SIMULIZI YA MAPENZI: BINTI CARA, By Ankojay

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 มิ.ย. 2023
  • Kwa majina naitwa Cara Julius, ni mzaliwa wa lushoto tanga karibu usikilize huu mkasa wangu wa mapenzi wenye visa vya kusisimua.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 258

  • @ankojay_
    @ankojay_  ปีที่แล้ว +26

    Part 02 Bonyeza Hapa 👇 th-cam.com/video/6MY3qzvF2pw/w-d-xo.html

  • @sellenasellena5475
    @sellenasellena5475 ปีที่แล้ว +22

    Marafiki wengine wanapoteza wenziwao kabisa ata sio marafiki wakukaa nao karibu😢😢

    • @GeofreyLazaro-ri7su
      @GeofreyLazaro-ri7su ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa ndug yngu, , ila nd hvy maan washasemaga akili za kuambiw chngny na za kwako

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 4 หลายเดือนก่อน

      Yaaan

  • @AnnoyedIslandRetreat-pr6st
    @AnnoyedIslandRetreat-pr6st 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤Shukran zako ankojay kwa kutupa simulizi za mafunzo na za kusisimua... Mwenyezi mungu akujaalie uzima na afya amiin

  • @DalinaSamweli-ji3fc
    @DalinaSamweli-ji3fc ปีที่แล้ว +4

    Nachelewa sikuhizi twendelee napnd kaz zko anko jay by dalina mungu akulinde uwe na afya njema love you so much 💚💛💚💛💚💛💚

  • @alicesidi9574
    @alicesidi9574 ปีที่แล้ว +7

    Asante Sana ankojay barikiwa sasa natulia niskie binti Cara kwautulivu wote 🇸🇦🇸🇦ndo mjengoni

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 ปีที่แล้ว +6

    Natafuta mahali patulivu nikae niskize hii simulizi ya Binti Cara 🥰♥️🥰♥️♥️ Asante sana Anko J 🙏🙏

  • @GeofreyLazaro-ri7su
    @GeofreyLazaro-ri7su ปีที่แล้ว +5

    Anko jay unajua sana kusimulia sana, ila ninaomba unapoanz simulizi au unapomalizia simulizi uwe unatujuza km ni ya kweli au ni ya kubuni, , piah naomba uwe unasimulia simulizi zinazohusu maisha sana sana, , maana simulizi za mapenzi zimejaa sana

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +6

    Maskini Cara,alizaliwa na mwanamke na
    mwanaume,akakosa baba na mama wabinafsi wasiofikiria wengine isipokuwa nafsi zao tu,pole sana Cara

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 ปีที่แล้ว +6

    Kuna binadamu wako naroho ngumu kama huyo mama lulu.haya umpata. Naibu waziri ungetulia tulii lkn. Tamaa yapesa

  • @fatimejamal1686
    @fatimejamal1686 8 หลายเดือนก่อน +3

    Anko jey, unawaelewa sana waandishi wako, haswaa Lisa mwalla 😅😅 unamuelewa vizuri na unajua msikilizaj anataka nini.. Asante ❤❤

  • @zaliafakilavire5689
    @zaliafakilavire5689 ปีที่แล้ว +5

    Daaah ila marafiki wengine ni zaidi ya vichomi nazidi kujifunza my bro j ubarikiwe kwa kz nzur unayoifanya kiukweli unaielimisha jamii na burudani km zoteee❤❤❤❤❤

  • @linahmeena
    @linahmeena ปีที่แล้ว +5

    Anko J mavoice mm ninaswali lakizushi ww huwa unasauti ngapi jamn ila zote ni nzur nimeipenda ile ya mfanyakaz wa maija😆😆🤣🤣barikiwa Sanaa mpendwa

  • @nasrarajabu4260
    @nasrarajabu4260 ปีที่แล้ว +6

    ❤❤❤waoo😊na tulia na phone zngu nisikilize sauti tamu ya kiume

  • @user-yv2cg9rd4s
    @user-yv2cg9rd4s ปีที่แล้ว +12

    Haki sio vizuri kuwasikiliza marafiki sana maana watakupoteza

  • @rithaaman
    @rithaaman ปีที่แล้ว +5

    Asante anko j tujifunza kupita simlizi zako mungu akupe maisha marefu

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@ankojay_kaz nzur sana kiukweli

  • @user-rm1bd7uc4s
    @user-rm1bd7uc4s 7 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda sana simulizi zako ankojay nakupenda bure 🙏🙏🙏

  • @beatricesemiti5997
    @beatricesemiti5997 ปีที่แล้ว +8

    Mtoto mwenye akili kama binti CARA bora ukafa mgumba, baba cara uko vizuri.

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      😄😄😄😄🙌🙌

    • @DorcasMuomba-gd3sw
      @DorcasMuomba-gd3sw 3 หลายเดือนก่อน

      No no no no afadhari uwe nauyo binti cara kuliko kukosa mtoto maana wengine wanatamani waitwe baba ao mama (maana ukifa huwezi kazikwa na mwiba🌵🌵🌵🌵🌵

  • @Sarahihande
    @Sarahihande 5 หลายเดือนก่อน +2

    Waoooo! Simulzi inafundisha😢❤❤🥰🥰

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 ปีที่แล้ว +5

    Dah ilivyokuwa naisubili hatari haya twende kazi anko jay❤❤❤

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +8

    Nilikuwa naisubili hapa mara naingia namuona BINTI CARA 🤣🤣🤣🤣tunatega hayo masikio ili tujuwe ili tujifunze kitu kutoka kwa BINTI CARA ankojay tunainjoi tuu🥰🥰

    • @amimaawazi6643
      @amimaawazi6643 ปีที่แล้ว

      Ivi wewe upo wapi maana ukosekanagi wewe ata simulizi itoke sakumi usiku lazima utaniwai tu

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +1

      @@amimaawazi6643 🤣🤣🤣🤣jamanii nipo oman kipenzi miee humu kama nyumbani tuu simulizi zoote nipo kipenzi🤣🤣🥰

  • @jenniferlicko4736
    @jenniferlicko4736 ปีที่แล้ว +3

    Wooooow lovely 🥰🥰🥰🥰🥰 let's go to listen this lovely story ❤️💗💗💗💗💗❤️💗♥️💗

  • @user-pu9mp9ry4n
    @user-pu9mp9ry4n 5 หลายเดือนก่อน +1

    I love it from kenya 🇰🇪

  • @brigdk
    @brigdk ปีที่แล้ว +9

    Tupe mambo Anko jay tumetulia tayari kuzikiza ❤❤❤❤❤

  • @marynyamvula5896
    @marynyamvula5896 ปีที่แล้ว +2

    Nimechelewa lakini Niko chelewa lakiufike Asante anko jey nakimpenzi chetu Lissa mwala nawaopea maishamarefu muguawabariki saana hayagojani niisikilize mwanso❤❤❤❤

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +5

    Unyumba wa watoto haufi Clara nausipoangalia unaachwa solemba🤔

  • @slyla2565
    @slyla2565 ปีที่แล้ว +7

    Hatimae lushoto tumefikiwa

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo ปีที่แล้ว +5

    Lzm turege masikio vzr km antenna jmn anko jay

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 ปีที่แล้ว +3

    Ancle j thx simulizi zako nzuri sana

  • @aishahassan-cl2zf
    @aishahassan-cl2zf ปีที่แล้ว +3

    Anko Jay namsubili jmn 🥺🥺 please ialakishe)) yani un
    asimulia lakn mi naona kama na angalia movie Yan🥰🥰❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰❤️❤️❤️ ur voice wallah❤️🌹

