Mashaa Allah leo nimepika zurbian Ajab very nice. Mashaa Allah watu wote nyumbani wamependa. Guys jaribuni mutapenda. Shuna's thank you very much dear.
MashaAlah 😍🥰😋😋😋kitamu Sana Tena Sana MashaAlah,me nimepika na sambaro na nikatengeza na Salad bas ni balaa,thnx habbty wangu wajna angu Allah akubarik🤲
Mashaa Allah its look yummy yummy in shaa Allah ntajaribu yaani anty shuna nakupenda sana kwa ajili ya Allah wallhi u a da best Allah akutilie barka kwa hili
shukran dear. Kidogo nitakua na changamoto ya kutumia mkaa kwenye mazingira niliyopo lakini in shaa nikipata mazingira yanayoruhusu tu nikikumbuka nitafanya. Shukran dear
Mashaa Allah leo nimepika zurbian Ajab very nice. Mashaa Allah watu wote nyumbani wamependa. Guys jaribuni mutapenda. Shuna's thank you very much dear.
mashaAllah, asante sana my dear kwa kuchukua muda wako kuandika feedback nzuri na nimefurahi umeipenda ❤
MASHAALLAH TABARAKALLAH🤲🏾 My dear mchele gani umetumia? IN SHAA ALLAH nami nitajaribu kupika. Shukran.
1
Lhjnj9
Unaweza tumia mchele wa kawaida
See n mm pia nimepika
Mashallah 😍 hongera kabisa
Thank you bosslady ❤😘💓
The way all you Chefs are supporting each other..Mashallah 💪🏽💪🏽👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Mashaallah unavutia sana wali na unaonesha mtamu kesho inshaallah nitaujaribu kuupika😋👌
Shukran sana..nimejaribu na wezangu wamefurahi sana..thanks alot keep the good work....
MashaAlah 😍🥰😋😋😋kitamu Sana Tena Sana MashaAlah,me nimepika na sambaro na nikatengeza na Salad bas ni balaa,thnx habbty wangu wajna angu Allah akubarik🤲
Nimeupika leo MashaAllah umepedwa. Thanks
Wooow Allah ibarik recepy nzuriiii sana nimepika leo nimeongezea korianda na Maggie tu Yeniiii imetoka babu kubwa thank you shuu
You are welcome 😊
Mashallah Tabaraka Rahman biriani nzuri yenye ladha tamu . Allah akubariki biriani la waa
Shunas naomba jina la mchele mana basmat zipo nyingi nimependa hii basmat yako nyembamba sana nzur mashallah
Asante sana dada Shuna. Mimi napendezwa na mapishi yako yote. Nitaendelea kuyajaribu.
Masha Allah Asante sana dada nitajaribu kupika
SHUKRAN JAZZILLA ALLAH AZIDI KUFUNGUA UZIDI KUTUPA MAUJUZI SHUKRAN
Mashaallah mapishi Bam Bam👌
Mashallah mashallah 😋 😋 👌 looks soo yummmmy as always darling
Thank you so much darling ❤💓
maashallah maashallah Allah akulipe kila la khery habibty .shukraan snsn.ukweli tunakupenda sn.
Mashllh nitajaribu Allah akulipe kwa juhud zako
ameen asante sana
Mashaa Allah its look yummy yummy in shaa Allah ntajaribu yaani anty shuna nakupenda sana kwa ajili ya Allah wallhi u a da best Allah akutilie barka kwa hili
nimependa pia vile Shuna unaelezea kwa upole n utaratibu sana. Keep it up . thank you dear
Thank you dear
MashaAllah the best zurbian i could ever make na kisha please naomba kufunzwa kufanya pilau au hata biriani ya jodari 🙏
Asante dada vipi unakula bila kachumbari
nimependa mashallah ❤
Shukran ...my favourite dish but mie napika kivivuvivu ...inshaAllah siku moja nipike km hvy unavypika
Maasha’Allah nitaujaribu unavutia ahsante kwa recipe
in shaa Allah dear, karibu
Mashallah 😘👌nitajaribu
Kesho inshallah nataka kujarbu kuupika huu wali ... unaonekana mtam sana...
