ANOTHER VIDEO BONNKE PREACHING IN TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2024
  • Haya ndiyo maajabu ya uponyaji ishara na miujiza katika mkutano wa injili uliofanyika jijini Mbeya na mhubiri wa Kimataifa REINHARD BONNKE
    Reinhard Bonnke ni Mwinjilisti wa kimataifa ambaye katika mikutano yake hasa barani Africa ametumiwa na MUNGU kuongoza kwa YESU watu zaidi ya million 75, ujazo wa Roho mtakatifu katika mikutano yake iliyojulikana kama FIRE CONFERENCE na ishara miujiza na uponyaji isiyohesabika
    Pia ametumiwa kuimarisha na kuinua huduma hasa katika bara la Africa,mahubiri haya yakuimarishe na kuongeza shauku kwako unayetamani kutumiwa na Mungu kuleta watu kwa YESU na ishara na miujiza
    Subscribe kwa habari zaidi za injili, mafundisho yenye uzima na Historia za wahubiri kote ulimwenguni waliotumiwa na Mungu kuleta uamsho duniani kwa kufanya hivyo utakuwa unatoa sadaka yako kwa Mungu na kutuwezesha kuleta habari njema zaidi.
    UBARIKIWE SANA

ความคิดเห็น • 34

  • @kennedylukwembe577
    @kennedylukwembe577 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana uliye tunza hizi video za Mtumishi wa Mungu Bonke Asante sana.

  • @EzekielCharles-j8x
    @EzekielCharles-j8x 3 วันที่ผ่านมา

    Hakika umepiga kazi mzee bonke

  • @user-uk3pq2rd5l
    @user-uk3pq2rd5l 7 หลายเดือนก่อน +3

    i love a man of God the real power of God natural power from Jesus

  • @zachariajuma6634
    @zachariajuma6634 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarkiwe mtumushi WA Bwana. R.Boinke

  • @nicholausrwezaura1971
    @nicholausrwezaura1971 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen and Amen

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1  2 หลายเดือนก่อน

      Be blessed son of God

  • @nickodemsimchimba594
    @nickodemsimchimba594 3 ปีที่แล้ว +2

    Reinhard bonke! Our spiritual father

  • @jonathanjohn3378
    @jonathanjohn3378 ปีที่แล้ว +1

    Ameni Yesu anitemberee🙏

  • @mariamwonga7954
    @mariamwonga7954 2 ปีที่แล้ว +1

    I remember his name though nlikua mdogo sana alipokujaga dodoma

  • @stoneskinner4576
    @stoneskinner4576 2 ปีที่แล้ว

    WOAHHHH PRAISE THE LORD!!!!!!!!

  • @elishamumba8281
    @elishamumba8281 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii injili ni tamu

  • @HenrySilaen
    @HenrySilaen ปีที่แล้ว

    Praise The Lord

  • @rosemarymapango3747
    @rosemarymapango3747 7 หลายเดือนก่อน

    Hata Sasa Yesu Kristo anatenda,nabarikiwa sana na video za mtumishi huyu😢

  • @aishankuba534
    @aishankuba534 3 ปีที่แล้ว

    Asante YESU

  • @tullahndone2336
    @tullahndone2336 3 ปีที่แล้ว +2

    Rest in peace mama Margaret missing u 🙏🏿

    • @timxtv2621
      @timxtv2621 2 ปีที่แล้ว

      Which one in the clip?

    • @margaretmargaret5744
      @margaretmargaret5744 ปีที่แล้ว

      @@timxtv2621 I miss the old preachs and pastor's but nowadays churches are people's business

    • @margaretmargaret5744
      @margaretmargaret5744 ปีที่แล้ว

      Hey 👋my namesake me too I miss him from Nairobi kenya 🇰🇪

    • @margaretmargaret5744
      @margaretmargaret5744 ปีที่แล้ว

      Hey 👋my namesake me too I miss him from Nairobi kenya 🇰🇪

  • @musabalinaki9692
    @musabalinaki9692 3 ปีที่แล้ว +1

    My role model rest in peace😢😢

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1  3 ปีที่แล้ว

      You may prosper in your ministry

  • @paschalalexander
    @paschalalexander 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @bayekefarijala5042
    @bayekefarijala5042 3 ปีที่แล้ว +1

    Naweza kupata video Zaidi za Bonke akiwa Tanzania

  • @jessejulius9735
    @jessejulius9735 3 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @bankitsyiemiongbobbysyiemi1755
    @bankitsyiemiongbobbysyiemi1755 3 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen

  • @angelibrahim5539
    @angelibrahim5539 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nashangaa mbona ezi izo watumishi warikua wana fanya miujiza bira matuta rakini sasa ivi watu ni mafuta muache kutumia mafuta

  • @lolamhanuzi410
    @lolamhanuzi410 3 ปีที่แล้ว +2

    Tupate wap mtu kama huyu ambaye nguvu ya Mungu inakaa ndani yake

  • @davidatuti7622
    @davidatuti7622 2 ปีที่แล้ว

    7

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @nabiijoehealingnetwork7386
    @nabiijoehealingnetwork7386 3 ปีที่แล้ว

    Amen

    • @zenahassani2092
      @zenahassani2092 ปีที่แล้ว

      NEEMA KUBWA SANA HAPA UNAAMBIWA MIUJIZA LAVU LKN KWAIMANI UKIAMINI TU HAPA UNAPOKEA BILA SHAKA