yeye asitambulike? Gari haikujulikana plate namba ya nani?............ Mungu ailaze roho ya marehemi mahala pema peponi!
Kwahiyo kipindi taarifa za kuutafuta mwili zinasambaa mtandaoni waliomuhudumia katika hiyo Zahanati hawakuona? Huu ukimya una maana gani hadi asafirishwe mwananyamara hosp, taarifa zilikuwa tayari zishatolewa kwenye vyombo vya habari.
Ww not every one yuko active na mitandao kila saa kila wakati acha ku overthink na kupokea kila kitu negative unaweza kuta kuna taarifa za mitandaoni mm nazijua ww huzijui sio kila kitu utajua no matter walipaza saut kiasi gani vipo ambavyo mtu anaweza asiskie
Acheni kuwa na mawazo hasi tu kwenye kila kitu watu kama ninyi huwa ni waahirikina wa kutupa, kafariki kwa ajali elewa hivo
Umemjibu vizuri sana@@Miah0315
HAKIKA,SWALI LAKO NI ZURI SANA ...!! KWA NINI HAWAKUMJULISHA MKE WAKE?
Innalillaah wainna ilayh raajiun😭😭
Afadhari kapatkana
Hao wasamaria wema waliopeleka majeruhi zahanati ya Makuburi waisaidie polisi ajali ilitokea wapi! Familia yake inastahili kujua nini kilitokea. Marehemu alitokea Sinza. Hospitali zilizofuatiliwa ni za mbali zaidi kutoka eneo aliloanzia safari. Baada ya kumkosa huko, Mwananyamala hospitali haikufikiriwa kwenda kuangalia? Siku ya sita leo taarifa zinatoka eti mwili ulipokelewa tangu tarehe 11 December, siku aliyopotea!!! Hapo kuna walakini mkubwa. Poleni sana familia 😢
Kwanza Toka cku aliyopotea walitoa taarifa ila hao uongoz wa hospital hawakutoa ushirikiano kama wamepokea huo mwili maan na picha zilisambazwa kuwa kapotea daaaah yaani bac tu
sema nini Mungu awachonganishe huko huko wanako lishana posho za udhalimu kweli mnamwaga damu za watu manasingizia ajari
Ajali ya nini kagongwa na kitu ganiii wanduguuuuuu😢😢😢😢
Polen sna
Dah😢😢😢😢
Najaribu kufikiria mkuu alivyokua anapayuka jana mbele ya NWM naona aibu mimi 😢,tunakoelekea naona pabaya zaidi.
usishangae kumbe ninjama mke ndio muusika
yule aliesema cm ya marehem mala ya mwisho ilikua temeke chagombe yuko wap Nakama kweli ilikua chagombe bx wezi waliiba cm Nakutembea Nayo umbali wa km 8,5 bila kuizima ila wezi wengne hua wapiga cm kwa ndug halafu Ndio wanaizima poleni wanafamilia
Dah pole Sana kwa mke wake pamoja na watoto😢pumzika salama kaka
Hyo ajali ilitokea eneo gani mbona taarifa zilizotoka kupotea hakuna aliesema kuna ajali
Nikumbusheni ajali ya huyu marehemu Olomi ilitokea maeneo yapi DSM? Maama ajali ilitokea mchana watu wakiona.
Miji ya Ulaya Hata Mtu ufie wapi unaweza uka pata ajali umbali wa 1200 Miles ila polisi wakifika tu watajuwa Majina yako, unapokaa na pia hapo hapo wanafikisha taarufa kituo kilichopo karibu yako na hivyo inawafikia hadi dugu zako
Vp kwauzoefu wako mtu akifariki alama za vidole zinasoma?
Something fish... Yoooooo Inchi inaingia gizani. Ina maana hakuwa na kitambulisho chochote mpaka waseme ni unknown? Na hao polisi hawana taarifa za ajali? Aiseee maswali ni mengi kuliko majibu.... Mwanga wa milele umwangazie eebwana... Apumzike kwa Amani 😢
TANZANIA IMESHAHARIBIKA SANA
Ila Tanzania kwasasa imekuwa nchi ya hovy san jmn kuuwa kumekuwa ni kawaida sana ....ajali inatokeaje isijulikane na serikali alafu hao waliomleta kwani hawakuokota hata vitambulisho vyake ....pili hakuna hata waliokuwa wanamjua na mbona wengine hupata ajali na kutoa namba za ndugu zao hili lichunguzwe jmn
Daaah so sad 💔💔💔😭😭😭
Uongo utatuhukumu na uzuri wa uongo ni kwamba ikiwa utaongea uongo basi nawe yatakukuta na yatakutesa daima
Kuna kitu kimefichwa kwa kifo cha uyu kaka ila mjue chini ya jua hamna siri
Hakimu ni mungu tu
kabisas
Kabisaa
Police gan wana taarfa zipi akati na wao wanaomba wananchi watoe ushirikiano???
