Mihogo ya Nyama

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 23

  • @marthakusaga6192
    @marthakusaga6192 ปีที่แล้ว +1

    Dadaaaaaaaa dadaaaaaa dadaaaa nimepika ivyo ivyo leo hahahahaaaa mtoto wa watu uku alikula uku anatimisha kichwa utasema kuna mziki 😂😂

    • @malkiafoods
      @malkiafoods  ปีที่แล้ว

      Hahahahaa.. nmefurahii

  • @valerianawinfrid7497
    @valerianawinfrid7497 ปีที่แล้ว

    We dada unajua unajua tenaaa

  • @frolencialupilya6209
    @frolencialupilya6209 10 หลายเดือนก่อน

    Yummy yummy❤

  • @cookingwithmimmo
    @cookingwithmimmo ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana hii😊

  • @sachymassy
    @sachymassy ปีที่แล้ว

    lovely ❤

  • @AishaMudy
    @AishaMudy 3 หลายเดือนก่อน

    Ogerasana😅😮

  • @gracemwagange
    @gracemwagange ปีที่แล้ว

    Umetisha kipenzi

  • @IreneMakonde-mw2kb
    @IreneMakonde-mw2kb ปีที่แล้ว +1

    Nipenda hiki chakula jmniiii😋😋😋

  • @deboradavid7833
    @deboradavid7833 ปีที่แล้ว

    Uwwww,, tomorrow hii after class❤

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Tulishawai kupikaga ni mitamu mimi naipendaga mihogo ya nyama

  • @wanjirucatherine9962
    @wanjirucatherine9962 11 หลายเดือนก่อน

    Unapata wapi dada hizi dutch pots

  • @Halymah10
    @Halymah10 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwee kipenzi🙏 ila hapo kwenye garii🤣🤣🤣

    • @malkiafoods
      @malkiafoods  ปีที่แล้ว

      Ameeen dear. Atakushangazaaa

  • @UpendoAmos-wn2od
    @UpendoAmos-wn2od 10 หลายเดือนก่อน

    Endelea tu kuwepo dada angu maana umekuwa zaid ya mwl wang

  • @stellamwasha1409
    @stellamwasha1409 ปีที่แล้ว

    Asante dada

  • @winnerlucas5924
    @winnerlucas5924 ปีที่แล้ว

    Gari which😂😂😂😂😂

  • @jackilinejohn2532
    @jackilinejohn2532 ปีที่แล้ว

    Pete 😢😢

  • @PennieKanana-rw2vk
    @PennieKanana-rw2vk ปีที่แล้ว

    😂😂

  • @ireneleonard9225
    @ireneleonard9225 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye pete@ malkia foods