🔴 LIVE: 17.08.2024 | NYOKA WA AJABU NA MAANA YAKE KIROHO | PR DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 55

  • @RoseMwema-ix8hb
    @RoseMwema-ix8hb 2 หลายเดือนก่อน +7

    Am much blessed, since I started following mahubiri t.v, God bless you

  • @daudnyore4696
    @daudnyore4696 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu anisaidie kurejeshwa tena katika ari ya Kiroho nlyokuwa nayo wakati wa changamoto, Somo Hili limenigusaa, Nimeguswa na Roho Mtakatifu
    BWANA akubariki Pastor Mmbaga na Timu ya Mahubiri TV

  • @linetokuku5390
    @linetokuku5390 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen barikiwa sana mtumish wa MUNGU hii somo ni ala kwangu na limekunja kwa wakati BWANA naomba unienue tena kwa maana wew ni mwenye Rehema na neema nyingi jina la BWANA litukunzwe milele❤

  • @SigwaLusaja
    @SigwaLusaja 2 หลายเดือนก่อน +3

    Unanibariki sana, tangu nianze kukusiliza nimekua tofaut sana, nimekua na ujasir hata katika maombi ninaamin maombi yangu yanafika juu kwa baba

  • @agnesmushi5709
    @agnesmushi5709 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante pastor, nimejifunza nguvu za asili na jinsi yakushinda kunena baraka / shukran tuu katika nyakat za shida,
    Nakukiri si kujitetea kuwa mkweli kwa dhambi zang na nimetubu ,
    Na kuanzia Leo katikat ya magumu nitamshukuru Mungu na kumsifuu Mungu , maana nimejua Leo , anajua sababu na atanishindiaa milele 🙏♾️

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna mambo makubwa nimejifunza hapa. Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kujifunza. Amina.

  • @StellaPetro-x8q
    @StellaPetro-x8q 2 หลายเดือนก่อน +14

    Pastor,napitia changamoto ktk maisha yangu,Nina mawazo ila nilikuwa natafuta move Moja inaitwa snake boy Sasa nikakutana Tena na kichwa Cha mafundisho yako kina neno nyoka,bas snake boy haikupata Tena chance simaanish kwamba sitaitafut ila Nashukuru Mungu Kwa ajili yako.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu akutendee mema

    • @SharonAron-t1j
      @SharonAron-t1j 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@MahubiriPrMmbaganakutafuta sana mtumishi Mungu akikupa kibali naomba niwasiliane na wewe 🙏

    • @HappinessAhia-ey1lq
      @HappinessAhia-ey1lq 2 หลายเดือนก่อน +4

      Mungu amekufungua kukutana na huyu mtumishi wa Mungu.
      Simfagilii ila amenitoabali sana sana.
      Hanijui Wala sijui ila nayaish masomo yake.

    • @nathankisalo
      @nathankisalo หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana

    • @nathankisalo
      @nathankisalo หลายเดือนก่อน

      Amen🙏

  • @ChristinaMndambi-z9y
    @ChristinaMndambi-z9y 2 หลายเดือนก่อน +3

    Amen pr mungu akubariki sana

  • @mborawakiche7564
    @mborawakiche7564 2 หลายเดือนก่อน +1

    "Chumvi ikiharibika itatiwa nini ikolee tena?? Mungu atusaidie kwakweli mana nyakati hizi ni ngumu sana bila kupata maneno ya kututia nguvu hiviii🎉🎉 Barikiwa sana Mtumishi wa Baba 🙏🙏

  • @marrynzota6820
    @marrynzota6820 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe pastor namshukuru Mungu nimepitia hii ibada nimebarikiwa na kujifunza🙏

  • @marykarothi7452
    @marykarothi7452 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pastor Mmbaga ni vizuri kumbariki muumini ambaye anashukiwa kuwa ni mchawi sana?
    Ana shida, kumtembelea na kumbariki na kuomba naye inampendeza Mungu kweli?

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 หลายเดือนก่อน +2

      Katika vita yoyote ni fahari kubwa kuteka nyara,kazi yetu ni kuteka nyara waje kumtii KRISTO. Ikiwa kumtembelea kuta kumuokoa,fanya hivyo

  • @sarahemukule
    @sarahemukule 2 หลายเดือนก่อน

    Amen,hakika nazidi kubarikiwa na mahubiri Yako pastor may God continue blessing you,unapoendeleya na Huduma ya Bwana

  • @victorchristopher4117
    @victorchristopher4117 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor hili somo nimekutana nalo usiku, hakika linaenda kubadilisha kila kitu kwangu, Mwenyezi Mungu azid kukuinua zaidi, ubarikiwe sana mtumishi

