MSELA - PART 04

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 363

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 6 หลายเดือนก่อน +68

    ❤❤msela, leo upo mapema tupite mbele watu wamebanana, miguu ita vunjwa, sio kusukumana uko. niko apa nipeni like bas wadau wa msela.🤣🌹🌹🏃

    • @ReginaJumanne
      @ReginaJumanne 6 หลายเดือนก่อน +2

      Mmmmh yaan wew unashindag hum

    • @yalalakashindi4594
      @yalalakashindi4594 6 หลายเดือนก่อน +3

      Mmh kweli kbs watu wanakia sana 😂😂😂yaani mi kuhingia tu tayari watu wamejaa 😂😂😂😂.

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 6 หลายเดือนก่อน +2

      @@yalalakashindi4594 hahahaaa😂 nyie nabahatshatu leo nimejalbu il xo klasiku

    • @rizmwMwriz-mf2cu
      @rizmwMwriz-mf2cu 6 หลายเดือนก่อน +1

      Uyu PAMELA ana lala umu umu mwa ANKO J MAPESA kabsaaa nampa ongera yake 🎉🎉 kwa ajili ya MSELA Wake

    • @NevisLituls
      @NevisLituls 6 หลายเดือนก่อน

      😊aa😊😊😊😊😊😊​@@ReginaJumanne

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 6 หลายเดือนก่อน +16

    Anko J unajua kuturusha roho we baba!! Yote ya yote Asante na Mola abariki kazi zako.

  • @HappyBeltod
    @HappyBeltod 6 หลายเดือนก่อน +11

    Waoooh ila anko unafanya kazi Kwa mazoea sana utapigwa sasa💪💪

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 6 หลายเดือนก่อน +12

    Wow,kazi nzuri kaka,listening from Kenya(Eldoret),much love.

  • @HemedBaruan
    @HemedBaruan 6 หลายเดือนก่อน +6

    Jaman waooo tuanendelea na msela Asante Ankojay ❤❤

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 6 หลายเดือนก่อน +7

    Waooooh ❤❤🎉🎉hatimaye tumefikiwa na msela msela msela wetu😂😂❤❤

  • @Alya-np7gm
    @Alya-np7gm 2 หลายเดือนก่อน +1

    Cathy anakeraaaa nachukia sana kuskia izi, hana msimamo huyu mwnamke khaaa

  • @Tracepeter0723
    @Tracepeter0723 6 หลายเดือนก่อน +11

    Cath na wew autulii jmn ndmn unapgwa matukio na mwsho wa yoteee huyo msela ndo atakuwa mumeo🤸

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 6 หลายเดือนก่อน +4

    Daah huyu Catherine amenikera ujinga gani huo ya nini kuumiza watu kisa huyo msela ki cheche na huyo dada yake Careen anawivu sasa kwanini amupotende Rahim nawakati aliachika,itakuwa huyu Catherine analaana maana kutembea na mtu na Mujomba wake sio kitu kizuli niuchafu kwanza hii simulizi imenichefuwa bola tuletewe Binti lisa na SIN😢😢😢😢😢😢😢

  • @BurterDreezy
    @BurterDreezy 6 หลายเดือนก่อน +4

    Jaman anko jay hii subir subir Inamaliza bundle toa kitu kiishe baba wengne kusubir hatuwezi

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 6 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu ni noma aiseee 😂😂Ahsante Anko jay kwa muendelezo wa simulizi yetu nzuri

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 6 หลายเดือนก่อน +13

    Kudate na mvuta bangi yakupasa ujiandae kiakill lolote laweza tokea😂😂😂

    • @Catherinemichael1995
      @Catherinemichael1995 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa yani 😂😂😂😂

    • @Fatum112
      @Fatum112 6 หลายเดือนก่อน

      Sisi wanawake ni viumbe vya ajabu maneno kdgo tu unasahau mtu anae kufaa unarudia mtu alie kuumiza

  • @Fatmamakame-q5w
    @Fatmamakame-q5w 6 หลายเดือนก่อน +6

    Msela nilikua nakusubili kwa hamu asante uncle j mapesa kwa kutuletea simulizi ya msela🎉🎉 nioeni like zangu apa

