LIVE : MTOTO ALIYEKUWA AKIMTAFUTA MAMA YAKE | AFANIKIWA KUWAPATA MAMA 2 | YUPI MAMA HALISI |LEO TENA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Elias Maganga Paschal mwenye umri wa miaka 17 ambaye wiki iliyopita alikuja kumtafuta Mama yake Leo Tena Ya Clouds FM

ความคิดเห็น • 55

  • @SuleimanDadi
    @SuleimanDadi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli mnajitahidi sana sana sana Kwa msaada huo endeleeni hongereni sanaaa

  • @edinarajwai3050
    @edinarajwai3050 3 ปีที่แล้ว +7

    Clouds media mnafanya kazi nzuri sana mpokee pongezi

  • @azeezaya8510
    @azeezaya8510 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana napongezi nyingi kwenu CLOUD kwakuleta furaha kweny family zawatu. Kazi nzuri kwenu wafanyakazi piya tinawapenda sn

  • @merinajuma6948
    @merinajuma6948 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimelia Mim😭😭😭i sjui namm mjomba wangu atludi sku1 maana kaondka Mimi nazaliwa jmn sjui yupo hai au vp

  • @annajohn9063
    @annajohn9063 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kuwapa uzima na pongezi kubwa sana kwa kile mnachokifanya
    big love!!!!!

  • @donicomkulikiza4075
    @donicomkulikiza4075 3 ปีที่แล้ว +2

    Clouds mbarikiwe sana kwa kazi mnayoifanya

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mwinjaku walengwa sauti inakuwa chini hatuwasikii.Ongera sana Redio hii mzuri sana tena sana.

  • @attusiyovera547
    @attusiyovera547 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu Awabariki Clouds,Mmeniliza

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama mtamu bn asikwambie Mt hongeren mama 'a mwanga kwa kukutana tena

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama mtamu bn asikwambie mtu hongereni mama na mtt kwa kukutana Tena

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 3 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah mungu mkubwa jaman watoto kuona mama zao mbalikiwe

  • @janemsamati6700
    @janemsamati6700 3 ปีที่แล้ว

    Leo tena kwa kweli mnafanya vzr sana
    Yaan ni furaha iliyoje mama na mwana kukutana tena?Hongereni sana

  • @sophiakarani9091
    @sophiakarani9091 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki kazi nzur

  • @fatemafatemamubarak3965
    @fatemafatemamubarak3965 2 ปีที่แล้ว

    Nimelia sana pongezi sana cloud Allah atawalipa

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว

    Mshaallah mungu awabariki nyote

  • @miriamkikula6133
    @miriamkikula6133 3 ปีที่แล้ว

    Jamani hongereni sn ata mimi pia nimelia sn mmefanya nimemkumbuka sn mama yangu alikuwa anapenda sn huo wimbo jmn mungu ampe pumziko la milele mama yangu mpendwa

  • @masikinimorris9151
    @masikinimorris9151 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi hiyo nyimbo ndio inaliza sana

  • @irenemwakalinga4350
    @irenemwakalinga4350 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona nalia mapema sanaaa jaman uwii I feel mm ndo kama huyo mama

  • @azamajid9530
    @azamajid9530 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimelia hadi Aza oman

  • @dianajoseph3762
    @dianajoseph3762 3 ปีที่แล้ว +4

    Matangazo yamezidi mnoooo...

  • @swaumumustapha4926
    @swaumumustapha4926 2 ปีที่แล้ว

    Cloud big up kwenu jamani kazi inzuri

  • @felisterjohn493
    @felisterjohn493 3 ปีที่แล้ว +1

    Matangazo nimengi jamani

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo baba mlezi wa mama kafanana na masele chapombe😂

  • @rizikially9535
    @rizikially9535 2 ปีที่แล้ว

    Jamani pia kuna mtoto wa mjomba ambae mjomba alimchukua tangu Mdogo kutoka morogoro kwenda kijijini ambako ukunaitwa kwamkole sambaan mama nahis hakumuona mwanae mpaka sasahiv

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya dctr mimi dalili zote za madonda ya tumbo ni nazo jamani namba nimesahau pleas naomba

  • @chrismasiakidasi4300
    @chrismasiakidasi4300 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani unaweza kulia hadi uzimie

  • @winniekodero4422
    @winniekodero4422 3 ปีที่แล้ว +2

    I wish in issues like this,you would hv used DNA

    • @clementhiddi1486
      @clementhiddi1486 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli wakati umefika waanze kutumia DNA haya mambo ni makubwa sana. Imagine if not!

    • @gilliardgodfriend5745
      @gilliardgodfriend5745 ปีที่แล้ว

      Sio rahisi kusingiziwa mama labda baba nisawa ila kwa mama hapana😊

  • @zainabmbarak1043
    @zainabmbarak1043 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hio vidonda vya tumbo vinaambatana na bp

  • @ndaimtambo8845
    @ndaimtambo8845 3 ปีที่แล้ว

    Hivi kuna aja gani ya kuzungumza makabila katika kituo chenu embu acheni hayo mambo bana mwalimu alisema kikabila chako hakitusaidii kitu sisi ni waswahili

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 3 ปีที่แล้ว

    Crouds kwa hili mko vizur sana

  • @gloriamngulwi4828
    @gloriamngulwi4828 3 ปีที่แล้ว

    Muacheni mungu aitwe mungu

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 ปีที่แล้ว

    Hongera clouds mubarikiwe kwakuleta furaha na amani kwenye familia

  • @shamsajahagandhi3800
    @shamsajahagandhi3800 3 ปีที่แล้ว

    Mungu mkubwa jamani

  • @zainabmbarak1043
    @zainabmbarak1043 2 ปีที่แล้ว

    Maana hizo Dalglish zote anazozitqjq huyo mama mimi ninazo

  • @muxinkuya9161
    @muxinkuya9161 3 ปีที่แล้ว +2

    Hv hawa was dislike wanatokea wapi?

    • @mariamchannel9234
      @mariamchannel9234 3 ปีที่แล้ว +1

      Hawajui maana yakee

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน

      Kweli ni kuwasamehe tuu​@@mariamchannel9234

  • @kabulamhembe1024
    @kabulamhembe1024 3 ปีที่แล้ว

    Nmelia kwa uchungu

  • @ndaimtambo8845
    @ndaimtambo8845 3 ปีที่แล้ว

    Mkiendelea kuubiri ukabira mwishoe mtauona

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 ปีที่แล้ว

    Ndio kheri

  • @anipe565
    @anipe565 3 ปีที่แล้ว +1

    Hadi nimelia😭😭😭😭

  • @aminamkandawile8863
    @aminamkandawile8863 3 ปีที่แล้ว

    Mungu mkubwa

  • @hadijaabbas2192
    @hadijaabbas2192 2 ปีที่แล้ว

    Mtatuua kwa kulia

  • @lucymunguibarikisimbaabel8168
    @lucymunguibarikisimbaabel8168 3 ปีที่แล้ว

    Nani kama mama .

  • @rizikibakar3186
    @rizikibakar3186 3 ปีที่แล้ว

    Mpk nimelia

  • @haimahaima9473
    @haimahaima9473 3 ปีที่แล้ว

    Hyu wa pili ni muongo wakwnza wanafanna kabsa

  • @priscaanthony1067
    @priscaanthony1067 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema jamani

  • @lucymunguibarikisimbaabel8168
    @lucymunguibarikisimbaabel8168 3 ปีที่แล้ว

    Nani kama mama .