ความคิดเห็น •

  • @reymuniud8d8d87
    @reymuniud8d8d87 6 ปีที่แล้ว +3

    Alhamudulillah mungu ni mwema poleni sana wazee wangu magufuli mungu akulinde uishi miaka mia inshaallah

  • @khadijaarkam5701
    @khadijaarkam5701 6 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilahi kwayt yaliotokea asante rais wetu wa tanzania. Hawa wazee wamehukumiwa hata mm sijazaliwa jamana haa🙋kweli mungu waajabu

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV 6 ปีที่แล้ว

    hallelujah!, wote wameongea, ila huyo wa Yesu ni BWANA na mwokozi wa maisha yangu kaongea point ya msingi. Kama bado hujaokoka chukua hatua haraka, mzee katoka gerezani na jambo la muhimu kulko vyote duniani

  • @floraboniphace1144
    @floraboniphace1144 6 ปีที่แล้ว

    Asanteee mungu kwa upendo wako na huruma yako juu ya wanao.pia umbariki kiongoz wetu aongoze vyema nchi kwa aman naupendo.

  • @yshamwilima3301
    @yshamwilima3301 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu hata bado sijazaliwa,leo hii natarajia kuwa mama duuuu poleeee sana mzeee

  • @sadallahjuma7389
    @sadallahjuma7389 6 ปีที่แล้ว

    poleni sana namsijali kuanza maisha mapya ya nje,karibuni sana

  • @bakaripaul8462
    @bakaripaul8462 6 ปีที่แล้ว +1

    Tumshukuru mungu kwa kula jambo, yapaswa kutokukukata tamaa katika kupambana na maisha. Tutende mema yanayompendeza Mungu. Tumwombee mema raid wetu Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 6 ปีที่แล้ว +5

    Rais wetu mungu ukusimamie kwenye uwongozi wako na akupe afya njema na akupe umri mrefu wenye barka tele Ameen.

  • @mbokaamoni2280
    @mbokaamoni2280 6 ปีที่แล้ว +1

    Poleni Sana wapendwa Mungu awape faraja baba yetu Magufuli ubarikiwe sana kwa moyo wako wa huruma

  • @salmawage7259
    @salmawage7259 6 ปีที่แล้ว

    Mshukuru mungu sana makosa makubwa sana ya kuuwa mmewakatili nafsi zao marehemu nyie maisha yanaendelea marehemu warudi tena

  • @yeftafilmproduction4214
    @yeftafilmproduction4214 6 ปีที่แล้ว

    Mpaka machozi jaman. Potente sana mungu anawaona na watatoka

  • @mbotwambotwa2186
    @mbotwambotwa2186 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana Mungu ni mwema inaumiza sana

  • @realomega6452
    @realomega6452 6 ปีที่แล้ว

    Ufalme unarudi tena, Asante kwa kuitumia katiba vizuri

  • @lenaamon6434
    @lenaamon6434 6 ปีที่แล้ว

    kwa hili nimekupenda rais wangu mwenyezi mungu akupe afya njema

  • @rizikimwanyae2881
    @rizikimwanyae2881 6 ปีที่แล้ว

    Ashukuriwe mungu kwa yote anayo tenda mungu awape maisha mrefu magufuli mungu nawe akulinde n akubariki kwa moyo ulionao

  • @festlewamaina5437
    @festlewamaina5437 6 ปีที่แล้ว

    poleleni sana wazee wetu,,, mungu wawape nguvu na afya njema

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 6 ปีที่แล้ว +11

    Kwanza namshukur mungu na makufuri mungu akuweke maisha yako yote tunakupenda San🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @simonkailo3289
      @simonkailo3289 6 ปีที่แล้ว

