UNITALENTSHOW|PERFOMANCE|SEASON 02|MAGAMBO JOHN-HILI GARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 มี.ค. 2021
  • Hii ni TOP 30 ya Mashindano ya Unitalent show/ROBO FAINALI safari ni moja wanavyuo kutoka vyuo tofauti wanashindana kwenye stage moja wakiwa na vipaji tofauti ili kuibua vipaji vipya na kukuza soko la sanaa hapa nchini
    #kipajichakokiwandachako #unitalentshow #starstudent #talentsearch

ความคิดเห็น • 251

  • @MUJWAUORIGINAL
    @MUJWAUORIGINAL 3 ปีที่แล้ว +16

    Sijawahi kucomment ila leo umenishika haswa sina budi kusema kweli wewe ni msanii, na sisi waarabu weusi uwa tunase mashallah pia mungu atupe mwisho mwema amiina👏👏👏👏🙏 naitwa BINAM RAJI a.k.a MUJWAU comedian 😂 and musician 🎼

  • @debbiedewilbe6606
    @debbiedewilbe6606 3 ปีที่แล้ว +29

    Dah hakika umesema kweli, hilo gari halinaga kondakta, wala mpiga debe. Mungu atupe mwisho mwema. Ameni

    • @nganzanyamiamba5616
      @nganzanyamiamba5616 3 ปีที่แล้ว +1

      Konda ni whozu huendi mbinguni😭😭😭😭😆😆😆😂😂😂😂😂😂😂

    • @mamaamina6592
      @mamaamina6592 2 ปีที่แล้ว

      Kabicaaaa yani

  • @FerdinandMedia
    @FerdinandMedia 3 ปีที่แล้ว +16

    wangapi tupo huku baada ya kuona Tiktok?

  • @zaibonge7867
    @zaibonge7867 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanao jua maa kamuigiza ostadhi nipeni like 🙌

  • @momogolden6960
    @momogolden6960 3 ปีที่แล้ว +9

    Aseeee Show yk ni AMAZING san 🔥🔥🔥

  • @geophreymlewa3863
    @geophreymlewa3863 3 ปีที่แล้ว +4

    Inavuta hisia za maisha yetu ya kila siku ubunifu mzuriiii. Hongera sana kazi nzuri

  • @kajogoo_tz2655
    @kajogoo_tz2655 3 ปีที่แล้ว +12

    Noma San kunawatu Wana vipaji jamani ♥️♥️🙏😭😭😭😭😭

    • @h.akarim
      @h.akarim 3 ปีที่แล้ว +1

      Toutes nos félicitations.....aux jeunes..... talentueux....end NO BODY CAN SAY...☝️🔥

    • @hassansumera7818
      @hassansumera7818 3 ปีที่แล้ว +1

      Magambo anamkopi Brooke mmoja hivi anitwa bajoun nenda utube andika jeneza bajoun utaona og yake.

  • @prophetmunuo9317
    @prophetmunuo9317 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa mbunifu sana, kuna kitu anakumbusha watu. V.Good brother.

  • @carlitacelestino4228
    @carlitacelestino4228 3 ปีที่แล้ว +10

    Wakwaza from Mozambique

  • @youngbosskijanger2416
    @youngbosskijanger2416 2 ปีที่แล้ว +2

    Aaah Jamaa anajuwa sana much respect to you, umetisha sanaaaa

  • @juliuskitao7839
    @juliuskitao7839 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaa umenikumbusha mbali sana bro wangu alale mahari pema peponi😭😭😭🙏🙏

  • @alivuai3286
    @alivuai3286 3 ปีที่แล้ว +2

    Umewakilisha vizuri mistari ya watu kaka hongera...... Inaitwa gari La mwisho

  • @nyimbizikamtima967
    @nyimbizikamtima967 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwanangu ww tayari ni star salute ila dah😭😭😭😭😭

  • @cosmasbunge6448
    @cosmasbunge6448 3 ปีที่แล้ว +5

    Ili gali limebeba wazazi wangu wote😭😭😭😭😭😭

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 3 ปีที่แล้ว +8

    Al- bajoon... message sent

    • @ibrahimujuma1689
      @ibrahimujuma1689 3 ปีที่แล้ว +1

      Al banjoon ndo mwenye nashide sio yey uyoo ila katisha Kali kinoma

    • @seifothman2162
      @seifothman2162 3 ปีที่แล้ว +1

      Al bajoon ndo muhusika sio uyo mshkaj

    • @mwishehemwaita6869
      @mwishehemwaita6869 3 ปีที่แล้ว

      Asaivi tunalijua yeye n muislam na watu wengi hawafuatilii mambo ya din

  • @armanyagwara5176
    @armanyagwara5176 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah walah vipaji vipo tz big up san broo🔥🔥🔥

  • @peternziku26
    @peternziku26 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah! Bro sio poa unanikumbuxha machungu ya mpenzi wangu Hilo GARI R.I.P MY LOVE AMANI.