  • @kwandundaki8568
    @kwandundaki8568 2 หลายเดือนก่อน

    Hili somo nilikuwa kwa ajili yangu nashukru Mungu nimeliona naamini Mungu amenisamehe na kusikia toba na maombi yangu pia barikiwa pastor kwa somo 😊

  • @lucynyigana2801
    @lucynyigana2801 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU MKUU JINALAKO LITUKUZWE MILELE Asante mchungaji kwakuniongezea ufahamu kila siku ubarikiwe

  • @DotoS12
    @DotoS12 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mch mbaga Nakuombea sana Mungu wa mbinguni aendelee kukutumia vyema shmbn mwake kwn ninabarikiwa sana na masomo Yako Amina

  • @AnneMsofe
    @AnneMsofe หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @loycemalach9662
    @loycemalach9662 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mm napenda mafundisho unayofundisha ila zaidi unavofundisha kujitegemea ktk maombi sio kuombewa kila ck.imani ya mtu binafsi ilalipa

  • @euniceosoro7433
    @euniceosoro7433 2 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu akubariki sana hata kama napitia changamoto rakini naamini bwana atatenda🙏🙏

  • @BeatriceMathew-qy5lw
    @BeatriceMathew-qy5lw 2 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa mungu uwa naelewa sana mafundisho yako

  • @racheledwin-r1m
    @racheledwin-r1m 2 หลายเดือนก่อน

    yourthe best

  • @JanneyPuda
    @JanneyPuda 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe pastor l came from kenya

  • @JohnMpangala-u7q
    @JohnMpangala-u7q 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pr barikiwa sana

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 2 หลายเดือนก่อน

    Amen! Mubarikiwe Sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EmmanuelHaali
    @EmmanuelHaali 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shalom ! Nitapataje kitabu chako cha namna ya kusikia sauti ya Mung

  • @geraldmwangira.4978
    @geraldmwangira.4978 2 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe pia Pastor.

  • @SalomeMoturi
    @SalomeMoturi 2 หลายเดือนก่อน

    Amen pastor

  • @WahindiKwembe-c1g
    @WahindiKwembe-c1g 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @KalumbiloKalumbilo-w4s
    @KalumbiloKalumbilo-w4s 2 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa pastor

  • @shdrakfabian6126
    @shdrakfabian6126 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki past amee

  • @ziporamachilu6877
    @ziporamachilu6877 2 หลายเดือนก่อน

    Nimepokea kwa nguvu mpya moyoni mwangu umenibariki sana kwa somo hili hakika Bwana amekuchagua ktk shambani mwa ke nakuombea mema mchungaji

  • @mussacharles5311
    @mussacharles5311 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika mmbaga umetumwa na BWANA.

  • @PendoJoseph-jv8cm
    @PendoJoseph-jv8cm 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @DavidMsukuma
    @DavidMsukuma 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mafunndiishoo yako ni Quality

  • @asnathnyabagala9292
    @asnathnyabagala9292 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pr.naomba hilo SoMo utakaloanza Kesho huko bondeni liweke online Kila siku

  • @ElibarickAllex
    @ElibarickAllex 2 หลายเดือนก่อน +2

    hiyo tumechukua ,, jina la bwana libarikiwe

  • @anjelinaAnjela-ip9oj
    @anjelinaAnjela-ip9oj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu asifiw mtumishi wa MUNGU yaaan nimecheka kumbe wanga wa jua ulihingia ndani😅

  • @PaulinaMasaka
    @PaulinaMasaka 2 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji kitabu cha pambano kuu

  • @mussacharles5311
    @mussacharles5311 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika wewe mmbaga una MUNGU.

  • @neemasamwel8968
    @neemasamwel8968 2 หลายเดือนก่อน

    Hata me nilikuwa najiuliza maana ya nyoka alizunguka msalaba kwenye nembo ya hospital pharmacy ninini leo wacha nikusikilize

  • @EmmanuelHaali
    @EmmanuelHaali 2 หลายเดือนก่อน

    Niko babati

  • @OnesmoElias
    @OnesmoElias 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna vipengele vimeluka

  • @GeorgeBarnaba-to5sx
    @GeorgeBarnaba-to5sx 2 หลายเดือนก่อน

    Bondeni iko hapa dodoma jaman

  • @spelansiandanzi204
    @spelansiandanzi204 2 หลายเดือนก่อน

    Pastor kanisa limepatwa na nini mbona kashifa nyingi za kanisa kwa ajiri ya nembo ,wachungaji

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 หลายเดือนก่อน

      2 Timotheo 3:1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. This know also, that in the last days perilous times shall come.

  • @GeraldMsagara-r5f
    @GeraldMsagara-r5f 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Trizah-254-e
    @Trizah-254-e 2 หลายเดือนก่อน

    AMEN