Jinsi ya kupika maharage ya nazi mazito - Perfect red kidney beans in coconut milk

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 67

  • @janetisaac7922
    @janetisaac7922 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana dada, yaani haya maharage ni hatari kwa utamu wake. Mungu akubariki sana na akuzidishie kwa kutoa ujuzi wako.

  • @lynalyna3968
    @lynalyna3968 6 ปีที่แล้ว +1

    Uwiiii new tip sikuwah kujua kma mdalasin unawz kuweka kwa ndondo kupata radha,Shukran 😘😘

  • @laveraatieno7179
    @laveraatieno7179 3 ปีที่แล้ว

    Maharage yako yameweza🙌🙌🙌nimejaribu na ni matamu

  • @vumiliamadoshada4218
    @vumiliamadoshada4218 5 ปีที่แล้ว +4

    Duuuu, i will try, so easy. Asante sana

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +1

    Thanks SNA Leo nimeagalia nikipika hivyo hivyo na matokeo yamekua mazuri sihaba

  • @abangaabanga4677
    @abangaabanga4677 4 ปีที่แล้ว +1

    Aaaghhh asante sana ingawa niko UK lakini leo ntafwatilia hii kupika maharage ya nazi nijiskie ka nipo bono vile.....!

  • @dismindercool2246
    @dismindercool2246 6 ปีที่แล้ว +1

    Wow yanavutia thanks for teaching us dear.

  • @mukeshchavda2902
    @mukeshchavda2902 หลายเดือนก่อน

    Waw 😂 my siku nyingi sijala marage ya nazi

  • @zebusdaughter8158
    @zebusdaughter8158 6 ปีที่แล้ว +10

    I tried !! Jamani nilikuwa wapi siku zote!! Bahat yangu bado nnamume lol! Superb 😅

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  6 ปีที่แล้ว

      Hongera 😁😁

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 ปีที่แล้ว

      Haha dark unachekesha wee hata mimi nasemaga nikiwa na mume badaye nitampikia malost

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 ปีที่แล้ว

      Yaaharage ya nazi ni matamu mno yote matamu ukiyapika vizur hata ya mafuta yakipikwa uzur halafu nilikuwa napendaga, maharge ya binzar

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 ปีที่แล้ว

      Zamani tulikuwaga hatupikagi bila binzar

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 ปีที่แล้ว

      Ya tomato na chumvi inasaidia tomato kuivisha nyanya halaka nalijuwa hilo Kuna mtu alinibiaga tangu siku IYO nikawa nafanyaga ivyo

  • @annafesto9481
    @annafesto9481 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda shuna's kitchen kwako najifunza mnoo kupika.

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 ปีที่แล้ว

    Nice maashaalah❤

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 6 ปีที่แล้ว +1

    Tamu sana Tutajaribu method yako Shukran

  • @rumaantvonline6486
    @rumaantvonline6486 6 ปีที่แล้ว +1

    Huna makubwa vyakula vyako vipo verry simple uko vzr dada 😘

  • @cosmaslusanika5656
    @cosmaslusanika5656 6 ปีที่แล้ว

    Ahsante mamy allah akitunze napenda sana mapishi yako

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 6 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mwalimu wa mapishi kwa kweli

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 6 ปีที่แล้ว

    Harage laita hilo naka ugali na samaki pembeni, twende kazi 😋😋😋

  • @JerryMwesigwaNdyetabula
    @JerryMwesigwaNdyetabula ปีที่แล้ว

    Thank u Sis Shuna❤

  • @rumaantvonline6486
    @rumaantvonline6486 6 ปีที่แล้ว +7

    Unafahamika vzr tofaut na wengne yaan hta km chakula kigum bac ukifahmixha ww tunaelewa