      Alright zena Kailo .....wapi om

    • @zennakailo8106
      @zennakailo8106 6 ปีที่แล้ว

      Joseph Masolwa sijakuelewa😊

    • @zennakailo8106
      @zennakailo8106 6 ปีที่แล้ว

      Tiba Asili Online Clinic [TAOC] mbona nmejaribu ila wap 0%

  • @aminaabdallah16
    @aminaabdallah16 6 ปีที่แล้ว +3

    mungu akuzidishiye Raisi wetu Makufuli kwakuwasamehe hawa wezee kutoka gelezani

  • @chedielimrutu6955
    @chedielimrutu6955 6 ปีที่แล้ว +2

    Nendeni msitende mabaya tena. Mungu amewasamehe endeleni kutangaza jina la Bwana. Hongera Mheshimiwa Rais kwakweli umetenda maajabu na Mungu akubariki pale MTU anapotubu kwa ukweli asamehewe. Tuwaombe hawa wawe RAIA mwema ili mwakani wengine nao upate kuwatoa.

  • @arafaiddy8962
    @arafaiddy8962 6 ปีที่แล้ว +14

    ALHAMNDLLAH ALLAH AWAPE MAISHA MEMA YAURAIYAN NA PIA MPE UMRI MREF RAIS WETU JAMANI

    • @vianeykyaman3778
      @vianeykyaman3778 6 ปีที่แล้ว

      Arafa Iddy, mamb vp, na wp ulipo?

    • @vianeykyaman3778
      @vianeykyaman3778 6 ปีที่แล้ว

      Ishaallah

    • @habiptysanjida8246
      @habiptysanjida8246 6 ปีที่แล้ว

      Arafa Iddy wallah Allhamdullilah mheshimiwa Rais wetu ana huruma sana mwenyezimungu ambariki na Tanzania yetu

    • @mbogasaba6928
      @mbogasaba6928 6 ปีที่แล้ว

      mungu mwema

    • @leobongo450
      @leobongo450 6 ปีที่แล้ว

      Mungu ni Mwema sana, hatimaye na Tundu Lissu apona majeraha ya risasi. Tazama akiongea na mwandishi wa DW (Deutsche Welle) Swahili akiwa hospital th-cam.com/video/FfZrD8wX0Y4/w-d-xo.html

  • @erastosanjito1140
    @erastosanjito1140 6 ปีที่แล้ว +3

    Ni raisi wa pekee uliejaliwa maono yakuwaachia wazee hawa. jamii tuwapokee hawa ni wenzetu haijalishi walitenda kosa au laah. tuwape ushirikiano ktk kuyaanza maisha upya... Magufuli hakika umeona jambo jema sana Mungu akubariki ktk hili

  • @teddymathew159
    @teddymathew159 6 ปีที่แล้ว +2

    Daaa japo walitenda makosa yamauwaji lakini nawaonea huruma😢😢maskin jamani watu wamekaa jela miaka mingi sana
    Rais Magufuli Mungu akubariki

  • @jrrashidi8955
    @jrrashidi8955 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ndie muweza wayote

  • @rosemarymnzeru5479
    @rosemarymnzeru5479 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu sikuzote Raisi wetu

  • @michaelrambo6207
    @michaelrambo6207 6 ปีที่แล้ว +1

    Ukwel mungu ampe maisha maref rais wetu huyu ni zawad ambayo mungu ametuletea sisi watanzania

  • @imakulatakomba4488
    @imakulatakomba4488 6 ปีที่แล้ว +4

    tunashukulu mweshimiwa magufur mungu aenderee kukulinda

  • @sayunidonard6014
    @sayunidonard6014 6 ปีที่แล้ว +6

    daaaaaaah! inasikitisha xana barkiwa sana mweshimiwa hii ni msaaada tosha kuliko yote mungu akukumbuke

  • @sayunidonard6014
    @sayunidonard6014 6 ปีที่แล้ว +4

    asantee mheshimiwa tumekwlewa ni baba huruma mungu akupe maisha marefuo

  • @zainabumaltin7016
    @zainabumaltin7016 4 ปีที่แล้ว

    Ss masikini anatusikilinza shida zetu

  • @muhidinmtani1943
    @muhidinmtani1943 6 ปีที่แล้ว +27

    mngetumia pia fursa hii ya mahojiano kuomba radhi kwa familia mlizowapoteza watu wao maana nyie mmesamehewa ila uhai wa mliowauwa haujarudi. mwisho wa yote hongereni kwa kupata msamaha!

