Jamani ni furaha kuwa pamoja ndivyo tulifundwa,mila na tamaduni zetu ni nzuri sana hasa kwa wale wanaoelewa nyumbani ni nyumbani.haijalishi una gari hauna nikujipanga na kuamua (unachukua hatua mapema vidole havilingani 🎉😂❤
Sijui kwanini hawajaiwaza hiyo ruti kuiwekea SGR katika siku za mwanzoni kama Dar Moro Dodoma. Ile reli ya MGR haitoshi. Dar Moshi Arusha wasafiri ni wengi sana,
Kuzuru hom ni suna kama kuhiji kwenu kwa mwaka ni nzuri kama mnakumbuka kwenu mkawa mnaenda kukaa pamoja na mkaonana kujuana ni jambo zuri Sana ukoo unakua unajuana
Mimi sijaenda home tumetoka majuzi kumpzisha mdogo wetu mazingira ya pesa yamenibhana lkn Mungu wetu NI mwema MWAKANI nitapanda na gari yangu Kali tuuu Mungu ni wetu sote tupambane ukiwa na usafiri MZURI NI Raha sanaaaa tumbane vijana
@@junessalama9129 uwoo n wivu na uliona wapi mchaga au masai kaolewa na kabila lingine et n mara chache sana mana wanawake wa kaskazini n wababe ko tunawaweza wenyewe
Kumjua MUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA!!! FANYENI YALIYO MEMA KUMFURAHISHA MUNGU SI MWANADAMU .NI KWELI KABISA WACHAGA MNARUDI NYUMBANI KUFURAHIA .ILA CHUNGENI MIOYO YENU IKAWE HERI
Waseri wose karibuni Moshi na Varombo Venzangu karibuni Kaa msheya ndafu. Waseri wose ngili fatakia Skukuu ngshaa
Jamani ni furaha kuwa pamoja ndivyo tulifundwa,mila na tamaduni zetu ni nzuri sana hasa kwa wale wanaoelewa nyumbani ni nyumbani.haijalishi una gari hauna nikujipanga na kuamua (unachukua hatua mapema vidole havilingani 🎉😂❤
Dada kaongea kisomi sana❤
Inatakiwa SGR haraka sana Dar Moshi Arusha.
Umesema vizuri
Sijui kwanini hawajaiwaza hiyo ruti kuiwekea SGR katika siku za mwanzoni kama Dar Moro Dodoma.
Ile reli ya MGR haitoshi. Dar Moshi Arusha wasafiri ni wengi sana,
nyie mnaenda mwaka kwa mwaka mtatia hasara
@@kajanksimon7432 hahah, wala. Wanafanya hivi, kipindi cha sikukuu wanaongeza ruti na mabehewa na kipindi cha wasafiri wachache wanapunguza..
Kuitoa DODOMA mpaka ARUSHA na MOSHI Very possible
Wanetu wachaga wanayo pesa ase hongereni sana
One day na sisi wahehe tutasimamisha misafara kama iyo❤
Inguluvi yitutange mnyalukolo
Kamwene
@JOHNMWAGALA-gt7ni unoge mwagito
@JolinoPeter kabisa mnyakirambo
Kamwene@@JOHNMWAGALA-gt7ni
Happy Christmas 🌲🎉❤🧑🎄
Wachaga nawakubali sana💪💪💪
Hongera zao wanaenda kutoa asante kwa baraka walizopata na pia wanaenda kuchota baraka nyingine tena. Mungu ni mwema tubarikiwe sote.
Kuzuru hom ni suna kama kuhiji kwenu kwa mwaka ni nzuri kama mnakumbuka kwenu mkawa mnaenda kukaa pamoja na mkaonana kujuana ni jambo zuri Sana ukoo unakua unajuana
Matala moja hiyo..❤❤
Huyu kibega akishika pesa lazima anunue gari yake tuombe uzima aje atuambie🙏
Mimi sijaenda home tumetoka majuzi kumpzisha mdogo wetu mazingira ya pesa yamenibhana lkn Mungu wetu NI mwema MWAKANI nitapanda na gari yangu Kali tuuu Mungu ni wetu sote tupambane ukiwa na usafiri MZURI NI Raha sanaaaa tumbane vijana
Pole sana mamushi
Weeee🎉🎉🎉 aika..,........... 🎉🎉🎉
Moshi bhanaaaaa wachaka,mbeeeee karibu mbeeee,karibu maeeee
Wafike salama kwa uwezo wa Allah🤲
Kwa uwezo wa Yesu Kristo na sio wa Allah.
Amina
Moshiiiiiíii💪💪💪
Awa jamaa watasimamisha dola yao mda c mrefu safi sana.
Tuheshimiwe, kuna siku nilisema wachaga wakihama Tanzania, watakaobaki watakufa njaa
Mavi yako ww eti wachaga nyoooo
Hiyo siku ndio alisema upuuzi kuliko siku zote
Wewe unaumwa na utapeli wenu wachaga sio watafutaji Sema ni matapeli
Unge sema wasukuma wakihama ungeeleweka kidg cio ninyi wavuta shisha
😅😅
wachaga na wamasai ndo makabila pekee yaliyobaki yanayodumisha mila zenye mafanikio merry Christmas 🎉🎉🎉🎉🎉
Wabinafsi sana hao kwenye mikoa yao ila wanapenda kulowea Kwa wenzao
Unauhakika na unachosema au chuki@@junessalama9129
Tuachee@@junessalama9129
@@junessalama9129 uwoo n wivu na uliona wapi mchaga au masai kaolewa na kabila lingine et n mara chache sana mana wanawake wa kaskazini n wababe ko tunawaweza wenyewe
MUNGU NI MWEMA🎉🎉🎉
Sijawahi fika Moshi,lakin nataman siku nitembelee huko
karibu mjii wa matajiri tz na hatuna baya na mtu wote tunawapenda kikubwa2 uwe n mpambanaji na uwe unakunywa pombe karibu moshi
Karibu sana
@@MandoliiMoshi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti niwe nakunywa pombe wewe acha uwongo
@@MandoliiMoshi Hapo kwa kunywa pombe umetuangusha.
@@DullahIweni karibu uchagani asee
Happy Christmas 🎉
Sio magari ivyo vyombo vya moto
Piga makofi kw wachagaa wote. Wachaga hatuna mbambaa tunaztafuta kw jasho mwisho w mwaka tunaktana tujue nani amefeli tumbebee. Hongereni kaka zangu n dada zangu mungu awatunze mrudi salama.
N mbaya2 enyewe wachaga oyeeeee
@@MandoliiMoshioyeee
Kabisa
Maua yao kwa wachaga
Sijaona G WAGON
Sijawahi kujutia kuwa mchagga...
Kumbe huyu nfo boss dar nzim a mabango yake yapo
Mimi ni mchaga pia ila Tanzania hailitegemei kabila lolote kuwa imara, tunakamilishana na tunategemeana, kwa pamoja tunaitwa Tanzania, WATANZANIA.
Hahahaha hii inaamanisha kwamba wachanga wapo na umoja sana kwenye kunyanyuana na pia wanaheshim sana pesa lazima wawena mafanikio
Magari ya kifahari 😂😂🫢
Matukio
Hiyo taarifa inaboesha
Naona ist ndo zimejaa barabarani hamna jipya😊😊😊
We unazo range ngapi
@@Jazziumumemembona unaumia, au na wewe una IST😂😂😂
yako iko wapi
Wivuv
Utakufa siku sio zako kwa wivu
Hawa jamaa wanaishi aisee maisha ndo yanataka hvi mtu gan usie kua narikzo
Usiniambie hapa ni njia panda ya Himo
Nmeiona gari ya bosi wang kbs kaondoka namdai
Mwezi mtukufu wa wachaga kurudi nyumban kuwaona wazee nawatoto kufahamiana.
Nimeiona ngasere yetu ya rombo hiyo tarakea
Merry Christmas 🎄🎄🎉🎉 everyone
Kilimanjaro ni nchi kamili ni vile ni basi tuu.
