# WAOMBAJI WA ZAMANI TULIKUWA HIVI#-REV;MOSES MAGEMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Achambua waombaji wa leo makanisani na waombaji wa zamani milimani

ความคิดเห็น • 339

  • @elinemakundi5011
    @elinemakundi5011 ปีที่แล้ว +7

    mimi nawashangaa wanaokupinga na kukuchukia, uko sahihi kbs Mungu akupe maisha marefu sana

  • @jodama_tv
    @jodama_tv 3 ปีที่แล้ว +89

    Wangapi tumejifunza hapa....!

  • @lemburismollel2393
    @lemburismollel2393 3 ปีที่แล้ว +10

    Mchungaji Maghembe nakupenda sana. Yaani unauhubiri UTAKATIFU, UTAUWA, UTIMILIFU na UKAMILIFU. Hii ndiyo injili ya kweli.

    • @jacksonkidudu5404
      @jacksonkidudu5404 3 ปีที่แล้ว

      Kwakweli sema wanadam tupone

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 3 ปีที่แล้ว

      Nyundo ya chuma. Mungu amsha kanisa lako liokoe katika kudanganywa na kupotezwa.
      Shida yangu bado huduma 5 hazijakaa sawa katika serikali ya Mungu(kanisa). Watumishi zifundisheni ili zifanye kazi kwa viwango na mipaka yake.

  • @mashakamwashilindi5607
    @mashakamwashilindi5607 3 ปีที่แล้ว +59

    Injili kamili ya kuponya,wangapi tumeielewa?

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 3 ปีที่แล้ว +29

    Mimi binafsi nimekuelewa baba sijui wenzangu

  • @piusmfalila4680
    @piusmfalila4680 3 ปีที่แล้ว +4

    Wachungaji km huyu wamebaki wachache sana,wengi ni kuhubir pesa na miujiza lkn kwenye kukemea dhambi hapo huwapati ht siku moja.

    • @gracejulius23
      @gracejulius23 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa wamebaki wachache sana

  • @joemunyasya7958
    @joemunyasya7958 3 ปีที่แล้ว +14

    Glooooooooooooooory baba ukiwa connected huitaji juice kos unakua renewed by God himself

  • @josephkate3664
    @josephkate3664 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaaa injili kamili ya kukemea maovu

  • @elijuskikoto392
    @elijuskikoto392 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika huwa nakuelewa sana mchungaji wangu Mungu akubariki

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว +4

    TOBOA BABA, TOBOA BABA, BIKIRA ANALIA, KWANI HALIJUI HUYO MJAMAAA YUKOJE NDANI. NILIWAONA BIBI ARUSI WAKILIA KANISANI NA WANAPOAGWA NA WAZAZI WAO WANAPOWAZAWADIA NA KUTOA NENO, LEO WANACHEKELEANA NA MABUSU MWANZO MWISHO HADHARANI, ETI VIDEO ITOKE VIZURI. BIG UP MZEE MOSES.

  • @NdelimbijohnSwai
    @NdelimbijohnSwai หลายเดือนก่อน

    Mchungaji Mungu wa mbingu na nchi akubariki sana maana unafundisha mafundisho ya kweli Yesu Kristo akutie nguvu

  • @haikajohn7580
    @haikajohn7580 3 ปีที่แล้ว +5

    Baba,pst hapo umesema kwelii!!!! Mungu azidi kukupa ufunuo kanisa lipone!!

  • @kuhannyakuyelusalemumpya3918
    @kuhannyakuyelusalemumpya3918 3 ปีที่แล้ว +8

    Amina mtumishi ntafwatilia mafundisho yako kwa nzia sasa ntaanza kwenda milima kumuomba mungu

    • @erickmutungi8792
      @erickmutungi8792 3 ปีที่แล้ว +3

      Hakuwa na maana watu washinde milimani isipokuwa alichomaanisha ni u-serious katika maombi na kuwekeza muda wa kutosha kwenye maombi,ila kama umependezwa kwenda mlimani basi napo si mbaya.. Ubarikiwe sana!