    • @agnesakari3312
      @agnesakari3312 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamn pole

    • @peternziku26
      @peternziku26 3 ปีที่แล้ว

      @@agnesakari3312 Asante ila bdo cjakufahamu we nani please km hutojali kuniambia

    • @hagaimtagwa9233
      @hagaimtagwa9233 3 ปีที่แล้ว +1

      Pole broh😭😭😭

  • @alverztv6272
    @alverztv6272 3 ปีที่แล้ว +6

    Rest in Peace Dr .JPM .... 😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 3 ปีที่แล้ว +4

    R.I.P dada zangu felista na neema hakika ilii garii jamanii silitamanii sister zangu wangekuwepo nisinge tesekaa kiasi hikii jmn 😭😭😭😭😭😭😭😭 pumzikoo la amanii dada zangu 😭😭😭😭

  • @gloriapaul6099
    @gloriapaul6099 3 ปีที่แล้ว +3

    Pamoja kaka,hilo gari ni nomaaaaa asee

  • @ayunisaid5216
    @ayunisaid5216 3 ปีที่แล้ว +4

    Magambo, Much respect to u bro

  • @rehemamaduhu5642
    @rehemamaduhu5642 3 ปีที่แล้ว +4

    Nakukumbuka baba yangu, Nakukumbuka sana kaka yangu, Nakukumbuka Mary my classmate kweli gari mmelipanda

  • @juxepinakhadijamkofitisana6919
    @juxepinakhadijamkofitisana6919 3 ปีที่แล้ว +1

    Mko juu sana kipaji chenu n kikali 💯

  • @arafatharoub6215
    @arafatharoub6215 2 ปีที่แล้ว

    Jomba huna talent umemuiga albajouni muongo oya unitalent angalieni wakat mwengine wanatucopi

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah amrehem mama yng na bibi yng tuliwapenda mno ila allah aliwapenda mno hatunabud kusema innalillah wainnaillah rajiun

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 3 ปีที่แล้ว +4

    Ilo Gari Ni shidaa🙌🙌🙌

  • @muhammadmbamba5161
    @muhammadmbamba5161 3 ปีที่แล้ว +14

    Kaka ww ni fundi..

    • @khaulatmohammed3765
      @khaulatmohammed3765 3 ปีที่แล้ว +1

      Ka copy kwa albajun

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 3 ปีที่แล้ว +1

      @@khaulatmohammed3765 watu amkosi maneno kukopi iyo kwio

  • @hagaimtagwa9233
    @hagaimtagwa9233 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah 😭😭 njaa wangu tony hiri gari ulilipenda asee mwanangu wa faida tony ulikuwa tayali kupigwa kwajili yangu baati mbaya daah😭😭😭😭😭hiri gar😭😭

  • @user-ze5zm1gg4l
    @user-ze5zm1gg4l 10 หลายเดือนก่อน

    kaka hii nzuri saana magambo

  • @erickelia9826
    @erickelia9826 3 ปีที่แล้ว +2

    Kak unaweza sana hiyo ngoma ina ujumbe mzito sana

  • @chescoreina2708
    @chescoreina2708 3 ปีที่แล้ว +3

    Daaaah kwel ilo gar namkumbuk San lfk Ang Hashim musa na John daaah 🥺😭😭😭

  • @sadasambuka5053
    @sadasambuka5053 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakumbuka mama angu , kaka, classmate wenzangu r.i.p

  • @talinangwira6245
    @talinangwira6245 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka magamba we noma

  • @njugunabrian3464
    @njugunabrian3464 2 ปีที่แล้ว +1

    Malenga mwadilifu...😍

  • @rashidsuleiman6713
    @rashidsuleiman6713 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubari. Unyama kabisaaaaaa

  • @shabanipili4919
    @shabanipili4919 ปีที่แล้ว

    Sema g nako hamkubali huyu jamaa toka cku anaanza

  • @djrichsingelifreva8245
    @djrichsingelifreva8245 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu utusaidie mwisho mwema

  • @hamisijumanne4137
    @hamisijumanne4137 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa anaweza Sana kweli kaukonga moyo wangu

  • @peshiauma2044
    @peshiauma2044 3 ปีที่แล้ว

    Umenikumbesha babangu kalipanda rip dady.nimekuti man 💪💪💪🤜🤛

  • @salumdaluga6976
    @salumdaluga6976 3 ปีที่แล้ว +3

    Hilo Gari ni Letu Sote

  • @husseinseif7438
    @husseinseif7438 3 ปีที่แล้ว +5

    Rest in peace,easily my blood bro Hemed

  • @travisscott2398
    @travisscott2398 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubar mwang

