Jinsi ya kupika mikate ya ajemi/laini sana/ Ajemi bread recipe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 245

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 ปีที่แล้ว +8

    Nimepika hii mikate MashaAllah ni mizur sana ila mm nimetia kijiko kizima cha b.soda kwasabb mm naipenda hasa nikiskia haruf na test
    Sibadilish tena recipe nitatumia hii hii tu
    Shukran

  • @fatihiyasaidy6586
    @fatihiyasaidy6586 ปีที่แล้ว +3

    Uwe unatumia kilo au nusu ili tuelewe vzur maana vikombe hatujui ni vikombe vingap
    Mashaa Allah recipe nzur , Allah akulipe khery

  • @khajdakhamis3597
    @khajdakhamis3597 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah awalipe kwa wema wenu munaoufanya habiibaty😋😘😘na asanten kwa kutujuza

  • @zuwenaalhosni5666
    @zuwenaalhosni5666 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah tabarak rahman mikate yako mizuri sana Mungu akuzidishie ujuzi wako

  • @zuwenasalum4660
    @zuwenasalum4660 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha’Allah tabarak Rahman. JazakkiAllah kheir habibty kwa kutupa ujuzi . Allah akulipe kila la kheir 🤲🤲🤲

  • @RoseAkiba
    @RoseAkiba 6 หลายเดือนก่อน

    Nimefirahi sana ni nzuri mnooo

  • @Thuu000
    @Thuu000 9 หลายเดือนก่อน +1

    nimejaribu ila miwili ilinicheza kdg ila ilobaki ilikua pambe atari❤😋😋asante mamy

  • @ashurabihongo1498
    @ashurabihongo1498 3 ปีที่แล้ว

    Asante Sana dear Allah akulipe kheri ni mkate mzuri Sana na wanangu wanaupenda nimejifunza kwako na nitazidi kujifunza

  • @Alykondo99
    @Alykondo99 3 ปีที่แล้ว +1

    Hio kazi alokuwa anafanya Babu yako kakuachia urithi mikate ya jemi Suleiman Majemi love you my sister😘

  • @khudhaymamasoud8278
    @khudhaymamasoud8278 3 ปีที่แล้ว

    Wallah mie kwako saut kwanza kisha ndio mapish yko Maasha Allah lahaula walakuwata

  • @swabrinasalimsadiq3786
    @swabrinasalimsadiq3786 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nimeijaribu iko soft lakini pan ilinisumbua kiasi nikatumia maji ya chumvi kumwagia pan kabla ya kueka mkate bt nimeipenda hii mikate sana thnx shunaz

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 4 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah InshaAllah nitajaribu tena na huyo sekela ndio inakua tamu zaidi 😋😋

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa MashaAllah. Asante sana kwa kuangalia 😊

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban 4 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen ❤️❤️❤️

  • @Hgffhhfcvbjj
    @Hgffhhfcvbjj 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah shukran kwa mapishi mazuri naomba kuuliza hii mashine yako ukitaka tanzania unaipata kwa bei gani

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Afwan dear. Siwezi kujua kwa maduka ya huko my dear. Sorry

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 3 ปีที่แล้ว

    Mashallha asante kwa mapishi mazuri

  • @ashasaid7196
    @ashasaid7196 4 ปีที่แล้ว

    Nice nilikua napika mikate ya Ajemi kwa njia nyengine ila nimeipenda sana njia hii na leo in sha Allah nitaitumia njia hii

  • @abuubakarkichimbo9957
    @abuubakarkichimbo9957 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akuzaidishie

  • @salhanassor5508
    @salhanassor5508 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah tulikumiss habbty shukrn

  • @sumaiyajuma5418
    @sumaiyajuma5418 4 ปีที่แล้ว

    I like it mashaallh .na mm nitajaribu .hasn't sn

  • @ShunasKitchen
    @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว +11

    Happy New Year To Everyone 🎉

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban 4 ปีที่แล้ว

      Happy new year to you too habibty ❤️❤️ wcm back

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood 4 ปีที่แล้ว

      Happy new yr to u too swthrt😍.,

    • @maharusiMedia
      @maharusiMedia 4 ปีที่แล้ว

      Same to you habibty aunty

    • @jasminelumona9491
      @jasminelumona9491 4 ปีที่แล้ว

      Huu mkate naweza kubake moja kwa moja?