    • @pendomsechu1647
      @pendomsechu1647 6 ปีที่แล้ว +2

      walipofungwa panatosha hamna haja ya kwenda huko

    • @sirajimohamedi9117
      @sirajimohamedi9117 6 ปีที่แล้ว

      Muhidini mtani. Umeongea point sana

    • @rozinakimaro9010
      @rozinakimaro9010 6 ปีที่แล้ว +1

      uko vizuri sana good

    • @meckytushabe2525
      @meckytushabe2525 6 ปีที่แล้ว +1

      Bila shaka wew mwenyewe unajua mwenye kuukumu ni MUNGU TU

    • @muhidinmtani1943
      @muhidinmtani1943 6 ปีที่แล้ว +1

      Mecky Tushabe sina maana hawakupaswa kusamehewa la hasha! ila maana yangu wangeonyesha wameguswa kiasi fulani na maumivu yasiyosaulika wanayopitia familia au ndg wa waliouawa hii itapunguza jazba na chuki kwa waliopoteza ndg zao ili na wao wasikumbwe na majaribu ya kufanya mauaji kama njia ya kulipiza na wawe tayari kuwasamehe hawa waliotoka kifungoni!

  • @aminarashid4474
    @aminarashid4474 6 ปีที่แล้ว +4

    MUMGU akulinde sana rais wetu

  • @leobongo450
    @leobongo450 6 ปีที่แล้ว

    Mungu awatangulie Katika kila Jambo wakiwa huru. Amina, inshaalah

  • @mathamatha4796
    @mathamatha4796 6 ปีที่แล้ว

    maisha mareef kwa raisi wetu ameni

  • @captenndunga9385
    @captenndunga9385 5 ปีที่แล้ว

    Kweli sheria msumeno duu wengine wameenda wakiwa dogo janja wamerudi wakiwa mizengo pinda... poleni sana wazee MAGUFULI OYEEEEE...

    • @salehharoub3009
      @salehharoub3009 4 ปีที่แล้ว

      Mungu awsamehe makosa yao ns kufanya kosa do kosa kosa no kurudia koda

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wazee wetu mungu mkubwa

  • @johnsaruni5711
    @johnsaruni5711 6 ปีที่แล้ว

    At Sijazaliwa dh pole sana

  • @zainabumaltin7016
    @zainabumaltin7016 4 ปีที่แล้ว

    Ningelikua nauwezo wangu raisi wetu angetawara milele

  • @sylvestrengwelu2012
    @sylvestrengwelu2012 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Rais wetu

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 6 ปีที่แล้ว

    Masikini kweli myimyi mungu awasameh poleni sana ila musirudiye kuuwa si vizuri ok.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 6 ปีที่แล้ว

    Magufuli anajua kuwa mliowauwa pia walikuwa binadamu na sheria ilipita muishi huko maisha yenu yote... Lkn rais pia kaona potelea mbali makosa tumeumbiwa na kunakutereza na kutoelewa kutokana na roho lkn elimu pia... Rais kawasamehe kwa niaba ya watanzania wenzenu sisi.... Karibuni na ninaimani nyie mtakuwa walimu kwa sisi ambao hatujajikuta huko.... Poleni sana .

  • @tullalutumo7293
    @tullalutumo7293 6 ปีที่แล้ว

    Mungu anawapeda, mrudieni yeye

  • @erickhaule8680
    @erickhaule8680 6 ปีที่แล้ว

    Paulo na sila waliomba mirango ya gereza ikafunguka Hakuna kama Mungu jamani tuombe nasi atatuokoa hivi vifungo huru tulivyonavyo Mungu endelea kutenda muujiza katika maisha yetu

  • @sophiajumah4808
    @sophiajumah4808 6 ปีที่แล้ว

    Hakika Magufuli Mungu anamuongoza km mfalme sulleman, poleni sana natumaini mmemjua Mungu ndio muweza wa yote na mzidi Kumuabudu Mungu wetu alie hai.