  • @herikinanda6575
    @herikinanda6575 3 หลายเดือนก่อน +1

    Love it ❤❤u,maua🌹🌹🌹

  • @joyceabeli3787
    @joyceabeli3787 ปีที่แล้ว +4

    Anko j unaendelea kutupa mambo mazuri

  • @sarahhagai8191
    @sarahhagai8191 ปีที่แล้ว +5

    ❤❤❤ first one

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Yes you are!🎉🎉🎉

  • @user-xr2lb6vb6i
    @user-xr2lb6vb6i หลายเดือนก่อน

    Asante sana anko j kwasimulizi zako.tunazipenda sana

  • @user-vd2qc3wb1v
    @user-vd2qc3wb1v 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli anko je tunaomba ukimaliza kusimulia uwe unatujuza kama hadidhi ni za kweli au raaaaa❤️

  • @user-wq7nl3pc1j
    @user-wq7nl3pc1j ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kwa simulizi nzuri

  • @user-jp6cx9gw2n
    @user-jp6cx9gw2n ปีที่แล้ว +6

    Huyu mkaka anajua kukonga roho za watu😘

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nachukia sana kushare penz,huyu baba amemaliza kuchekecha na mkewe halafu anataka aachiwe mlango waz na msichana ,khaaa,

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 ปีที่แล้ว +5

    Anko J unaweza kuigiza kila sauti wow

  • @salmaomar5050
    @salmaomar5050 ปีที่แล้ว +5

    Cara sehem ya 3

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ipo , ila inauzwa

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +3

    Mama lLeoni asipoangalia
    Atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe 🤔

  • @user-xl2jt4dl4e
    @user-xl2jt4dl4e 5 หลายเดือนก่อน +2

    Story nzuri sana❤❤❤

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 ปีที่แล้ว +10

    Itanifunza,kuniliza, kunihuzunisha na kunifurahisha..thats the aim goal of listening to simulizi...much love Ankojay❤❤❤❤❤❤

  • @user-ln3sc3yr3m
    @user-ln3sc3yr3m 8 หลายเดือนก่อน +3

    Una ubunifu barikiwa

  • @LetisiaWilliammanyama
    @LetisiaWilliammanyama ปีที่แล้ว +6

    Leo wa kwanza

  • @rizkimw1301
    @rizkimw1301 ปีที่แล้ว +2

    Cara c kulea watoto ao wanandoa walio zaa awachan ww fungua macho acha kulala❤❤❤

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 ปีที่แล้ว +5

    Fantastic ❤❤

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 ปีที่แล้ว +4

    Ankoj leo nimewai ❤❤❤❤❤❤

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo ปีที่แล้ว +2

    Weee Mambo ni moto masaaa machache cara sasa umeijua Dunia

  • @magrethjilya7663
    @magrethjilya7663 ปีที่แล้ว +7

    jaman hyo alama ya kengele siioni kilasiku nakuwa wa mwisho tu 😥

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ukibonyeza subscribe inatokea alama ya Kengele, bonyeza hiyo alama

    • @magrethjilya7663
      @magrethjilya7663 ปีที่แล้ว +1

      @@ankojay_ hiyo sabscribe yenyewe siion natamani nitume sreene shoot minaonatu alama ya kulike

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr ปีที่แล้ว +4

    Ahsante handsome boy wetu tupe raha ❤❤❤

  • @rizkimw1301
    @rizkimw1301 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sana Anko J ubarikiwe kwa kazi Mungu azd kukupa furaha na wenzako wausika nyote nawapenda kwa kunifuraisha pia mm nafurai 2 ❤❤❤❤❤❤❤

  • @khadijamohd5741
    @khadijamohd5741 ปีที่แล้ว +5

    Mbona part 2 sijaiona 😊

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 ปีที่แล้ว +1

    Asante Anko J kwa simulizi nzuri yenye mafunzo

  • @RailatiddyIddy-sf9rs
    @RailatiddyIddy-sf9rs ปีที่แล้ว +4

    Anko j me nataka simulizi za mapemzi Kam ya penzi la binamu

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +3

    Janja paka iyo panya kwisa jua
    Chichi katumwa huyo amuandae clara😅😂😅

  • @elizabethlucky8200
    @elizabethlucky8200 ปีที่แล้ว +5

    Weeeh za mwizi ni arobaini CARA

  • @Salalymjeshi
    @Salalymjeshi ปีที่แล้ว +3

    Sasa Ulikuwa unangoja nini nilikuwa nasema moyoni nikikuta hakuna binti Cara nitakufuata hadi whattsap ila asanteeeeeeeeee 😍