  • @AilenMakaka
    @AilenMakaka 10 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah Tunabarikiwa BABA 🎉

  • @piusmfalila4680
    @piusmfalila4680 3 ปีที่แล้ว +1

    Uishi milele mtumishi wa Mungu Maghembe,injili yako naikubali haswaaa.

  • @jacklinejohn5727
    @jacklinejohn5727 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuzimuni we Mungu tusaidie hatuna msaada.tupe ufahamu kuelewa haya mafundisho..wachungaji,watumishi,waunjilist mpoo

  • @jamesdimosso2601
    @jamesdimosso2601 3 ปีที่แล้ว +10

    Ah ah sawa Baba tumekoma na tumekuelewa sana Baba✅😁😁

  • @mathaZingwa
    @mathaZingwa 12 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa mtumishi

  • @lovendendya9683
    @lovendendya9683 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe mchungaji maan umeongea ukweli! 🙏

  • @shikomkenya3860
    @shikomkenya3860 3 ปีที่แล้ว +19

    Nigetaka mchungaji utebele nchi yetu kenya .Nayapenda mahubiri yako .walio na masikio nawasikie

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 3 ปีที่แล้ว +1

      Hivi Kenya mna shida gani Kila leo mnataka rais, manabii, wachungaji toka Tanzania. Muombeni Mungu ndiye atoae.

    • @happinessmkombwemkombwe8677
      @happinessmkombwemkombwe8677 3 ปีที่แล้ว +3

      @@epafrangweshemi4014 acha uchoyo,kwani injili Ina mipaka?

    • @mpendaradio2164
      @mpendaradio2164 3 ปีที่แล้ว

      Kweli....

    • @mpendaradio2164
      @mpendaradio2164 3 ปีที่แล้ว +1

      @@epafrangweshemi4014 kupata wahubiri na watu wakarimu kama nyie Tanzania ndio majanga baba

    • @jastinemwambi2307
      @jastinemwambi2307 16 วันที่ผ่านมา

      Yap indeed

  • @mutamurizabeatrice2959
    @mutamurizabeatrice2959 2 ปีที่แล้ว

    Nakupendaka sana muchungaji wasikuhizi huku Uganda tuna fuata 5/5

  • @mwasomola9026
    @mwasomola9026 3 ปีที่แล้ว +38

    Ukweli usiopendwa kusikilizwa! Ukweli ndiyo una uhuru

  • @Spark8Technoo
    @Spark8Technoo หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Baba yangu

  • @elishangomele9937
    @elishangomele9937 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ana hazina kubwa sana namukubali Sana mch magembe

  • @michaelbarhe6039
    @michaelbarhe6039 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuongezeeee miaka Ili useme yote yaliyo moyon mwako kwaajili yetu

  • @mbithejustus246
    @mbithejustus246 ปีที่แล้ว

    Yesu ni emmanuel
    Hatuhitaji kwenda milimani

    • @ombenijulius4640
      @ombenijulius4640 4 หลายเดือนก่อน

      Mlimani lazima mwana wa Mungu

  • @veronicamangala8729
    @veronicamangala8729 3 ปีที่แล้ว +3

    Hallelujah, huo ni ukweli mtupu, Mungu atusaidie mtumishi wa Mungu.

  • @godfreymgehema8154
    @godfreymgehema8154 3 ปีที่แล้ว

    Waambie mtumishi we bwana tunapotea sana baba

  • @suzanamwan8193
    @suzanamwan8193 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante xna mtumishi wa Mungu imetufaa hiyo

  • @relaxmebini4207
    @relaxmebini4207 3 ปีที่แล้ว

    Baba yangu maisha malefuu Sana 🙏 Mungu akubaliki kwa mafundisho yako

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU wa Israel ni kwa huruma zako ndio maana hatuangamii yesu Asante baba