  • @zawiyanaser3076
    @zawiyanaser3076 6 หลายเดือนก่อน +6

    Waooooh hatimae tumekumbukwa asante sana anko wetu

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 6 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo demu ni mjinga sana alitakiwa amwambie Rahimu kuwa bwana wake wa zamani ananisumbua na amwambie mama yake narudia tena ni mjinga mbwa sana

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu 6 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂🎉🎉NAIMA mwambie akuelewe uyo CATHE asikilize smlz za ANKO J MAPESA na.strec za waume ztamwisha tu

    • @MamahetuChikuti-mp5lj
      @MamahetuChikuti-mp5lj 6 หลายเดือนก่อน

      Yap yaani atafute pesa waume ni wale wale starehe gn asiyoijua kawaida wanawake wakiumizwa na mume uwa hana tena hisia na mume yeyote ilobaki kutafuta fulusi tu namshangaa Cathe

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p 6 หลายเดือนก่อน +4

    Oooh my good Dj asant sana yani nahisi kupaa kwafulaha nilionayo asane sana mung azidi kukubariki🙏

  • @NadiaItangishaka
    @NadiaItangishaka 6 หลายเดือนก่อน +6

    leo nimewayi jamani msela wee utuweka roho juu🎉🎉❤

  • @PaulinaLwena
    @PaulinaLwena 6 หลายเดือนก่อน +2

    Msela msela msele huyo mwendo wakobe cjachelewa asante anko jay kwa kumleta msela🎉🎉

  • @AïshaUwera-f3w
    @AïshaUwera-f3w 6 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana anko nakupenda sana kwa kazi yako nzuri ila kasoro yako moja ukitoa simulizi nzuri unatubabaisha tunapata simulizi kwa ubabaika

    • @Ahmada15
      @Ahmada15 6 หลายเดือนก่อน

      @@AïshaUwera-f3w 😭😭😭iyo nikweli anadutesa sana

  • @DorcasMuomba-gd3sw
    @DorcasMuomba-gd3sw 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wow congratulations God bless you tunakupenda zaidi hatimae umeachia mzigo surprise 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤tumefika ❤❤❤❤oyooooooooo😮😮😮😮😮

  • @mariam-yw3nn
    @mariam-yw3nn 6 หลายเดือนก่อน +5

    Haaaaaaaaaaaaaaaaaaah nimecheka kwa kuona binti msela nipe 🎉🎉🎉

  • @FrankUlomi
    @FrankUlomi 6 หลายเดือนก่อน +8

    Unyamaa ni mwingi snaa

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Woyooooooo Lisa mwaea unahatarii ww kwenye hii simulizi 😂😂😂 Ahasante sana anko jay kwakutultea utamu❤❤🇴🇲🇴🇲🇴🇲 Anko jay mwambie aje uku keti tutafute maisha sie tunaliwazwa na Anko jay

  • @fatumamwinyikai7439
    @fatumamwinyikai7439 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe bro big ❤..Ubarikiwe ninafurahii kusikia sauti ya mwanamume in the house 🎉🎉

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 6 หลายเดือนก่อน +9

    Wooyo🎉🎉😂😂😂😂😂😂 wakwanza

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 6 หลายเดือนก่อน +1

    We nae ushatucosha na huyo msela wako dada hatulizi mbumbusa 😂😂😂kaah ngoja kwanza mjeshi akuvunje taya ndo akili ikukae sawa pumbaaaavu 😂

  • @ChristinesifaRuwa-jx4qw
    @ChristinesifaRuwa-jx4qw 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe cathe ni mujinga sana mana huelewi hisia zako kabsaa kazi kuumiza tu wanaume

  • @Sumaiya-h7m1p
    @Sumaiya-h7m1p 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kama mnaaamini ipo siku Catherine atarudi kwa msela wake gonga like hapa tujuane😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JacquelineJohn-q2r
    @JacquelineJohn-q2r 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ujawah kukosea aseeeh big up sanaa nimeilikee😘

  • @hildegardemaurice1509
    @hildegardemaurice1509 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana anko j kusema kweli unanifunza mengi kupitia smlz zako nakunipotezea mawazo na kunitia moyo pia❤❤❤❤❤❤