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂❤❤😅😊aiseee simuzi ni tamu sana mwanzo na furahi je mwisho ni nitavunjika mavu, hongera sana anko Jay kwa kazi nzuri sana ubarikiwe sana na twakupenda sana

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Enjoy 😊

    • @fatimafoaani2263
      @fatimafoaani2263 ปีที่แล้ว

      @@ankojay_ Asante sana nainjoi sawa mume wetu jabali

    • @magrethjilya7663
      @magrethjilya7663 ปีที่แล้ว

      @@fatimafoaani2263 😂😂😂eti mumewetu jabar umejua kunipatia😂😂😂😂🙌

    • @fatimafoaani2263
      @fatimafoaani2263 ปีที่แล้ว

      Kipi cha ajabu kwani wewe humpendi anko Jay si yeye ni mume, na mimi na wewe ni wake na twampenda bure kishabiki ubaya uko wapi nikimwita mume wetu kipenzi anko Jay mapesa mr Bondi

    • @magrethjilya7663
      @magrethjilya7663 ปีที่แล้ว

      @@fatimafoaani2263 😂😂😂 sio kwa ubaya dear ndiomaana nikakwambia umejua kunipatia😍

  • @user-wz8hy7lb6s
    @user-wz8hy7lb6s ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana ankojay na Lisa mwalla Kwa simulizi magunzo

  • @jenniferlicko4736
    @jenniferlicko4736 ปีที่แล้ว +2

    Woooooow 🥰🥰🥰🥰🥰 imagine ndo nataka kuanza kuisikiliza jamàaani 😅😅😅

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 ปีที่แล้ว +3

    To be continued

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana ankjau ❤❤❤

  • @melissaivanyi
    @melissaivanyi 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tooba kweli huu umalaya unasaidia sana😂😂😂😂😂😂 nimejifunza kitu aky

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio maana ndoa nyingi hazidumu,wanawake wakishaingia ktk ndooa wanajiona ndio wamefika hawajishughulishi kuwafanya waume zao kuwa update kila siku

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 ปีที่แล้ว +4

    Anko j unajua mpaka unajua tena

  • @khadijashabani6167
    @khadijashabani6167 ปีที่แล้ว +4

    Asante anko mapesa

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 ปีที่แล้ว +3

    Asate sana ako j

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +1

    Forward ever back word never 😊😊twendeni nalo wenzangu,,

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 ปีที่แล้ว +5

    Mambo kunoga sasa ❤

  • @user-xt5pv9qg5o
    @user-xt5pv9qg5o ปีที่แล้ว +2

    Ni nzur kwakweli

  • @ummufirdaws8412
    @ummufirdaws8412 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tupe raha❤❤

  • @HappyMshanga-xx1ob
    @HappyMshanga-xx1ob ปีที่แล้ว +3

    Wa 150 fresh t 😂😂❤

  • @roselinegendo7664
    @roselinegendo7664 ปีที่แล้ว

    Short and sweet 😌hun Kaz mby Anko 🥂

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 ปีที่แล้ว +2

    Sijampenda Bebe

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yuuuuuuuuu,,,,wamachame wa wapi hao wauaji jamanieeeeee

  • @user-tv6ii7pc4z
    @user-tv6ii7pc4z 9 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏 okay Anko