Masha Allah dada tuandikie viungo ulivyotumia kwenye video umeenda harakaharaka
Mashaa Allah wa jumapiili huo Leo leo inshaa Allah
in shaa Allah dear nasubiria feedback ❤
Masha Allah mzur nitajaribu
Mashallah wali nzuri nimependa huo upishi wa nyama shukran habibty
afwan dear, asante pia kwa kuangalia
Mashallah recipe nzuri.... I like your simplicity.... Doesn't go wrong
Thank you so much darling, I do appreciate your feedback ❤
Mashallah nimeona tiktok mtu amepika aulizwa recipes hasemi mm huyo apa kwako nisave video yote shukran my dear
I wish nikutumie pic ya chakula mashallah nimepika mtam mzuri simple hadi raha Allah akujaze kher
Ameen asante sana 🙂
Mashaaaallh nmi pia nimejrb mtamu mnooo
Mashallah nimeipenda Allah ataubariki mjini wako
Mashallah wali pambeeeee
❤ Maa shaa llah tabaaraka llah
basi bhana jana nikapika huu wali jamani hubby alikula mpaka nikamuonea huruma.... 😅😅😅❤❤❤ @shuna's kitchen
Maa Shaa Allah
I'll cook my husband this In shaa Allah
Mashaallah shukraaan habibty. Piaaa nime jaribu mashaallah ajaab.😋😋🤗
Shukran habibty tuletee Aina zawali
in shaa Allah dear nitajitahidi, shukran
Nimependa Sana Wali huu mashaallah
Naipenda channel yako. Kiswahili kizuri pia. So kama wale wanaozungumza na kiingereza channel skuli
Masha Allah unatumia mchele gan plz
Mashanlwa very nice napendasana mapishi yako.thankyu😋
shukran sana habibty
Mashallah nimewahi Leo... Wali wavutia😋😋😋
shukran sana
@@ShunasKitchen karibu mummy pia pitia kwa channel yangu 😍😍
Mashaallah chakula kizur Sana
Hata Nnakosa maneno wallai.
Let me stick to MashaAllah
Thank you 💓
Mashallah nimependa Sana ni rahic Sana kupika nitajaribu inshaallah ni mzuri sana
Shukran sana habibty ❤🥰😘
Maa shaa Allah ..tabaraka Lah
shukran dear 💓
Mashallah Allah barik habbty
Ni nzurii saba
mashaaAllah mashaaAllah..inapendeza ssana.Na kuonekana tamu sana sana..
I love the recipe
Thanks for watching :)
MA sha Allah
So yummy mashallah
Daaaah ijumaa ya leo ndo nimegonga hiyo kitu ni tamu balaaaa pembeni juice ya bungo hatariiii
Very nice one
Ma Shaa Allah wali unaonekana nzuri sana nimependa channel yako. Mungu akubarik hbbti Shuna
Ameen asante sana kwa kuangalia my dear
Mash Allah sister shunas upishi mzuri nitajaribu in sh Allah.
asante sana
I like you mashaAllah u are amazing❤❤❤
Maashaallah maashaallah
MashaaAllah nice
Maashallah nice
Asante sana na shukran
Mashallah may Allah bless ur hands
Masha Allah Tabaraka Allah
Mashallah ❤❤
Maa shaa llaj
We neeed more videos 🙂❤
Rania kanileta huku na nimefurahia mapishi yako. Wali tamu sana😋😋
Shukran sana habibty, karibu ❤
Ntajaribu hii kesho
Biriani nzuri
Nimeipenda sana
mashallah inavutia
Ntapika sku kuu inshaallah😅😅😅
Mashaallah tena recept rahisi sana shukran nitaijaribu hii😍
in shaa Allah dear usinisahau mrejesho please 😘
Ila pls ungekuwa unaweka link ya recipe pls
Waoo ,it is very nice
Oo asate najalibu kupika hapa leo🙏🏼
Recipe nzuri masha Allah.
Mashallah nzuri
I tried this... it looks as delicious as its namesake🤤 congrats dear
Allah akupe kila la kheri
ameen yarabbi shukran
Maa shaa Allah 😍🥰
mashallah pambe wallah
Allah akuzidishie mashallah nimejaribu kupika Na mm Leo ni tamu mnooo wallah
ameen asante sana my dear
Mchele wa basmati unatumia aina gani pls.. nipate wali wa kunyooka hivo.. nipo uk please.
Mashallah uko vizur mamiy tupikie wali wa nazi ulipambiwa kwa mkaa na mchuzi wa maji
shukran dear. Kidogo nitakua na changamoto ya kutumia mkaa kwenye mazingira niliyopo lakini in shaa nikipata mazingira yanayoruhusu tu nikikumbuka nitafanya. Shukran dear
Mashaallah very yummy 😋😋
I will try this recipe in Sha Allah
Mashallah
Wali mzuri sana
asante sana
Barakallahu fiyk habibty unajua ma sha Allah
shukran dear
MashaAllah nimependa sana
asante sana kwa kuangalia
Mashallah shukran
afwan dear
Shuna wali mzr maashaallah but umekwenda speed sn leo. Wengine ni blinds but tyunafuatilia sn and tumejifunza mengi tnx.
sorry dear, next time nitaenda kidogo kidogo, asante sana kwa kuangalia
Maa-Shaa-Allah Tabaaraka Rahman, Shukran sana Ukhty 😋😋😋❤🤗👍🏻
Afwan. Shukran kwa kuangalia 💓
Fantastic maasha a llaah👍
Thank you
🙌ma Sha Allah Allah akubarik
ameen asante sana
Maa shaa Allah! Very nice shuna!
shukran habibty
Delicious 😋 Yummy 😍😋 You are Gifted Very Yum Yummy
Thank you so much
Vizur Sana kinavutia
asante