  • @myself4128
    @myself4128 3 ปีที่แล้ว +4

    Sikuhizi wanaonjana kabisaaa kabla ya kuoana na inasikitisha...kwaya ndio zimeozaaaaa mpaka basi

  • @scolamwanisasu8499
    @scolamwanisasu8499 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh asante baba nakumbuka moses kulola nakupenda

  • @kessyhussein9187
    @kessyhussein9187 3 ปีที่แล้ว

    Connection is heaven nakuelewa San muchungaj upo vdhul kimahubli kwn wachungaji weng hawajui connection namungu ndomana hanapenda vitamu

  • @user-wj9kp6bu3d
    @user-wj9kp6bu3d 14 วันที่ผ่านมา

    Habari njema hii

  • @alexnyigo8864
    @alexnyigo8864 ปีที่แล้ว

    Hongola mchungaji

  • @evaristomhanje8908
    @evaristomhanje8908 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina Mtumishi sema tupone babaa. God Bless You

  • @ruthjemei6863
    @ruthjemei6863 3 ปีที่แล้ว +5

    kazi nzuri mchungaji , tembelea Kenya Sikh moja tuko na shida kabisa

  • @ushindimsalabanitv2765
    @ushindimsalabanitv2765 3 ปีที่แล้ว +2

    Rev. Moses nakubaliana na concerns zako juu ya kanisa. Ni wakati wa kuanzia Moja.

  • @amaniamani1129
    @amaniamani1129 3 ปีที่แล้ว +3

    Ameniii baba asante kwa kunijaza maarifa

  • @mariammwaipopo9441
    @mariammwaipopo9441 3 ปีที่แล้ว

    barikiwa sana baba, nimekuelewa Sana Sana. Yesu atusaidie kanisa

  • @nanjafleva597
    @nanjafleva597 3 ปีที่แล้ว

    Nomaaaa mwanaume kafungukaaaa wataelewa tuuuuu

  • @adrianignas5119
    @adrianignas5119 3 ปีที่แล้ว

    Daaah Mungu atusaidie Sana Sana Sana Sana yaani sanaaa.
    Hivi Siku hizi KWA MWAKA ndoa ngapi zinafungwa mume hajawahi kumjua mke na mke hajawahi kumjua mume.

    • @ezrashukuru7511
      @ezrashukuru7511 3 ปีที่แล้ว

      Yangu tulifanya hivyo bila kujuana kimwili kabisa mpaka sasa tunamtukuza Mungu sana namna alivyojitokeza sana kwetu

    • @adrianignas5119
      @adrianignas5119 3 ปีที่แล้ว

      Seriously?
      Weeeeeeeeeee

  • @imakulathamnyeti7587
    @imakulathamnyeti7587 3 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana kwel baba

  • @fraidamsemwa5518
    @fraidamsemwa5518 2 ปีที่แล้ว +2

    Thanks God Bless and Protect you every time🙏🙏🙏

  • @stellangoka7032
    @stellangoka7032 3 ปีที่แล้ว +10

    This man is a revivalist...uncompromising gospel preacher

    • @japhethmbusya1479
      @japhethmbusya1479 3 ปีที่แล้ว +1

      My mum nakuona huku pia,,,,nakupenda sana mamangu napenda vile uko mnyenyekevu na kuwakumbali wachungaji wenzako

  • @safielitogolani3535
    @safielitogolani3535 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubark xana mch.

  • @yallasmasanjankelebe8202
    @yallasmasanjankelebe8202 3 ปีที่แล้ว

    Bwana mungu akubariki mtumishi wa Mungu , mahubiri yako yanajenga na ndivyo mungu anavyotaka tuishi kwa heshima.

