Kaka ezden shkran sana MUNGU akusaidie upate maarifa zaidi ili tujifunze zaidi nimejifunza pakubwa sana nahiyo tabia nilikuwa nayo ila kwasasa nimeiacha
Things to avoid wasting time with. 1.the past. 2.the future 3.the haters 4.getting old 5.opinions of others is not my reality 6.kujishughulisha nn wengine wanafanya. 7.your looks(ishi kama vile Mwenyezi MUNGU alivyokuumba) 8.making mistakes 9.the money. Asante sana kaka I'm proud the way i was made.
SPN is my favorite channel on TH-cam, I learned many things from you guys napenda kusema shukrani kwa masomo najihisi vibaya siku yangu ikipita bila kusikia mafundisho yenu thank you so much guys
Yan sichoki kuangalia videos zako yan mwanamke ataepata mwanaume ka wewe wallah amebarikiwa sana maana amepata mtu ambaye anaakili kubwa sana...nways somo zuri sana yan nakukubali sana👊
Vipi ezden unajuwa kweli yaliyopita yanapoteza mda lakini kitu tangu mdogo jambo lile umekuwanalo halijakutokea ila umepewa mzigo wa maisha ambayo hujawahi kuwishi umesingiziwa tu.hii inakuwa ngumu sana kuweza kutoka kwenye utumwa ya mambo yaliyopita kati ya hao mimi ni mmoja wa kuteseka juu ya mambo yaliyopita naona kama kesho yake litatokea kwani nikuulize hili jambo linadawa yake
Hongera best kuzungumzia swala LA urembo usiofaa kujifanya bandia yaan huo ni msiba haswa cc kinamama mmi najuta xana ngoz yngu imeharibika mungu anisamehe xana..
bro nashukuru sana kwakunipa maarifa makubwa sana siku ya leo nimependa sana somo lako yan umeongea mambo mazuri sana ambayo naamini nikiyafatilia yatabadilisha maisha yang asante san bro Mungu azidi kukubariki bro
Kakae asante miminiwawazasana,nawamenipashda mnoo maana wananisema kisa mumekanikimbia wanasema et mm mdochanzo nataman kuwaambia ukweli ila siwez.hadikazn snaraha yani nasemwa mno kaka
Hili kuangalia back inategemea nazania kama mfano uliacha mke alafu kids wako anao yy inabidi uangalie back yani unaweza msongeza aliekuumiza ili upate vitu vyako kama wanao anao yy unaweza kuumia zaidi ijapokuwa ile ni past yk
Mm nimelipenda sana hili somo ila ungeweka live. Umenifrahisha hapo kwenye wingi eti mtu nywele kipili pili anaweka wigi halafu anasifiwa umependeza anajibu asante😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mwili wake mzima unakuta viraka makope yakubandika makucha yani mwili mzima viraka Allah atujalie tuwe wenye kushukru neema ya maumbile aliotuumbia Wallah huu mswiba mkubwa ktk huu umma
Kaka ezden shkran sana MUNGU akusaidie upate maarifa zaidi ili tujifunze zaidi nimejifunza pakubwa sana nahiyo tabia nilikuwa nayo ila kwasasa nimeiacha
Asante kaka ezden
Things to avoid wasting time with.
1.the past.
2.the future
3.the haters
4.getting old
5.opinions of others is not my reality
6.kujishughulisha nn wengine wanafanya.
7.your looks(ishi kama vile Mwenyezi MUNGU alivyokuumba)
8.making mistakes
9.the money.
Asante sana kaka I'm proud the way i was made.
Allah akuzidishie siku za kuishi kwakweli tuzidi kupataa meengi mazuri ya kujifunza kutoka kwako 🙏🙏🤝
Good speech thank you brother
Nimejifunza kuridhika ,be yourself,be realistic ,pia kujikubali ulivyo,kuwa na kiasi ktk mapambano ya maisha
Blessed❤
Blood unahofu na Mungu sana Mungu akuongoze zaid ya hapo,
KUNA VITU NIMEJIFUNZA APA MUCH LISPECT SANA MY BROTHER EZDEN👊👊
Pamoja sana...
