CCM WANA VIBURI NAPE AMESENA UKWELI WALA SIO UTANI LAKINI TUMWAMBIE TU TUTAONDOKA NA MTU-MASAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • IPINDA ONLINE TV..........Asante kwa kuchagua Ipinda online tv........usisahau kusubscribe channel yetu

ความคิดเห็น • 13

  • @LamaLama-rf6xu
    @LamaLama-rf6xu หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana kiongozi
    Lazima tumlinde Mbowe Kwa gharama yoyote
    Anayempinga Mbowe ni adui wa taifa hili.

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana mwenyekiti wa mkoa nikweri mbowe apewe nafsi ya kuiongoza chadema mpaka nchi ikombolewe hatoki unyekiti sababu nimtu mwenye misimamo nandio maana ccm hawalali juu ya mbowe chadema tujitafakari mbowe tumetoka nae wapi,tuko wapi tunakwenda nae mpaka kieleweke hatumwanchi

  • @elishandagala8677
    @elishandagala8677 หลายเดือนก่อน

    Big up binafsi Naona Msigwa akili yake imechoka kufikiri kwa sababu kama hoja yake ni Nkurunzinza chama chake ndo kinastaili jina Hilo Kwa sababu kimetawala muda mrefu sana

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 หลายเดือนก่อน

    Mkuu pmj pongezi kwako

  • @bethuelerasto8708
    @bethuelerasto8708 หลายเดือนก่อน +1

    Mbowe bado tunamhitaji mitano tena Kwa Mbowe Zitto anatumika ili sisi tuache amiri jeshi mkuu Kwa kutegwa na CCM kupitia CCMB yao

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay หลายเดือนก่อน +1

    Acha nao hao ! Si unajua Tena samaki anaanzia kuoza Toka kichwani ? Mh Mbowe Mmoja tu anawahenyesha Chama cha mafisadi wote !

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 หลายเดือนก่อน

    UMENENA KIONGOZI SHUJAA

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 หลายเดือนก่อน

    💪💪💪💪umegusa kwenye mshono, IQ yako imepenya kwenye vichwa vya watanganyika waliowengi wameanza kuona mwanga

  • @bethuelerasto8708
    @bethuelerasto8708 หลายเดือนก่อน

    Hivi msigwa anamke kweli?

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 หลายเดือนก่อน

    Msigwa alikua chawa wa ccm wa akiba asiye na faida ccm kwenyewe kwa alivyokifunua madhambi yake muda wote akiwa CDM Digital. Zito hivyo hivyo, akipewa kadhaa anajiuzulu uenyekiti kusudi tu aitege CDM lakini amecheza kamari isiyo na macho,sasa atategemea za fadhila kwa kuwaingiza wazanzibar kwenye serikali ya umoja wa kitaifa wa kujidhulumu wenyewe.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 หลายเดือนก่อน

    Huku Arusha siku mwkt. Mbowe,Lissu,Lema,Heche,Kigaila,Mnyika na wengineo waliodumu miaka yote wakivumilia mateso ya ccm,kutishiwa vifungo, kuuawa,na kufilisiwa bila kutikisika wakilogeka na kuanza kuhamia ccm,na sisi ambao cdm iko mioyoni mwetu tutapoteza imani ya mapambano na kuiombolezea CDM kifo rasmi nchi hii!