  • @richardngowi6285
    @richardngowi6285 3 ปีที่แล้ว

    Asante baba mchungaji kwa kusema ukwel

  • @WitnessSamson-qc9ie
    @WitnessSamson-qc9ie 3 หลายเดือนก่อน

    Sema sema tupone

  • @andreavedastusi6565
    @andreavedastusi6565 3 ปีที่แล้ว

    Wachungaji Kama Hawa wakowap au wakimbilia kutiza neno la mungu la manabii wengi watakao danganya wengi

  • @hildaarnold9246
    @hildaarnold9246 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mchungaji

  • @salomessmart9814
    @salomessmart9814 3 ปีที่แล้ว

    Yes babaaaa nakupenda bureee

  • @enessisosten9670
    @enessisosten9670 3 ปีที่แล้ว

    Ameen sema tubadilike baba

  • @dizla_mgz
    @dizla_mgz 3 ปีที่แล้ว

    Wanashangaza sana marusi we Leo wanacheza na kukata kiuno mbele ya wazazi wake na wakwe zake, hiyo niaibu kumbwa inashiria ww bint ni kahaba

  • @saramalila4441
    @saramalila4441 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante mchungaji tuombe mungu atuponye

  • @mpendaradio2164
    @mpendaradio2164 3 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana kabisa Baba

  • @joemunyasya7958
    @joemunyasya7958 3 ปีที่แล้ว +3

    Exactly siku hizi hawalii kos wamezoeya kupakatwa, wadada wakweli uwa wanalia kos hawajui what next after marriage!!!!

  • @gracejulius23
    @gracejulius23 3 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen amen amen amen amen Yesu kristo apewe sifa

  • @neemamnyahati4430
    @neemamnyahati4430 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana baba SEMA tupone

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen!!! Mtumishi wa Mungu!! Ahsante sana kwa mafundisho ya kweli.

  • @mondelomondelo105
    @mondelomondelo105 ปีที่แล้ว

    Umbalikiwe mutumishi wamungu unasema kweli

  • @EMANUELLAMECK-ce4by
    @EMANUELLAMECK-ce4by ปีที่แล้ว

    Amina ubalikiwe

  • @prickakimaro35
    @prickakimaro35 3 ปีที่แล้ว +9

    Tupate wapi wachungaji kumi Kama wewe jamani taifa lipone

  • @josephinekicheleri860
    @josephinekicheleri860 3 ปีที่แล้ว

    Alleluyaa sasa wachungaji wamechokaa wanahubili makavu hahaaaa kifua chake kinamanyoyaaa hahaaa

    • @khalfanifarisy7398
      @khalfanifarisy7398 3 ปีที่แล้ว

      1 Wacorinto 15:18,19) Poleni wafuasi wa Paulo. Yesu anawapenda njooni msikitini. Matendo 17:17)

  • @oseajohn5193
    @oseajohn5193 2 ปีที่แล้ว

    baba nafarijika sana kwa mahubiri yako

  • @mwakamtungirehi4773
    @mwakamtungirehi4773 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana baba Mungu akutunze

  • @bonifasemmanuel4700
    @bonifasemmanuel4700 2 ปีที่แล้ว

    Wewe unafaa kunifundisha na kuwaMchungaji wangu , japo mi ni mkatoliki

  • @escoterhussein5800
    @escoterhussein5800 3 ปีที่แล้ว

    Mtatoboa siri nyingi Sana cc tunawaangalia

  • @ev.kennedymose7945
    @ev.kennedymose7945 3 ปีที่แล้ว +2

    This is apowerful message full of truth.thank you Rev

  • @williammkenda3062
    @williammkenda3062 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Bishop Magembe,,,,injil yako inaponya

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 2 ปีที่แล้ว

      Yes watoto wetu injili hii.uzinzi Sio dili Ni laana ya kubeba matakataka MENGI

  • @ivanvictorinolauterivanlauter
    @ivanvictorinolauterivanlauter ปีที่แล้ว

    Homem de Deus estava em Moçambique Nampula fez muitas maravilhas.Deus de abençoe.

