Nimejaribu kupika,tamu sana😋
Waoooo nimeipenda sana naomba kuuliza nilazima kutumia maziw mgando au hata maziwa freshi yanafaa
Nime wapikia waarabu masha llah wamependa
Mashaallah unafundish vzr San
Mashallah.. basmat kilo moja inatakiwa itoe sahani ngapi kwa biashara
Nice one, will try soon
Asante ntajaribu kuipika
Safi sana
Nice mashaallh
I like it
Thank you for sharing
Shukraan Jazilaan
Mashaallah
Shukran 🙏 kaka umenifunza
Tamuu sanaa
Mashallah
Zuri Sana I love you very good
Mashallah sema ungepunguza hayo mafuta yalokuja juu au wapenda sana mafuta weye 😅
Nakuja unifudishe kupika brother
Salàm alekum mashallaah biriani napenda sàna mm Amina kutoa Kenya
Niwe nijifunze zaid
Yapendeza
Asante ikiwa mzito namna hiyo utaliaje wali wake?
❤🎉🎉
❤
Hiko Sawa Sana
Habar me natk kujuw hivo viungo sijavielew
Bizari ya mchuzi ndo nn na kingeleza
Hogera
Vp hiyo tomato shamba naeza blend
Ladha ya Chakula au rangi ni tofauti na hizi za kuweka kwenye ice crimu?
Mashallah
Kaka nakufata sana ,,,from z