  • @Saimonamon
    @Saimonamon 6 ปีที่แล้ว +1

    Daaah mungu akubariki magufuri

  • @saidhassanshah2296
    @saidhassanshah2296 6 ปีที่แล้ว +6

    poleni sana wazee wetu

  • @heremensiliapawe155
    @heremensiliapawe155 6 ปีที่แล้ว

    poleni na Mungu aendele kuwapiginia ,

  • @charlesjohnmushi6817
    @charlesjohnmushi6817 6 ปีที่แล้ว +4

    My tears are coming out, eee Mungu wasaidie na wengine wasio na makosa. Na hata wale walio na makosa wabadilishe mioyo yao wapate kukurejea. Mh.Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Raisi John Pombe Magufuli, Mungu akusaidie katika uongozi wako akupe zaidi hekima uzidi kutenda mema. Hakika umeweka alama kwa familia hizi, simulizi inasikitisha na inagusa pia.

    • @ARREDDIEKOTISH
      @ARREDDIEKOTISH 6 ปีที่แล้ว +1

      Charles John Mushi kaka yangu wengine hawaoni kazi yake,sisi kama wafrika tulikosea wapi?
      Lord of mercy be with Right. Honourable His Highness John Pombe...

  • @befigulu
    @befigulu 6 ปีที่แล้ว +1

    So touching...

  • @mowanacombo4665
    @mowanacombo4665 6 ปีที่แล้ว

    Basi mkome roho mbaya muache mrudi kwa mungu mtubu dhambi zenu

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 6 ปีที่แล้ว

    😔😔😔😔😔😔poleni sana na hongereni kwa kutoka

  • @minormine4417
    @minormine4417 6 ปีที่แล้ว

    Raisi wazee kama hawa wape msamaha watoke wote, wameshaishiwa nguvu acha wakale maisha yao na familia zao

  • @emmanuelkapalu5035
    @emmanuelkapalu5035 6 ปีที่แล้ว +5

    Hakika huu ni muujiza
    Magufur baba mungu yupo pamoja na wewe

    • @tumainmatokeo586
      @tumainmatokeo586 6 ปีที่แล้ว

      rais km ww sijui, km tz itajua kila mara lengo lako utakuwa ndo sinema inaisha.bravo!

    • @robertngusa1917
      @robertngusa1917 6 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Kapalu amin mungu mkubwa

  • @sadathasan9165
    @sadathasan9165 6 ปีที่แล้ว

    mungu nimwema

  • @geofreymwatonoka1628
    @geofreymwatonoka1628 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kumlinda mh magufuli

  • @rachelbruno4726
    @rachelbruno4726 6 ปีที่แล้ว +4

    mgufuri oyeeeeee

    • @ramlaomar5182
      @ramlaomar5182 5 ปีที่แล้ว

      Na mashehe wauhamisho wa Zanzibar nao wachiwe mungu mtie imani raisi magufuli awasamehe

  • @sulleysonmishlaymishlay7233
    @sulleysonmishlaymishlay7233 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamani watu wa Mungu kinacho wabadilisha watu ni injili tu ya Yesu kristotu na sikingine.toeni nafasi kwa wahubiri wainjili ilikuwabadilisha watu ktk ubaya nakuwa watu safi

  • @ericmasesa6383
    @ericmasesa6383 6 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe unaweza ukawa hapahapa Tanzania na ucjue kinachoendela,asingekuwa magufuli haya mambo tungeyajua wapi

    • @erickhaule8680
      @erickhaule8680 6 ปีที่แล้ว

      Eric Masesa hahaha na kweli jamani wajina

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 6 ปีที่แล้ว +27

    Yan watu wapo ndan toka miaka ya nyerere harafu uyo lulu hata miez 2hajatimiza mnadai apate msamah wa rais how come?!!!

