VITA VYA KIROHO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 เม.ย. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @franciscambatha4314
    @franciscambatha4314 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @shukranialmanus
    @shukranialmanus 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni, kila roho za kichawi juu ya familia yangu zikashindwe kwa jina la Yesu

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 14 วันที่ผ่านมา

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen pstr barikiwa sana mutumishi wa Mungu

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 3 หลายเดือนก่อน

    Yesu wa MUNGU muumbaji tusaidie ktk vita hivi vya kiroho. utukufu na heshima una wewe daima.Ameen

  • @CarolyneSimiyu-xq7qk
    @CarolyneSimiyu-xq7qk หลายเดือนก่อน

    Aminaaaaa ❤❤

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo3947 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah ❤wachawi wote wapiwe na upofu

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen somo hili linanibarik sana kila wachawi wanonifuatilia maisha yangu waibike wote

  • @user-wm2kc5ki8i
    @user-wm2kc5ki8i 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa somo mchungaji, anaye nisumbua ni sengi yuva, n'a kisya, kasyenene

  • @deborajackson7073
    @deborajackson7073 2 หลายเดือนก่อน

    Wapofushweeeeeeeeeee

  • @estherboneka1341
    @estherboneka1341 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Kila uchawi uachie maisha yangu sasa

  • @KleverAriel
    @KleverAriel 3 หลายเดือนก่อน

    Tack my master for the teaching

  • @frankstarstz470
    @frankstarstz470 3 หลายเดือนก่อน

    Naiwe nuru katka jina la yesu kristo...wachawi wote naadui zangu wafie mbali...

  • @aidanongole9341
    @aidanongole9341 3 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @samwelikisigila4818
    @samwelikisigila4818 2 หลายเดือนก่อน

    KILA MAADUI ZANGU WAPIGWEEEEE NA KUANGAMIA

  • @leticiamachibya1851
    @leticiamachibya1851 3 หลายเดือนก่อน +1

    God of Major one

  • @isackboniphace9934
    @isackboniphace9934 2 หลายเดือนก่อน

    Huu ni ufunuo mkubwa sana,
    Haya mambo eti namwachia Bwana staki kabisa. Naanza nao rohoni namalizana nao mwilini, yaah

  • @nicholausmalila2181
    @nicholausmalila2181 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana uesu kristo.natuma utiisho kwenye maosha yao wakakuone uweza wako

  • @harrietnatakwa9814
    @harrietnatakwa9814 3 หลายเดือนก่อน

    Wachawi wanao nitumia nyoka kwa ndoto wakufe katika jina LA yesu

  • @shukurusyriack3504
    @shukurusyriack3504 2 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi,natamani sana kuongea na wewe, lakn sikupati kabisaa.naomba unisaidie tafadhali mwenye no ya huyu mtumishi

    • @vailetjeff5199
      @vailetjeff5199 หลายเดือนก่อน

      Kanisani makongo karibu na chuo cha aridhi utampata

  • @studio..07
    @studio..07 2 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza kitu ambacho nilikuwa sikijui

  • @williamtv2260
    @williamtv2260 2 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu yanipate mazuri haya.......

  • @Wilsonduwee
    @Wilsonduwee 3 หลายเดือนก่อน

    Halleluya

  • @godwinmakomba2714
    @godwinmakomba2714 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mtumishi ananibarikigi sana

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 3 หลายเดือนก่อน

    Toka nimemwaga maji nyumbani mwangu, nimejawa na mate mengi mdomoni. Naamini nimefunguliwa

  • @user-ps7yw1vy9v
    @user-ps7yw1vy9v 3 หลายเดือนก่อน

    Wachawi wote moto wa roho mtakatifu uwachome.

  • @josephineuriyo8666
    @josephineuriyo8666 3 หลายเดือนก่อน +1

    Apostle adui yangu anaitwa Sechelela ambaye kaiba mume wangu wa ndoa. Apewe adhabu

    • @elibarikilukasimakala5534
      @elibarikilukasimakala5534 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @janengaga2928
      @janengaga2928 3 หลายเดือนก่อน

      Duh ha haaa

    • @RwidhiaRichard
      @RwidhiaRichard 2 หลายเดือนก่อน

      Mwana mke mwenye hekima hujenga nyumba yake kwa mikono yake
      bali mpumbavu hubomoa kwamikono yake mwenyewe 😅😅😅 hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mwenye busara

  • @samwelikisigila4818
    @samwelikisigila4818 2 หลายเดือนก่อน

    KILA MAADUI ZANGU WAPIGWEEEEE NA KUANGAMIA

  • @harrietnatakwa9814
    @harrietnatakwa9814 3 หลายเดือนก่อน

    Wachawi wanao nitumia nyoka kwa ndoto wakufe katika jina LA yesu

  • @harrietnatakwa9814
    @harrietnatakwa9814 3 หลายเดือนก่อน

    Wachawi wanao nitumia nyoka kwa ndoto wakufe katika jina LA yesu