Kazi nzuri sana shuna Please create jina halafu weka your country name as signature like naigeria okra soup or ghana Jellof rice Wanaigeria wanaiba recepi kisha wanaweka jina lao ili waclaim kuwa is originated in naigeria Mchuzi huu ungeuita eg tanzania samaki stew
😋😋😋 Kumbe unaweza weka ndimu mwisho kabisa baada ya tui leo ndo nafahamu.. Huwa nawekaga ndimu tui la kwanza waja wanasema ndimu inakata tui🙄 mbona la shuna halijakatika jamn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wa-alaykum salaam Shuna dear I don't understand why we people from Africa use this word "Tamu Sana" Kwa fikra yangu kiti chochote kilichokuwa na sukari ndio inakuwa tamu sasa mchuzi wa samaki utakuwaje mtamu?? Bora use this word "Ladha" just a suggestion 🤗
Tui la nazi vikombe vinne vinapakinaje au unakuna nazi nyingii? Maana hata za dukani nazo Hadi upate vikombe vinne utakua pakt ngapi ,au unachanganya na maji ?
Kazi nzuri sana shuna
Please create jina halafu weka your country name as signature like naigeria okra soup or ghana Jellof rice
Wanaigeria wanaiba recepi kisha wanaweka jina lao ili waclaim kuwa is originated in naigeria
Mchuzi huu ungeuita eg tanzania samaki stew
Mashaa Allah shukran sana ni mtamu kwa kweli
Yaaani wewe ni mpishi booora kuliko wote, Mungu akubariki sana!
Asante sana Shuna. Hii video imenisaidia kutayarisha Samaki mtamu sana🐟
Yummy! Mouthwatering Tutajaribu mseto wa kunde Tumezoea wa pojo Shukran sana
Mchuzi mzuri na wapendeza Mashalla.
Aa.. Na furaha Sana kwa mapishi yako kwa jumla kila mara niko nawe zanifurahisha.... (haswa chai ya nazi) done 😍👍
Shunas wallah napenda ukiongea kisauti chako mungu akubariki dada angu
Mashallah nitajaribu kwa njia hii
Wow! Unafahamisha vizuri,dear..❤👏👍😋
Mashallah tabarak Rahman nzuri sana sister
wooow kitu mashaallah aunt Shuna!
V lovely fish in coconut curry recipe n well detailed to a understanding, wow from TANGA Tanzania.
Mashaallah nimependa hadi mate ya dondoka
Mashallah allah akujaalie umri mref uzid kutufundisha
Mashallah unavutia kwa ugali uwo mate yadondoka
Very nice recipe looks so delicious 😋 ❤
Mashaallah chef
Wow! Unavutia kwakweli
Salam alekum Mimi amina chakula kizuri napenda sana samaki mashaallah
Napenda mapishi yako.,unaeleza vizuri na ni rahisi kufuatisha.huna papara.,yaani sauti na maelekezo ni vizuri saana
Asante sana
Shuna's Kitchen karibu
Mashaallah katulia kwel
Umenifunza kupika sana sis thank you so much
Mashalla asante kwa kuzidi kutuonesha mapishi barikiwa sana
Masha Allah. Yummy yummy. Mate yanidondoka. Allahu bariq.
Salam alekum mapishi mazuri sana mm amina kutoka Kenya
Looks delicious.didnt imagine potatoes and fish
Salam alekum mm napenda sana samaki mm amina yaro kutoka kenya
Mashallah hata nimesha download
Nimependa sana mapishi yko
Maasha Allah 👌👌👌👌👌👌👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻
Salàm alekum mashallaah mm napenda sàna mapishi yàko mazuri sàna mm Amina yaro kutoa Kenya
Kimependeza!