  • @shabanhassan6457
    @shabanhassan6457 3 ปีที่แล้ว +1

    Funzo 🖐🖐🖐🔐

  • @fatmahkagoya425
    @fatmahkagoya425 2 ปีที่แล้ว +2

    Rip in peace to all my beloved ones i miss u a lot darlings

  • @officialdauditz718
    @officialdauditz718 3 ปีที่แล้ว +4

    It's more than pain

  • @RahelMakungu-ti4bb
    @RahelMakungu-ti4bb ปีที่แล้ว

    Kaka Hilo Gari linatungoja

  • @festokillingo8912
    @festokillingo8912 3 ปีที่แล้ว

    Bonge Bonge la kipaji, kuanzia ubunifu daaaaa daaaa

  • @shakilakasilo9286
    @shakilakasilo9286 2 ปีที่แล้ว

    Nimeangalia imenitoa machozi

  • @daniellevoso523
    @daniellevoso523 3 ปีที่แล้ว

    Brooo umetshaaa hili gari kweli noma

  • @glorianamwinga8609
    @glorianamwinga8609 3 ปีที่แล้ว +3

    R.i.p my sister 😭😭😭🙏

  • @ashbahbashir9355
    @ashbahbashir9355 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila umeingaaa jamn

  • @gerriemagic
    @gerriemagic 3 ปีที่แล้ว +1

    Pure talent aisee

  • @SaidSaid-tr6vr
    @SaidSaid-tr6vr 3 ปีที่แล้ว +1

    Hili gari 🙋‍♂️

  • @edwardthuo3516
    @edwardthuo3516 2 ปีที่แล้ว +1

    Rip comrade Evans Njoroge aka masaai...

  • @rashidsuleiman6713
    @rashidsuleiman6713 3 ปีที่แล้ว +1

    Talentiiiiiiiiiii

  • @mossesgadiye99
    @mossesgadiye99 3 ปีที่แล้ว +2

    Rest easy my Father 😭😭❤❤

  • @broodaquizo2510
    @broodaquizo2510 3 ปีที่แล้ว

    Daah...kwel Gari halina leseni na Gar halina hata vioo

  • @zariamutesiwase2371
    @zariamutesiwase2371 3 ปีที่แล้ว

    Ili Gali linibeba baba Yangu Allah akulaze Mahali pemaa baba Yangu😭😭😭😭😭

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubunifu .. dah .. hatari 🔥... Sijapata sikia idea kama hii. Ur da best bru🙏🔥🔥🔥🔥👑👌🇰🇪✅

    • @muhamedsaidsaleh1539
      @muhamedsaidsaleh1539 3 ปีที่แล้ว +1

      Mtafute jamaa Anajiita Albajuni ameshafanya hii kitu inaitwa gari la mwisho

    • @dadychaps7527
      @dadychaps7527 3 ปีที่แล้ว

      @@muhamedsaidsaleh1539 iki TH-cam?

    • @khaulatmohammed3765
      @khaulatmohammed3765 3 ปีที่แล้ว

      Ka copy kwa albajun from Zanzibar

    • @khaulatmohammed3765
      @khaulatmohammed3765 3 ปีที่แล้ว

      @@dadychaps7527 ndio ni mashair ya ALBAJUN KUTOKA ZANZIBAR

    • @dadychaps7527
      @dadychaps7527 3 ปีที่แล้ว

      Nimeiona, Watu wanafikiria sana mistari. Hongera kwa wote.... 🔥🔥🔥💪🇰🇪✅

  • @rashidijuma-172
    @rashidijuma-172 ปีที่แล้ว

    Nilijuwa Yule mwenyewe alieimba kumbe kakopi

  • @magambojohn5712
    @magambojohn5712 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutie nguvu mwa jina hongera

  • @nabosedward4836
    @nabosedward4836 3 ปีที่แล้ว +2

    Rest in peace my mom and dad and young sister and young brothers 😭😭

  • @dodokiller7043
    @dodokiller7043 3 ปีที่แล้ว

    Shairi liko njema
    Amiin limetufika

  • @hassanalimawoko3467
    @hassanalimawoko3467 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana bro..

