Wah,huyu Mungu aki ni kweli usipomwelewa hutamtaka tena maishani,yaani 😭😭😭 nimefunga , nimeomba kama sitaomba tena sikuingine nikabeba imani na kuweka matumaini kwake baada ya kusikiza mafundisho lakini hayo yote ni bure.hakika kama kuna kitu hakizuiliki kwa maisha ya mwanadamu ni mpango wa Mungu Ni huzuni kubwa kumpoteza dadangu Ruth baada ya kuteseka mda mrefu,lakini hata kama imekua Mungu nisaidie nisirudi nyuma ubaki kua Mungu milele🙏🙏🙏🙏🙏🙏
One day ilikua Sabato ya meza ya Bwana kiongozi wa Mama akataa tuoshane miguu Kwa sababu hanifahamu...lakini namshukuru Mungu Kwa ajili yako....Kwa Kua I have been following your teachings and now I'm grateful to God...now I'm makwazo free
Amina mtumishi nashukuru Mungu sana kwa ibada na mafundisho inayonitia nguvu siku Mungu aziidi kukupa afya uzidi kumfanyia kazi ni Wilson kipkosgei kutoka kenya 🙏
Wah,huyu Mungu aki ni kweli usipomwelewa hutamtaka tena maishani,yaani 😭😭😭 nimefunga , nimeomba kama sitaomba tena sikuingine nikabeba imani na kuweka matumaini kwake baada ya kusikiza mafundisho lakini hayo yote ni bure.hakika kama kuna kitu hakizuiliki kwa maisha ya mwanadamu ni mpango wa Mungu
Ni huzuni kubwa kumpoteza dadangu Ruth baada ya kuteseka mda mrefu,lakini hata kama imekua Mungu nisaidie nisirudi nyuma ubaki kua Mungu milele🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Jm watching from saudi jm blessed
One day ilikua Sabato ya meza ya Bwana kiongozi wa Mama akataa tuoshane miguu Kwa sababu hanifahamu...lakini namshukuru Mungu Kwa ajili yako....Kwa Kua I have been following your teachings and now I'm grateful to God...now I'm makwazo free
Amina mtumishi nashukuru Mungu sana kwa ibada na mafundisho inayonitia nguvu siku Mungu aziidi kukupa afya uzidi kumfanyia kazi ni Wilson kipkosgei kutoka kenya 🙏
MUNGU akubariki sana mtumishi ,umekuwa mwalim wangu kwa mda mrefu ,ndipo nashukuru MUNGU sana kwa kuwa amekujalia
Amen
Mubari kiwe sana watjmishi mungu awe nanyi wakati wote
Amina nimebarikiwa Sana na somo.Barikiwa Mchungaji Mmbaga.
Asate mtumishi wa mungu akubariki sana kwamafundisho mazuri nimebarikiwa sana mutumishi 🙏🙏🙌🙏🎉🎉🎉🎉
Bwana ni mwema,, naomba kuombewa juu ya familia yangu Zaid Kwa b mkubwa, akaweze kupona ni Kwa Imani Amina
mtumishi Mungu wabngun azidikukutmiya nakukzidishya neema unayabadilisha maishaangu kiasikikubwasana katika Imani
Asante pastor kwa injili tamu mungu atukuzwe kwa yote kwa jina la yesu
Paster Mungu akutie nguvu uwendelee kutusogeza karibu na msalaba
Amen.Nimebarikiwa sana
Asante mtumishi wa MUNGU alie juu saaana
Namshukuru Mungu kwa Neem yake kwa familia yangu awe pamoja nami na anilinde katika kamaisha yangu yote katika jina ya YESU kristo Ameen
Amen Glory to God may God bless you pastor
Mchungaji ñaomba kuombewa juu ya tumbo langu likaweze kufunguka nikaweze kupokea mimba ni kwa Imani Amina 🙏
Mtu akitaka Roho wa Mungu, akusikie ukifundisha. Automatic Roho Mtakatifu atamgusa msikilizaji. Nadumu kumshukuru Mungu kwa utumishi wako, Pr Mmbaga.
Amina barikiwa mtumishi wa mfalme kwa neno hili, Bwana azidi kukutumia ahsante.
Mwenyezi mungu akubariki sana mchungaji,na aendelee kukutumia ili kutuandaa kwa ajili yautume na ufalme wake.
Mungu akupe afya tele na jamii Yako aminaa nabarikiwa sana
Amen ubarikiwe pastor.
Amina Mtumishi wa MUNGU,ubarikiwe kwa mafundisho mazuri.sindano inauma lakini ndo mgonjwa anapona.
God bless you Pt David
Mungu awabariki sana pr.
Njoo kanisa letu la Mlole Kigoma mjini. Tunatabi ya kuchagia wanafunzi.
Amen and Amen 🙏
Amen pasta mungu azidi kukuongoza kwa kila hatua
Amen. Ubarikiwe Pastor Mbaga
Asnte mtu wa Mungu mafundisho yako na masomo yako yamebadilisha Maisha yangu na maelfu wamemujua Mungu
Na ubarikiwe sana na Mungu kwa kutufundisha neno la Mungu
Umbarikiwe pesto pamoja na familia yako
Amina Amina Amina nimebarikiwa sana na ujumbe huu
Tunabarikiwa Mungu Azidi kuwa nawe Mchungaji
Kumbe usione vinaelea vimeundwa!!!hongera mtumishi kupika watu wako
Amen 🙏🏾
Asante amen
Amina
Amina Amina Amina watumishi
Naomba kujua. Mpo sehem gani na cm no nitaipataje
😂ubarikiwe. Sana pasta
MUNGU akulinde pr
🙏🙏🙏
Jina la BWANA libarikiwe
PR Mungu akutunze na akulinde pia
ubarikiwe Mu nenaji
🤔💖🙏🙏🙏
❤❤❤❤
Mchungaji upalikiwe
MUNGU ATUKUZWE SANA KWA AJILI YA MAFUNUO ANAYOKUPATIA, SIKU KWA SIKU, BARIKIWA MNO
Ameeen
Amina