  • @FadhilunMohamed-je8en
    @FadhilunMohamed-je8en 6 หลายเดือนก่อน +6

    Afadhari asante kaka nakuelewa sana

  • @gressigotti3653
    @gressigotti3653 6 หลายเดือนก่อน +2

    Oyaaaa anko jay part 5 please tusipoe unatukata stim😂😂 maua yakoo 🎉🎉

  • @PilyAlly
    @PilyAlly 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yani kuna simulizi zingine zinanitia hasira yani nikama uyu Catherine awe laribu yangu nimshushie kipigo kwa upuuz anaoufanya yani naumia moyo sanaa adi natoka nje ya simulizi nakuisi nitukio linatokea live 😢❤❤asante anko jay na lissa mwala mungu awaweke cz najifunza vingi kupitia nyinyi 🙏

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 6 หลายเดือนก่อน +19

    Niko ndani ya msela wadau Leo musininyime like zenu mm nawapatianga like zangu❤🎉

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 6 หลายเดือนก่อน

    Shukran Ank Jy wadau mupoooooo jamani wanawake kwanini hamujiongezagi utaolewa kesho x anagutaka unamupa utuwako uyumudada ameniuthi kwakeri weye mbone unareta ayibu?huonikama dadako njo anagocoma naweye umecomeka aca tuone ayibu utayiweka wapiti huna mikosi wenjo huna mipanhirio wangine mujifunze asant Mwalla🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FatumaSaid-y7c
    @FatumaSaid-y7c 6 หลายเดือนก่อน +3

    Barikiwa sana ank j kwakweli . ❤❤

  • @Shadia544
    @Shadia544 6 หลายเดือนก่อน +43

    Humu ndani kila kitu wakwanza haya jamaniii MSELA JAMANIII TUJUWE SASA ITAKUWAJE HUYO MSELA LIKE 10 ❤

    • @FatmaNjapukagy
      @FatmaNjapukagy 6 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo dem fungu la kukosa kweli khaaaa🙌🏾

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 6 หลายเดือนก่อน

      Rizki yake ikifika na wakati wake kila kitu kitarudi kwenye mstari​@@FatmaNjapukagy

    • @Shadia544
      @Shadia544 6 หลายเดือนก่อน

      @@FatmaNjapukagy sasa RAHIM ATAMUOA KWELI MAANA MSELA KARUDI TENA NA DADA YAKE NDIYO ANAEMUWALIBIA MAISHA😔😔😔😔

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 6 หลายเดือนก่อน +6

    Ukweli matumbo yawanawake yapo km maduka ya bzaa mamacathe amezaa warembo sn lakn mh

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mh,hapo umemaliza maneno,matumbo ya wanawake kweli yanabeba😅😅😅

  • @NancyMwape-sx6vw
    @NancyMwape-sx6vw 6 หลายเดือนก่อน +4

    hii simuliz nimeipenda 😍😍😍

  • @Rummy4871
    @Rummy4871 6 หลายเดือนก่อน +1

    Anko J sehemu ya 5 ya Msela vip maana sio kwa sauti na simuliz hiz...
    Tunokaribia achwa kisa simulizi za anko J tujuane jaman❤❤❤

  • @YASINTARINGO
    @YASINTARINGO 6 หลายเดือนก่อน +2

    Watu Leo wanewahi nafasi mapema 😂😂tulochelewa tukae wap jamani

  • @StellaMalando
    @StellaMalando 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tupe mambo maana duuuh❤️❤️❤️

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ancojey alivyo sema kama madada wanapiga pesa mbaya uku kujifariji nasimulizi ujuwe nimeceka sana afu kam ku comment mara2 nimakosa naomba sory ila dj tunaomba part4 yani umetuaca pabaya 😂😂😂 msela simulizi kali sana kama movi nzuri daaah😂nisem thank you🙏

  • @ninahussein5033
    @ninahussein5033 6 หลายเดือนก่อน +7

    Exactly 14second! Nipe like zanguuu

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 6 หลายเดือนก่อน +8

    Ankoj ukimkagua Bata hutaweza kumla

    • @evelynlyimo1557
      @evelynlyimo1557 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli😂😂..sababu kwetu nyumbani kulikuwaga na Bata wengi mno, sikuwahi ona ubaya ila kuna wakati kaka wetu mkubwa alioa mke, na sikumoja alishuhudia bata wakila uroda yaani the copulation,,she stood there watching 👀 😅. Huwaga bata wakiume kabla atafute balance akiwa mgongoni ,hata anaweza mvunja mke wake mabega jamani,,after 10 minutes his long shaft was dangling outside 😄 😀 wifi wetu aliwachukia bata 😂😂, ilibidi wauzwe wooote,😢😢😢nikwambie sijala mayai ya bata kisa huyoo 😢😢😢😢😂😂 dah....nyama ndio usiseme😂😂😂😊😊

