NAIBU WAZIRI FA AKAGUA VIWANJA VYA MAZOEZI VYA AFCON/CHAN 2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga 🏆 bingwa

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    👍

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unajua kawaida mtu akiongea ni vizuri umuangalie macho ilikujua anaongea kweli au muongo sasa tatizo liliopo Kwa viongozi wetu Africa hasa Tanzania hata mashekh wetu na mapadri wao hutumia miwani kuziba macho yao wakati wa kuongea hata wakiwa ndani ilikuziba macho yao wakisema uongo tusuwagundue kwa pamoja tupige vita jambo hili tuwajue uongo wao macho ni njia nzuri kumuona mtu anaongea uongo au kweli

  • @GalusiAnton
    @GalusiAnton วันที่ผ่านมา

    Mkude

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    CAF itajuta sana kwa nini Afcon na Chan waliipeleka Afrika mashariki yaani facilities ziko very low of very low standards. Tanzania kuna mambo ya kiswahili swahili sana hata viwanja vinavyojengwa majukwaa ni kiwango cha chini sana very poor na enda mikoa mingine viwanja vya CCM viko ovyo kabisa

    • @Gavi_255
      @Gavi_255 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli wewe kabwela

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @ mkuu utakuja kuniambia Na ubabaishaji wa kitanzania

  • @mamalange2277
    @mamalange2277 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    This some sad sht