  • @rayaaljabri5771
    @rayaaljabri5771 4 ปีที่แล้ว

    Ma Shaa Allah mikate mizuri sana shukran kwa mapishi mazuri😘

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Afwan dear asante pia kwa kuangalia

  • @aishanassor8130
    @aishanassor8130 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah, Allah ausalimishe mkono wako

  • @faudhiaabdallah8877
    @faudhiaabdallah8877 ปีที่แล้ว

    Mashaalla mikate mizuri

  • @umfarid247
    @umfarid247 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah mikate mizuri sanaa mungu akulipe kila lakheil

  • @asyajumajuma8446
    @asyajumajuma8446 4 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah ukhty Allah akulipe ujira mkubwa kwa kutufundisha Allah akupe afya njema uzidi kutufunza mengi ttu.Allah aibariki mikono yako Amiin

  • @sophyjaan1724
    @sophyjaan1724 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah.shukran kwa kutuelimisha kimapishi

  • @rugeyyemuhammad1549
    @rugeyyemuhammad1549 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akuhifadhi

  • @fat-hiyaalgerey840
    @fat-hiyaalgerey840 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mikate mitamu hii😋😋 thanks dada shuna's Allah akulipe khery

  • @safiyaalrawahi7526
    @safiyaalrawahi7526 8 หลายเดือนก่อน

    Shkrn..nimependa mikate yako inaonekana mitamu sana...Jazaka llahu kheir❤🎉

  • @omarkitwana5244
    @omarkitwana5244 4 ปีที่แล้ว

    Mi always nikishakuangalia hujaribu kupika bravo sister 🎉

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa support yako 🙂

  • @zahraaboud3964
    @zahraaboud3964 4 ปีที่แล้ว +2

    Thanks Ukhty, really enjoying your contents.

  • @ashamohd4461
    @ashamohd4461 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mikate mizur

  • @MaryamAhmed-lw1lj
    @MaryamAhmed-lw1lj ปีที่แล้ว +1

    Tuoneshe hilo bakuli lako lakukandia unga tuone jinsi yakukanda plz habibty❤

  • @zenahyusuf46
    @zenahyusuf46 4 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah😋😋A must try In shaa Allah

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah waweza tia yai ukitaka ama?shukran

  • @RoseAkiba
    @RoseAkiba 6 หลายเดือนก่อน

    Mzuri sanaa

  • @ayaanabdimusse9273
    @ayaanabdimusse9273 4 ปีที่แล้ว

    Happy new lovely sis
    Asante sana kwa kutufunza mapishi..mashaallah

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Asante sana na wewe pia kwa kuangalia 😇

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 ปีที่แล้ว +1

    Huu mkate ni 🔥mtamu hatari mashaa allah

  • @fatmakhelef2943
    @fatmakhelef2943 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah allah akulipe kheir kipenzi

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Ameen na wewe pia, asante 😚

  • @RoseAkiba
    @RoseAkiba 6 หลายเดือนก่อน

    Nirajaribuna mm

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 4 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah habibty kesho naipika in shaa Allah

  • @sumeyabakabshabakabsha8050
    @sumeyabakabshabakabsha8050 4 ปีที่แล้ว +1

    I'll try inshlh shkrn

  • @natramohamed8233
    @natramohamed8233 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha allaah waaw yummmy 😍👍

  • @mugiranezasabrina5363
    @mugiranezasabrina5363 4 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah shukran habibith

  • @Sabah-eg7hm
    @Sabah-eg7hm 4 ปีที่แล้ว

    Nitajaribu inshaallah😋😋😋

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Please njulishe imetokaje, good luck 👍 😊

  • @sheikhasalama29
    @sheikhasalama29 3 ปีที่แล้ว

    always trying your recipe and ma shaa Allah very nice...
    Please naomba recipe ya fatayer

  • @khadijaalawy8372
    @khadijaalawy8372 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah , na mm nitajarbu

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      In shaa Allah please niambie imetokaje 😊

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia 4 ปีที่แล้ว +10

    Welcome back Queeen 😘😘Happy new year

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Thank you Queen ❤ Happy new year 🥳🎉

    • @rumaythacholo6574
      @rumaythacholo6574 3 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen qà

    • @rayamohd7264
      @rayamohd7264 3 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen nataka kunduwa ktk group la upish 0772314829

    • @rayyanmohd1264
      @rayyanmohd1264 3 ปีที่แล้ว +1

      Naomba kuuliza baking soda lazima au

    • @aminahassansoud1535
      @aminahassansoud1535 3 ปีที่แล้ว +1

      😍😍😍

  • @vailethanod1522
    @vailethanod1522 4 ปีที่แล้ว +1

    Karibu dear woi nilikumis 😍happy new year love

  • @rahmamohamed7548
    @rahmamohamed7548 4 ปีที่แล้ว

    ASSALAM ALEIKUM
    mm nauliza huu mkate una liwa kwa mchuzi ama nyama kavu....naomba idea ,,,,SHUKRAN

  • @MAPISHIYAZANZIBAR_87
    @MAPISHIYAZANZIBAR_87 2 หลายเดือนก่อน

    Masha'ALLAH looks yummy 😋 😍
    My new youtube channel

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

    MaashaaAllah so soft

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah shunas mda wote wasema mda mfupi twakumic tu sna but thanks to God your back again

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Hivi kumbe ni muda mrefu vile 😢.. ila nimerudi alhamdulillah asante sana kwa kuangalia 🙂

    • @siriyangu4724
      @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen karibu

  • @tauhidasheha1118
    @tauhidasheha1118 4 ปีที่แล้ว

    Maashallah, Allah aibariki kazi ya mikono yako amiin yaarabb 🤲

  • @RuwailaOthman
    @RuwailaOthman 3 หลายเดือนก่อน

    Asalam alykum, unawez kutumia tuwi badala ya maziwa, vip nitaharibu km sitotia yogurt

  • @nadiafahad3926
    @nadiafahad3926 2 ปีที่แล้ว

    Nimeupenda ntajaribu

  • @wardhathabit9182
    @wardhathabit9182 2 ปีที่แล้ว

    Assalaykum alaykem.....Shurkan Abayo

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 4 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah yummy yummy 😋😋

  • @minalrashid8173
    @minalrashid8173 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah.....looks too good

    • @emmybassumbul3875
      @emmybassumbul3875 3 ปีที่แล้ว +1

      Maashaallah!!! I really like. Thank you 🙏

  • @didashekuwe5445
    @didashekuwe5445 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah shunas.. mashallah.. ALLAH abaarik kazi ya mikono yako.. tunajifunza mapishi mengi kupitia page hii

  • @jasminepunjabi4989
    @jasminepunjabi4989 4 ปีที่แล้ว +1

    Happy New year after a long time nice to hear from u and thanks for the recipe Asante sana

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Happy new year to you as well, I'm backkkk.. thanks for watching 😊😇

  • @zuwenaamour1727
    @zuwenaamour1727 4 ปีที่แล้ว

    mashalaah mkate mzr kweli

  • @ashayummy2299
    @ashayummy2299 4 ปีที่แล้ว

    mashaallah mikate vizuri sana

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Asante sana habibty 😚☺🙂

  • @eisryahmedy149
    @eisryahmedy149 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah... Welcome back Habbty 💥💥

  • @nussmam2009
    @nussmam2009 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah nice shuna

  • @yussrahamad5212
    @yussrahamad5212 2 ปีที่แล้ว

    mamy iyo habasoda ina saidia nn katk mkat na nilazima 😍

  • @ummukulthumabdulhafidh9516
    @ummukulthumabdulhafidh9516 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah thanks my wetuuu

  • @khadijasinan9750
    @khadijasinan9750 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah MashaAllah

  • @ummuhudhayfah1421
    @ummuhudhayfah1421 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazakillahul khayr

  • @nururogastian3637
    @nururogastian3637 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah mwalimu wanhu welcome back😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚😶

  • @umfarid247
    @umfarid247 2 ปีที่แล้ว

    Asalaam aleykum nimependa mashine oman utapata wapi shukraan

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 4 ปีที่แล้ว

    Nimekumiss well come back habibty from Manchester

  • @RehemaAlly-u7o
    @RehemaAlly-u7o ปีที่แล้ว

    Mashalla

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 4 ปีที่แล้ว +1

    Wakwanzaaaaa

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว +1

      Yeeeer 😅😅🥰 Asante sana kwa kuangalia 💓

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban 4 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen tulikua tunakusubiri kwa hamu😂😂😂

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว +1

      I'm back alhamdulillah ☺

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban 4 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen yaaaaaaaaaaay 💪💪

  • @aishahussen7698
    @aishahussen7698 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalaam Aleykum dadangu, nimependa sana huoo mkate plz nijulishe wapi umenunu hizo pan mm naisha garman

    • @aishahussen7698
      @aishahussen7698 3 ปีที่แล้ว

      Asalaam Aleykum In shaa Allah umzima dadangu nauliza tena nijulishe hiyo pan nitapata wapi plz

  • @fatma83ify
    @fatma83ify 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah

  • @salmaalnaamani2786
    @salmaalnaamani2786 4 ปีที่แล้ว +1

    Same to you dear Happy new year. Mansh'Allah tabarak rahman thanks dear for sharing nice recipe, and we missed you alot😍🤗

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Thank you so much for watching. I missed youuuu 💓

  • @azzaalmaamry5817
    @azzaalmaamry5817 3 ปีที่แล้ว

    Shukran habibty

  • @nadhramohammed2393
    @nadhramohammed2393 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @dydahjahadhmy4920
    @dydahjahadhmy4920 3 ปีที่แล้ว

    Welcome back my dear.

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 4 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah milainiiiiiiiiii😋😋👌👌

  • @hamidahamza7119
    @hamidahamza7119 3 ปีที่แล้ว

    Naweza kutumia siagi badala ya samli?

  • @khadijatoby7407
    @khadijatoby7407 4 ปีที่แล้ว

    maashallah, looking forward to cook, lakini.sual.langu mkate hautoanguka from the pan or do.i.have to put pinch of salt

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว +1

      No need to put salted water, mimi sikuweka. Pan yako tu iwe inagandisha

    • @khadijatoby7407
      @khadijatoby7407 4 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen shukraan

  • @maryoum7019
    @maryoum7019 4 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah
    Shukran kwa pishi zuri
    Sorry hbbty hio njia y pili mbona hujaionesha y kutumia non steak pan

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Nimeelezea kua ukishawivisha upande 1, upande wa 2 unaweka pan kwenye grill au oven moto wa juu mpaka unawiva

  • @abasimachano2964
    @abasimachano2964 3 ปีที่แล้ว

    Asante habbty
    Nauliza ayo maji ya kuchomea unatia chumvi au bila chumvi?

  • @raudhatmohammed1927
    @raudhatmohammed1927 ปีที่แล้ว

    Huweki hamira ya chenga

  • @ummuhudhayfah1421
    @ummuhudhayfah1421 3 ปีที่แล้ว

    Shukran jazakillahul kheir

  • @sadasaid6518
    @sadasaid6518 4 ปีที่แล้ว +1

    Nauliza hiviiiii huyo aloweka kidole chini ndio tuseme hajapenda??hajaelewa??au roho mbaya tu .shukran habibty mkate huu naupika sana kumbe kuna vitu nilikua nakosea hauvimbi kama hivo sooooo soft and sponge ntaifanya hio allah atakulipa darling maperaaaaaa😘

  • @poshsmith4268
    @poshsmith4268 4 ปีที่แล้ว

    Shuna welcome back,....isms natumia jiko la gesi Je?

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว

    Assalamu alaikum dada ake asante sana

  • @gracecharles1244
    @gracecharles1244 4 ปีที่แล้ว

    Happy new year my dear
    Thank u darling

  • @kautharsaid4133
    @kautharsaid4133 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @zamzammunisi2261
    @zamzammunisi2261 2 ปีที่แล้ว

    Shuu siwezi kuichoma tu kwenye oven bila kuwekwa kwenye pan yani niweke moto juu na chini

  • @salamahilal7867
    @salamahilal7867 4 หลายเดือนก่อน

    Thanks

  • @staher108
    @staher108 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah 😋😋. Welcome back habibty! I must try the mikate today. I'l update u 😊

  • @amishmoussa3528
    @amishmoussa3528 4 ปีที่แล้ว

    Tumefika kama ada 💃🏼💃🏼

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 4 ปีที่แล้ว

    Shukran sis

  • @NadyaSlim-r2w
    @NadyaSlim-r2w 3 หลายเดือนก่อน

    Mkate wa mofa mm cjuw naomba

  • @shadiyawasia3387
    @shadiyawasia3387 4 ปีที่แล้ว

    Pishi mujarabu sasa kamanikitaka kuweka mkajuu yake itafaaa?

  • @fatumadiriye6162
    @fatumadiriye6162 4 ปีที่แล้ว

    Welcome back sister we missed you sana

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 ปีที่แล้ว

      Thank you i missed youuuu 💓 im back 🙂...

  • @charltonmammy7130
    @charltonmammy7130 4 ปีที่แล้ว

    Happy new year