  • @sulleysonmishlaymishlay7233
    @sulleysonmishlaymishlay7233 6 ปีที่แล้ว +11

    Mhe Rais ruhusuni injili ihubiriwe mahala popote bila vikwazo ili nchi ibarikiwe. Na itakuwa yenye wafungwa wachache sana

  • @aminarashid4474
    @aminarashid4474 6 ปีที่แล้ว

    Tiba sail asante saaana ila sijaziona bado

  • @paulomussa1497
    @paulomussa1497 6 ปีที่แล้ว

    na iwe ivyo na imekua amen

  • @josephnjiro3712
    @josephnjiro3712 6 ปีที่แล้ว +4

    Nahisi hawa ni wazee sana watakua mzigo ktk jamii na maisha yalivyo tait bora wangeendelea kula kunywa na kulala bure kuachiwa ni mateso.........

  • @zainabumaltin7016
    @zainabumaltin7016 4 ปีที่แล้ว

    Wanatolewa wakiristo 2

  • @lilianantony5161
    @lilianantony5161 6 ปีที่แล้ว

    Jaman hakuna aliyemkamilifu. Msiwe tayari kutoa hukumu mbele sana kwa hawa wazee

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 6 ปีที่แล้ว

    Daaah jamaniiii,ni wazee sana bora wametoka Maana kwa Miaka hiyo wamejifunza sana

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 6 ปีที่แล้ว

    Mungu ni Mwema

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 หลายเดือนก่อน

    Masikini ndiyo wanapata tabu sana

  • @latifaayoub5750
    @latifaayoub5750 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante Magufuli

  • @mwajumakweli6753
    @mwajumakweli6753 6 ปีที่แล้ว +1

    Dh. Mungu mwema

    • @mwajumakweli6753
      @mwajumakweli6753 6 ปีที่แล้ว

      Tiba Asili Online Clinic [TAOC] Asante p1 $@na

  • @rubenaman5758
    @rubenaman5758 6 ปีที่แล้ว

    mungu ni mkuu

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 6 ปีที่แล้ว +1

    poleni sana 27 umri wa mtu

  • @rahimajuma688
    @rahimajuma688 6 ปีที่แล้ว +3

    mzee umefungwa mwaka 93 nina miaka 2 hadi leo nina mtt wa miaka 8 yuko la pili innalillah mungu mkubwa

    • @sophiajumah4808
      @sophiajumah4808 6 ปีที่แล้ว

      Mimi nipo darasa la 3 kipindi hicho duu !

    • @rahimajuma688
      @rahimajuma688 6 ปีที่แล้ว

      Sophia Jumah ha ha ha me nilikuwa nina miaka 2

  • @doristacholaachola1596
    @doristacholaachola1596 6 ปีที่แล้ว +1

    Aminaa

  • @musakituku458
    @musakituku458 6 ปีที่แล้ว +2

    My God, Allah bless all of them.

  • @thuwaibasaleh6829
    @thuwaibasaleh6829 6 ปีที่แล้ว

    yani wamefungwa tng sjazaliwa mpk nw niko kwny ndoa na Mtt juu Mungu anafanya njia pasipo na njia wanaanza kuishi vp ao hawajui Ata pakutafuta riski

  • @evaristjoseph8151
    @evaristjoseph8151 4 หลายเดือนก่อน

    Nikweli hata wao wanajutia kuuwa ila kuuwa ni mbaya,mamlaka ya kuuwa umeyatoa wapi

  • @evaristjoseph8151
    @evaristjoseph8151 4 หลายเดือนก่อน

    Kuchoka wamechoka kweli ila waliowauwa wameoza

  • @khloealfan7924
    @khloealfan7924 6 ปีที่แล้ว +4

    Yaraab mm cjazaliwa

  • @isaacnewha8722
    @isaacnewha8722 6 ปีที่แล้ว

    ndio wamesamehewa je hao waliowaua ndugu zao watajiskiaje

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 ปีที่แล้ว +1

    Yaan Dunian kuna mengi Allah bless mkuu yaan we acha tu

  • @maureenmwimano1973
    @maureenmwimano1973 6 ปีที่แล้ว

    polein sana

  • @jacobisaya4941
    @jacobisaya4941 6 ปีที่แล้ว

    Mbona hawasemi makosa ambay walifungwa kwa makosa gan? ??