  • @naturalbeautychannel9698
    @naturalbeautychannel9698 6 ปีที่แล้ว

    napenda Sana mapishi yko uko juu siz😍

  • @BiubwaBeauty-henna
    @BiubwaBeauty-henna 10 หลายเดือนก่อน

    Asante dashuu

  • @lailatyabdallah1723
    @lailatyabdallah1723 6 ปีที่แล้ว

    Simple but yummy🙌🙌 barikiwa mammy

  • @edinambonea8618
    @edinambonea8618 4 ปีที่แล้ว

    Pishi zur cana thenx

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 6 ปีที่แล้ว +1

    MaashaAllah

  • @oscarmassawe-o9k
    @oscarmassawe-o9k 11 วันที่ผ่านมา

    Did it today

  • @rahmatysalim5947
    @rahmatysalim5947 4 ปีที่แล้ว +1

    maisha allah

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 6 ปีที่แล้ว

    Shukran sis

  • @ellyngowo5679
    @ellyngowo5679 6 ปีที่แล้ว

    Big Up shunaaaaa

  • @mayusahussein4721
    @mayusahussein4721 6 ปีที่แล้ว

    Asanty mpedwa mazuri sana

  • @estherchamhene212
    @estherchamhene212 6 ปีที่แล้ว

    I will try this recipe

  • @muminafarax9512
    @muminafarax9512 6 ปีที่แล้ว

    Zuri maasha allah

  • @maybryanteyahya9202
    @maybryanteyahya9202 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @amalhassan627
    @amalhassan627 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah tamu Sana Asante

  • @azizamauji3629
    @azizamauji3629 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @vanodanod5083
    @vanodanod5083 6 ปีที่แล้ว

    Thanks sister 😘😘

  • @foreveryoung6036
    @foreveryoung6036 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwa chapati na chai ya abdalasini shunaaaaa😘

  • @a.856
    @a.856 6 ปีที่แล้ว

    Asante hun

  • @nassorhamad5872
    @nassorhamad5872 6 ปีที่แล้ว +3

    mashaallah mapishi yako

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 6 ปีที่แล้ว

    Mmmm wanitamanisha ukhty mana cvyo ninavyo ya miss

    • @hawata7614
      @hawata7614 6 ปีที่แล้ว

      Acha tuh my yn

  • @farhiya92farhiya39
    @farhiya92farhiya39 6 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @qwissowoko8335
    @qwissowoko8335 5 ปีที่แล้ว

    tamu sana

  • @albertldominic
    @albertldominic 5 ปีที่แล้ว

    Hi Shuna, umetumia muda gani kupika hii dish?

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Hi, itabidi niangalie video yenyewe tena, ila ukisha kupika maharage na kuwiva, ukiweka nazi unapika si zaidi ya dkk 20 (inategemea )

  • @hassanjumachipua2836
    @hassanjumachipua2836 5 ปีที่แล้ว

    Haya n maharagwe ya nazi au mafuta?

  • @chiadogo7050
    @chiadogo7050 5 ปีที่แล้ว

    Cjazoea kuunga maharage na nyanya lkn lazima utumie masara au

  • @jumahumphrey3656
    @jumahumphrey3656 5 ปีที่แล้ว

    Unafanya kazi ya kupika kuonekana nyepes

  • @mamuchahe4524
    @mamuchahe4524 6 ปีที่แล้ว

    😘😘

  • @tundaskitchen1396
    @tundaskitchen1396 2 ปีที่แล้ว

    Nice Dada l like it

  • @abbieresh7895
    @abbieresh7895 5 ปีที่แล้ว

    Mate yadondoka

  • @mulhatfarouk2472
    @mulhatfarouk2472 6 ปีที่แล้ว

    habibty mm nikependa unifundishe wali wa chines

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  6 ปีที่แล้ว

      Hi dear, nina video ya fried rice please gusa hii link 👉 th-cam.com/video/riyPfpIH4dI/w-d-xo.html

    • @raphaelsengo114
      @raphaelsengo114 5 ปีที่แล้ว

      Nmependa sana yanaonekana matamu

  • @rumaantvonline6486
    @rumaantvonline6486 6 ปีที่แล้ว +1

    Sambaro naomba

  • @marykatema1250
    @marykatema1250 6 ปีที่แล้ว

    Huna group whatsap

  • @cosmaslusanika5656
    @cosmaslusanika5656 6 ปีที่แล้ว

    Sorry garam masala ni sawa na manjano

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  6 ปีที่แล้ว

      Sio sawa, ila kama huna sio lazima, unaweza kuweka hiyo manjano tu

  • @rukiahhdbdn4798
    @rukiahhdbdn4798 6 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah