KIMENUKA ARUSHA; WANANCHI WANAMTAKA MAKONDA, WATUMA UJUMBE IKULU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @AzizaMussa-f9l
    @AzizaMussa-f9l 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenyezi mungu amtie nguvu uhai afya njema makonda wetu mtetez wetu mungu akulinde kwakweli

  • @MariamAnafi-bf9gy
    @MariamAnafi-bf9gy 4 หลายเดือนก่อน +8

    Jamani tunaomba mtuambie baba yetu kipenzi chetu rafikl yetu Yuko wapi makonda uko wapi jitokeze pls tunakupenda 😢 tunakupenda raisi wetu wa Arusha mkombozi wetu sijui nikuote jina Gani Ili usikie japo utusalimie tu tujue upo

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 4 หลายเดือนก่อน +1

    Inauma sana .kiongozi Bora Ni you're wananchi wanamlilia

  • @gracemwakibolwa7910
    @gracemwakibolwa7910 4 หลายเดือนก่อน

    Hadi huruma jamani khaaaa.❤

  • @tielyelibariki8958
    @tielyelibariki8958 4 หลายเดือนก่อน +3

    Basi tunaomba hata familia tu ya makonda ituambie makonda yupo wapi moyo mpate tulia nani asiyejua nchi hii kuwa makonda tayari anaishi kwenye mioyo ya watu ni kipenzi cha wengi kwa sasa anaendesha kazi zake kitechnologia kidigital ndio maana anakubalika sana ni mfano wa kuigwa. Namuombee afya njema huko alipo mpendwa wetu.❤

  • @winygidarossa9472
    @winygidarossa9472 4 หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea vuzuri kaka❤

  • @Boaz-Gwanko
    @Boaz-Gwanko 4 หลายเดือนก่อน +2

    Waandamane kwa amani hadi ofis ya mkuu wa mkoa ofisi iwaambie ukweli yupo wapi??
    Ili kama anaumwa basi tuendelee na maombi,Mungu wetu afanye uponyaji.

    • @YaeliJoseph
      @YaeliJoseph 4 หลายเดือนก่อน

      Ndio tuambiwe Sasa ili tuombe kwa machoziii 😭 Mungu amponyeee...

  • @HappyMsele-n8r
    @HappyMsele-n8r 4 หลายเดือนก่อน

    Mm naomba bunge lituambie ukweli mtetezi wetu yupo wapi😭😭😭😭😭😭tunaomba tupo chini ya miguu yenu bado tunamuitaji

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu kijana anafanana na biteko .nani kagundua😊😊😊

    • @tato8979
      @tato8979 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂kabisaa

  • @yohanapetermolel
    @yohanapetermolel 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baba yetu makoda uko wapi jitokexe cc wanao tunaumia lkn duuuu😭😭😭🤔

  • @MathiasNdaki-z4s
    @MathiasNdaki-z4s 4 หลายเดือนก่อน +1

    Inauma sana kawakosea nini kijana wa watu?

  • @hamismwangwale563
    @hamismwangwale563 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli man

  • @aishajumanne4181
    @aishajumanne4181 4 หลายเดือนก่อน

    Mama samia mama yet mim nipo dara makonda. Yuwapi? Mama

  • @ConsolataPaul-u7e
    @ConsolataPaul-u7e 4 หลายเดือนก่อน

    Paul makonda ni magu wa pili,ila tumuombee kwa mungu alipo maana watu wengi hawataki haki ukitaka haki itakupoteza.ushauli tu hakuna marefu yasiyo na ncha so kila jambo linamwisho wake dunia hii inapita angalieni msishindwe kusimama mbele ya mungu

  • @NusraHozza-qp8yy
    @NusraHozza-qp8yy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hi nchi kwakweli cjui tatizo nini yani akitokea mkombozi hatakiwi ataandamwa mpaka awe maiti cjui mwisho wa wanyonge ni lini maana kuna mijitu baadhi tu haitaki kuona wanyonge wanapata haki.

  • @LalasalamaBB
    @LalasalamaBB 4 หลายเดือนก่อน

    Kizuri hakidumu,yuwapi makufuli,n hata haki haiatendeka.na mbona raisi ako kimya ajitokeze kwa wanaichi aongee kma yko wpi ama makonda mwenyewe atoke aongee

  • @Jeremiatitomawala
    @Jeremiatitomawala 4 หลายเดือนก่อน

    Kiukwel makonda tunampenda mama samia huyu kijana kama hatapatikana mama kwako ni dosari kubwa ...tutapoteza imani na ccm na serikali yko.

  • @rachelraphael1355
    @rachelraphael1355 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani makonda tunaomba mtuambie yuko wapi

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda yuko wapiii.

  • @yohanapetermolel
    @yohanapetermolel 4 หลายเดือนก่อน

    RS makonda uko wap jmn tuambie uko wap kpz chetu arusha😢

  • @LaurentMagesa-iv5yt
    @LaurentMagesa-iv5yt 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuepushe na kikombe cha mauti mh Paul Makonda, Kipenzi cha Watanzania

  • @AbelAnthony-sw8si
    @AbelAnthony-sw8si 4 หลายเดือนก่อน

    Ivi mbona mnatupa wasiwas sana! Kuja kuanza kutoa nahabali Alizo zifanya mweshimia atakuwa yupo vizuri kweli jamani mbona mimi mnanipa hofu tena, hii inakuwa kama histolia

  • @ChugaKazi
    @ChugaKazi 4 หลายเดือนก่อน

    Mhhhhhh sema kijana alie saidiwa na makonda ndiye anae mtaka usiseme Arusha sema wananchi walio saidiwa na makonda

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi nyie serikali mbona hamtujibu brother Makonda Yuko wapi? kwann mnatutesa wananchi?

  • @Richforever66
    @Richforever66 4 หลายเดือนก่อน

    Yupo sehemu ya siri anatibiwa na anakalibia kupona. Ila ni siri kubwa haitakiwi ijulikane mpaka atakapo toka sehemu hiyo na hii ni kwaajiri ya ulinzi wake kwa sababu adui yake yupo karibu yake.

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini taarifa za makonda zinafichwa ebe waweke wazi wananchi

  • @NuhuMtamike
    @NuhuMtamike 4 หลายเดือนก่อน

    Ni aibu kubwa Kwa taifa na serikali ya ccm kama serikali mnakaa kimya au mnataka Nini?mnafikiria Nini? Nyie subirini tu

  • @SalvinaSeif
    @SalvinaSeif 4 หลายเดือนก่อน

    Asee kama ni kweli sijui itakuwaje

  • @FadhiliMgalla
    @FadhiliMgalla 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi tunacho taka watwambie ukweli mkuu wetu yuko wapi kwanini wanatuzalau kiasi hicho tunamutaka makonda hakika tunamutaka makonda tusichezeane makonda amesaidia watu walio kuwa namateso makubwa sana lakini kaja katusaidia hakika hatuta elewana namutu

    • @AminaTanzania
      @AminaTanzania 4 หลายเดือนก่อน

      Jamani Makonda yuko wapi samia tunamtaka Makonda mimi nimtu wa mwanza kwasasa nipo nchi za nje omani makonda yuko wapi jani mtatuuwa kwa presha watanzania kwa mangufuri na yeye kumuuwa kwanini wasukuma wakiingia madarakani wakiwa wakirito munawaiwa waisilamu hamuwauwi shida nini kwavire wasukuma niwatu wanao penda na sana na kutetea haki ndoo maana mnatuuwa duu wasukuma tunanyanyaswa kwa sumu kama kwa kuroga hamtoboi

  • @WinfridaRaphaer
    @WinfridaRaphaer 4 หลายเดือนก่อน

    Mm binafsi syo mwana arusha lakini tunaumia sana kutomwona makonda akiwa kazini kwako maana anafanya kazi kwa usawa na haki

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ninavyohisi hii kitu hadi wakuu wanajua wala sio watu back.
    Mwendo wa makonda hadi wakuu wa nchi wanajua.

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 4 หลายเดือนก่อน +1

      na kama ni kweli unavosema ni kitu ambacho kimemkuta ni kibaya, serikali inakaa kimya sababu ikisema italeta mtafrani sana. wanaona aendelee na matibabu kwanza kisha pakikaa vizuri basi atajitokeza, na kama ikiwa venginevo maana ni tamati ndo ss waseme. serikali kwa ss haitasema ngoo hta kama watu waandamane

    • @shammhagama2527
      @shammhagama2527 4 หลายเดือนก่อน

      @@jedidahbintidaudi8241 Yaani waliomteua ndo wanaomuwinda Kila siku ni ishu mbaya sana inayoendelea hapa nchini wala sio mtu back, ila huko aliko naomba Mungu amsimamie, safari ya makonda ni ndefu sana mwenye siri ni Mungu tu

  • @Nasmaabdala-oz2su
    @Nasmaabdala-oz2su 4 หลายเดือนก่อน

    Ilaa arusha waogaa tu mnashindwa kuhandamana juu yakiongozi wenuu

  • @MussaMarwa-z3n
    @MussaMarwa-z3n 4 หลายเดือนก่อน

    Niaki watanzania wandamane kuhusu swala lamakonda watuwambie yuko wap

  • @aishakhamis2996
    @aishakhamis2996 4 หลายเดือนก่อน +2

    Andamaneni bhana...!! Mpk muone makonda...!!

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 4 หลายเดือนก่อน

      na kama ni kweli kuwa kuna kitu kimemkuta ni kibaya, serikali inakaa kimya sababu ikisema italeta mtafrani sana. wanaona aendelee na matibabu kwanza kisha pakikaa vizuri basi atajitokeza, na kama ikiwa venginevo maana ni tamati ndo ss waseme. serikali kwa ss haitasema ngoo hta kama watu waandamane

  • @philemonimassawe6597
    @philemonimassawe6597 4 หลายเดือนก่อน

    Kwanin tusijionganaize tuandamane mpaka tupate ukweli

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 4 หลายเดือนก่อน

    Safari hii tutaandamana.

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 4 หลายเดือนก่อน

    Jameni yupo wapi kijana wetu mpendwa??????

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yupo ila anataka kuwapima watu ili waone kwamba makonda anapendwa nawatu? Arafu for my intelligence naona makonda ndo atakua next Raisi 2025 not 2030 qoute my words

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 4 หลายเดือนก่อน

      sio mwabukusi ?

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wakubwa ndio wabaya

  • @kammunisi2296
    @kammunisi2296 4 หลายเดือนก่อน

    kizazi cha sasa ni tofauti na vilivyo pita aslimia kubwa watu ni wasomi kuwadanganya ni vigumu

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq 4 หลายเดือนก่อน

      Kizazi hili ndicho chepesi kabisa kudanganyika kuliko vilivyotangulia .

  • @DoreenOmmy-gw3op
    @DoreenOmmy-gw3op 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa Kama yupo likizo siatujibu watu tuwe na amani

  • @ramadhaniiddi9930
    @ramadhaniiddi9930 4 หลายเดือนก่อน

    Dua isomwe kma

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 4 หลายเดือนก่อน

    co tu mtume ujumbe IKURU bali nenden kabisa kwenye malango ya IKURU jmn mbon nahic me peke ang ndio mkeleketwa mkubwa..ninahasira hapa nilipo nataman nmmeze mtu yoyote ambae anaujua ukwel.alafu hatak kutuambia

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 4 หลายเดือนก่อน

      serikali kwa ss haitasema ngoo hta kama watu waandamane, zaidi sana waandamaji watatimuliwa. kama yuko matibabu kutokana na tetesi hizi, wananyamaza maana serikali haitataka tafrani. kwa mt kam makonda, wanajua vile w/nchi wanavompenda. sio rahisi waseme

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 4 หลายเดือนก่อน +1

    Akifa makonda kitanuka nchi hiii huo ndio ukweli msitufanye wajinga

  • @MakuoeJafary
    @MakuoeJafary 4 หลายเดือนก่อน

    Sio wewe tu atamimi nipo tunduma sielewi kwann hii swala inakuws ivi nakama wanapotosha wapotoshaji waksnatwe waache kuwawekaea taaluki

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 4 หลายเดือนก่อน

    Alichomfanyia mzee walioba mmesahau?alivhomfanyia nape mnauye mmesahau? Alichomfanyia tundu antpas lisu pia mmesahau haaaaya

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 4 หลายเดือนก่อน

      oh, alimfanyaje Nape?

    • @saidmabanga388
      @saidmabanga388 4 หลายเดือนก่อน

      We nae kama mkundu

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo kama tumesahau mmefanyaje? @clarencehilary5588 nyie ni wahuni tu mliozoea kunyanyaswa kwa wanyonge! Makondal ni mtu wa watu, wahalifu wote wanatetemeka

    • @florarwegerera8025
      @florarwegerera8025 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe nyamaza unachokiongea