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa sana alivyo fumaniwa maana ni umalaya ulio pitiliza na kuto jitambua wapo wanawake wenye tabua izi

  • @Loy-g2m
    @Loy-g2m 6 หลายเดือนก่อน +2

    Cathe tulia na mmoja jamani kuw na msimamo basi daaah 😂😂😂😂

    • @EsterWilla
      @EsterWilla 6 หลายเดือนก่อน

      Kanikeraaa sanaa mmbwa huyo hakomi tu na uyi msela wake

    • @KhadijaKiwele
      @KhadijaKiwele 6 หลายเดือนก่อน

      Picha linaanza shujaa ni msela tuu Catherine wake😅😅😅​@@EsterWilla

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mushaniwahi leo 😂😂

  • @AgnessHassan-us8ww
    @AgnessHassan-us8ww 6 หลายเดือนก่อน

    Uyo mwanajeshi lazim amvunje mbav 😂😂😂😂umalaya tu kutubu aaah😂

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤hatimae umetuonea huruma anko😂

  • @MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
    @MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r 6 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤❤❤❤❤ yani ANKO jay unatusema hivyo

  • @saidikaskasimkusa2787
    @saidikaskasimkusa2787 6 หลายเดือนก่อน

    Hii story inaniumiza sana simpendi sana Las Los anamharibia mwenzie kufikia hapo nimeichukia bay

  • @gressigotti3653
    @gressigotti3653 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamniii anko pleaseeee part 5 unatukata stim ujue usipoe saaa

  • @evelynlyimo1557
    @evelynlyimo1557 6 หลายเดือนก่อน +1

    At 41:02,kuna 😂😂😂wale wanapiga shuguli zao huku wana msikiliza anko j..mimi ndiye mmoja waooooo😂😂😂😂..sina tabu hapa raha najipa mwenyewe pumbavu zanguu...women don't cry over a man who cheated on you..😢it rains everyday but yu know how yu can drown if yu choose to die for a cheap cheat😊

  • @EsperanceNsabimana
    @EsperanceNsabimana 6 หลายเดือนก่อน

    Demu ana pepu la ngono anapenda kunyanduliwa
    Mbana atakosa kamba na mbuzi
    Na Dada mtu noma sana

  • @ZuwenaIsmail-vb4md
    @ZuwenaIsmail-vb4md 6 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣🤣🤣🤣Mbona nakupenda wewe na huyo bahasha wako 😂😂😂😂😂😂

  • @CossyKiria-fd6pq
    @CossyKiria-fd6pq 6 หลายเดือนก่อน +19

    Nasubiri hiyo siku watu wooote watakapo acha kuomba like nakutoa maoni yao kwa anko nin afanye kwenye simulizi zake😂😂

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 6 หลายเดือนก่อน +2

      Utasurii, Sana!😂

    • @CossyKiria-fd6pq
      @CossyKiria-fd6pq 6 หลายเดือนก่อน +4

      @@TeklaNdekeja hahha nasubiri kwahamu jamn cz inakuwa KERO sana😏😏

    • @MaddieMoreno-i7i
      @MaddieMoreno-i7i 6 หลายเดือนก่อน

      @@CossyKiria-fd6pqnikajua ni mimi tuu Ndo naonaga too much watu kuomba likes. Badala ya kumsifia anko j Kwa kazi yake na kumpa support watu wanajifanya kama wanampenda ila hawako tayari kumsupport Hata Kwa elfu 2 Kwa mwezi mkaka wa watu. Akiuza simulizi watu wanapayuka kama vile wakina mama tarik

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 6 หลายเดือนก่อน +13

    Hatimae leo tumefikiwa wasela wenzangu😂😂😂

    • @Divinelinna
      @Divinelinna 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂❤

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 5 หลายเดือนก่อน

    Nice story be blessed anko Jay wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @NanahBrown
    @NanahBrown 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂nilijua2 huyu Kase ataiharb ndoa kisa msela😢na sizan kama ataolewa na rahm kama hawajaishia kuwa na huyo msela wake

  • @mozabayabanda4248
    @mozabayabanda4248 6 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana Anko jay iyo sauti yako iyo ndo itatuuwa iyo❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @nahimanahawa
    @nahimanahawa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurahi leo sana tuu Msela mi nipo nawe mda wowote

  • @joanmutungi3542
    @joanmutungi3542 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Cathe nae anaanza kuniuzi sasa, genye gani hizo mpaka unaenda kutiana na mwanaume mwingine siku moja kabla ya harusi yako, Huu ni umalaya uliokithiri 🤨🤨🤔🤔😏😏😏

  • @nashaldy1804
    @nashaldy1804 6 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani kuna wadada Hawana akili kabisa.hdi ukaslimu ili uolewe alafu cku moja kabla ya ndoa wafumaniwa?hunu ni umalaya promax

  • @Sumaiya-h7m1p
    @Sumaiya-h7m1p 6 หลายเดือนก่อน

    Oyoooooooooooo msela in da house eeeee aya sasa cathe amua tuone 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Fakama245
    @Fakama245 6 หลายเดือนก่อน +1

    vipi anko j, wewe umetuzoesha raha na unatuchelesha sisi kama gen z tutakutafuta natumai unalijua tibwili letu.😁😁

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mie mtu waviporo naanza kugawa like kwenu wotee Kisha mnipe mimi pia like

  • @reginarichard3349
    @reginarichard3349 6 หลายเดือนก่อน

    Ancle na Lissa asante kwa mwendelezo ❤❤🎉🎉🎉

  • @prettyjenny-b2j
    @prettyjenny-b2j 6 หลายเดือนก่อน +7

    Nimewai leo

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058 6 หลายเดือนก่อน

    hila Kase jamani umezidi kwenye hili duu Kwanza unashitwa hata kujisitili mpendwa kila sehemu ww ni sawa kweli mapenzi yalikuzidi kuliko akili yako na siku zote ukiyapa mapenzi nafasi bas yatakuendesha mpaka ujute ndio Mahana mm nasema tu mapenzi shikamoo jamani😂😂😂

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 6 หลายเดือนก่อน +1

    Waooo! msela huyoo❤❤❤🎋🎋🎋🌹🌹🌹🥀🥀🥀💐💐💐🌷🌷🌷💃

  • @JosephBisimwa-ul2eg
    @JosephBisimwa-ul2eg 6 หลายเดือนก่อน

    Dah kweli huu bimti maya aiseee bwabwa kweli anko me siowi tena mazeeee

  • @FunnyClownfish-uc6ye
    @FunnyClownfish-uc6ye 6 หลายเดือนก่อน

    DadA ake kasema mbwa kabisa ndio kamchoma..mwenzie😢😢

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 6 หลายเดือนก่อน

    Kathe kathe mtoto malaya wewe sijapata kuona unashindwa kutulia na mwanaume wa maana wew bize na uyo bangii wako unatia hasira sanaa😏😏😏😏😏😏

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 หลายเดือนก่อน

    Kali ankojai unatuvuja Babu ❤❤

  • @NaomyBernard
    @NaomyBernard 6 หลายเดือนก่อน +1

    Cathe unamfatili msela unapigwaa dada

  • @EsterWilla
    @EsterWilla 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ilaaa wadada wengine kama.mataila mtu unamwacha mume wamaana unafata dudu umalaya tuu looh na uachike tuu😂😂😂 uone kama uyo msela atakuoaa

  • @annahnyansiaboka451
    @annahnyansiaboka451 6 หลายเดือนก่อน

    Enyewe ss masabiki wa ankoj atujui wanaume ni simulixi pekee

  • @tufaamzee2738
    @tufaamzee2738 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah hizi simuliz za lissa cjw kwann zinakua nzur akisimulia Anko j😂😂