Kuna walakini hapa
Naisubiri siku ya hukumu,Kuna watu watateswa sana
Uwongo huyo hakuna ajali
Planted Case..
Anzieni zahanati hiyo nani aliupeleka huo mwili
Polesana kwa familia 😭😭
Daaa nimeumia sana mungu wangu
😢😢😢Bwana Yesu usituache
Innalilah wainna ilah rajiuun 😢
Duh hapana Kuna mchezo hapo huyo mama ahojiwe vzr
Mwenyezi Mungu atusaidie,,
Mh!dada kama unatupanga iv.
mmmmh hajali iyo ya kimywa mywa sio kweli nakama nihajali basi yakufanya kitengenenzwa
Mhhh ndugu zangu MUNGU ni mhukumu wahaki atahukumu
Su mulisema amejiteka😢😢
Planted..
Kwamaelezo ya mkewe ukiyasikikiza Naya huyu daktari nikweli huyu kijana alipata hajali muache mihemko
Kuna kitu hapa sio bure
Mtu kapata ajali jmn simu yake au Aliembeba mbona hawakutoa taarifa kwenye vyombo vya habari saivi TH-cam fb 😢
Ck zote hizo ndugu zake walikuwa hawajaenda mochwari jmn tumuogopeni Mungu dah
Mke wake alisema walienda mochwari zote.
Una uhakika gani na unachokiamini wewe mpaka unamtaja Mungu? Ukipewa nafasi ya kudhibitisha unachoamini utadhibitisha?
@@hellendaniel3809 sasa alikua wapi? Wewe unahisi nini kimemuua?
Dahhhh😭😭😭😭😭
Huyo mke wake nilivyoona anavyoongea jana kuna maneno aliongea yakanipa maswali zaidi. Haya mambo watasingiziwa watekaji tu ila pia tukumbuke kuna watakaopoteza marafiki zao au hata wapenzi wao huko huko. Swali langu hao watu waliokua wanampigia mume wake simu ili aende huko, walikuwa na namba yake pia na walikuwa wanawasiliana naye pia kabla hajaondoka au baada ya kuondoka ndio walianza wasiliana naye? Kama ni hivyo namba yake waliipata wapi? Na kama ni mke mbona jina la mwisho ni lingine tofauti na mune wake? Halafu alivuosema sijawaambia watoto mpaka tukijua na mama yake. Ukiangalia ni kama alikuwa anajua kitu. Na muda wa kupokelewa ni saa kumi na aliondoka saa sita hayo masaa mengine alikuwa wapi? Alikuwa hospital au alifariki pale pale? Na kwa nini alikuwa hataki kwenda huko?
Nami hapa nilijiuliza yule wakala alipataje mawasiliano ya mke? Mengine ni mashaka sana, mana pia alisema wakala ni mara ya kwanza kumtumia!
Hatujui
ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
Hiki kiumbe kililetwa kuiangamiza Ulimwengu mzima, wanakuua wakiwa wanakutzama
Ona macho ya lilian jaman achen uongo
Mungu anaona
Yatajulikana siku ya kufichuliwa siri zote
Hii nchi ni kitu gan kinaendelea
Ajali!!!!!!???? Tangu tar 11had 15 makubuli wasiseme kuwa walipokea mtu aliyepata ajali na taarifa zilisambaa sana jamani???
😢😢😢
Unafiki tu manina zenu mungu ailani nchi hii😢
Akulaani wewe na uzao wako
😂😂😂😂😂😂
Unaongea una wasi wasi sana haya tunaomba iyo zahanati ya makuburi ituambie wamepata wapi huo mwili
Duh. Tuishi tu kwa amani
Twende makuburi zahanati
Wakenya wanatuzumu tu na kiswahili chetu
Siku zote hizi hata kutoa taarifa Kwa umaa jamani
Daah 😢
Kwanini uongozi wa makuburi hamkutoa taarifa mapema nyie ni mauaji tu
Mungu ajua zaid
Ayo Tv mbon huulizi maswali ya msingi jaman
Cmwelewi kabsa ata mimi mana kama ni ajali ina maelezo ilitokea wap chanzo chake nn mg mh
Hii bongo acha tutafika tumechoka
jaman jaman jaman😭😭😭daa