#NYUMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 มี.ค. 2024
  • "Karibu kwenye nyumba nzuri ya kifahari inayopatikana Chamazi, Dar es Salaam!
    Kwa kupitia video hii, utapata fursa ya kipekee ya kutembelea nyumba hii ya kuvutia ambayo inatoa maisha ya kifahari na raha ya kipekee.
    Nyumba hii inajivunia muundo wa kisasa unaowavutia wote, kutoka kwenye jiko la kifahari hadi vyumba vya kulala vinavyopambwa kwa ustadi wa hali ya juu.
    Pia, utaona sehemu ya nje iliyojaa uzuri wa asili, ambayo ni kamili kwa mapumziko ya kifamilia au burudani.
    Kwa maelezo zaidi kuhusu nyumba hii ya ndoto, pamoja na maelezo ya mahali ilipo na maelezo ya kuwasiliana, tafadhali tazama video yetu na ujione mwenyewe jinsi unavyoweza kuitumia kuwa nyumba yako ya ndoto!"
    SIFA ZA NYUMBA HII YA KISASA
    ●Ukubwa wa eneo ni Sqm 500
    ●Ina Vyumba 4 vitatu ni Master bedrooms na kimoja ni Common room.
    ●Ina dining(sehemu ya chakula), Jiko na stoo
    ●Ina baraza mbili ya mbele na Jikoni
    ●Ina choo cha public
    ●Ina kisima cha maji
    ●Nyumba ni mpya kabisa
    BEI NI TSH. 150,000,000/= (Shilingi Milioni miamoja hamsini tu).
    Ni #Nyumba ya Kisasa zaidi.
    Kwa maelezo zaidi tupigie kwa
    +255747141871 au tutumie ujumbe WhatsApp
    #kigamboni #hatimiliki #investment #property #realestate #viwanja #africancity #house #hati #zanzibar #kenya #Congo #investment #housezanzibar #dreamcity

ความคิดเห็น • 16

  • @HhosnaRashid
    @HhosnaRashid 25 วันที่ผ่านมา

    nzuri sana

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 หลายเดือนก่อน

    Nzuri

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud 19 วันที่ผ่านมา

    Naomba bei

  • @HassanRashid-fd1pw
    @HassanRashid-fd1pw หลายเดือนก่อน

    Bei gani

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 23 วันที่ผ่านมา

    Kusema kweli nyumba ni nzuri ila nyumba ambayo imeshajengwa hujui ina nini.nakumbuka kipindi mume wangu alinunua nyumba mm nikaota mtu ananiambia mwambie asiinunue.ss wanaume ni wabishi.alienda kulipia bila kuniambia.alivyolipa leo kesho kazi alifukuzwa.mpaka ss tunapitia maisha ya ajabu jamani.hiari yangu nikiwa na hela nnunue kiwanja nianze chini mwenyewe.

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 3 หลายเดือนก่อน +1

    Njumba nzury wanoiponda hawana pesa hujataja bei

  • @queenqueen-en1ds
    @queenqueen-en1ds 27 วันที่ผ่านมา

    Bei gani sasa iko wapi

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wewe unokoment jenga njumba yako upaki hata gari 50 ukosowe kitu kama ulimpa msada wakujenga alimuradi mtu ajitie kukosowa tuoneshe yako

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tuoneshe yako ulojenga jiko la kisasa

  • @VestinerBerchmansBullu
    @VestinerBerchmansBullu 17 วันที่ผ่านมา

    Dalali tuambie Bei na eneo ilipo

  • @lailalaila8646
    @lailalaila8646 3 วันที่ผ่านมา

    Dar sehemu gan?