SPN is my favorite channel on TH-cam, I learned many things from you guys napenda kusema shukrani kwa masomo najihisi vibaya siku yangu ikipita bila kusikia mafundisho yenu thank you so much guys
Nashukuru sana kaka
Asante, nimejifunza kwamba ninatakiwa kubaki kama Mungu alivyoniumba.
AHSANTE MJA WA ALLAH
NIMEKUPATA VZR
Asante sana kwa mafundicho yako na mungu piya akubariki
Ahsante sana brother nimejisikia amani sana maana mm mtumwa wa makosa na mambo ya kale nakaa tu kusema isinge inge n.k
Asante sana Mungu akubariki kwa elimu nzuri
4:01
Asante sn kk nimejifunza mugu akuongeze xaidi na akupeuwezo wakutufuza sn
KK somo zuri sn hasa dada zetu, ni wagumu kujielewa juu ya kuhalibu utamaduni wa kiafrika
Yan sichoki kuangalia videos zako yan mwanamke ataepata mwanaume ka wewe wallah amebarikiwa sana maana amepata mtu ambaye anaakili kubwa sana...nways somo zuri sana yan nakukubali sana👊
big up bro,am listening from kenya
Safi sana mwamba.
Powerful Words 👏👏👏👏👏
Nimechekaa "Hatter" "Hetazi"
Gud👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍 15
Vipi ezden unajuwa kweli yaliyopita yanapoteza mda lakini kitu tangu mdogo jambo lile umekuwanalo halijakutokea ila umepewa mzigo wa maisha ambayo hujawahi kuwishi umesingiziwa tu.hii inakuwa ngumu sana kuweza kutoka kwenye utumwa ya mambo yaliyopita kati ya hao mimi ni mmoja wa kuteseka juu ya mambo yaliyopita naona kama kesho yake litatokea kwani nikuulize hili jambo linadawa yake
Nimekuelewa vizur bro alafu na hii tabia ya kujichubua wanawake me inanikera sana
sawa
Keep it up bro. Allah akubariki.
Nice one Kip doing what you doing is very good and important
asante kaka ujumbe mzuri Mungu akubariki akupe umri wenye baraka
Mwalim Wetu Yuko bizee sana siku iziii
Tuendelee kusikiliza hekima zakee🤝🤝🤝🙏🙏
Mashallah broo nakupenda KWa ajili ya Allah umetupa SoMo na ukumbusho pia 🙏🙏🙏
Ubarikiwe Sana somo zuri
Mada nzuri
Hongera best kuzungumzia swala LA urembo usiofaa kujifanya bandia yaan huo ni msiba haswa cc kinamama mmi najuta xana ngoz yngu imeharibika mungu anisamehe xana..
Elimi nzuri sana mm binafisi nimejifunza jambo la msingi sana
Well said
The power of now..... Dah kaka umepita humu humu...kweny ichi kitabu
Ujumbe mzuri kaka ubalikiwe
May the Almighty God bless you Brother Ezden
Allahumma Amiyn
Asante sana kwa somo zuri. Mwenye Sikio la kusikia na kufahamu ataelewa.
Bro kubwa ya juu bigi taimu sana
Nakuelewa sana bro na ninajifunza mengi sana kupitia video zako. Barikiwa sana
Mada nzuri bro nimecheka hapo kwenye dada nywele zako nzuri dah!
Reality brother, good lesson
Maa sha Allah
❤
Mwenyezi Mungu akuzidishie kaka shukrani sana 🤝
amiin...
bro nashukuru sana kwakunipa maarifa makubwa sana siku ya leo nimependa sana somo lako yan umeongea mambo mazuri sana ambayo naamini nikiyafatilia yatabadilisha maisha yang asante san bro Mungu azidi kukubariki bro
Ok asante sana kaka unatupa madini adimu sana
Kaka Ezden Somo Bora sana kwangu mwakan2023,Naomba uniambie Dar unaptikana sehemu gan nina Zawadii kaka!!