  • @felixbombo6175
    @felixbombo6175 6 ปีที่แล้ว +1

    Tunakushukuru Rais wetu kwa jambo hilo,kwan kura pia zaongezeka!!

  • @kofiianodi3326
    @kofiianodi3326 4 ปีที่แล้ว

    Magufuli oyeee

  • @fauziawilifred6229
    @fauziawilifred6229 6 ปีที่แล้ว

    Wazee km hawa wengeachiwa Hulu mana kwa umli walio fikia hawataweza kufanya uhalifu km mwanzo inauma sana

  • @frankernest7366
    @frankernest7366 6 ปีที่แล้ว +2

    Polen sana

  • @thuwaibasaleh6829
    @thuwaibasaleh6829 6 ปีที่แล้ว

    Dah mda mwngn utasema bora na ww ungekufa Kuliko miaka Yote kuishi gerezani

  • @halimasaleh5705
    @halimasaleh5705 5 ปีที่แล้ว

    Wamekwisha jichokea maskini

  • @faizajfar6386
    @faizajfar6386 6 ปีที่แล้ว +1

    uyo lulu akumiwe ata miaka kumi

  • @joventjohansenmushwaimi1988
    @joventjohansenmushwaimi1988 6 ปีที่แล้ว

    Huyo bila shaka anaitwa "Sayansi"

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 ปีที่แล้ว

    Nauliza hua watu wakihukumiwa kunyongwa ndio wanyongwa kila wiki au wakikataa hua waachwa waishi milele gerezani mpaka wafe wenyewe, au kunyongwa ni lzma? Wakubali wakatae?

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +1

    Pongezi kwako Rais Maguful kwa kuwhurumia

    • @angelajohn7984
      @angelajohn7984 6 ปีที่แล้ว

      Saumu Hassan amefanya jambo zuri kuna watu wanatia huruma sana

  • @johnbeda7620
    @johnbeda7620 6 ปีที่แล้ว +1

    God is great..jamani tuchangie hata pesa wapate makazi yao

  • @y6y6hg77
    @y6y6hg77 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mababu hawa wataishi vipi ulaiyani mbona wazeee sana ata ndugu zao watawajua?

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 ปีที่แล้ว +1

    Duh inasikitisha sana MUNGU awaongoze 27yrs umri wangu MUNGU anawapenda na.murudi kwa MUNGU vizuri

    • @sakilojackson7536
      @sakilojackson7536 6 ปีที่แล้ว

      Zamzam Hamisi yote mapito tumshuru mungu

  • @fauziawilifred6229
    @fauziawilifred6229 6 ปีที่แล้ว

    Daa yan mpk nimelia sana

    • @sophiajumah4808
      @sophiajumah4808 6 ปีที่แล้ว

      Yaani ht mie nimelia sana Jamani mimi ningeomba magifuli azidi kuwaachia wazeee wote maana ht hawajiwezi

  • @lilianantony5161
    @lilianantony5161 6 ปีที่แล้ว

    Na aliyemkamilifu awe wa kwanza kumpiga jiwe

  • @zenasalumu2560
    @zenasalumu2560 6 ปีที่แล้ว

    Duh wazee wamedhoofika adi huruma

    • @zenasalumu2560
      @zenasalumu2560 6 ปีที่แล้ว

      Tiba Asili Online Clinic [TAOC] Sawa

  • @suranchiman9544
    @suranchiman9544 6 ปีที่แล้ว

    Wahenga

  • @mariammbughi2702
    @mariammbughi2702 6 ปีที่แล้ว

    Kama mtu anaua mwenzie kwa makusudi bora anyongwe tu kuliko kufungwa kifungo cha maisha anamaliza ugali bure