  • @dastanmapunda9574
    @dastanmapunda9574 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amekuacha Kama mbegu baba, Kanisa lipone

  • @benjaminmwambene4897
    @benjaminmwambene4897 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante mchungaji Mungu akujalie

  • @johnsangida5158
    @johnsangida5158 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali paster cjawai pinga maneno yako

  • @masatumalima6380
    @masatumalima6380 ปีที่แล้ว

    Huyu mchungaji anahubiri injili ya ' MATENGENEZO YA KANISA LA CHRISTO' Mujitaidi kumwelewa enyi watafuta njia.

  • @christopherdavid1091
    @christopherdavid1091 3 ปีที่แล้ว +1

    Jicho la korongo

  • @anipe565
    @anipe565 3 ปีที่แล้ว

    Uko sawa mtumishi asante

  • @happinessmillanga982
    @happinessmillanga982 3 ปีที่แล้ว

    Zamani nilikuwa ckuelewi nilikuwa nakuona mkali sana Sasa nakuelewa sana sana

  • @josengumbi4029
    @josengumbi4029 3 ปีที่แล้ว

    Kwanza yupo vizur japo umri umeenda

  • @user-ys2qd4vc8g
    @user-ys2qd4vc8g 10 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji uishi sana

  • @reaper5534
    @reaper5534 3 ปีที่แล้ว

    Sema baba. Maadiri yamemomonyoka sana kusema kweli. Mungu aendelee kukutunza

  • @furahamlozi7376
    @furahamlozi7376 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi wa mungu

  • @davidjoseph1143
    @davidjoseph1143 3 ปีที่แล้ว

    Amen bba ukweli sema tumeharibik kanisa tunahitj mabadiliko

  • @wilsonmichael1156
    @wilsonmichael1156 3 ปีที่แล้ว

    Amen! Baba ubarikiwe sana Rev.

  • @barakakiponda5215
    @barakakiponda5215 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mchungaji

  • @bravomathias8570
    @bravomathias8570 3 ปีที่แล้ว

    Asante. pastor ni kweli kabisa

  • @IvanNyasenso
    @IvanNyasenso 2 วันที่ผ่านมา

    MSIPO TU ELEWA NA APO, BASI TUMSUBILI TU YESU MWENYEWE

  • @mohamediramadhani6120
    @mohamediramadhani6120 3 ปีที่แล้ว

    Duh noma San kwakweli

  • @ObedMelami
    @ObedMelami 4 หลายเดือนก่อน

    Sema yote baba lakn nimaombolezo kwa wachungaji😂😂😂

  • @tausiathumani9408
    @tausiathumani9408 3 ปีที่แล้ว

    Umenifurahisha

  • @andrewmbisi
    @andrewmbisi 3 ปีที่แล้ว +3

    Mafundisho kama haya hayawezi kupendwa na kizazi hiki

  • @barakaabel5040
    @barakaabel5040 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee kweli, ameng,oa koki

  • @metridamihama3087
    @metridamihama3087 3 ปีที่แล้ว

    Lazima ujiunganishe na Mungu kwanz nazidi kujifunza

  • @morrisramazaniwamlumbamisa8158
    @morrisramazaniwamlumbamisa8158 3 ปีที่แล้ว

    Jamani Naishi South Africa. Naombeni Namba yake Mchugaji

  • @shedracklembrice4953
    @shedracklembrice4953 ปีที่แล้ว

    hakika unakuaga na mahubiri mazuri mtumishi ubarike sana sana sana

  • @elibarickmmbando6225
    @elibarickmmbando6225 3 ปีที่แล้ว

    Mchungaji uko vizuri mno

  • @shukurujackson2867
    @shukurujackson2867 3 ปีที่แล้ว

    Ni sahihi mtumishi

  • @samwelkaaya2237
    @samwelkaaya2237 3 ปีที่แล้ว

    Injili ya kweli kabisa mchungaji aumumunyi maneno ubarikiwe

  • @ntibarufatanyamibwa1892
    @ntibarufatanyamibwa1892 3 ปีที่แล้ว

    Amina Mchungaji