JINSI YA KUKUZA NYWELE ZENYE DAWA NA NYWELE NATURAL| MATUNZO YA NYWELE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 8

  • @elizabethkalugo4671
    @elizabethkalugo4671 3 หลายเดือนก่อน

    Nimekufuata maana una nywele kama zangu shida ya nywele zangu zinakatika mno sana utanisaidiaje

  • @eunikekalenge9491
    @eunikekalenge9491 9 หลายเดือนก่อน

    Thanks darling...Ni lazima kutrim hair?

    • @prissykil
      @prissykil  9 หลายเดือนก่อน +1

      Karibu dear
      Kama una ncha zilizofungana ni vizuri kutrim ili kuepuka kuendelea kujifunga na kuharibu nywele nyingine
      Ila kama ncha zako hazijafungana huna haja ya kutrim

    • @AgnessTemba-l2r
      @AgnessTemba-l2r 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi ninanywele za dawa ila azikui

  • @SalhaKimaro-lg3vc
    @SalhaKimaro-lg3vc 7 หลายเดือนก่อน

    Hzo chupa za kuspray maji zinapatikana wap?

    • @prissykil
      @prissykil  7 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kuzipata kariakoo kweny maduka ya urembo

  • @SosyalDastan-qo9dm
    @SosyalDastan-qo9dm 6 หลายเดือนก่อน

    Nywele zangu nnyele zangu zimebadilika rangi je nifanyeje

    • @prissykil
      @prissykil  5 หลายเดือนก่อน

      Jitahid kupunguza matumizi ya moto pia fanya treatment inaweza kusaidia