LIVE: POWER BREAKFAST YA CLOUDS FM NA AJIRA WANTED

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • Clouds Digital ya clouds fm ikombashara Wapo waliojiajiri lakini pia wapo waliajiriwa ni pande mbili za Shilingi zenye ushirikiano ulioshiba, lakini Bahati mbaya pande hizo hazijakidhi haja, Kitaa bado Wana ni wengi wenye uhitaji Wa Ajira, na Vyuo navyo vinatema Kila iitwapo Leo...
    Vita ni kubwa kwenye eneo la Ajira, swali ni je ajira zinatengenezwaje nani anapaswa kushiriki Kwa kiwango gani, ili pengine pengo kubwa la Ajira lipunguzwe au kuzibwa kabisa kama itawezekana...
    Mataifa ya wenzetu wanafanyaje kwenye eneo hilo, ni vipi vichocheo vya Ajira? Kwenye #PBCloudsFM tutakuwa na ...
    Rama Muzo - Mtanzania anayeishi nchini Marekani.
    #tumekuverify kipindi cha #pbcloudsfm

ความคิดเห็น •