  • @rashidikawanga2941
    @rashidikawanga2941 3 ปีที่แล้ว +1

    Bonge la ujumbe aiseee

  • @collihmushi5944
    @collihmushi5944 3 ปีที่แล้ว

    Mwamba anajua 🙌

  • @mkissjoseph
    @mkissjoseph 3 ปีที่แล้ว

    Aisee mwamba anajuaaah

  • @ukwelisamwel9348
    @ukwelisamwel9348 3 ปีที่แล้ว +2

    True Brother 🙏

  • @rashidsuleiman6713
    @rashidsuleiman6713 3 ปีที่แล้ว

    Nomaaaaaaah

  • @peternziku3615
    @peternziku3615 2 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P MY LOVER AMANI😭😭😭

  • @nasibunganilevanu3150
    @nasibunganilevanu3150 2 ปีที่แล้ว

    Magambo ananitisha

  • @iddymbuma2856
    @iddymbuma2856 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali mwamba we unajua

  • @johnkombe5384
    @johnkombe5384 2 ปีที่แล้ว

    Big up Magam o

  • @khalidngwembele9075
    @khalidngwembele9075 3 ปีที่แล้ว +9

    REST IN PIECE MA MOM!😭🙏

  • @kenethmlanga1382
    @kenethmlanga1382 2 ปีที่แล้ว

    🙌🙌👏

  • @SennyFleva_1
    @SennyFleva_1 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzitoooo

  • @dominickadogo11
    @dominickadogo11 3 ปีที่แล้ว +1

    Talented

  • @ngombejackison267
    @ngombejackison267 3 ปีที่แล้ว +2

    Rip my anko Geoffrey kelaty

  • @ambamwai
    @ambamwai 3 ปีที่แล้ว +4

    Ukweli n kwamba Mwamba Anajua

  • @wamburaogunya2251
    @wamburaogunya2251 3 ปีที่แล้ว +3

    Rest in peace Dady 😥😥😥

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 2 ปีที่แล้ว

    kinacho nishangaza watz lugha yao ya kiswahili ni ngumu kwao kingereza ndiyo sahihi wabongo

  • @eliasjames148
    @eliasjames148 3 ปีที่แล้ว

    Mwamba anajua

  • @kayirangadidace7649
    @kayirangadidace7649 3 ปีที่แล้ว

    Kayiranga didace

  • @masungazabron4571
    @masungazabron4571 3 ปีที่แล้ว +4

    🔥

  • @meshackkangwe3414
    @meshackkangwe3414 3 ปีที่แล้ว +3

    Rest in peace father 😭

  • @johnmkingababatulikupedasa3093
    @johnmkingababatulikupedasa3093 3 ปีที่แล้ว

    Noma sana 🙏🙏

  • @bahatihappy5693
    @bahatihappy5693 3 ปีที่แล้ว +2

    Rest in piece my dady

  • @Dougie_machine004
    @Dougie_machine004 3 ปีที่แล้ว

    Talent boy 😢😢😭🙌

  • @ahmedabalqadhi3577
    @ahmedabalqadhi3577 3 ปีที่แล้ว +6

    Hayo sio mistari yake ameichukuwa kwa albajoun kwa nasheed yake yaitwa Hili Gari basi hata haya hana hataji mwenye shairi

    • @barakaphilip2015
      @barakaphilip2015 3 ปีที่แล้ว

      Weraver

    • @solomonichisaye8767
      @solomonichisaye8767 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwan akichukua Kuna ubaya gani, ndio maana ya mashindano

    • @mabubakitambi6599
      @mabubakitambi6599 3 ปีที่แล้ว +1

      Sio Kama Kuna shida make unayemsema hatumujui tunamjua yule katuwasilishia

    • @mussamusa8027
      @mussamusa8027 3 ปีที่แล้ว

      Yule kazungumzia mengine na huyu anazungumzia vingine kasikilize vizurii alizungumzia dhambi zake na huyo mwamba anazungumzia jeneza buddah

    • @petermushy9883
      @petermushy9883 3 ปีที่แล้ว

      Kachukue na wewe

  • @maryjohns1000
    @maryjohns1000 3 ปีที่แล้ว

    Very moving 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @salimually1372
    @salimually1372 3 ปีที่แล้ว

    Hatarii mnoo

  • @aboefromrombo255tv4
    @aboefromrombo255tv4 3 ปีที่แล้ว

    Unaweza mwamba

  • @clinton3168
    @clinton3168 ปีที่แล้ว

    Huyu JAMAA ANASEMA AT SIJUI APUNGUZE AACHE IKO SAWA

  • @menejamoshimoshi8761
    @menejamoshimoshi8761 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P My sister

  • @tuntufyekabisa1480
    @tuntufyekabisa1480 2 ปีที่แล้ว

    Rip my mama😭😭😭

  • @emmanuelmasele311
    @emmanuelmasele311 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimelia kiukweli

  • @khamisramadhan6273
    @khamisramadhan6273 3 ปีที่แล้ว

    Mpooo vizur

  • @hamisimsangi8274
    @hamisimsangi8274 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri

  • @mabubakitambi6599
    @mabubakitambi6599 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭 R.i.P mpenz wang umeniacha mpweke hili gari 😭😭😭😭😭😭😭 nakumix Sana happy Wang

  • @amanichisso945
    @amanichisso945 3 ปีที่แล้ว

    Iligali iligali jamani iligali liacheni