  • @sadikituji-rd5od
    @sadikituji-rd5od ปีที่แล้ว +4

    Sawa Asante

  • @user-qw7un1nf2f
    @user-qw7un1nf2f ปีที่แล้ว +1

    Asante dada lisa Allah akutangulie kwa lila jambo

  • @nashaldy1804
    @nashaldy1804 ปีที่แล้ว +4

    Mi ndo maana cna marafiki.coz marafiki kma hawa ni wapotevu kweli

  • @user-me9hh8rk8u
    @user-me9hh8rk8u 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yang ankojay simulizi zako zinanifundixha sana nakunifany kuwa n taazar

  • @user-vo4rc1vd4d
    @user-vo4rc1vd4d 6 หลายเดือนก่อน +2

    Inanifumza niache tamaa maan nikupotezew mdatu naibu anawake

  • @MaliamAntony
    @MaliamAntony 3 หลายเดือนก่อน +1

    Anko Jay unajua acha nikupe sifa

  • @GharshanLila-ho6cc
    @GharshanLila-ho6cc ปีที่แล้ว +2

    Jamniii ankojay moch love uuuu

  • @popod177
    @popod177 ปีที่แล้ว +2

    Great job..but i have a question for u uncle jay.,..what happened to the Karma??????😢

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      KARMA part 2 Inauzwa

    • @popod177
      @popod177 ปีที่แล้ว

      @@ankojay_ mmh..aki uncle,.sio poa kutuonjesha then unapotea..niko down sana.

  • @Grace-xh6zq
    @Grace-xh6zq ปีที่แล้ว +1

    Anko nmecheka Mimi daaa nandonimeaza atar smulizi Raha yn mungu akupe afia Bora uzdi tupa raha

  • @fatumamatano8216
    @fatumamatano8216 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Anko j

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr ปีที่แล้ว +3

    fantastic❤❤❤

  • @dalilaamiri
    @dalilaamiri ปีที่แล้ว +2

    Leo sjachelewa❤❤❤

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +3

    Clara hapo sipo
    Ondoka huyo mama siye

  • @raiyaanyusufyusuf17
    @raiyaanyusufyusuf17 ปีที่แล้ว +4

    Anko Jay unanifanya Nicheke peke yangu kama mwehu jamani

  • @irenekaijage1659
    @irenekaijage1659 หลายเดือนก่อน

    Anko jay😂❤sio kwa kukimbia uko nimecheka sanaaa😂😂

  • @faidhatambwe6290
    @faidhatambwe6290 ปีที่แล้ว +4

    Yan anko j ushanifanya mlevi wa simulizi zako 😂😂

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂🔥🔥🔥

    • @elizabethmajaliwa8962
      @elizabethmajaliwa8962 ปีที่แล้ว

      Kbsaa ata mim yaan ata wathap siingii😅😅

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 4 หลายเดือนก่อน

      Mim nilishakuwa lilevi kabisa

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @channychadia4930
    @channychadia4930 ปีที่แล้ว +2

    Anko 😊

  • @imanwalid6549
    @imanwalid6549 ปีที่แล้ว +3

    Nice ❤❤❤❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Thank you 🤗

  • @sarahhagai8191
    @sarahhagai8191 ปีที่แล้ว +4

    🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 naiwahi simulizi❤❤❤❤

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +2

    Unalo hilo Clara🤔
    Ha ha haaaa! Kishada

  • @user-qs2kk6zw3y
    @user-qs2kk6zw3y 9 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda kwa ajili Allah anko j jamani unanipa raha ww.

  • @user-xv5ld1zy5q
    @user-xv5ld1zy5q 10 หลายเดือนก่อน +1

    HONGELASANA.ANKOJKWASIMULIZIZAKONZURI🎉🎉

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +2

    Mmm sio bure labda amelogwa 😅😂😅🤣

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +3

    Mhmm!mtoto wa wenzio unamtendea ukatili afadhali hata mnyama unasahau kuwa nawe una watoto na hujui kuna Mungu atendaye haki mwe😮😮

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 4 หลายเดือนก่อน

      Wanawake wengi wanaongoza kuwa na roho za kikatili