Anhaa jambo kubwa na zuri hilo. Njoo wahstapp tafadhali 0759191076
Safi sana funguka ubongo
Nimeipenda ubarikiwe sada
Mungu akbark somo zur
Mungu akusaidie kaka .
Nime enjoy 🎉
Good lesson.
Shukrani sana
Napenda sana
Asante sana nimejifunza mengi kupita ww
karibu sana Thania
Somo zuri sana
Hua namwelewasana ezden
Sawa
Nimekuelewa Mwl
Hongera sana bro J,,,,,somo zuri,,,,naishi maisha yabgu na si ya mwingine
Santee
Kakae asante miminiwawazasana,nawamenipashda mnoo maana wananisema kisa mumekanikimbia wanasema et mm mdochanzo nataman kuwaambia ukweli ila siwez.hadikazn snaraha yani nasemwa mno kaka
Ishi miaka mingi brother hakika wewe ni kioo chetu; Tunapata mambo mazur sana kutoka katika Channel hii.
Thanks brother God bless you
I get thing brother!!!
Bro upo vizuri sana aisee
Asnte sana m/ mungu akuongezee umri katika maisha yako
Yes I do anen
Thanks...
Point kubwa mzee baba
Thanks bro
Mungu akubariki uendelee kuelimisha watu wake
Kweli kabisa
Barikiwa sana kaka
Safi sanaaaaaa
Kaka thanks somo zurii.changs now is neccessary
karibu sana
Asante sana bro
Waambie kaka hao dada zetu
Mashaallhah🤝🤜💚💚💚
Tisha sana hii 👏👏👏
Thaxs, gud advice
Asante sana bro kwa mafundisho mazuri
Pole kwa 🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏👍👍💯
Pole ya nini tena hii?
Bro nakuelewa sana
Naomba unisaidie jinsi ya kusoma na kufaulu mtihani
yan asnt kaka Allah akuongezee maalifa
Aisee unanisema mimi .ila sasa umenifungua .
Excellent bro ..!! Nice speech
Pamoja sana Zelfat...
aah bro unajua sana mungu akupe miaka mingi zaid
Nakupata kwa ukaribu sana al akhy nikiwa hapa ukonga magereza DSM
wape salamu sana huko
Sawa al akhy
Nmependa mno hili somo hapa kuna ukumbusho ktk eeman
Allah atuongoze hasa wanawake tuwe na khouf na tunayo yafanya
Ameen Amina Alid, dua njema iwafae wanawake wote kama ulivyokusudia, Allah awafungulie. Be blessed!
Nakukubal broo
Karibu sana kaka
ntapataje vitabu
vitabu
Akhuy vp hali shukran na somo zuri ila ningekushauri ungeweza weka live hiki kipindi tukuulize namaswali.
Okay wazo zuri sana... Nitafanya LIVE badae kidogo
@@successpathnetwork Tuko pamoja Akhuy.
Ujumbe huu umenipa somo
Mada zuri kaka ila mtu kama aufikiri kuusu kesho unawezaje kujiwekeya akiba❓ ila asante kwa mafuzo mazuri♥️
😂😂😂😂😂😂nimecheka hapo KWENYE mawigi...but nikweli KABSA,,,,Sasa mzee wakiume anang'ang'ana kuweka brich nywele zoke
Hili kuangalia back inategemea nazania kama mfano uliacha mke alafu kids wako anao yy inabidi uangalie back yani unaweza msongeza aliekuumiza ili upate vitu vyako kama wanao anao yy unaweza kuumia zaidi ijapokuwa ile ni past yk
🙏
Mm nimelipenda sana hili somo ila ungeweka live. Umenifrahisha hapo kwenye wingi eti mtu nywele kipili pili anaweka wigi halafu anasifiwa umependeza anajibu asante😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mwili wake mzima unakuta viraka makope yakubandika makucha yani mwili mzima viraka Allah atujalie tuwe wenye kushukru neema ya maumbile aliotuumbia Wallah huu mswiba mkubwa ktk huu umma
asante kwa kuelewa...
@@successpathnetwork Karibu Akhuy
Aisee hii hotuba ndio yenyewe