Asante nimependa
Salivating here Masha Allah 😋
Mchuzi mzuri sana
Nimependa mamaa
Salam alekum mashaallah mm napenda sana samaki
Mashallah shukran naupenda
Namependa
😋nimependa Mashaallah
Waonesha mzuri na mtamu tutaujaribu shukran
Mashaa Allah delicious 😘
MashaAllah yummy yummy😋😋😋😋😋
Thanks love! I love u mumy
Salam alekum mashaallàh Mimi napenda sàna sana sàmàki
Mashallh mashallh tabarakal
Jazakillah kheir sis
I will try this recipe minus the potatoes
Umenitamanisha sana
Maa Shaa Allah
Very nice
Mashaa Allah delicious 😘
Nzuriii
Asante sana
Masha allah
Ma Shaa Allah
😋😋😋 Kumbe unaweza weka ndimu mwisho kabisa baada ya tui leo ndo nafahamu.. Huwa nawekaga ndimu tui la kwanza waja wanasema ndimu inakata tui🙄 mbona la shuna halijakatika jamn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Thank you. I am cooking this now for my Tanzanian husband. Hope he will like it 😂
Hi dear, how did it go? I hope you both enjoyed it 😊
Mashallah
Ma shaa Allah, So nice mamy, ila vipi unaweza kueka tomato paste? kwa kupata rangi nyekundu?
Ma shaa Allah I will come back to this video when I'm ready to try this amazing 😋😋
You have to do right now why u delay??
Naomba nduma za nazi za nyama 🙏
So nice
Looks yummy
mashallah nice very delicious
Salàm alekum mashallaah
Ntajaribu kupika ivyo na mm
MACH'ALLAH Merci beaucoup
Mashaallah
Na sima weee washuka
mashallah
Wow. Taste good
mashaallah mungu akubarikia🙏🙏
Asante sana
Wao,,, look very Delicious... Love it
Salam alekum
Can you please show how to make kuku wa kupaka and later on samaki wa kupaka. Many thanks
🔥🔥🔥🔥
Yaan ndugu yang amepika mchuz huu nmejiramba mpk vdole
Nice
Thank you
😋😋
Mchuzi hasa wa kiswahili haupikwi kwa kukaangawa. Ila. Ni sawa
Huu si mchuzi wa kiswahili. Ni mchuzi ninaopenda kupika mimi 😊. Asante sana kwa kuangalia
Weka video zako na ww sio kukosoa wenzio wakati hujui kilichopikwa
Kijana hodari hatushindani sisi tunatizama kwa hoby tu
Samahani na asante kwa kutusaidia naomba unifahamishe unga wa maida ni unga gani?
Ni unga wa ngano
All season spices what does it consist of?
Aslam alykum habbty naomba unfahamishe kupika mchuzi wa Nazi wa pweza ilaa sitak kukaanga vitu wengn wananmby unachemsha nisaidie hbbty😔
Naeza marinate samaki nkaeka soy sauce ama
😘😘😘😘
MashaaAllah ukiweka limau baada ya tui kuiva mchuzi haukatiki?
hapana halikatiki, muhimu tui liwive tu
@@ShunasKitchen Asante my
MashaAllah looks yummy.Jazakillah for sharing .wl try😍
😋😘
Delish 😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋
Mashaallah shuna's kitchen.Nimependa sana hii recipe yako.Samaki gani umetumia because its looks delicious
👌🏼😋
taaamu sanaa
❤🌹
All purpose ndio nn dada
Wa-alaykum salaam Shuna dear I don't understand why we people from Africa use this word "Tamu Sana" Kwa fikra yangu kiti chochote kilichokuwa na sukari ndio inakuwa tamu sasa mchuzi wa samaki utakuwaje mtamu?? Bora use this word "Ladha" just a suggestion 🤗
Tui la nazi vikombe vinne vinapakinaje au unakuna nazi nyingii? Maana hata za dukani nazo Hadi upate vikombe vinne utakua pakt ngapi ,au unachanganya na maji ?
No tam sana
I love you honey nakuwaga na kufatilia sna
Nauliza Kama Naweza kutia embe bichi
Tui hali funikwi
likishakuchemka likaanza kushikana halina neno, muhimu moto sio mkubwa ili lisipande juu au usifunike moja kwa moja. Shukran kwa kuangalia
Maa Shaa Allah
Mashaa Allah delicious 😘
Mashallah
Nice
😋😋
Mashallah
Nice