  • @DortheaMaria-ti5er
    @DortheaMaria-ti5er 6 หลายเดือนก่อน +18

    😂😂😢Kuomba like nakutoa maoni yao kwa anko nin afanye kwenye simulizi zake 😂😂😢❤

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kathe ni mpuuzi sna mapenzi ayo my foot 👣,,na ajui ddke ndo anamchomea hajielewi umalaya utamuua mbwa uyu pumbavu zke mm amenicnya natamani niingie nimzabe makofi2 afu nitoke zangu😏😏😏

  • @RakaPk
    @RakaPk 6 หลายเดือนก่อน

    Mambo ni 🔥🔥 Asante sana anko wetu mungu akubaliki sana ❤❤🎉🎉

  • @candidamushi-se9mb
    @candidamushi-se9mb 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ankoo Lisa VIP umetuweka kwenye dustbin jamanii duu

  • @GladysChidude
    @GladysChidude 6 หลายเดือนก่อน +1

    Next part pls dj mzuri..❤❤❤❤

  • @linagervas
    @linagervas 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hiv Catherine una shida gan 😂😂😂😂 mwanaume wangap? Huy🙌🙌🙌🙌

  • @AgustaMyinga
    @AgustaMyinga 6 หลายเดือนก่อน +4

    He watu mpo vizur

  • @AishaAljadidi
    @AishaAljadidi 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hatimae imekuja❤❤❤❤

  • @anizawasiche2457
    @anizawasiche2457 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kathe kanikera , Yani haezi fikiria kama anachukuliwa video ama picha , wakati Kila kitu Kiko wazi kaambiwa hatofunga ndoa, alikuwa kakasiriwa na wazazi wake aliye msaidia mpaka mahusiano ya familia ikarudi , Sasa anafatana na yule wa kumvunjia hajali upendo wa familia Wala nn, huyo lansileto sijui nani, asingemtisha , angemwambia tu memewe kinacho endelea na wangejuwa wafanyeje, Sasa saahii akipatikana sura anaieka wapo, wazazi wake atawaeleza nn , yaani itakuwa vip maskini , yaaani huyu Kathe kumbe mpuuuzi hivi , coz haya si mapenzi huu n uchizi

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 6 หลายเดือนก่อน +3

    Woooow thankx ankojay

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo 6 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la Katherine ana arosto ya mapenzi duuu hatareeeee

  • @QueenShirima
    @QueenShirima 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani nilimiss hii msela dah! 😊😊😂

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 6 หลายเดือนก่อน

    He,Kajuna Mungu atakulaani wewe,chuo ulimkatiza kwa kumwondolea kila kitu na kumfutia usajiri bado tu unamwaibisha mtu uliyemharibia maisha hivyo daa 😂😂😂

  • @DamariJohn
    @DamariJohn 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤Msela wetu anko J

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 6 หลายเดือนก่อน +1

    Natafuta msela na mimi😂😂😂😂😂

  • @GloryMayele
    @GloryMayele 5 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli nilikua sipendi simulizi ila kwa hii nimependa mambo ya stress ni kutupia mbali 😂😂😂anko jay we nikiboko

  • @clintonsamuel586.
    @clintonsamuel586. 6 หลายเดือนก่อน

    Ivi bado kunawanawake kama cathe mpka leo jamn 😁 yan unamuhis mumeo na kitu badala ufanye uchunguzi kwanza unaenda kumwambia ulichosikia ni ujinga 😂😂😂😂

  • @AishaAlly-f4p
    @AishaAlly-f4p 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani we dada umeniuzi ujui kutulia khaa wacha upigwe matukio mwenye kilanga apewi pole

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058 6 หลายเดือนก่อน

    Mama ww ni mtu mbaya pia kwani kusoma ndio mtu uchukie mtoto wa wako unampenda mtu tajili bila kujua mtu sahihi kisa amekulisha pesa na pia tambua ya kwamba ukisomesha mtoto usifikiliye ya kwamba utavuna matunda Kuna mawili kukosa au kupata ivyo unaweza ukasoma na usiwe na chakufanya kwenye maisha mm tambua kila Kitu ni changamoto SS wazazi kunawakati tuna kuseya asira ni asara

  • @CatherineMapunda-j3t
    @CatherineMapunda-j3t 6 หลายเดือนก่อน

    Yani wajina daaah halafu wakina cathe hatupo hivo tunaomba ubadilisha jina