Na ndo maana wakati wa kutafuta uhuru wachaga pia walitaka kupata uhuru kabla Tanganyika
Hi ❤
Waende tu tupungue dar 😂😂😂
Spacio, ist, alphard magari ya kifahari😂😂😂😂
Yko n ipi
@TuzoKen-h6i crown
We wa wapi boss
Hujaona hizo Ford kama utitiri
Wivuuuu😂
Kutambika
Hawa wachaga wanaona kama x max yao
Yanga
Mwambie huyo dada namtakia heri ya Christmas na mwaka mpya ahsanten
BODABODA JAMANI MUWE MAKINI SANA
Tunaomba wawe wanaendesha vizuri. Wawe na adabu barabarani
Jamani miladi hebu kagua na Kwa watani zetu wapare eti ili hii story ikae sawa.same,hedaru na mwanga
Matambiko na pia kihesabiwa😂😂 daaah
Wana enzi Sana asili yao ndomana wako na mafanikio,wewe ambae unafata Mila za wazungu una mafanikio gan?
serkali haioni frusaa ya kuweka treni ya mwendo kasi ili kuvuna mapato ya kasikazini
Haitoweka,,
Sas magar ya kfahar 2na yafanyia nn sis au mmekosa habar mna2jazia upuuz2
Wivu huooo😂😂😂😂😂😂
#tutafute dollar, acheni tujifukie town
Inshallah ipocku mtaijua haki ilipo 😂
Hawa wachaga Wana fake life wanakodi magari Sisi wamasai ndio tunaendessha magar zetu
Hom twn😂
Me naona Rava 4 tu ndio nyingi
Uhariri ni mkubwa mpaka unakera!
Mama Samia Kiongozi bora kabisa
Wez tu Hao,
Washatuibia huk Dar Wanaenda kunywea MAPOMBE PESA Zetu😂
Wamekuibia sh ngap acha makasiriko
Iba na wewe ili uende kwenu
We umeibiwa nn umeibiwa mke au n wivu wako
Ina na wewe kMa ni rahisi
Kuiba tuu lazim uwe na akili mingi nyambafu😊😊😊
Ushamba tuu hakuna jipya ulimbuken
Ulimbukeni kurudi kwenu wewe ni masikini ukoo mzima utaenda kufanya nini
@agustinohizza1395 ushambaaa ukubaki ukatae
@agustinohizza1395 masikin unanijua mm ushamba ndo maana mnakufa ovyoo na maajali wajinga nyie mnaona sifa ushambaaa
Huko uliko watu hawafi?
We ambae huendi kwenu hata kama usiposafiri utakufa tu mbweha ww@@mohamedkisenga6654
Waiziraeli wana rudinkwao
Kila mmoja anarudi kwao kufata mchawi wake..
Hv mnafuataga nini wachaga huko au ndo matambiko
Matambiko ndiyo
Katambike na wew Kwan umenyimwa
Kusalimu wazaz nawe kadange kwenu kwan we kabila gan?
Ushamba tu 😂😂😂😂
Acha wivu wa maendeleo kwaio kwenda nyumban kusalimia n ushsmba
Jina lenyew ngasa maduhu,gari utatoa wp
@@TuzoKen-h6i kwa mamaako
Nenda kwenu kasalimie wewe Acha porojo kijana 😅
@@CasmirKiwale mi sio mchawi bro😀
Sasa magari ya kifahar ni yapi hapo?
Kama lako diha
😂😂😂😂
Kumjua MUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA!!! FANYENI YALIYO MEMA KUMFURAHISHA MUNGU SI MWANADAMU .NI KWELI KABISA WACHAGA MNARUDI NYUMBANI KUFURAHIA .ILA CHUNGENI MIOYO YENU IKAWE HERI
Kuwajilia hal wazaz pis n kumfurahisha Allah anasema mtume Mohammed swalla
Yesu alizaliwa Bethlehemu , nyie wachaga Moshi mnafuata nin?
Nawashangaa wanajikuta wanaakili kuliko wengn
Tuliza kisimi
@@AishaNgoyi-vi2kutuliza kisimi
msifuatlie lazimantukasalimie wazazi,mi nikiondokaga nuumbani wazazi wangu wanalia,wanatamani nibaki,lkn kutafuta lazima,kukumbuka kwetu ni jadi.yetu
@@AishaNgoyi-vi2kutuliza utam uo
Wachaga wana pesa ndio skatai ila wanaongoza kwa ubahili duniani 😂😂😂
Mbona ww hatukusikii ukigawa pesa km matajiri mfano hayat Mhe Mengi, nk? Tafuta na ww ujinga umekujaa.!!
Bahili ni wapare sio wachaga
Sawa nitaanza kutafuta 🤣@@UpendoEliya-i7l
@@mcback4384na Wachaga pia
Hawa jamaa wanaishi aisee maisha ndo yanataka hvi mtu gan usie kua narikzo
Mwezi mtukufu wa wachaga kurudi nyumban kuwaona wazee nawatoto kufahamiana.